Тёмный

VIONGOZI WA KIMASAI WAVURUGANA, IGP SIRRO AOMBWA KUINGILIA "WANACHANGISHA MILIONI 2" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 24 тыс.
50% 1

Baraza kuu la Mila ya kimasai Tanzania (Maa) wamekemea vikali kitendo Cha baadhi ya Wazee wanaochangisha kiasicha sh.milioni 2 Kila wilaya kwa jamii hiyo nchini kwa lengo la kufanya sherehe ya kumsimakia kiongozi mkuu wa kimasai (laigwanani) ambapo nikinyume na taratibu za mila na desturi ya kimasai.
Akizingumza kwenye mkutano Mwenyekiti wa malaigwanani Tanzania Aisack Lekisongo amesema kuna baadhi ya Koo ya jamii ya kimasai ziliokiuka kanuni na taratibu za Baraza na kufukuzwa Kisha wakaanzisha kundi lao ambalo lengo ni kua Baraza jipya na kumsimika kiongozi wao ambayo ni kinyume Cha Mila na desturi za kimasai.

Опубликовано:

 

7 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 28   
@johnlekishon9612
@johnlekishon9612 2 года назад
Mungu ailaze roho yake Tanzania
@paulomollel9717
@paulomollel9717 7 месяцев назад
siyo kweli joseph olepaseryan ndio kiongozi wetu anayeongoza makundi yote tanzania kwahio olekisongo ni kiongozi wa malarusa tuu na malarusa ni kundi moja tuu
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 3 года назад
Sasa mambo ya kimasai yenu serikali inaingiaje? Malizeni mambo yenu ya mila wenyewe
@SaimoniMangunda
@SaimoniMangunda Год назад
Huyo mzee sio kiongozi wa kimila. Acha kupotosha jamii
@mwinyikadhi2870
@mwinyikadhi2870 3 года назад
Halafu wamasai hawana uraia wa nchi moja kila nchi wapo hapa Africa masharik
@AmosJuma-wp2pe
@AmosJuma-wp2pe 10 месяцев назад
Huyu mzeee anaonekanaa kama ni mkatili sanaa
@johnkitamwas9795
@johnkitamwas9795 2 года назад
Laigwanani gani unaenda kushitaki wakati hapohapo unasema kwamba unabaraza la malaigwanani mbona ujawaita kwenye hiyo baraza lako la.utapeli acha kuwafuruga watu umekuwa mfurugaji sana
@denislema3436
@denislema3436 3 года назад
Awaa si binadamu ni masaii kuweni nao makini
@saimonilaizer1327
@saimonilaizer1327 2 года назад
Sasa nini inayo husu kwenye serikali mpaka mpeleke siri yenu
@lemalisanare4649
@lemalisanare4649 3 года назад
Sijaelewa hii mada kabisa
@yamatlemomo542
@yamatlemomo542 3 года назад
Langwanani wa Tanzania Nani alie Muchagua huyo ni tapeli Mkubwa
@IssayaNanga
@IssayaNanga 5 месяцев назад
Lekisongo sio MMASAI ni mwarusha 😂😂
@paulomollel9717
@paulomollel9717 7 месяцев назад
joseph olepaseryana ndio mkubwa wetu wa haya makundi nane kwahio serikali itambuwe hilo na kufanyia kazi
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 3 года назад
Hawa wasije wakatuletea vita
@suleimaniamadi1441
@suleimaniamadi1441 3 года назад
Vita kikabila kimoja
@yamatlemomo542
@yamatlemomo542 3 года назад
Umenuondoaje Kuna uilie Muchagua au Nani ww aliekuchagua unatuaibisha kujiita langwanani wa MAA bila kuchaguliwa unawaujumu watu wa Lemooti kwa Aridhi
@mwinyikadhi2870
@mwinyikadhi2870 3 года назад
Hawana siasa hapdk 2mbele mkuki sime begani
@paulomollel9717
@paulomollel9717 7 месяцев назад
kwan si kweli nyie ni malarusa
@petroosaitotilaizarpetoosa822
@petroosaitotilaizarpetoosa822 3 года назад
Ficha
@DavidDaudi-r9n
@DavidDaudi-r9n Год назад
Nani amekuchaguwa wewe tapeli kama wewe umetu salilisha sana sisi wamasai sanasana sisi watu wa ngorongaro akika katika jina layesu kila kitu yako itaiasha kabisa kwani umebeba laana sana kwa watu wa ngorongoro lasima utajuwa mungu iko
@johnkitamwas9795
@johnkitamwas9795 2 года назад
Wewe lekisongo sii ndio mla rushwa kuliko mtu yoyote nchini tapeli mkubwa wewe Kuna nafasi ya mwenyekiti ya laigwanani Tanzania a acha kuwadanganya watu wewe.
@mwinyikadhi2870
@mwinyikadhi2870 3 года назад
Mmasai mtu por popote pale anaish Kama.mnyama
@laiserkuyan6075
@laiserkuyan6075 3 года назад
Uko vixuri lakwanani mukuu
@erastonicholas5589
@erastonicholas5589 3 года назад
Mzee anatetea ugali wake
@DavidDaudi-r9n
@DavidDaudi-r9n Год назад
Wewe lekisongo kwakweli wewe si mutu musuri kabisa
@johnkitamwas9795
@johnkitamwas9795 2 года назад
Laigwanani gani unaenda kushitaki wakati hapohapo unasema kwamba unabaraza la malaigwanani mbona ujawaita kwenye hiyo baraza lako la.utapeli acha kuwafuruga watu umekuwa mfurugaji sana
@yamatlemomo542
@yamatlemomo542 3 года назад
Umenuondoaje Kuna uilie Muchagua au Nani ww aliekuchagua unatuaibisha kujiita langwanani wa MAA bila kuchaguliwa unawaujumu watu wa Lemooti kwa Aridhi
Далее
Little kitten 💓💜❤️🥰
00:17
Просмотров 19 тыс.
🍎 Apple Pie Cinnamon Roll Donut #Shorts
00:21
Просмотров 2,6 млн
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Просмотров 6 млн
Little kitten 💓💜❤️🥰
00:17
Просмотров 19 тыс.