Тёмный

VITASA NIGHT | Ibrahim Mafia, Sabelo Ngebinyana watoka droo, Msauzi atema 'mchuzi' - 27/03/2024 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 11 тыс.
50% 1

Tazama mambo yalivyokuwa kwenye pambano kuu kwenye usiku wa VIP Boxing Night kati ya Mtanzania, Ibrahim Mafia dhidi ya Sabelo Ngebinyana.
Ni pambano la mkanda wa ubingwa wa Afrika wa WBC. Matokeo katika pambano hilo ni droo.
Bondia Sabelo Ngebinyana atema 'mchuzi'

Опубликовано:

 

13 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 25   
@HenryNgole
@HenryNgole 5 месяцев назад
Tz bondia ni mmoja tu wenggine hawa mhhh unyumbni tu unawabeba sana pamoja hawa watangaza
@hassanparamana2215
@hassanparamana2215 5 месяцев назад
Hongera Ibrah 👏👍🏆💚💛💪🇹🇿🇦🇪
@HenryNgole
@HenryNgole 5 месяцев назад
Iblahim mafia hi game alipigwa . Ila kubebwa san . hamna bondia apo mbwembwe nyingi
@homesaickofficial7407
@homesaickofficial7407 5 месяцев назад
Nyie azamtv mmekosa mabondia kila pambano mnalo lionesha mnawabeba awa wasenge sijui Ibrahim crass sijui Ibrahim mafia mala kidunda wote makuma awajui ngumii🖕🖕
@rewardyesse7314
@rewardyesse7314 5 месяцев назад
Hii mechi ibra kacheza vizuri sana
@pilatoonlinetv9660
@pilatoonlinetv9660 5 месяцев назад
Wabongo bhana huyo ka mbirikomo ulitegemea katashinada pambano. Mwache huyo msambaa akaendeshe guta kariakoo aachane na ngumi haziwezi.
@HenryNgole
@HenryNgole 5 месяцев назад
😂😂😂 mwakinyo ndo namba 1 tanzania wengi vikojozi tu😅😅
@chacha-255
@chacha-255 5 месяцев назад
nipe nikupe 🥊🤜🤛👊
@HenryNgole
@HenryNgole 5 месяцев назад
Azama nao bhn mnaleta mabondia wa kijicho ili mjisifu kuwa ngumi zinakua tz 😅😅😅
@jumaseif2140
@jumaseif2140 5 месяцев назад
Kapigwa kama ngoma 😂
@hassannassoro5542
@hassannassoro5542 5 месяцев назад
😂 jamaa katapika 😂😂😂 nimecheka sijawai kuona Boxer katapika Uji😂😂
@MrishoMakamba
@MrishoMakamba 5 месяцев назад
Huyu anafaa apewe bwa mdogo saidi bwanga yulee
@malkavoice2570
@malkavoice2570 5 месяцев назад
Ibra kashinda vizuri tu hawa majaji wanazingua,we mtu kutapika ulingoni mchezo!
@kervinijosephu3164
@kervinijosephu3164 5 месяцев назад
Ibra kachapika vizuri kabisa eti droo , droo gani hiyo mtu kapigwa kabisa .
@AllyMwinjanga
@AllyMwinjanga 5 месяцев назад
Aaaaah tukiacha ushabiki na unafiki hii match Ibra amepigwa kinomanoma itoshe tu kusema mcheza kwao ndo katunzwa Tena Tena si kwa ushindi ni droo kuficha aibu
@giftprosper2355
@giftprosper2355 5 месяцев назад
Huyo msouth angepewa juma choki
@MorganMwaimu-vw3dn
@MorganMwaimu-vw3dn 5 месяцев назад
Uyo ibra mnampa wema sepetu alafu unategemea achukue mkanda ili pambano kapigwa na izo nilaana za hassan mwakinyo mafia boxing nzima imependa ngumi kupitia mwakinyo mumpe heshima yake msishindane nae
@jumaseif2140
@jumaseif2140 5 месяцев назад
Yani acha tu mungu anawaumbua na bdo watapigwa mpaka waseme
@jumaseif2140
@jumaseif2140 5 месяцев назад
😅😅
@hardcoreboxing5829
@hardcoreboxing5829 5 месяцев назад
That was not a draw
@shaabansulaymaan4478
@shaabansulaymaan4478 5 месяцев назад
Watangazaji watangaze ngumi sio bla bla nyiiiiingi
@kervinijosephu3164
@kervinijosephu3164 5 месяцев назад
Ibra kachapika vizuri kabisa eti droo , droo gani hiyo mtu kapigwa kabisa .
@kervinijosephu3164
@kervinijosephu3164 5 месяцев назад
Ibra kachapika vizuri kabisa eti droo , droo gani hiyo mtu kapigwa kabisa .
@kervinijosephu3164
@kervinijosephu3164 5 месяцев назад
Ibra kachapika vizuri kabisa eti droo , droo gani hiyo mtu kapigwa kabisa .
@kervinijosephu3164
@kervinijosephu3164 5 месяцев назад
Ibra kachapika vizuri kabisa eti droo , droo gani hiyo mtu kapigwa kabisa .
Далее
Аушев, Путин, «пощечина»
00:56
Просмотров 803 тыс.
Новый уровень твоей сосиски
00:33
#51 - AS SALAM ALAYKUM # MAU MPEMBA - # FUMBUA MACHO
13:50
MFAHAMU BILIONEA WA ZAO LA KAHAWA KUTOKA MKOANI SONGWE
13:57