Тёмный
No video :(

MWAKINYO: NINGEMNUNULIA KILA MTU BAJAJI/NIMEKAMIA/NIMELIPWA HELA NYINGI/NIMEWAPIGA MABONDIA WAKUBWA 

Dar24 Media
Подписаться 729 тыс.
Просмотров 15 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 23   
@mwanajumatwalib4512
@mwanajumatwalib4512 9 месяцев назад
Upo sawa mwakinyo jinalako lisipo tajwa kwasu hakuchwi
@gudimbwana8088
@gudimbwana8088 Год назад
Hilo jamaa akili mingi sana Nakupenda sana nakuombea sana keep on fighting bro.Champelz In 1 Africa
@josephjoseph8982
@josephjoseph8982 Год назад
Mungu ataendelea kukupa nguvv your wisdom and vision is to great my man you think far i like your humbleness that is why GOD will keep lifting you higher and higher by Joseph mwakyusa sauth Africa but iam a Tanzanian
@othmanmuhammad5609
@othmanmuhammad5609 Год назад
Ww nihodari sana mwakinyo sjaona mtu alio fana kwa bongo nzima kikubwa ww sio mchoyo sss wazanzibar tunakukubali sana na tunakupenda tuna mapenzi naww kshinda bondia yoyote
@senseisafari1355
@senseisafari1355 Год назад
Kaka wwunajua sana mungu akupemaisha marefu mmnachezakarate iranakukubari sana
@michaelmwananono1168
@michaelmwananono1168 Год назад
Hasan namwelewa sana nahilo pambano niliumia sana namwombea sana afike mbali sana
@taurehassan7399
@taurehassan7399 Год назад
Mwakinyo umeongea Mambo makubwa sna,mojawpo cc km wtnznia tuache umimi au hyu ni wa mkoa wngu hatutfka
@ibrahassan9610
@ibrahassan9610 Год назад
Ww nichampioni blaza
@alaingersonsulaymanalain7696
Mwakinyo mtanga mwenzangu ,mwanzoni yani pindi nimeanza kufatilia masumbwi ,sikuwa na mahaba sana na wewe ,lakini baada ya kupoteza pambano na liham smith nimetokea kukubali sana mwamba ,mgosi wa kaya ,nguvu moja na wewe
@mickdadybakari6052
@mickdadybakari6052 Год назад
Weye huyo hio mgos wa kaya nagamba ni mgosi wa ndima
@taurehassan7399
@taurehassan7399 Год назад
Mm mwnyew nliumia sna mapenz yngu kwko ckudhihrishih icpokuwa mngu ndo anajua Zaid klichkuwppo myoni mwngu kwko
@amirimuhsin560
@amirimuhsin560 Год назад
Ndy kak
@mussaramadhan3137
@mussaramadhan3137 Год назад
Kaza mwamba naamini watanzania wengi wanakuelewa kinyama
@gudimbwana8088
@gudimbwana8088 Год назад
Fact fact fact man maprota njaa wapotee
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 Год назад
Ukiachana na nakua anajua ngumi pia ni kichwa san kwenye kujieleza
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 Год назад
Mwakinyo we are together as 1
@sinaloa5698
@sinaloa5698 Год назад
Champeziiiii tuko tunamusapot mzazi
@ramadhanindalika646
@ramadhanindalika646 Год назад
Mimi wakwanza kuumia na mpaka sasa bado nateseka na maneno ya wapinzani wako kuwa umeuza pambano tunaomba rudia pambano muuwe huyo bondia
@cleartzboy
@cleartzboy Год назад
Miyayushooo ww et kiatu unachagua sada nike ww ni barozi wanaiki au evalast ww n balozii et svai kiatu cha dolar sabin si ubishoo huo ww sio baroz wala huol ni ukolo ambao kduku hana hapa show show
@taurehassan7399
@taurehassan7399 Год назад
Nakutkia mafanikio mema
@vibetz9991
@vibetz9991 Год назад
Mzee wa kukamia
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 Год назад
Yani wewe wakupondetu lakini unajua ngumi na unajua kujieleza na unaufahamu na unacho kitaka waache watuzihaki lakini tanga sisi tupo nawewe na upo mabegani mwetu
Далее
HUYU NDIE NASSOR AHMED MAZRUI
22:40
Просмотров 3,9 тыс.