Тёмный
No video :(

VITASA | Mfaume Mfaume vs Chikondi Makawa |  

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 66 тыс.
50% 1

USIKU WA VITASA: Kutoka Nacoz Camp, bondia Mfaume Mfaume amemchapa Chikondi Makawa kutoka Malawi kwa pointi katika pambano la raundi nane. Tazama ilivyokuwa….
Ni pambano la utangulizi kuelekea pambano la Kidunda vs Mukadi katika usiku wa vitasa ndani ya ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.
#UsikuWaVitasa #VitasaNight #NgumiJiwe #Boxing #MfaumeMfaume #ChikondiMakawa

Опубликовано:

 

29 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 60   
@mc_rasbeib834
@mc_rasbeib834 Год назад
Ngumi za mfaume zina ladha yaani anajua tecnique❤❤❤yaani unaenjoi kuwatch, mfaume mfaume akieza pata nguvu kama za selemami kidunda basi tanzania nzima hamna mwengine, yua jua kuzikwepa, kupunch na kuscore
@nelsonmwaipaja3727
@nelsonmwaipaja3727 Год назад
Team wafalme tupo hapa border Tunduma tunainjoi kuona Chuma chetu mfalme mfalme 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 bado cha moto🔥🔥🔥🔥🔥
@mc_rasbeib834
@mc_rasbeib834 Год назад
Nakukubali sana mwanangu mfaume mfaume
@user-ls6lq3yj7s
@user-ls6lq3yj7s Год назад
Mfaume ndio meamba anapigana ngumi zimenyooka zenyeakili nying pumz yakutosha respect mfaume
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 Год назад
Mfaume atafute video za Alexander usyk atakuwa best... Ajifunze speed nakupiga double jab at once
@emmanuelsichone4681
@emmanuelsichone4681 Год назад
Mfaume hii slow nigem plan Kwa kawaida anaspd sana
@LukmaanSalum-ys8nf
@LukmaanSalum-ys8nf Год назад
Fact kabisa
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 Год назад
Mfaume ni mpiganaji mwenye kipaji kikubwa, tatizo lake ni dogo sana, technique ,..namkubali sana MWAMBA..!
@khalfanissa136
@khalfanissa136 Год назад
The king 🤴 is back
@bakarishaban9311
@bakarishaban9311 5 месяцев назад
Mfaume kiwango chake apigane na Mandonga MTU kaz
@user-xq8eh1ut9n
@user-xq8eh1ut9n Год назад
Mfaume akunangumi Zaid ya kujaa cfa kaka fanya kweli jina kubwa ngumi ndogo sana
@uwezotv
@uwezotv 9 месяцев назад
Huyo mtangazaji mwenyesaut nyembamba anamapenz na mfaume hadi yanapitiliza anasifia hataujinga
@athumanikhamisi3377
@athumanikhamisi3377 Год назад
Big up Sana kwa mapaf ya dog
@bakarishaban9311
@bakarishaban9311 5 месяцев назад
Mfaume hakuna lolote
@marcellysumaye341
@marcellysumaye341 Год назад
Huyu jamaa ameanza kupigana mda mrefu sana tokea mwaka 2012 yupo ulingoni tu lakin cha kuxhangaza mpaka leo ananyota 1 ubishoo mwingi
@rickmahelela6680
@rickmahelela6680 Год назад
Nice mfaume
@GrolySunday
@GrolySunday Год назад
Mfaume kachez vizur. Tu
@JustineJustin-dx9cq
@JustineJustin-dx9cq Год назад
Mapafu 😂😂😂😂 unanikosha
@TALLUBOY
@TALLUBOY Год назад
awa mafundi
@charlesinestor6094
@charlesinestor6094 Год назад
Tuheshimishe MAPAFU
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl Год назад
Ama
@uwezotv
@uwezotv 9 месяцев назад
HEBU PIGENI KURA HAPA KWA NGUMI HIZI ZA MFAUME ANAWEZA KUPAMVANA NA MWAKINYO KWELU? SI ATAKUFA HUYU
@user-gd8eu7yc6k
@user-gd8eu7yc6k Год назад
Noma mkal wa mabibo
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 Год назад
Huyo chikande ana mikono kama ya NYANI NGWENGWE , .....mikono mirefu gadi NONDO..!
@bakarishaban9311
@bakarishaban9311 5 месяцев назад
Mfaume akipigana na mwakinyo waandae kaburi
@allylukinga3582
@allylukinga3582 Год назад
Kaka ushindi umenyookaa kabithaaa
@malimanyanja562
@malimanyanja562 Год назад
Ukitaka kujua mwakinyo ni levo zingine angalia mabondia kama awa utagungundua wamejaa maneno tu ila ngumi sizionagi mimi
@lama6310
@lama6310 Год назад
Kwa Mchezo Ule mwakinyo Aliocheza Dodoma Hata Said Bwanga Anampiga
@enockkifaru4121
@enockkifaru4121 Год назад
Jamali kunoga akitengenezewa njia..ni kama mwakinyo anavopigana
@gwantadibusta
@gwantadibusta Год назад
Oiii mapafu ya mbwa noma
@BilobzBzee-ed5jy
@BilobzBzee-ed5jy Год назад
Stili hii mfaume atapigwa vibaya na pialali bado kiwango kikochini sana
@helbethivalentinohizza
@helbethivalentinohizza Год назад
Naitwa HELBETi na wapata nikiwa kongo mtuakikandwa semeni ukweli acheniushabiki
@user-nn9nx6zl5w
@user-nn9nx6zl5w Год назад
😂😂😂😂😂😂 iv uyu ndo mnampiganisha na iddy pialali Simba wa kijeshi 😂😂😂😂😂 mamae atapigwa kama ngoma ya kizalamo yan sijaona ata ngumi ya hatar zaid ya board punch nimeona uchawi tu wa mama ake 😂😂😂😂😂😂
@mc_rasbeib834
@mc_rasbeib834 Год назад
We kusema ukweli hujui kabisa maneno ya masumbwi, idi pialali sio bondia hamna bondia wa hivo, hajaufikia uwezo wa kupigana na mfaume ata kidogo
@issaissa1361
@issaissa1361 Год назад
Ivi awa mapromota watafutieni mabondia wenye uwezo apo hamna ata upinzani wote wakaendelee na mazoezi
@YustoMlay-is8ed
@YustoMlay-is8ed Год назад
Mfaume pumzi anayo
@abubakariali9848
@abubakariali9848 Год назад
Hamna ngumi hapa 1 - 8 wanacheza kama sparing pambano limepoa san wapewe nafasi vijana waoneshe vipaji vyao.., na pia Azam TV itafute wachambuzi wa Boxing na sio wapenz wa Boxing Pambano limepoa watangazaji wamepoa inatoa ladha ya ngumi
@yohanekopilato-wn3lo
@yohanekopilato-wn3lo Год назад
Huyu kweliii ni Mfalme wa ngumiii
@HusseinNgendanyi
@HusseinNgendanyi Год назад
Huyu jamaa MFAUME ndo hamnaga kitu kabisaa Masifa kibaoo ngumi hajui Wakati anapambana na mkate wa KIZANZIBAR
@alfredsalim5279
@alfredsalim5279 Год назад
Mfaume sio bondia
@tonnyelias9454
@tonnyelias9454 Год назад
Kapigane ww bondia unadhani ngumi za vichochoroni ngumi za akili kama uelewi tembea na bwana
@ladislausmoris9638
@ladislausmoris9638 Год назад
Huyu ndo shujaaa wa ngumi
@saidiathuman-og6bc
@saidiathuman-og6bc Год назад
Amna kitu apo mfaume bwege uyo mpika maaandazi uyo kuku2
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 Год назад
Mfaume mfaume kashinda kijalali kabsaaa hata mm huku les vagas naangalia hil pambano Jamaa mmalawi mda mwing kufunga gadi tu hata askooo ongera sana mapat ya mbeaa
@coolruler6820
@coolruler6820 Год назад
😁Les Vagad
@abdulzinga5878
@abdulzinga5878 Год назад
Upo las vegas na hata kuandika vzuri hujui bro unazngua
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 Год назад
Abdul zınga What confuses you ? writting scriptures do not meant the reality ,
@abdulzinga5878
@abdulzinga5878 Год назад
@@twaibumikidadi7377 of course, what you're writing or saying have to represent how good are you in a certain language you're using at a time, especially he says he's watching at lagos means that he lives there, so how comes a person living i lagos speaks such an amateurs words of english while its a language peaple are using as a communication language in daily life activities at a place he lives.
@abdulzinga5878
@abdulzinga5878 Год назад
@@twaibumikidadi7377 men that's some bullshit.
@amosimvumaamov3840
@amosimvumaamov3840 Год назад
Mfalume amepigwa ngumi nyingi Sana
@user-np3xn4jo9l
@user-np3xn4jo9l Год назад
Mfaume bado cn afanye mazoezi
@gwantadibusta
@gwantadibusta Год назад
We hujui ngumi
@jkifutu7936
@jkifutu7936 Год назад
Kabebwa daah munapoteza ukweli wauni
@liboriusbabile1197
@liboriusbabile1197 Год назад
Hujielewi.
@coolruler6820
@coolruler6820 Год назад
Kiukweli Mfaume bado sana kwenye ngumi,,,tambo alizo nazo na ngumi anazocheza haviendani,,,,,Anatakiwa kujifua zaidi na kuachana na tambo za mitandaoni maana kwa staili hiyo kimataifa hatoboi
@ibrahimutuwaamiri9163
@ibrahimutuwaamiri9163 Год назад
Kwa mwakinyo hatoboi mfaume kumbe manenoo tuu ndo mengi ila shughul hamnaa anarukarukaa tuu😂😂😂
@jonlocha1957
@jonlocha1957 Год назад
Unaongea ww unaweza ngumi!?
@coolruler6820
@coolruler6820 Год назад
Si kuziweza tuu,,,,nazifahamu, na ujana wangu nilikuwa fundi kweli,,ila hata wewe si umeona mwenyewe,,kwenye ukweli tusifiche, pa kusifia tusifie na pa kukosoa tukosoe,,hiyo ipi na inasaidia kumboresha mtu
@coolruler6820
@coolruler6820 Год назад
Tatizo lake sifa zimemzidi na hataki kujiona kama bado ana mengi ya kujifunza ktk ngumi,,,,kwa Mwakinyo hatoboi kabisa, anarukaruka tu kama usemavyo
@amosimvumaamov3840
@amosimvumaamov3840 Год назад
Mfalume amepigwa ngumi nyingi Sana
Далее
Кого из блогеров узнали?
00:10
Просмотров 676 тыс.
Dogo pepe alivyo wavunja watu mbavu balaa..
1:59
Просмотров 17 тыс.