USIKU WA VITASA | Na hivi ndivyo Richard Mtangi ‘alivyomstaafisha’ ngumi Julius Indongo kwa TKO. Ilikuwa ni raundi ya sita, Julius Indonga kutoka Namibia alipolamba sakafu na pambano kumalizika namna hii…
Hili lilikuwa ni pambano la tano katika mapambano ya utangulizi kuelekea pambano kuu kati ya Ibrah Class vs Israel Kammwamba, na hapa ni Mkwakwani Stadium, Tanga.
#KaaKwaKutulia #NyumbaniNiNyumbani #VitasaTanga
13 сен 2024