Asante Nanauka. Ni me jifunza kitu :ukiwa na maarifa una fika mbali zaid ambapo wengi wameshindwa kufika. Mahusiyano yanaharibika kila leo kwa sababu ya kukosa marifa kama haya thanks 🙏 JOEL.
mi ndo nashukuru mungu naona amenibariki mi niko straight to the point ninapotaka jambo ama kama sitaki si zunguki mbuyu na sijali kama utaniacha au hatuniacha.na hata kama ukiniacha lakini huwa nafurahi umeniwachi kwa sababu umenielewa nini ninataka na nimemaanisha...na nikikuona sikuelewi elewi mi huwa nakueleza bayana kama hujisikii furaha kuishi na mimi una uhuru wa kuniacha...mi huwezi kunikutiya niko na stress za mapenzi hata siku moja mi stress zangu wapi nitaipata PESA!.
Mie napenda kuongeza hapo kwenye point ya selfish pia katika maendeleo mmojawapo anafanya jambo kama kufungua mradi,ama kununua viwanja na kujenga bila kumuusisha mwenzi wake mke/mume na kutotaka mwenzake asijiusishe na ivovitu atakidogo na endapo akatokea kuulizwa hatoi jib dhabit,hukasirika yaan kwakifup añakuwa na mipaka ataki mwenzie ajue undan wa ivo vitu
Shukrani Sana kaka kwa somo ila hapo kwa kuangalia wazazi waliikuwaje kwenye mahusiano unadhaini nitasaidia kuwa Na mahusiano mazuri hasa kwa wale ambao unakuta mmoja hana Uhuru kwenye mahusiano kwa kuogopa wazazi
Yan haya ndo yanayonikuta ktk mahusiano yangu ,mm ninampenzi nampenda pia najitoa kadr niwezavyo kwake naanayajua maisha yangu kiundan sabab nina malengo nae sjataka kumficha chochote ,Ila shida nikimwamba kitu kwamfano asivae nguo zakumbana Sana kiukweli mm spendi Ila majibu ananijbu kua nisimpangie kufanya anachotaka yeye au kuvaa nisimpangie ikiwa Mimi sio Kama nampangia Ila hua napenda aonekane vizur nasio ajichoreshe ,by shahfah
Mm changamoto ninayo kutananayo Sana rafiki yangu huwa habari kabisa maumivu yangu na Mara nyingi ananitafuta tu akiwa na shida zake nifanyeje? Niachanaye
Nkwl ndugu nmepata elimu kubwa kupitia mahusiano ndoa Kila siku lazima upate elimu sawa na chuo lazima upate elimu Kila siku wanawake asili yao ni kudeka ndo maumbile yao thanks
Yani hapo kwenye ubinafsi ndio umeshikilia nafasi kubwa sana kwenye maisha ya ndoa utaskia mtu anakwambia anakupenda but maumivu yako wala changa moto zako haji husishi nao
Daaa Kaka nikushukulu Mana umenigusa Mimi Sana kila ulichoongea Kama uliniona na unanijua ndio unanianbia shukrani nna mke nnaenpenda Sana Ila migogolo imekua kila week naumia najishusha Ila bado tunagonbana