Тёмный

MABINGWA WA ULINGO | HASSAN MWAKINYO VS JULIUS INDONGO - 03/08/2021 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 1 млн
50% 1

HASSAN MWAKINYO Vs JULIUS INDONGO: Mwakinyo alivyotetea ubingwa wake wa Afrika (ABU) uzito wa Super Welter kwa kumchapa Mnamibia, Julius Indongo kwa KO.
#MwakinyoVsIndongo #TonyRashidVsBonganiMahlangu #MwakinyoIndongo #TonyMahlangu #VitasaNight #Vitasa #Septemba03 #MabingwaWaUlingo
@hassan_mwakinyo_jr
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

Спорт

Опубликовано:

 

2 сен 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 592   
@thobiasluanda224
@thobiasluanda224 2 года назад
Haya in maoni yangu lakini yanatokana na uhalisia unaojidhihirisha. Ni kwamba, Hassan Mwakinyo ni bondia bora sana kuwahi kutokea Tanzania. Ukijaribu kuangalia, utagundua kuwa Mwakinyo ni talented fighter. Mwakinyo kwa mfano, anaweza kusimama stances zote na akafight barabara. Tunaona katika pambano lake na Sam Egginton, alisimama Orthodox na alifight effectively and successfully. Lakini Jana tunaona Mwakinyo huyohuyo ambaye huenda Julius Indongo aliamini kuwa anaenda kupigana na bondia ambaye anacheza Orthodox yaani akitanguluza mguu wa kushoto, lakini cha ajabu amecheza southpaw yaani akitanguliza mguu wa kulia na kuuacha mkono wa kushoto ukitupa ngumi nzito na tunaona anapata matokeo chanya. Mija kati ya mabondia wenye uwezo huo wa kucheza stances zote ni Terence Bud Crawford ambaye ameshacheza mapambano almost 37 bila kupoteza hata moja. Kwa hiyo Mimi binafsi na wala simlazimishi MTU kufanya hivyo, ninajivunia kijana huyu ambaye kwa sasa kwa kweli anailetea heshima nchi yake. HERI TUMBO LILILOMZAA HASSAN MWAKINYO
@Ram_1893
@Ram_1893 2 года назад
Wewe inatakiwa usitozwe kodi yoyote kwenye miamala yako yote hadi utakapofanyika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025
@rahimudossa2681
@rahimudossa2681 2 года назад
Mwakinyo noma nibondia nzuli sana tanzania
@izboynyigu265
@izboynyigu265 2 года назад
Dah wee jamaaa mbona unaakil hvo
@zuberiramadhani9791
@zuberiramadhani9791 2 года назад
A c kwer manyng ynauck
@mpepo3d815
@mpepo3d815 2 года назад
🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯
@fatimahants1526
@fatimahants1526 2 года назад
Big up hassan mwakinyo....Tanzania one.. 🇹🇿
@bakarimgeni5424
@bakarimgeni5424 2 года назад
Alhamdulillaah ....hongera sana kak hongera home boy ....Allah akufikishe mbali zaidi wewe ni bingwa wa dunia ....Tucheze kibingwa sio kishabiki .....
@shebidizzo1365
@shebidizzo1365 2 года назад
Fact
@humphreymasoud1725
@humphreymasoud1725 2 года назад
binafsi nimeona game ya mwakinyo imechange sana.. amezidi kuwa bora zaidi kwenye defence na pia amekuwa mtu wa kuhimili masumbwi na amekuwa haogopi ngumi.. ni anaisogelea ngumi na anapishana nayo kwa karibu kabisa.. big up bro... safari yako bado ndefu na bado unanafasi ya kuishangaza dunia.
@magesachalessmagesa4095
@magesachalessmagesa4095 2 года назад
Msege mwakinyo anabebwa 2
@magesachalessmagesa4095
@magesachalessmagesa4095 2 года назад
Mmm
@colettenyandwi9972
@colettenyandwi9972 2 года назад
¹
@salmaseif6284
@salmaseif6284 2 года назад
@@magesachalessmagesa4095 ukiona hivyo ujue kajikaza coz abebwae hujikaza
@adelinasanga6710
@adelinasanga6710 2 года назад
Hongera Sana mwakinyo!!💪💪💪💪
@eliudijastini645
@eliudijastini645 2 года назад
Tutajuana tuuu hapa 👊👊👊👊🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏🤝🤝
@sadikileonard6251
@sadikileonard6251 2 года назад
Hongera xna mwakinyo unazidi kunikosha 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@ibrahimmbango9117
@ibrahimmbango9117 2 года назад
hongera hassan mwakinyo wewe ndio bondia unaejua nn unafanya pambana saana kaka
@afrikadevelopa8652
@afrikadevelopa8652 2 года назад
Nyie ma commentators wa azam mnafanya vizuri kweli, lakini udhaifu wenu ni kwamba mko mnasifia side moja zaidi kuliko nyingine, na side yenyewe ni ya mchezaji ambaye ni Mtanzania. Hiyo siyo sifa ya commentator yeyote. Swala la kupendelea upande moja tuachieni sisi watazamaji na mashabiki. Mimi ni fan wa Mwakinyo, na tena Mtanzania. Hongera kwa kazi nzuri Azam. Epukeni ubaguzi!
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg Месяц назад
😂😂😂😂😂😂😂
@edwardouma1630
@edwardouma1630 2 года назад
All the best fighter Hasan mwakinyo for your good victory by Fosill from Nairobi Kenya 🙏
@Ram_1893
@Ram_1893 2 года назад
Pongezi kubwa kwake CHAMPEZ Zidisha jitihada upate mafanikio mengi zaidi 👊🇹🇿
@linusingoli451
@linusingoli451 2 года назад
Ongeraaa sanaa mwaikinyooo
@veelmng7746
@veelmng7746 2 года назад
Hongera Mwakinyo kwa kutuwakilisha vizuri watanzania. Tunakutakia heri na baraka kwenye mapambano yanayofuata
@jomwenomkal
@jomwenomkal 2 года назад
Gooood mwamba
@shabanhafidhu1951
@shabanhafidhu1951 2 года назад
Mwakinyoooooooo..!! 255 champioooon. Am proud of you Bro
@mpangwehassan6264
@mpangwehassan6264 2 года назад
Azam tv huu ni mwez wa 9 sio wa nane....hongera champion biy Tz one Mwakinyo
@consolatamedard6593
@consolatamedard6593 2 года назад
Umetisha Baba kazi nzur Mm napenda tu body Yako hujaichafua na Matatuu safi Sana kiujumla upo vizuri kaka salute kwako
@saidhappy9771
@saidhappy9771 2 года назад
hassan mwakinyo..lots of love from kenyaaa😍😍😍
@abuuharuna2214
@abuuharuna2214 2 года назад
Pambano Kali sana aisee nimependa izo panchi
@alayoboyboy6846
@alayoboyboy6846 2 года назад
Nakukubali sana jesh langu mwakinyo endelea kuiwakilisha tanzania
@godfreylushiku3081
@godfreylushiku3081 2 года назад
Hongera Mwakinyo kwa ushindi...japo uamuz wa refa kusimamisha pambano ulikuwa na walakin kidogo....
@Pulse_tips
@Pulse_tips 2 года назад
Angeuliwa
@salimsaid7200
@salimsaid7200 2 года назад
JAMAA HOI KASARENDA AU HUMWONI???
@BigZhumbe
@BigZhumbe 2 года назад
Tanzania number ONE Africa number ONE World number 24 si mchezo
@hasanimacheda172
@hasanimacheda172 2 года назад
Hassan mwakinyo mnyama🔥🔥🔥
@hassanabdulrahman7332
@hassanabdulrahman7332 2 года назад
Congratulations champion u deserve it 💪👊 your fan from Mombasa kenyaa
@ayubutwalibu2381
@ayubutwalibu2381 2 года назад
Upo vizuli Sana mwaknyo
@regzzuse280
@regzzuse280 Год назад
Hassan should ve got a big fight immediately after he took out Eggington as an (considered) absolute underdog in 2018. Hope he will come ready vs. Smith. Hes definietly an entertaining boxer to watch.
@mswagarajr3954
@mswagarajr3954 2 года назад
Thankyuo for the bro hassani wakinyo
@miriamkarata7495
@miriamkarata7495 2 года назад
Hongera sana home boy Tanga Tanzania 👏👏👏🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥
@yohanakiyumbi4795
@yohanakiyumbi4795 2 года назад
Hongera sn Hassan Mwakinyo kwa kutuwakilisha Vyema nchi yetu TANZANIA 🇹🇿 🔥 🔥🔥🔥👏👏👏👏👏👏👏👏
@yusufulimo5737
@yusufulimo5737 2 года назад
Mwakinyo twakusalim kwa jina la jamhuri ya muungano wa 🇹🇿Tanzania SEMA ushindibuendelee💪💪😂😂😂😂
@fadhiramapunda1263
@fadhiramapunda1263 2 года назад
Tanzania freedom among us
@piusicazogi3071
@piusicazogi3071 2 года назад
Tanga mikono juu 💪💪💪💪💪💪
@abdibilali4186
@abdibilali4186 2 года назад
Oyoooooooo
@experiuskamugisha6863
@experiuskamugisha6863 2 года назад
Mwakinyo yuko fit kinoma Tanga oyeeee Tanzania oyeee Mwakinyo oyeeeeeeeeeeeeee
@costakamwaya5638
@costakamwaya5638 2 года назад
Thankx mwakinyo..love uuuuù
@mauldhamza9631
@mauldhamza9631 2 года назад
Pamoja sana hassan
@ajmilee4204
@ajmilee4204 2 года назад
Watakubali tu
@edwardmbwana8107
@edwardmbwana8107 2 года назад
Hongera sana Mwakinyo unatuwakilisha vema kwenye ngumi jiwe asante sana. Tanga unaweka ALAMA safi sana.
@enedictmchau1053
@enedictmchau1053 2 года назад
Mwakinyo I wish all the best brother Tz one.
@hifikepunyemichael2891
@hifikepunyemichael2891 2 года назад
Good fight Mwakinyo
@masterkeymuzik
@masterkeymuzik 2 года назад
Mwakinyo hutumia orthodox ila kwa hili imembidi kuhamia southpaw ili kumpiga mpinzani kwa stance yake. Hongera
@robsondalink6206
@robsondalink6206 2 года назад
Orthodox ndo nn na hyo southpaw pia maan umenichanganya🤣🤣🤣
@masterkeymuzik
@masterkeymuzik 2 года назад
@@robsondalink6206 ni stance kumaanisha jinsi unavyosimama unapotarget kurusha makonde. Orthodox unaeka mguu wa kushoto mbele na southpaw unaeka kwa kulia mbele
@saheelameir4313
@saheelameir4313 2 года назад
Maana yake ni kuchimba dawa
@masterkeymuzik
@masterkeymuzik 2 года назад
@@saheelameir4313 🤣🤣🤣
@yahayamaulana8951
@yahayamaulana8951 2 года назад
Babutale anatakiwa amuomberadh champion mwakinyo
@barakakidugutu944
@barakakidugutu944 2 года назад
Ila kisema kweli mwakinyo asisubuthu kupigina na Twaaa Kiduku yaniataumbuka vibaya mno,,
@barakakidugutu944
@barakakidugutu944 2 года назад
@@nationalbeautiful pole ndugu kamaumeumia ilaukweli ndohuo
@SingoMedia
@SingoMedia 2 года назад
@@barakakidugutu944 Ukweli watu wanaujua kama jamaa bado hana kiwango bora cha kupigana na Twaha Kiduku lakini siku zote mapenzi na ushabiki humfanya mtu asione kasoro ya Mwakinyo. Lakini kwahakika bado ana kazi kubwa ya kufanya ili awe Bora zaidi ya hapo Inshaallah.
@dinnahsamwel9607
@dinnahsamwel9607 2 года назад
Mwakinyo 💋💝💞💃🏿💗🙏
@edwardmbwana8107
@edwardmbwana8107 2 года назад
Hongera sana kwa ushindi ulio upata
@selemansaid7843
@selemansaid7843 2 года назад
Tanga moja
@yohanmsigwa
@yohanmsigwa Год назад
Thanks
@karimuelisante9548
@karimuelisante9548 2 года назад
Vizuri sana kaka
@emmanuelvenance6311
@emmanuelvenance6311 2 года назад
Like if mwakinyo is a real beast (Mnyama mkali)
@errydeo8865
@errydeo8865 2 года назад
he is rubbish tbh
@hafeniyamateu6669
@hafeniyamateu6669 2 года назад
To Indongo, champ you have done great. Time you step down
@selemanikirupy5288
@selemanikirupy5288 2 года назад
Team mwakinyo
@jumamgore6083
@jumamgore6083 2 года назад
Safi sana
@chiccowise13
@chiccowise13 2 года назад
I’m s time for INDONGO to step down
@salumusalehe3138
@salumusalehe3138 2 года назад
👏ongera mwakinyo
@enedictmchau1053
@enedictmchau1053 2 года назад
Keep it up broth Tz one.
@lukiomrutu2573
@lukiomrutu2573 2 года назад
Mwakinyo anajua
@sophiamohamed8993
@sophiamohamed8993 2 года назад
Tanga hoyeeeeeeeeeee
@iddydaruwesh8650
@iddydaruwesh8650 2 года назад
Saaafi sana mwakinyo
@jumaharuna9899
@jumaharuna9899 2 года назад
Hongera. Umepasua kihalali
@alexsalum7824
@alexsalum7824 2 года назад
Inamaana hv vinavyofanyika Twaha Kiduku haoni au!!!
@adamlipau8858
@adamlipau8858 2 года назад
kwa ngumi hizi hakuna wa kupigana na Twaha kiduku hapo, hao hawamalizi round mbili
@mweusiasili8345
@mweusiasili8345 2 года назад
Mbeba matofal
@oscarmosha383
@oscarmosha383 2 года назад
wabongo maneno mengi na unazi unatusumbua unapo mzungumzia mwakinyo ni bondia wakimataifa sio wakupigana na kiduku
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 2 года назад
Adam unaonekana humtakii mema Kiduku wewe!Unataka akutane na Mwakinyo bondia namba moja TZ na Afrika tena mwenye ngumi za moto!!!!
@daudmseti3207
@daudmseti3207 2 года назад
@@wazirisaid8326ngumi gani za moto sasa apo?
@selestiandamas7762
@selestiandamas7762 2 года назад
Mwenye wivu asage chupa anywe. Mwakinyo anajua Sana. Bravoooooooo Mwakinyo
@errydeo8865
@errydeo8865 2 года назад
tunaojua masumbwi,mwakinyo ni wa ngumi za kibongo tu,haend popote..ukimpeleka olympics tu ,atapigwa ka mtoto
@selestiandamas7762
@selestiandamas7762 2 года назад
@@errydeo8865 Ana muda wa kujiandaa. Anapaswa kupata kocha wa kimataifa. Ila kwa sasa yupo vizuri
@baseonline4178
@baseonline4178 2 года назад
Watangazaji hamna kitu Azam TV wekeni watangazaji wanaojua ngumi
@alfredjohn5693
@alfredjohn5693 2 года назад
Mwakinyo siku zote ni best Fighter
@errydeo8865
@errydeo8865 2 года назад
best figther wapi?he is rubbish..good fighters fight globally with elite fighters he not an inch to elite fighters usijidandanye, bongo sawa! Naishi nje bro i go to proper boxin matches .,Mwakinyo hata kweny camp ya ku spar, hamchukui mtu..kwa standard zenu bongo,ye he looks good,TZ tuko nyuuuuuma sana kimichezo[angalia tokyo tumefanyaje]mwakinyo atapigwa vibaya mno na amatures in olympics, hawezi leta gold home,ndo ujue hana lolote,kaja hapa Uingreza kampiga jamaa mmoja ,hovyooo, hata hajulikan hapa,mkaandikaaaaa.lol ila hongera kwake kwa ushindi
@aloycemathew9590
@aloycemathew9590 2 года назад
Watangazaji wa ndondi bado mko local sana, mnatuangusha.
@proactive1377
@proactive1377 2 года назад
Yaani hii kitu imeboa mpk unajikuta unamute koz wanaongea vitu local sana
@rajabumkwatile4584
@rajabumkwatile4584 2 года назад
Unaweza hasani mwakinyo
@user-ix2iy1bo5f
@user-ix2iy1bo5f 3 месяца назад
Big up mwakinyo
@user-xv7zm2be5i
@user-xv7zm2be5i 9 месяцев назад
Ngumi pesa,ngumi taifa hongera nakuelewa sana sana
@amaluchitangali6269
@amaluchitangali6269 2 года назад
MWAKINYO HASSANI KWA KI2 ANACHOTUONUESHA WA TANZANIA N WAZ KWAMB YEY N NEXT LEVEL.
@geraldsanzala8119
@geraldsanzala8119 2 года назад
Big up mwakinyo bendera ipepee
@aliabdallasaid3174
@aliabdallasaid3174 2 года назад
Hongera sana Hassan mwakinyo u is my best choice in Tanzania and Africa and the world too and no one in Tanzania except mwakinyo (kiduku and Dula ) are waste time only
@FRANKTV04
@FRANKTV04 2 года назад
Kaliii sana
@kinashaulomi7666
@kinashaulomi7666 2 года назад
Big up mwakinyo uko vizuri munyezi mungu akusaidie ufike mbali InshaAallah ukiona mtu anakuchukia juwa kuna vitu umewazidi cha kukushauri muombe mungu alafu pambana siku zote utawaburuza
@allyflavour8005
@allyflavour8005 2 года назад
safisana mwakinyo.... hongera
@richardmbasha1411
@richardmbasha1411 2 года назад
Kwa style hii ya mwakinyo Twa Kiduku anaweza Mpiga mwakinyo... mchezo wake hauna mvuto.. sijui ni kocha wake au ni style yake..
@magorymara5515
@magorymara5515 2 года назад
Unazani ngumi ni kula ugali muulize Twaha ile ngumi ya Dullah aliona nini pale chini mpaka akaanza kuisimulia kwa watu
@godfreynjovu7012
@godfreynjovu7012 2 года назад
Wivu mbaya mwenzako anapigana inaanza kuimbwa wimbo wa Taifaaaa utakufa kwa wivu
@animalchannel4391
@animalchannel4391 2 года назад
hhji
@yusuphkwaya7843
@yusuphkwaya7843 2 года назад
Viwatu vina Wivu sana
@saidothman2521
@saidothman2521 2 года назад
Mchezo wa ngumi hauanzi mikononi tafuta mwalim kwanza kaangalie pambo la Mike Tyson na Lewis ujifunze kitu pale
@Pulse_tips
@Pulse_tips 2 года назад
Best champez
@mohamedkigwehe4025
@mohamedkigwehe4025 2 года назад
Huyu mwamba yupo vizuri aisee
@erastoerasto4561
@erastoerasto4561 2 года назад
Kwaraa anaokutanao ataonekana mzurii tu
@chronicmlugurujr9284
@chronicmlugurujr9284 2 года назад
Mwakinyo bado ssna ufundi wa kurusha ngumi na kucheza kweny ulingo alifanyie kazi hilo...ila anatuwakilisha vizuri mungu ambariki sana
@mebtv67
@mebtv67 2 года назад
Hasssan from Kenya ahadi imetimia
@yusuphswai5089
@yusuphswai5089 2 года назад
Mwakinyo sio mtu mzuri ata kidogo
@johnmaina6081
@johnmaina6081 2 года назад
Hawa marefaree wanazingua. Hyo mzee hayuko kbsa on the game from the beginning
@fidahusseinkassim9778
@fidahusseinkassim9778 2 года назад
Masha'Allah,tafuta tu spidi ya mikono,🇹🇿
@truelovepawanza2046
@truelovepawanza2046 2 года назад
Kweli nakubaliana Na wewe kaka..Mikono inaitaji speed yaani ziwe zitatoka ngumi Muda wote kumfukuza adui
@alidau2193
@alidau2193 2 года назад
Ongera mwakinyo
@alidau2193
@alidau2193 2 года назад
Upo vizuri mwakinyo tafuta masilahi kwanza
@fidahusseinkassim9778
@fidahusseinkassim9778 2 года назад
@@truelovepawanza2046 namna hiyo
@ibrahimmlanzi5119
@ibrahimmlanzi5119 2 года назад
Mungu akulinde dogo mm ukiwa ulingoni najikuta napigana na hewa vyenye unafanya vitu hatari na muda wote nakuombea ko ndio dua zangu mm ntakuita hassan chuma cha pua king of the champions ALLAH AKUPE USHINDI DAIMA
@mkendag
@mkendag 2 года назад
Hongera Mwakinyo, ila bado foot work na hands speed ni ndogo sana
@uwezowamunguutendaokazi3043
@uwezowamunguutendaokazi3043 2 года назад
Nilipenda sana mchezo wa ngumi na mbio za magari lakini sikufanikiwa hata moja na umri umesonga . MUNGU MKUU mwema kanipa kibali cha kumtumikia. MUNGU MKUU atusaidie sote. Amen.
@mumanyimulyowa8361
@mumanyimulyowa8361 2 года назад
Mwakinyo GO GO GO ON!
@muhambwetvonline
@muhambwetvonline 2 года назад
Watangazaji mna feli eti indongo maji ya shingo hupaswi kusifia mtu maana hata wanaoshabikia huyo indongo wamelipia king'amuzi
@subirariziki6020
@subirariziki6020 2 года назад
Hongera Mdigo mwenzang tanga oyeee
@IsaacParuz
@IsaacParuz 2 года назад
Kuna kitu hakiko sawa kwa marefa. Kuna uswahili fulani umetumika. Ingawa mwakinyo kaonesha ubora wake
@larickmtui2852
@larickmtui2852 2 года назад
Uko sawa
@salimsaid7200
@salimsaid7200 2 года назад
@@larickmtui2852 MNAJUWA SANDUKU LA MAITI KUSAFIRISHA NGAPI????
@silvamsophe4392
@silvamsophe4392 2 года назад
Mwakinyo nakukubali bro wewe number one tz
@ramadhanmohammed5444
@ramadhanmohammed5444 2 года назад
Wanamletea walevi amna bondia apo SHOW SHOW NO 1 IN TZ
@bahatistimastima8734
@bahatistimastima8734 2 года назад
Safi sana mwakinyo unaninpa raaaaha
@wazirmlogi7532
@wazirmlogi7532 2 года назад
Kwenye tv hii ndiyo nimeliona pambono vzur,camera ni nzur na mchukuaji video alikuwa poa sana ngumi zimeonekana saaaafi kbs
@gibsonyshadrack4543
@gibsonyshadrack4543 2 года назад
Kwa ngumi za mwakinyo zinahitaji ugar wa mtama
@mtanzaniahalisimungunimwem673
@mtanzaniahalisimungunimwem673 2 года назад
Hongera Mwakinyo
@jamalyl
@jamalyl 2 года назад
African champion
@rolandmwasomola4516
@rolandmwasomola4516 2 года назад
Sema baado mwakinyo hayupo flexible, japo kweli mwamba anagadi kibanda ila hayupo flexible Kama ibra classic
@wisdomfitnessorganization8988
@wisdomfitnessorganization8988 2 года назад
Azam Tv et 03/8/2021 kwel media zetu hzi umakini hamna
@bahatdaud2469
@bahatdaud2469 2 года назад
Chapaaaaaa🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@barakabrayson839
@barakabrayson839 2 года назад
Good mwamba
@gervasmwagen8135
@gervasmwagen8135 Год назад
Wimbo wa taifa Safi kbsaaa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@ngarabajuma9388
@ngarabajuma9388 2 года назад
Hatariiii sanaaa
@machinefannatic99
@machinefannatic99 2 года назад
Na hao watangazaji ni kama vile wameokotwa mtaani tu baadala ya kutangaza kwa haki sawa wao wanamsifia mwakinyo tu. yani sio professional kabisa
@mwanakomboiddi5317
@mwanakomboiddi5317 2 года назад
Hongera kaka yangu umetupa heshima tanga na taifa zima
Далее
Мама хитрая😂​⁠​⁠@ladymilanapap4610
00:16
Rope climb tutorial !! 😱😱
00:22
Просмотров 4,4 млн
Salama Na MWAKINYO Ep 44 | VITASA OVERLOAD Part 2
29:53
Amiri Rashidi Matumla. Akiwa kwenye sparring 🥊
4:51
4인 삐끼삐끼 정면은 처음이지?
0:14
Просмотров 1,1 млн
БУТСЫ ЗА 600 РУБЛЕЙ!
0:40
Просмотров 309 тыс.