Тёмный
No video :(

VIDEO: MWAKINYO AFUNGUA MGAHAWA MKOANI TANGA, "WAGHARIMU ZAIDI YA MILIONI 18" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 92 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 201   
@shadrackmijjinga9793
@shadrackmijjinga9793 Год назад
Kuna watu mnauelewa mdogo sana wa mambo .... Any ways Hongera sana mpambanaji wetu ndugu yetu bingwa wetu ...endelea kupambana utatoboa hakika...
@saidizuberiissa7286
@saidizuberiissa7286 Год назад
I love bro tunakuombea mungu hiyo sehemu iwe kubwa mnoooi
@lloveyoutanzania5315
@lloveyoutanzania5315 Год назад
Mungu aendelee kukusafishia njia mdogo wangu ❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏
@artanahm3389
@artanahm3389 Год назад
Hongera sana champ 🏆. Nimeona picha ya Crawford hapo. Real G knows real G.
@marthageorge5043
@marthageorge5043 Год назад
Hongera sana mwakinyo,umepata sehem zuri ya biashara mana apo uwa watu awalali
@nasmafarmsltd9146
@nasmafarmsltd9146 Год назад
Panaitwaje ndug hapo
@marthageorge5043
@marthageorge5043 Год назад
Makorora
@iddydaruwesh8650
@iddydaruwesh8650 Год назад
Fanya maisha mweneu kila muombela mungu akosi fungu lake. Washangaze wenye vijiroho vya husda masha Allah kheir
@TheSalma1999
@TheSalma1999 Год назад
Wewe ni mpambanaji kaka kweli huku America tumekuja kutafuta tufanye vitu vizuri nyumbani hongera sana kaka utakuwa boxer mkubwa sana duniani kupita mike Tyson insh Allh I’m so proud of you my brother
@deniskyangala3400
@deniskyangala3400 Год назад
😂😅🤣eti zaidi ya Tyson
@adaboychibu1659
@adaboychibu1659 Год назад
Upo America ya buza au ya chanika ndugu
@mnyilingatv
@mnyilingatv Год назад
@@adaboychibu1659 😂😂😂america ya buguruni 🤔
@abuuimraan2484
@abuuimraan2484 Год назад
kwakua haiwezekan or kwani ni nani Alo Muumba Mike tyso na ninan alie muumba Hssn Mwakinyo?
@sangaezra6917
@sangaezra6917 Год назад
Huwa napenda Sana mwamba akiwa anaongea na piya mwamba ana mheshim Sana mwenyezi mungu
@ziyandamhlana8776
@ziyandamhlana8776 Год назад
This is nic big up kachangia na mwana fa
@fatmahamad6177
@fatmahamad6177 Год назад
Mashallah kk Mungu akulinde sana.
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 Год назад
Asante mwenetu mungu akujalie makorora ilikuwa kubwa kuliko hata stendi makorora dunia hotel ndio sehemu zetu za kujidai
@poucostantin4403
@poucostantin4403 Год назад
Kweli
@salehehamza3944
@salehehamza3944 Год назад
Hongera bro Mwakinyo unaijua box na unajua sana kujielezea wewe kama wewe Allah akufanyie wepesi ktk malengo yako🤲🤲
@abochejuniorhutingwa223
@abochejuniorhutingwa223 Год назад
Hongera kk, nikija tanga nitakuja kupata chakula hapo
@salymkitumbika8644
@salymkitumbika8644 Год назад
Wengi wanamchukia mwakinyo kwasababu ya UWEZO alojaaliwa tusiwe wengi wa chuki zaidi ya kuombakheri na kujiombea
@jumakassim8718
@jumakassim8718 Год назад
Swadakta
@goodlucklema2558
@goodlucklema2558 Год назад
Huyo anachukiwa ana maneno yakike sanaa
@kenosman4780
@kenosman4780 Год назад
Big up bro Mwakinyo kw hatua
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 Год назад
Makorora community sehem moja naipenda sana
@kdloon2030
@kdloon2030 Год назад
Makorora stand up
@jimmymbella997
@jimmymbella997 Год назад
Hongera sana kaka mwakinyo nakukubali sanaaaaaaa kaka 💪
@yohanemellau3220
@yohanemellau3220 Год назад
Hongera sana kamanda Molla àkuzidishi3
@digomastar
@digomastar Год назад
Mungu azidi kukupa neema inshallah ufanye mengi zaidi yahayo
@shabanimarwa6174
@shabanimarwa6174 Год назад
Uwekezaji mzuri Master. Ikawe pouwa saaaana. piga pesa.
@mshavela
@mshavela Год назад
Nice bro! najivunia kuzariwa tanga
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du Год назад
Allah akuzidishie duniani na akhera. Tunashukuru kwa kuienzi dini na mila yako.
@abdulrahmankanduka1977
@abdulrahmankanduka1977 Год назад
Hongera sana Mwamba Kwa hatua uliyopiga na hongera sana Kwa kupathamini nyumbani na pia hongera Kwa mafanikio Yako Aya uliyoyapata sasaivi na mungu akufikishe mbali zaidi ya hapo....
@shwaibukhatibu2838
@shwaibukhatibu2838 Год назад
Masha Allah
@emmanuelfari8924
@emmanuelfari8924 Год назад
+MUNGU+ AKUBARIKI azidi kwako zaidi kwa kila eneo🙏🤝
@AsungaSteven
@AsungaSteven 4 дня назад
Safi sana,nami ndogo yangu kubwa ni kuwa na mgahawa au Hotel
@alfanboblice9150
@alfanboblice9150 Год назад
Vzr sana Champez
@deathrow8004
@deathrow8004 Год назад
Maa shaa ALLAH ALLAH AKUAFIKISHE ZAIDI KTK DINI PAMOJA NA NIA ZAKO
@mkanulamajid500
@mkanulamajid500 Год назад
Mungu fundi haipingiki namba moja Africa dunia taarifa inayo the history
@fatumakadanje6403
@fatumakadanje6403 Год назад
Mwakinyo mm shabikiyako naomba kazi hapo
@maryamm7765
@maryamm7765 Год назад
Hongera sana mwakinyo
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 Год назад
Hongera mzee
@S.A_media1
@S.A_media1 Год назад
Moja ya Vitu ninavoviamini kwenye business food restaurants as safest in town
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 Год назад
Mashallah Mashallah hongera Mwenyezi Mungu azidi kukupa akili na maarifa.
@user-wk1ix1gm1p
@user-wk1ix1gm1p Год назад
Hongera sana kaka
@fatimahants1526
@fatimahants1526 Год назад
Hongera sana mwakinyo kwa hatuwa kubwa ya kuwekeza
@amirimuhsin560
@amirimuhsin560 Год назад
Nice broo
@manlematz821
@manlematz821 Год назад
Kaskazini Akili ya Pesa mzee Achana na hao wacheza Ngoma tuu wakudaa😂😂😂
@amirymbilimo448
@amirymbilimo448 Год назад
Hiyo ofisi ya kawaida sana haina samani iyo ya milioni 18 sio kweri
@mweroruwa6339
@mweroruwa6339 Год назад
Mashallah Tabaraka Allah. Kila la kheri bro
@mikekileo1186
@mikekileo1186 Год назад
You deserve better bro✌️ You're so strategic even your speaking sound contentiously 🧠
@abeditwaha8385
@abeditwaha8385 Год назад
Safi Sana mwakiyo
@mikidadiame3571
@mikidadiame3571 Год назад
Mungu akuongoze
@salehalzakwani3283
@salehalzakwani3283 Год назад
Mashaallaah pamoja sana oman
@lemaoman1760
@lemaoman1760 Год назад
Mashallah nakupenda sana kaka yangu
@cisselamerverille5286
@cisselamerverille5286 Год назад
Kuna interval na interview.... Huwa sipendi interview ya Mwakinyo inipite hata kidogo hii sikuiona sijui nilikua wapi sio maongezi tu Bali na elimu pia unaipata kutoka kwake unapo msikiliza ....💪
@ekicrevomnyanyi862
@ekicrevomnyanyi862 Год назад
Hongera sana kaka mungu akutangulie.
@yusuphmpenja3288
@yusuphmpenja3288 Год назад
Yani comedy boxing 🥊
@spiderelexander9977
@spiderelexander9977 Год назад
Hongera dogo nakukubali sana
@prophetislael5265
@prophetislael5265 Год назад
Mungu akubariki kaka
@zainabumohamed4763
@zainabumohamed4763 Год назад
Mashaaallah
@mickdadybakari6052
@mickdadybakari6052 Год назад
Mwakinyo nakukubali saaana kwasababu unafanya maisha mengine nnje ya ngumi kaka nasubiri mzigo utue unguja ili nizame ndichi we ndo umenifanya niingie kwenye ring maana nikisha potezea nasubiri Zanzibar ianze na mie nishiriki ila nitatamani saaana kupita njia zako
@allyhabibu8503
@allyhabibu8503 Год назад
q namba
@mickdadybakari6052
@mickdadybakari6052 Год назад
@@allyhabibu8503 og
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
Hongera
@sebmalunde5945
@sebmalunde5945 Год назад
Mshkaji ana uwezo sana ila nadhani hana Menejimenti nzuri......Bado nawaza pambano lake la Mchongo Uingereza
@jumahatibu9240
@jumahatibu9240 Год назад
Mashaa allah..unajuelewa
@rajabhamza4628
@rajabhamza4628 Год назад
Hongera brother
@hilalmohd8941
@hilalmohd8941 Год назад
mungu akusimamie brother
@hadserhood2823
@hadserhood2823 Год назад
Shida ya wataz tuna kitu kimoja mtu akiwa anapambana kupata mkate tunaweza kumsapot ana akishafika stage ya kufanikiwa kufika mbali tunataka kumshusha ashuke chini ili apande mwengine hii ni laana tulionayo
@maulidihassani8324
@maulidihassani8324 Год назад
watuwamitungiiii 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@iddiali8057
@iddiali8057 Год назад
Mashaa ALLAH
@kennedymaster2000
@kennedymaster2000 Год назад
Nakukubali sana mwakinyo wewe ni mwamba
@suleimanmohommed5209
@suleimanmohommed5209 Год назад
Allahu Bariki Home Boy
@allymwilu8089
@allymwilu8089 Год назад
Fala hili professional boxer kuuza pambano ndo alichofunzwa mxiuuuu
@faiditv5535
@faiditv5535 Год назад
Faswaha Sana jamaaa mashallh
@othmanmuhammad5609
@othmanmuhammad5609 Год назад
Mwakinyo njooo Zanzibar nikufundishevkupika supu yapweza
@othmanmuhammad5609
@othmanmuhammad5609 Год назад
Mungu atakufungulia ishaaallh
@Hassanchora
@Hassanchora Год назад
Mashallah mungu akufungulie milango yenye kheri
@chisongastephen7299
@chisongastephen7299 Год назад
Ninamkubali sana Mwakinyo kwani anajitambua sana kwa kile akifanyacho katika maisha yake.
@Ram_1893
@Ram_1893 Год назад
Wewe endelea kupata pesa na sisi wengine tuendelee na majungu yetu kwako 😀😀😀
@noelphilipmollel6355
@noelphilipmollel6355 Год назад
Nabii akubaliki kwao. Tanga ngumu mno. Aina ya wateja wa migahawa hiyo usitegemee wateja wa Tanga. Hatua nzuri isipokuwa naona haujaifanya sehemu sahihi. Tukutane miaka miwili ijayo.
@allychumatalented8195
@allychumatalented8195 Год назад
We ndio mungu mzee
@ismailmneka2967
@ismailmneka2967 Год назад
Hongera sana bro
@michaelmaziku991
@michaelmaziku991 Год назад
Ww acha maneno bwana siku hizi mabondia wote watumbuizaji,mabondia walikuwepo zamani mtu anapigwa ulingoni anakwenda kuzindukia hospitalin.Umeenda uingeleza umepigwa na kiatu ulichovaa mwenyewe pambano likaishia hapo sasa huo sio usanii
@allychumatalented8195
@allychumatalented8195 Год назад
Acha makasiriko
@aishanasri7561
@aishanasri7561 Год назад
Nice mpambanaji
@nasrafadhili7408
@nasrafadhili7408 Год назад
Yn umetengeneza sehemu nzr lkn huo mji watanga kusapotiana ss ndokazi sn tunakuombea ufanikiwe ndg
@sdeshnjwetr6707
@sdeshnjwetr6707 Год назад
Mwakinyooo mbona unasahau mara we mtu wa imani mara tena mtu wa mitungi 😀😂🤣. Okay by the way good idea brother 💪🇹🇿.
@mickeyyusuph1469
@mickeyyusuph1469 Год назад
Kwan mitungi haijaruhusiwa kwenye biblia bro😮😢
@bornkilla6173
@bornkilla6173 Год назад
Hujamuelewa kasema sisi sio watu wa mitungi
@sdeshnjwetr6707
@sdeshnjwetr6707 Год назад
Sawa sikumsikia vizuri....maana nilistuka sura yake ina nuru . Oky mungu amfanyie wepesi champion tz🇹🇿💪
@zafarmohamedy3013
@zafarmohamedy3013 Год назад
Heheh
@manlematz821
@manlematz821 Год назад
Weka maskio vizuri acha ufara
@donyusco7566
@donyusco7566 Год назад
Well done champions
@raro5506
@raro5506 Год назад
Kaanza kuzitumia zileeeeeee zilizo fichwa na upotevu wa beg Airport
@peterrobert8905
@peterrobert8905 Год назад
Tangu apigwe kibwege simkubali huyu jamaa
@fahminasser3855
@fahminasser3855 Год назад
Hassan teyari una jina kubwa hii kitu nahisi ungeifungua tanga town ingekupa matokeo mazuri nahisi makorora pako pembeni sana
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 Год назад
Kaka mwakinyo hizo nywele vipi kama mganga wa kushuka mvua
@bakarisultanindima3513
@bakarisultanindima3513 Год назад
Dua kk
@catherinecostantino2034
@catherinecostantino2034 Год назад
Nakukubali ndugu , Ila kanipigie yule mzungu maana anaongea Sanaa Tena sanaaa
@barakanatus5676
@barakanatus5676 Год назад
Upo vzr sana,
@cairoshampeny
@cairoshampeny Год назад
UNAMSHAURI NINI MDOGOWAKO TWAHA ANAPIGIKA kama NGOMA
@daniagustino2129
@daniagustino2129 Год назад
Unamsema mandonga atapigana pambano la alftatu
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 Год назад
Safi sana
@japharymagesa735
@japharymagesa735 Год назад
Bi idhni llah utawainua na wengne
@chamimdesa148
@chamimdesa148 Год назад
Mwakinyo kwenye Questinare bado
@yusuphmpando9900
@yusuphmpando9900 Год назад
Kweli bro hata mm nimeliona hilo
@shamilanamkubarisanasultan1018
uyu broo kama mird ayo sauti yake
@islamhassani5365
@islamhassani5365 Год назад
Bado sana kk ila kiukwel yupo vizuri nae pia
@yujinxhing3766
@yujinxhing3766 Год назад
Ila huyu jamaa ana dharau
@MCNgakungaJunior
@MCNgakungaJunior Год назад
HONGERA SANA NA USIISHIE HAPO ENDELEA KUWEKEZA
@puresight-s-channel5150
@puresight-s-channel5150 Год назад
We uza mgahawa ndio profession yako,ngumi inazingua,we ni muoga na ndio maana ukaogopa pambano la uingereza umepigwa kikombe kimoja tu umeogopa unajifanya viatu vinakubana😁😁😁we feki tu
@willykaovela5485
@willykaovela5485 Год назад
njoo tukupe deal za uwekezaji ....mdau...18m kwel
@mohamedkilagale4281
@mohamedkilagale4281 Год назад
Asante
@daudsimon5417
@daudsimon5417 Год назад
Umefanya kitu kzur
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 Год назад
Sauti km namuona mwana FA
@mustaphaally6997
@mustaphaally6997 Год назад
Sikupingi champion
@jumamohamedikizota8380
@jumamohamedikizota8380 Год назад
Broo umeongeaa poitii
@brightonkiwango8184
@brightonkiwango8184 Год назад
Asa we wakutudanganya viatu vilibana sijui umesahau begi halafu ujiite international
@mashakabakarabdallah6545
@mashakabakarabdallah6545 Год назад
mimi nishabiki wako pale unapokua ulingoni huwa natetemeka huwezi amini
@calvinstanley737
@calvinstanley737 Год назад
Nimesikia kama akisema, "Sisi watu wa mitungi tunamatch sana na vyakula." Kwa hiyo ni mtumiaji wa mitungi?
@salimkassim6020
@salimkassim6020 Год назад
Amesema sisi si watu wa mitungi na vitu vyengine kwa iyo tu match sana kwenye misosi
Далее
Кого из блогеров узнали?
00:10
Просмотров 547 тыс.
Кого из блогеров узнали?
00:10
Просмотров 547 тыс.