Prof Janabi nashukuru kwa elimu yako. Uliyoyasema yote ni kweli, nilipoacha tumia wanga kwa miezi 5 niliona matokeo mazuri sana. Nilikuwwa nikila matunda, mayai na samaki. Ahsante sana Prof
Mbishi huwa hafaidi chagua mwenyewe ule nini halafu uende kwake akakuzibue moyo.Tunabisha lakini matokeo tunaona jinsi watu wanavyoteseka.kula lakini kwa kiasi na mazoezi
Tunatakiwa kula kidogo bila kujaza tumbo ili ibaki nafasi ya hewa na maji,shida iliyopo kwetu tunakula hadi matumbo yanatuna mwingine mpaka anashindwa kupumua.Chochote kile kinahitaji kutumia kidogo hata mapenzi ukifanya sana matokeo yake ni uhalibifu;kila kitu inatakiwa iwe wastani.Mtu mwingine anakula chakula cha mchana saa 11 jioni na usiku anakula saa 3 tena pilau na nyama au wali mweupe;anategemea nini hapo?
Dada God Is Love unatakiwa kuwa Na Kiasi Katika Maisha Hasa Kula Bila Kubebesha Lawama Mungu kakupa Ugonjwa. Hii part Achana Nayo mana huna Ushahid ww wala Mm cha Muhimu wajibika kutunza afya yako kwa Garama Yoyote ikibid Kuacha Kula vitu vya Ajab bila Masaa
Wanao PATA magojwa ya hivyo wengi ni wanakula vitu vya dhurma hata ally haph aliongea akiwa mkuu wa mkoa tabora mnadhulumu viwanja mashamba nyumba Hela mnatesa watu mnafunga watu saingine hawana hatia magojwa lazima yawarudie wenyewe
Tumekulia ugali wa Dona mboga na maziwa mgando huko nymbn tena unapg kisufuria mtu mmoja😂sema tulikuwa tunatembea kwnd shamba kuchnga na shuke ni kilometer 3, sasa hivi wanetu wanakula huku wamekaa nitatzo kwakwel Asante kwa elim
Huyu mtu ni muongo tuwe makin nae.kila siku ana hili mara hili tusile wanga tutakula nn. Kusoma ni mhim ila kusoma ili kuelimika ni mhim zaidi . Lakn why professor kila siku mtandaon au unataka teuzi. Maisha yetu anajua mungu wengne ni uongo uongo tu mara tusile sukar mara wanga sasa tule nin na uwezo wetu ndo huo wa wanga .
Kwenda zako kama ugonjwa unao ni wako tuu mimi toka nazaliwa chakuka kikuu ni ugali na uji vyoote ukibadili ni wali nao unakula siku ya skukukuu tu eiza pasaka klismasi ndo tunakula wali usitutishe
Tule vyote kwa wakati ila.kidogo sukali ikiwezekana tusiguse bia mwisho mbili nazo unywe saa.mbili au tatu chakula cha jion mwisho kula saa moja maxoezi tusisahau pia😅😅
Huyu kazingua, akale shule upya. Vyakula vya msingi kula Ni vya wanga. Wazazi wamekuwa wakila vyakula hivyo vya wanga, (viazi, mihogo, ugali, maharage n.k) magonjwa hayakuwasumbua Kama Sasa. Tatizo he should backup with scientific evidence. Bongo tunakwama wap🤾🤾🤾
@@radhiambwana3353 hakana anayekula akiwa amekaa vi ginevyo nikiwete. Lakini pia mjini tunakula kwa kupima, utashangaa Mtu asubuh amekula mandazi matatu au matano na chai. Mjini hatuli Kama watu wa vijijini. Na siku hizi watu wanafanya jogging. So kuna mengi. Point ya kwamba walienda shamba ni soft sana.