Тёмный
No video :(

VITU 3 VITAKAVYOKUACHA MDOMO WAZI KIGALI RWANDA KAMA UMEZOEA KUISHI DAR ES SALAAM, ITAZAME VIZURI 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 146 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

6 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 346   
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 11 месяцев назад
Rwanda is a developed country in Africa Congrats to Kagame 🎉
@section8ight174
@section8ight174 11 месяцев назад
*developing
@youngstone60
@youngstone60 11 месяцев назад
Hakuna wezi waKingufu❤
@lastkingrwanda8066
@lastkingrwanda8066 10 месяцев назад
@@youngstone60 so peaceful country
@stonetown578
@stonetown578 11 месяцев назад
Kiongozi wake anajielewa na anajua anachokifanya, usafi ndo usiseme 😍 big up Mr Kagame.
@muzneali4747
@muzneali4747 11 месяцев назад
@stonetown578 UKISEMA NENO HEBU FIKIRIA SIO UNASEMA TU UNASIFIA KIONGOZI WAKATI SIE TUKIAMBIWA NA VIONGOZI JAMANI TUSITUPE TAKATAKA BARABARANI,TUSIFANYE BIASHARA BARABARANI MNAIBUKA KUMSEMA HUYO KIONGOZI OOH UNATUKATAZA TUSIFANYE BIASHARA MNAJUA TUNASOMESHA WATOTO TUNALIPA MIKOPO MNAMTAKA TUONDOKE TWENDE WAPI NA HII NDIO NCHI YETU HEBU TEMBELEA KARIAKOO NANI HASA WANAOCHAFUA MJI ?? SASA HAPO KIONGOZI HAJITAMBUI?? BODABODA WANAVUNJA SHERIA WAKIKAMATWA HAKI ZA BINAADAMU HAO MNAWAONEA WAACHENI HAYO YOTE HUYAONI NA MENGI MENGINEYO WEWE KAMA UNAMCHUKIA KIONGOZI WEWE SEMA TU LAKINI SIO KUMSINGIZIA
@nemestesha7784
@nemestesha7784 11 месяцев назад
RWANDA KUNA VIONGOZI WA KWELI....MAMBO YANAJIELEZA YENYEWE, BIG UP FROM tz
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 11 месяцев назад
Sisi tuko busy na katiba mpya na uchaguzi , kule Ni mkono wa chuma
@TamuzaKale
@TamuzaKale 11 месяцев назад
@@ndukulusudikucho_ Kila mtu ni msemaji wa serikali. Kule msemaji ni mmoja tu. Rais. Waliobakia wote hawana sauti. Ishini maisha yenu.
@musasabuu2808
@musasabuu2808 10 месяцев назад
​@@TamuzaKalenakubali
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du 11 месяцев назад
The jewel of East Africa. Kwa usafi, nidhamu na mipangilio bora ya matumizi ya ardhi. Rwanda iwe kigezo kwetu na wengine. Africa tunaweza, iwe mwisho kulinganisha miji yetu na miji ya ulaya/USA. Wao waje kujifunza kwetu. Nashauri makao makuu ya EA yahamie Kigali.
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 11 месяцев назад
Bro hujuiii tuu uko no amaniii
@BarakababaRama
@BarakababaRama 11 месяцев назад
Ni ushauri mzuri sana
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du 11 месяцев назад
@@liberatusjackson5045 Sijakufahamu, unakusudia Rwanda hakuna amani?
@niniarutek7257
@niniarutek7257 11 месяцев назад
​@@Ali-nl2duAmani tunayo brother
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du 11 месяцев назад
@@niniarutek7257 Asante, amani idumu kwa uwezo wa Mungu.
@fumbukashangwe3173
@fumbukashangwe3173 11 месяцев назад
Congratulations to Rwandese people for your patriotism!
@appolonation
@appolonation 11 месяцев назад
Hapa ndio kwetu Rwanda 🇷🇼♥️ karibuni Watanzania .
@mohdloushmoney9994
@mohdloushmoney9994 11 месяцев назад
Naomba namba zako nije nitembee Rwanda
@musasabuu2808
@musasabuu2808 10 месяцев назад
Ntakja ku visit Rwanda nasikia pako vzr
@reginaldmushi9784
@reginaldmushi9784 10 месяцев назад
Namimi nataman sana kuja kuposa Rwanda ,❤ Wadada wa huko warembo kama nini ❤❤❤I appreciate those lady
@ButoyiThierryve
@ButoyiThierryve 6 месяцев назад
Pazuli
@gilbertzachariah4970
@gilbertzachariah4970 11 месяцев назад
Usafi ni tabia, inaanzia kwa viongozi inaambukizwa kama ugonjwa na kushuka hadi kwa wananchi wake. Hongera Kagame, una vichache Lakini unajua kuvitumia ipasavyo. Kigali is Super clean.
@MaaneML
@MaaneML 11 месяцев назад
Hata makazi yameboreshwa Sana Kigali. Kujenga kwa mpangilio wa nyumba mpaka rangi. Huyo ndiyo kidume Paul Kagame. Ninampenda Sana Kagame.
@ntarejohn1843
@ntarejohn1843 11 месяцев назад
HE Paul Kagame is behind all this proud to be 🇷🇼❤️
@machumujuma6399
@machumujuma6399 11 месяцев назад
Kumbe uzuri wa mji sio kuwa na majengo marefu tu, mpangilio wa mji wa kigari na mandhari ya miti inaifanya kuwa sehemu nzuri sana huchoki kuitazama. Safi sana nchi ndogo ila imepangwa vizuri natamani Mwanza iwe hivyo one day maana nature yake kama kigali
@ntarejohn1843
@ntarejohn1843 11 месяцев назад
Thank you Ayo tv for visiting my lovely country
@islamrashid5451
@islamrashid5451 11 месяцев назад
Maa Shaa Allaah kusafi sana hongera zao....hakuna hata vibanda banda njiani wala miamvuli ya kuchoka
@dancerboy2686
@dancerboy2686 11 месяцев назад
viongozi wazur watajenga nchi yao vzr na kua na uchungu hongela kagame nchi ndogo lakn inapendeza
@kesterkanyala7718
@kesterkanyala7718 11 месяцев назад
HAPA KWETU,WENGI NI MATUMBO YAO KWANZA,NCHI HAPANA
@shubebunyesi542
@shubebunyesi542 11 месяцев назад
Sasa ndugu embu usilinganishe tz na vitu vya kijinga nchi mikoa miwili we unashindwaje kupiga lami mapaka choooni hv uchukuwe mikoa mitatu mikubwa tz tufanye ndio sawa na rwanda alafu uchukuwe maendeleo ya mikoa yote uhamishe kwenye kwenye mikoa mitatu c lami mpaka bafuni mzee au we unaonaje tz kubwa
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 11 месяцев назад
Kwan sisi ukubwa wa mikoa yetu si karibia kila mkoa unageweza kujitegemea kilimanjaro kuna mlima mwanza ina ziwa dar kuna frusa kibao kila mkoa wetu una neema yake; au bachii😏😏😏
@razackndeze-pv5bm
@razackndeze-pv5bm 11 месяцев назад
​@@shubebunyesi542Kwani unapingana na maendeleo ya nchi ya Singapole?!? Kwa sababu ukubwa wa Singapole ni nudu ya mkoa wa Morogoro, lakini nchi imepiga hatua sana.
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 11 месяцев назад
@@shubebunyesi542 Ndiyo maana tunahitaji serikali za majimbo, kila Jimbo lipiganie maendeleo yake kulingana na mapato na matumizi ya raslimali zao. Kila Jimbo litapambana kushindana na Jimbo jingine.
@sambiaj
@sambiaj 11 месяцев назад
nimependa sana njia za watembea kwa miguu,hakuna bodaboda au bajaj inatembea njia za waenda kwa miguu
@louisrudasingwa3367
@louisrudasingwa3367 11 месяцев назад
Thank you so much for sharing this video, onwards and upwards rwanda 🇷🇼 and Africa.
@alexaudax-rm8sz
@alexaudax-rm8sz 11 месяцев назад
Dah mji mzuri msafi ❤Tanzania 🇹🇿 tushaachwa mbali sana hongera sana kagame wew ndo president of Rwanda 🇷🇼 wa kweli na kiongozi wa kweli
@revocatuspaulo6716
@revocatuspaulo6716 11 месяцев назад
Umeachwa ww unalinganisha Tanzania na uafala
@ramermohamedy4344
@ramermohamedy4344 11 месяцев назад
Nchi inazid ukubwa na mkoa wa kigoma ndio ufananishe na tz
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 11 месяцев назад
Amakuru from Tanzania 🇹🇿
@BinSaad12
@BinSaad12 11 месяцев назад
Nimeza ❤
@niniarutek7257
@niniarutek7257 11 месяцев назад
Nimeza❤
@sadikigatera4808
@sadikigatera4808 11 месяцев назад
Nimeza cyane from Kigali🇷🇼
@dieudonnemushimiyimana9206
@dieudonnemushimiyimana9206 10 месяцев назад
Ni meza! Mambo vipi?
@nikkimbishiunju2402
@nikkimbishiunju2402 9 месяцев назад
Hata Dar zipo sehemu safi,peleka uswahilini tuone kama kusafi pia...
@josephstephen1079
@josephstephen1079 11 месяцев назад
Wanaosema Rwanda safi kisa ni ndogo niwaulize tu Burundi ni kubwa? je, unaweza kufananisha Burundi na Rwanda?
@athumanfuko199
@athumanfuko199 11 месяцев назад
pisi kali sizioni huyu AYO vip
@lazzR1935
@lazzR1935 11 месяцев назад
​@@athumanfuko199ni Burundi 🎉
@lazzR1935
@lazzR1935 11 месяцев назад
Usiwe na mapepe huyo ni mkopo wachina hata sisi warundi tukikopa tutajenga ila sisi tungali tunajipenga ili tujitengenezee bila madeni
@sadikigatera4808
@sadikigatera4808 11 месяцев назад
​@@lazzR1935Hhhhh nakucheka sana nani kakwambia ivio izi nipesa zawanainshitu mkopo wawapi nyinyi mulaletu musubiri mutazipata hhhh nabado Rwanda hii nimwanzo hatujafika
@nkubitodennis843
@nkubitodennis843 11 месяцев назад
Beaufull and cleanest cities in africa
@abedysteven4930
@abedysteven4930 11 месяцев назад
Kula maisha kwa macho na kuzunguka na kamera Kigali ndo Raha ye2 mliotuacha hapa! Kumbe Kigali nzur!
@King_186
@King_186 11 месяцев назад
This is beautiful
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 11 месяцев назад
Nchi ilokuwa na mapigano nuda wote asaivi ipo nzuri sisi tuna miaka laki 😢 hakuna nidhamu
@fredinandcharles7598
@fredinandcharles7598 11 месяцев назад
Kila mkoa ukijitegemea Kama ilivyo marekan tutapiga hatua mm nimwana uchumi ambae sijulikan
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 11 месяцев назад
@@fredinandcharles7598 sio kweli Tanzania hamna nidhamu na mnachekeana sana uzembe mtupu
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 11 месяцев назад
Bongo kila sehemu picha za samia,na dampo za takataka,
@user-uo6bo3ph6g
@user-uo6bo3ph6g 11 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂
@emmanueljoseph3812
@emmanueljoseph3812 11 месяцев назад
Kule nikuchafua mazingira tu wala sioni Faida zake AMKENI WATZ ., IPO SIKU TUJIKUTA TUKO UARABUNI!
@user-xt4kh3nt1c
@user-xt4kh3nt1c 11 месяцев назад
RWANDA nchi yetu, Paul KAGAME our true president❤
@herrwin.
@herrwin. 8 месяцев назад
i love the fact that they are driving on the right side,, i don't know who established this left(wrong) side in Tanzania
@kanaelikanuya7919
@kanaelikanuya7919 10 месяцев назад
Hongera sana kagame kwa maendeleo makubwa Rwanda ni mfano wa kuigwa lakini kwa ukubwa wa Tz bado nchi imepiga hatua kulinganisha na Rwanda ciwezi beza maendeleo tuliyo fikia from Tz
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 11 месяцев назад
Hatakama ni mkoa mmoja Tanzania ingekuwa chafu tu sababu usimamizi mbovu wizi wa pesa zamiladi mpaka aibu
@magrethmbangama1199
@magrethmbangama1199 11 месяцев назад
Kagame ndo angekuwa Rais wa bongo na maliasili zote tulizonazo tungekuwa levo za s Africa cc nakwambia.
@dieudonnemushimiyimana9206
@dieudonnemushimiyimana9206 10 месяцев назад
Kwa ukweli ukubwa wa nchi ndio utajiri. Kwa hiyo kwa kuwa Rwanda ni nchi ndogo sio inaifanya kua safi lakini ni kutokana na mstari wa serikari inayoongoza
@fredmbossa-kc3qn
@fredmbossa-kc3qn 11 месяцев назад
hongera zake kwa waziri wa miundombinu na waziri wa mazingira,,yani barabara hazina hata punje ya mchanga
@lastkingrwanda8066
@lastkingrwanda8066 10 месяцев назад
I love RWANDA system
@MultiKasuku
@MultiKasuku 11 месяцев назад
Ukikuta shimo barabarani (pot hole) uje uchukue hela kwangu
@ramamrutu4914
@ramamrutu4914 11 месяцев назад
Rwanda ni moja ya sehem nzuri sana kimaisha especially kigali
@abdulaabdula2631
@abdulaabdula2631 11 месяцев назад
Inge kuwa bongo njiani viband vya mpesa vitupu
@elyse991
@elyse991 11 месяцев назад
Green city Rwanda 🇷🇼 vist Rwanda we love president pk
@KarambiziMartin-xv8op
@KarambiziMartin-xv8op 10 месяцев назад
Tumejipanga kimaendeleo bro tunawakalibisha tena kalibuni Kigali Rwanda 🇷🇼
@deogratiuskweka8488
@deogratiuskweka8488 11 месяцев назад
N’chi bila kufwata sheria pamoja na ubinafsi ,haya tutabaki kusimulia ya wengine!!!
@yasiniyamamoto8174
@yasiniyamamoto8174 11 месяцев назад
Best in east africa
@nyiramugiranezaariela4907
@nyiramugiranezaariela4907 11 месяцев назад
My country ❤❤
@GadNkurunziza-kg1uc
@GadNkurunziza-kg1uc 11 месяцев назад
My lovely city KGL ❤️ fire burn 🔥
@abdulfazb9808
@abdulfazb9808 11 месяцев назад
Hapa wale Wenye Povu litawatoka Motif Rwanda Niinchi ndogo lakini wanasahawu Hata Qatar Niinchi Kuliko Rwanda lakini Qatar Sometimes Wanatowaga Misada kwa Inchii ya Tanzania Tunakumbushana Maendeleo ya Inchii Siyo Ukubwa wainchi
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 11 месяцев назад
Acha kelele ndugu.. sema Nchi ✔️sio Inchi ✖️ Pia Sisi tuna miji mingi, Manispaa nyingi pia Majiji mengi. Zanzibar hiyo hapo njoo baada ya miaka 10 utadhani upo Oman. Misaada tunatoa kijeshi, Ki-siasa, Kijamii kwa Huduma za kijamii.. n.k. Nchi zilizonufaika na msaada wa kijeshi toka Tanzania ni Namibia, Angola, Msumbiji, Zimbabwe, Uganda, R.S.A Rwanda, visiwa vya Comoro n.k. Misaada ya Kijamii Mozambique (Chakula na Madawa), Malawi (Chakula, Madawa, tent, Magodoro, Ujenzi wa miundombinu, Uokozi), Comoro-(Chakula), Sudan Kusini (Chakula), Haiti (Mafunzo ya Madaktari), Sudan (Mafunzo ya Madaktari), Turkey (Fedha USD). Misaada yetu ni utu sio Misaada ya vifungo vya mitego.
@fatimaussene1010
@fatimaussene1010 7 месяцев назад
Naipenda rwanda yaani boda boda zimefungwa nini sijui yaani ziki fanya movement mwenye boda anajua usafi na mazingira uko juu sheria zao ziko vizuri na watu wana tii sheria naipenda rwanda
@biasharaonline693
@biasharaonline693 11 месяцев назад
Napafananisha na mji wa Moshi Tanzania nao pia ni msafi sana na madereva wanatii sheria kinoma yan sijawahi ona kwingine Tanzania hii hasahasa wanapofika kwenye zebra lines
@ernestsinje-ng8hm
@ernestsinje-ng8hm 11 месяцев назад
Nimeipenda Bustani nzurii
@aubreychuma5449
@aubreychuma5449 11 месяцев назад
Nice Rwanda
@user-uo6bo3ph6g
@user-uo6bo3ph6g 11 месяцев назад
Njoo kwetu sasa nchi nzima mabango ya ccm😂😂😂😂
@Onesmoboyz
@Onesmoboyz 11 месяцев назад
😅😅😅😅😅😅umesema kwel kabisaaa
@emmanueljoseph3812
@emmanueljoseph3812 11 месяцев назад
Dah! Viongozi wa Serikali ya Tz wakimbiwa ukweli wanasema wanatukanwa Jifunzene hata kwa Nchi ndogo hizi za ZA KIAFRICA BASI ACHENI UBINAFSI WA MALI ZA UMMA!
@Burner_Acc
@Burner_Acc 11 месяцев назад
Tanzania mnamtaka democracy hamtaki maendeleo endeleeni kutafuta democracy muone kama mtafika popote pale.
@NambajimanaAnastase-mf7sm
@NambajimanaAnastase-mf7sm 9 месяцев назад
Inchi ya Rwanda ndo number moja Kwa usafi in Africa yote kbx .
@thomastemu3332
@thomastemu3332 11 месяцев назад
Safi sana hongera raisi kagame
@DadysBoy.
@DadysBoy. 11 месяцев назад
bodaboda rwanda 🙌🙌 yan wote wamevaa helmet
@shamismith8083
@shamismith8083 10 месяцев назад
Police wakikushika usipo vaa helmet unalipa fine
@kazunguclaver2539
@kazunguclaver2539 11 месяцев назад
Baada ya ajali nyingi zilizo ua watu wengi. Rwanda hata mikoani kuna Camera nyinyi za kutosha Spidi mwisho ni 80. Sio rahisi kuona gari zinasimamishwa na Askari wa barabarani.
@nzizajovinpaul4955
@nzizajovinpaul4955 11 месяцев назад
Mambo vipi Kazungu Claver Kigali mnaendeleaje ?
@TheMacdonald230
@TheMacdonald230 11 месяцев назад
Nchi ndogo, watu wachache, rasilimali kidogo ila think tankers wanafanya mambo makubwa. Viongozi wanajitambua, wananchi wamejengewa nidhamu kwa mfumo rasmi. Viongozi, Viongozi, Viongozi, wa mataifa mengine ndo kikwazo. Huko hamna uchawa
@kazunguclaver2539
@kazunguclaver2539 11 месяцев назад
NYUMBA ZA NYASI MARA YA MWISHO KULIONA RWANDA ILIKUWA 2010. SERIKALI YA RWANDA ILITENGA MABILIONI YA PESA KUJENGEA NYUMBA ZA BATI WASIO NA UWEZO KUPITIA KWA WAKUU WA WILAYA.
@mcback4384
@mcback4384 11 месяцев назад
Zipo nyingi tu vijijini huko
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 11 месяцев назад
​@@mcback4384Hamna!
@Mumewangu
@Mumewangu 11 месяцев назад
Mimi nipo Rwanda lakin IPO mitaa mingi ni michafu naishi huku miaka 14 imepita
@mufdatabdallah7341
@mufdatabdallah7341 11 месяцев назад
😂😂
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 11 месяцев назад
Acha uongo! 😅
@Mumewangu
@Mumewangu 11 месяцев назад
@@j.c.maxima816 unabisha nin na Mimi naishi huku. We we VIP?
@mufdatabdallah7341
@mufdatabdallah7341 11 месяцев назад
@@Mumewangu unaishi sehem gani Rwanda Mimi ni mtanzania ila nipo Kigali miaka 6 sasa ni kweli unayosema Kuna sehem pa ovyo Sana
@youngstone60
@youngstone60 11 месяцев назад
Thanks kigali kwani usafi ❤
@selemanisalum7685
@selemanisalum7685 11 месяцев назад
Kagame ni mzalendo km marehemu magu anachukia sana rushwa na akikukamata umekura rushwa utaoza jera
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 10 месяцев назад
Tanzania nchi ya matahira hii labda MAGUFULI MUNGU amludishe ndo ana akili peke yake sasa nchi inaongozwa na vibaka itaenderea lini
@herrschmidt4814
@herrschmidt4814 10 месяцев назад
Mukuje muone watoto mache awo wa hamissa mobeto wakudanganya daganya nawa kajala 😂😂😂 lakini tunawapenda wa Tanzania, respect diamond Platnumz 💎❤️❤️❤️❤️😍🙏🙏🙏please respect him 🌹💯💯🙌
@khamismohd7344
@khamismohd7344 11 месяцев назад
Utafikili gari inaludi umo Kwa umo kutokana na mazingira yake yalivyo mazuli
@kazunguclaver2539
@kazunguclaver2539 11 месяцев назад
Ramadhan Juma Usikose kufika mitaa ya Remera. Uone upanuzi wa Uwanja wa Amahoro kwa gharama ya Dola Miliyoni 165. Pembeni yake ndio kuna Kigali Arena kwasasa BK Arena.
@user-ok3ws8jl2s
@user-ok3ws8jl2s 11 месяцев назад
Siku zote kidogo kukimiliki ni rahisi Sana kuliko kikubwa kwa kweli kama wakiamua hivyo hata Zanzibar wakiamua wanaweza ila Tz ni ngumu sana
@1nesoch
@1nesoch 11 месяцев назад
Yaani, ina maana kwamba Canada ni ndogo, Japan ni ndogo, Marekani ni ndogo, China ni ndogo.... ao sio?
@allymwilu8089
@allymwilu8089 11 месяцев назад
Nchi safi kabisa sio kama dar mavi matupu
@saidibanda8347
@saidibanda8347 11 месяцев назад
Is the beautfull city
@kazunguclaver2539
@kazunguclaver2539 11 месяцев назад
Karibu Kigali Rwanda Juma. Kumbe wewe sio mwana habari michezo tu unaweza umesaidia watu ambao hawajafika Rwanda. Pia nchi nzima ya Rwanda hakuna nyuma iliyoezekwa nyasi, mafuti, udongo!
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km 11 месяцев назад
Mmmh china yenyewe Kuna nyumba za nyasi sembuse apo Rwanda
@J4UPro
@J4UPro 11 месяцев назад
​ Kwani kuezekwa makuti au nyasi ni umasikini?
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km 11 месяцев назад
@@J4UPro ndo hapo sasa
@TamuzaKale
@TamuzaKale 11 месяцев назад
@@Chettymlambalipsi-lb9km China ni dude kubwa duniani.
@williamtawete4600
@williamtawete4600 11 месяцев назад
Nchi hii tunahitaji kina Magufuli tu ndio wenye uwezo wa kunyoosha mji na nchi ikawa inchi kweli
@salmanmagwe222
@salmanmagwe222 11 месяцев назад
Rais magufuli alitujazia Wamachinga kila kona ya mji,na taka kila kona
@adamally5908
@adamally5908 11 месяцев назад
uyo magafuli ndo alikuwa anaharibu miji
@jimmyromani1339
@jimmyromani1339 10 месяцев назад
Labda Tanzania viongozi wabadilike na kujifunza na kuzidisha uzalendo ili nchi ipate maendeleo na miundo mbinu mpya
@ernestbanda2702
@ernestbanda2702 11 месяцев назад
Asante kbs
@misheckmrk8848
@misheckmrk8848 11 месяцев назад
Warwanda wako vizuli sana❤
@NiyomugaboAdrien
@NiyomugaboAdrien 11 месяцев назад
Karibu tena rwanda hio ndio RWANDA sisi tunasema ni RWANDA yenye maziwa na hasali tofauti sana na buguluni 🤣🤣🤣
@williamtawete4600
@williamtawete4600 11 месяцев назад
Magufuli pekee angeweza kuijenga Tanzania katika kiwango kikubwa kabisa japokuwa da alikuwa kauzu sana😀
@mcback4384
@mcback4384 11 месяцев назад
Tanzania holela hakuna order pembezoni mwa barabara kuna kila aina ya takataka mara kibanda cha mpesa, mahindi ya kuchoma, mama ntilie, ujenzi holela wa fremu yaani fujo
@peterkanamugire7216
@peterkanamugire7216 10 месяцев назад
Younger fc fnz❤
@niyonshutiplacide2693
@niyonshutiplacide2693 11 месяцев назад
Hukundiokwetu bro city safikabisa
@michaelboniphace3685
@michaelboniphace3685 11 месяцев назад
Tanzania Nchi yangu ,Kuna kiongozi Mkuu wa chama Flani alisema Kwan Bodaboda akibeba hata abiria watatu shida iko wap
@ganzaalex5462
@ganzaalex5462 10 месяцев назад
Karibuni kwetu rugha ya taifa ni Kinyarwanda ❤
@RichardJailo-pp7kj
@RichardJailo-pp7kj 11 месяцев назад
Mnakaz ya kusifia Kwa wenzenu mala Dubai mala uturki mala South na Sasa Rwanda
@laurentwilson-db4ir
@laurentwilson-db4ir 11 месяцев назад
🎉🎉🎉 yapi Ayo boss 🎉🎉🎉
@user-iq5ql5dd8l
@user-iq5ql5dd8l 10 месяцев назад
Kigari❤❤❤❤❤❤❤❤🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
@hurumakaaya1150
@hurumakaaya1150 11 месяцев назад
Umesahau... Bodaboda zote zinafuata sheria zote za barabarani
@SeneniSara-kg6xl
@SeneniSara-kg6xl 10 месяцев назад
Usifananishe Tanzania na Ruwanda apo ni mjini nenda vijijini ukapige picha alafuututumie Tanzania tuko juu sana kuliko uko Ruwanda
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni 11 месяцев назад
Uyo ndio paul kagame mtu wa maendeleo
@Niyiturinda
@Niyiturinda 11 месяцев назад
Karibu kwetu Rwanda ndugu zeru
@Youngchimodzi823
@Youngchimodzi823 10 месяцев назад
You may have too many resources and big country's landmass, without sound leadership that will be able to detect, prevent and control frauds, corruption and tax evasion no real social and Economic development will be realized. Rwanda is as is today in part due to kagame's vision and passion to serve his country honestly and diligently in the post genocide era
@donaldmartin-ps2ig
@donaldmartin-ps2ig 11 месяцев назад
Dah
@MichaelMathew-ke6bi
@MichaelMathew-ke6bi 11 месяцев назад
Hii mji, nafananisha na mji wa hapa Mbulu tu! Hahahahaha!! Msitutishie na haka kamji tu!!
@omolomaxfitnessbodylifetim8252
@omolomaxfitnessbodylifetim8252 11 месяцев назад
😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉 ❤❤❤❤❤❤ M13 ulizotaja ni wanyarwanda wote kwa ujumla ila Jiji lenyewe la Kigali si zaidi ya miliyoni 1.5 za wakazi maana Mimi nipo hapa tangu 2006
@jacksonutulivu9686
@jacksonutulivu9686 11 месяцев назад
Duh ni kweli eh
@abdulkadirramadhan
@abdulkadirramadhan 11 месяцев назад
nmezipenda hzo road lkn huku kwetu mpk leo wanang'ang'ania mfumo wa road mbili wkt kila sku watu wana nunua magar alafu wew bado unamfumo wa road mbili na parckng humo humo na unategemea folen mjin icwepo
@revocatussebastian2427
@revocatussebastian2427 11 месяцев назад
Daresalaam wakifunga Kamera Trafick watahasi upolisi nakuwa majambazi maana wamezoea rushwa
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 11 месяцев назад
Sisi tuko busy kusikiliza kila mtu , Nchi nyingi zenye mkono wa chuma zinafanya vizuri mno, huwezi kuongoza Nchi huku unasikiliza miluzi, wapiga kelele wa Rwanda wote wako Nje ya Nchi, je Hawa wanatumia katiba ipi? ya Mwaka gani?
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 11 месяцев назад
Nchi ya watu na serikali ya watu wanaojiejielewa.. Kizuri chajiuza, kubaya chajtembeza!
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 11 месяцев назад
Haswaa tz hovyo kweli maovu Tu ndo yanakithiri
@oklahommy9838
@oklahommy9838 11 месяцев назад
Wanaoicahafua tz ni watanzania wenyewe hizo sheria za usafi za rwanda zikiletwa tz watu watapiga nduru waseme wanaonewa maana washazoea uchafu kutupa takataka ovyo inshort not responsible citizens
@jamessilwamba4259
@jamessilwamba4259 10 месяцев назад
Nchi ndogo sana na mji wao ni mdogo sana ku control ni rahisi sana
@philipkomba5525
@philipkomba5525 11 месяцев назад
Kidumu chama cha revolution
@kelvinkangomba9590
@kelvinkangomba9590 11 месяцев назад
Kuna umuhimu wa barabara zetu wakandarasi waache sehemu hizo za bustani. Iwe ni sehem ya mkataba.
@raykyando7571
@raykyando7571 11 месяцев назад
Umeongea point kubwa miji yetu mingi ni majangwa, kuanzia nyumbani mpaka barabarani
@user-fq3gf5il3m
@user-fq3gf5il3m 11 месяцев назад
congrats Rwandese, i don't see dustbin from start to end of the video, where did u put then trash?
@peterkanamugire7216
@peterkanamugire7216 11 месяцев назад
Nice video
@richardbegga6679
@richardbegga6679 11 месяцев назад
Hivi Vitu vinawezekana Njee ya Serikali ya CCM.tofauti na hapo ni kuendelea kuota tu
@emmanueljoseph3812
@emmanueljoseph3812 11 месяцев назад
CCM NAWASHAURI WAMPE KAGAME AGOMBEE MIAKA 5 TU ILI ATHIBISHE KAURI YAKE KWA MZEE WETU MSTAAFU, .
@homeboybeyondtheborders4935
@homeboybeyondtheborders4935 11 месяцев назад
Watu wanavuka barabara kwenye zebra tu hii nimeipenda
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 11 месяцев назад
Tanzania kila sehem ni zebra,taa nyekundu ni kijani and viceversar
@christianndegeya8473
@christianndegeya8473 11 месяцев назад
Wanapashwa kuvuka kwa zebra sababu ya bustani ukikanyanga bustani fine hapo hapo!!
@festokemibala5832
@festokemibala5832 11 месяцев назад
Kukatisha/kuvuka ni kwenye milia, wakati sisi ni kila pahala huku hawkers na mama lishe wakichafua mitaro kwa kigezo cha kutafuta riziki
@japhetkakwezi9497
@japhetkakwezi9497 11 месяцев назад
Ila Saivi jamaa anauza Chai sana...Maelezo yanajirudia sana
@fatumasukwaju226
@fatumasukwaju226 11 месяцев назад
Ss tumeshashindikana juu ya uvunjaji sheria.hatuendi sharti kwa viboko
@maribaisack2097
@maribaisack2097 11 месяцев назад
kigali is eurpoe in africa
@jumanassoro1552
@jumanassoro1552 11 месяцев назад
Mji ukiwa msafi ata maradhi kama kipindu pindu marelia vigonjwa vya ovyo ovyo ivi mbu vigumu kuingia
Далее
Fixing Plastic with Staples
00:18
Просмотров 814 тыс.
Shehu Sani Speaks On Banditry In Northern Nigeria
29:53