Тёмный

KILA SIKU JIAMBIE MANENO HAYA - JOEL NANAUKA 

Joel Nanauka
Подписаться 293 тыс.
Просмотров 120 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

23 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 206   
@alexbushishi8342
@alexbushishi8342 Год назад
1. POSITIVE SELF TALK (Daily Self Affirmation) - Zungumza kwenye singular - Zungumza kama kitu kiko tayari kimetokea 2. MOTIVATIONAL SELF TALK - Kujitia moyo wewe mwenyewe - Kujiambia wewe mwenyewe utakuwaje. 3. INSTRUCTIONAL SELF TALK - Kujiambia mambo unayotakiwa kuyafanya. - Kujiambia hatua unazopaswa kuchukua. 💪💪💪💪💯💯💯👍👍👍👍🙏🙏🙏🙏
@imeldandunguru882
@imeldandunguru882 11 месяцев назад
Asante Natendea Kaz lakin lakin maelezo zaidi na moja hiyo
@jemedarmohamed3644
@jemedarmohamed3644 10 месяцев назад
@AshaKachapuka
@AshaKachapuka 5 месяцев назад
Ahsante kazi njema kaka joel
@RobertEmmanuel-uq4wj
@RobertEmmanuel-uq4wj 5 месяцев назад
Brother abari ako
@VelindaNelima
@VelindaNelima Месяц назад
Mwalimu Asante mungu akubariki
@aidanmbilinyi8184
@aidanmbilinyi8184 Год назад
Umebadilisha sana maisha yangu sijafanikiwa sana ila naiona nuru najiona mshindi haipiti siku lazima niingie nione clip zako na vitabu vyako vimenisaidia sana
@solomonbirago9639
@solomonbirago9639 Год назад
Iv ivyo vitabu napataje na mm niwez kujifunza
@RizikiNishimwe
@RizikiNishimwe 9 месяцев назад
Naitaji vitabo nisome tavipataje?
@FredrickSimba
@FredrickSimba 8 месяцев назад
naweza kukusaidia baadhi ya vitabu vyake @@solomonbirago9639
@hashimuliloto8017
@hashimuliloto8017 Год назад
HATA MIMI HUWA NAJISEMEA NITAKUWA MILLIONAIRES..UKO VIZURI SANAA. ALLAH BLESS YOU
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 Год назад
Mashaalah Niko hapa nimeweka NNE naisubiria video yenye ujumbe wa THE BRAIN FOOD
@njoroboihustla125
@njoroboihustla125 Год назад
NANAUKA FOR LIFE💡💚
@AnthonyMakamo
@AnthonyMakamo День назад
Kaka mungu akubaliki mimi lindo lapili
@muniraahmed8794
@muniraahmed8794 Год назад
Joel nanauka asante Sana . Napenda kukuskiliza hakika unanisaidia sana.
@chrismassawe2939
@chrismassawe2939 Год назад
Niko darasan namsubiri mwalimu
@levinajackson2773
@levinajackson2773 Год назад
Mungu akulipe mema, hakika wewe ni tunu ktk maisha yangu. Umebadilisha maisha yangu.
@endpoint4580
@endpoint4580 Год назад
Shukran mtumishi.
@zarnatmohd6635
@zarnatmohd6635 Год назад
Hongera sana kaka
@majidsudi2324
@majidsudi2324 Год назад
Joel respect u,, kwa iyo kwa mwaka unavipindi 365 ubarikiwe !!
@saidmsigiti14
@saidmsigiti14 Год назад
Nakubali kaka
@denssimon5585
@denssimon5585 11 месяцев назад
Wewe ni mwamba👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿😁👏🏿
@jacklinechahilu6659
@jacklinechahilu6659 2 месяца назад
Kundi la kwanza lapili na la tatu Niko hapo.. thanks and God bless you bro 😊
@mustafamnape9808
@mustafamnape9808 Год назад
Mm nafurah sana yangu wamtwara nilikua sijuw kama unatoka mtwara kumbe mtwara Kuna vipaj vikubwa sana kaka Ongera sana kaka Pia napenda ukiwa darasan kama hivi bas mungu akubaliki kaka
@dominantsawe6871
@dominantsawe6871 10 месяцев назад
Ni kitabu gani au ni document gani yenye ufafanuzi kwa undani ya haya makundi matatu. I highly appreciate you Joel
@GLORIANYIGU-mk1ey
@GLORIANYIGU-mk1ey Год назад
Postive self talk ndo natumia zaidi
@jameskitheka5791
@jameskitheka5791 11 месяцев назад
Nikiwa 254 ,Mafunzo yako nimazuri sana brother Joel ,ubarikiwe sana Brother 🙏
@PendoBukuru
@PendoBukuru Месяц назад
Positive talk Kujizungumzia mimi mwenyew (singular)
@pastorblessedruwaichi8102
@pastorblessedruwaichi8102 Год назад
BWANA YESU KRISTO ASIFIWE MTU WA MUNGU, Nafurahishwa Sana Sana na mafundisho Yako, MUNGU azidi kukuzidisha ili Uelimishe Wengi. Aemn
@danchibomnyama5461
@danchibomnyama5461 Год назад
Mungu akubariki sana kaka Joel hakika mwaka huu 2023 niwaushindi kwangu naamini
@AlexJefwa
@AlexJefwa Месяц назад
Somo zuri Sana nimejifunza
@EliyaJames-zp5ow
@EliyaJames-zp5ow 2 месяца назад
Hakika tangu nikufahamu maisha yangu yamebadilika
@protamwenyegzaketv7408
@protamwenyegzaketv7408 Год назад
Kwa kiwango Fulani nimepiga hatua kubwa sana katika positive self talk na naninaona mafanikio yake. Pia hii ninaiona imekaa kiroho zaidi kwani hata mungu anaongea sana na SISI katika self talk na kutuambia Cha kufanya JAPO wengi hupuuza Ukweli ni kwamba mungu alituumba kamili na akatupa uwezo wa kiroho wa kisimamia vile unavyotaka kuwa See you at the top
@patrabrandon2365
@patrabrandon2365 3 месяца назад
Asante kwa ujumbe mzur wakati wa Mungu nisahii nakwenda kufanikiwa..
@African511
@African511 Год назад
Nanauka asante kwa mambo mazuri
@nellyirankunda1466
@nellyirankunda1466 Год назад
Hii positive self talk kunipa nguvu zaidi ya kupata moyo ya mafanyikio kwenye biashara yangu,asante sana
@khadijakisingo7920
@khadijakisingo7920 Год назад
Niko hapa mapema sana kupata madini💎
@shukrathhamza4298
@shukrathhamza4298 Год назад
Nasubr madini darasan
@upperclass68
@upperclass68 4 месяца назад
kaka asante sana umekuwa msaada sana kwangu
@richardmadede9974
@richardmadede9974 Год назад
Mimi Natakiwa kuyafanyia yote kazi at time to time
@ednaj.b6232
@ednaj.b6232 9 месяцев назад
Hongera Kaka @Edna joseph
@samwelmollel602
@samwelmollel602 Год назад
Savi sana
@janeflorencesajjabi1545
@janeflorencesajjabi1545 Год назад
MUNGU Akubariki kwa Kutufundisha mambo mengi haswa Kujitia moto na Kujiamini Mr.Joel ni
@JohnDaud-sv1oc
@JohnDaud-sv1oc Год назад
Mungu akutie nguvu uzidi kutuelimisha Mambo mazuri Kama haya
@SurprisedGreyhound-qy1ky
@SurprisedGreyhound-qy1ky 6 месяцев назад
Toka niamze kuangalia video zako RU-vid niamebadilisha maisha yangu kabisa
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 Год назад
Naweza mnoo
@mlapemwasenga7460
@mlapemwasenga7460 Год назад
Kundi la kwanza ni jema zaidi kwangu mimi
@joycemsigwaministry2422
@joycemsigwaministry2422 Год назад
Yaan Mungu akubariki Sana we kaka yaan Mimi zote zinanihusu Hali n mbaya
@Proonline29
@Proonline29 4 месяца назад
Nakushukuru Sana kupitia wewe nimeweza kufikia mambo mengi ambayo nilihis sitaweza hongera Mungu akubariki
@agnesyjoseph3906
@agnesyjoseph3906 2 месяца назад
Asante kwa SoMo, kundi langu Mimi Ni la kujiambia maneno chanya bila kujali mazingira yangu ya sasa
@uziategela6923
@uziategela6923 Год назад
Mungu akupe hekima na uelewa
@UpendoJacob-n3j
@UpendoJacob-n3j 6 месяцев назад
Kaka Joel Mungu akubariki sana kwakweli umeni saidia sana kujiona wa tofauti
@BeatriceJosephshafuri-pd3yp
@BeatriceJosephshafuri-pd3yp 6 месяцев назад
Kundi la pili Mungu anisadie
@naibethRafael
@naibethRafael 11 месяцев назад
Ahsante kwa mafundisho yako Mungu akubaeiki sana uendelee kuelimisha jamii
@MalumeDiofu
@MalumeDiofu 3 месяца назад
unanita supdi yamaisha nashukulu sana uwepo wako kaka mungu asimame naww
@jeffntakabanyura2877
@jeffntakabanyura2877 Год назад
PROPHETS asante sana kwa mafunzo unayo tupatia Mubalikiwe sana MUNGU awajalie
@norahmateru4312
@norahmateru4312 24 дня назад
Asante sana Mungu akubariki❤
@naswiluhassan1878
@naswiluhassan1878 Год назад
Sina Cha kupa Bali namuomba mungu akupe maisha marefu yenye heri
@NasraAlly-s8v
@NasraAlly-s8v 13 часов назад
Mafunzo yako yamenifanya mpaka leo naitwa mama mwenyenyumba
@rachelwazir4304
@rachelwazir4304 Год назад
Ninapopitia changamoto kauli ambayo huwa inaakuja haraka ni Asante Yesu najua umenipitisha katika hili ukijua naliweza na huwa linanipa nguvu sana yakuovercome the problem ni kutoka katika wimbo wa Ambwene...naona naww umeliongelea ubarikiwe sana na Zaburi 23:4🙌🏽🙏😇
@AshaKachapuka
@AshaKachapuka 5 месяцев назад
Naomba kundi namba 2
@asifiwesamson2977
@asifiwesamson2977 Год назад
Ubarikiwe sana Joel haya ndo mambo Mungu akupe maisha marefu yenye baraka
@magrethdicson8577
@magrethdicson8577 Год назад
Ubarikiwe sana! Huwa nabarikiwa sana na mafundisho yako yananifanya nisonge mbele kila siku
@NasmaHamisi-fs8bq
@NasmaHamisi-fs8bq Год назад
Nakubali barikiwa Sana kak ety
@AbdulmarickIbrahimu
@AbdulmarickIbrahimu 10 месяцев назад
napata faraja sana kukuskiliza mungu akubariki sana
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Год назад
Ahsante sana
@asifiwesamson2977
@asifiwesamson2977 Год назад
Kwakweli Joel toka nimeanza kutazama crip zako nimeongeza hali ya kujiamini na kuona kuwa ninaweza na malengo yangu naona nitayafikia2 maana nimeanza kuchukua hatua
@viviannjau9910
@viviannjau9910 Год назад
Mm ninavyokupenda mm daaa kaka angu Mungu pekeee akutunze.... unanifundisha sana na ninamshukuru Mungu nakuelewa sana hata mtihan uje kwa vipind vyako vyote napasua....
@CharlesMabula-u5o
@CharlesMabula-u5o Год назад
Mungu akulide sana joel nanuka
@MariaCosmas-uj9vi
@MariaCosmas-uj9vi 8 месяцев назад
Asanteee saaana Joel Nanauka nitaanza kufanyia kazi hatua ya kwanza
@FrankHamis-hc3pd
@FrankHamis-hc3pd Год назад
Hongera sana kaka mkbwa kwa madin yako, najivnia kkjua mung akpe maisha maref ili uzid ktpa hamasa vjana
@MarcoPeter-y5n
@MarcoPeter-y5n Месяц назад
Asante sana Mwalimu
@MosesMussa-b8s
@MosesMussa-b8s Год назад
kweli kak nitaendelea ! mume zaliwa kutujenga sis asiye elewa atoelewa tu mm binasfi napenda kusiliaz naimani mungu atasaidia asnt
@neemameshack8946
@neemameshack8946 Год назад
Kaka Joel Mungu akubariki Sana kwan umefanyika Baraka San kwangu maombi yangu uwe na Maisha marefu na yenye Baraka tele
@RivasonJohn-x3q
@RivasonJohn-x3q 10 месяцев назад
Big up nakuelewa
@elizaelias5350
@elizaelias5350 Год назад
Barikiwa Sana kutia moyo
@hakizimanamoise8754
@hakizimanamoise8754 Год назад
Asante kaka Kwa elimu nzuri nimetuma pasa katika ofa ya mwaka
@stellaraiton6429
@stellaraiton6429 Год назад
Be blessed bro Joel hakika mwaka huu naamin utakuwa wa baraka kwangu maana Kila siku najifunza kutengeneza maisha yangu 🙏
@RuwaidaAyoub-q6k
@RuwaidaAyoub-q6k 11 месяцев назад
Asante Cana Kaka hata mm mwenyewe nimekuchagua kuwa ni mtu unaenipa moyo na matumain
@kanobayirelambert8400
@kanobayirelambert8400 Год назад
Ubarikiwe sana
@libeafyapoint9815
@libeafyapoint9815 Год назад
Hakika Mimi imenusaidia Sana afframation kwenye biashara yangu mana nikijiambia ninauza na kweli nauza Sana .
@teacherbosco5706
@teacherbosco5706 Год назад
Absolutely true
@RoseMlelwa-t6h
@RoseMlelwa-t6h 11 месяцев назад
Unatubadili Sana kifikra zetu
@suleyjr2100
@suleyjr2100 Год назад
ahxante xana kaka mungu akubaliki xn
@edinachami4318
@edinachami4318 Месяц назад
God bless u my teacher❤
@neemaibrahim4900
@neemaibrahim4900 Год назад
Asant sana kwa mafundisho yako barikiwa sana, je tutapataje vitabu vyako tafadhali ????
@hildamasonda6528
@hildamasonda6528 Год назад
Great teacher toka nianze kusoma
@elinaagustinobefeeli5311
@elinaagustinobefeeli5311 Год назад
Hakika nabarikiwa sn kupitia mafundisho yako🔥💪💪 ubarikiwe sana
@CareenPanga-un7xx
@CareenPanga-un7xx 6 месяцев назад
Even in bible speaks about what you speak and that is faith
@GLORIANYIGU-mk1ey
@GLORIANYIGU-mk1ey Год назад
Nashukuru kwa mafundisho mazuri ambayo yananipa matumaini naweza kufanya zaidi ya hapa
@pineappleplanet2250
@pineappleplanet2250 Год назад
Big up bro
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 Год назад
Barikiwa zaidi kaka Joel
@hashkhantantrasiraji118
@hashkhantantrasiraji118 Год назад
Kaka Kaka Kaka Ubarikiwe kwa kweli 🙏
@dafrosasaturuminmarandu1095
Okay brother Joel nanauka.
@abgailmwadena7122
@abgailmwadena7122 Год назад
Asante kaka kw kunitia moyo naniposikiza maneno yako yananisongesha hatua nyengine barikwa sana
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 Год назад
Mimi ninaweza
@mwiquabekubyo8835
@mwiquabekubyo8835 Год назад
Ni kundi namba 3
@kifuramukono6330
@kifuramukono6330 Год назад
ubarikiwe sana Joel, unanibariki sana
@saraphinandale3256
@saraphinandale3256 Год назад
Barikiwa sana kupitia wewe mimi nimekuwa mtu wa tofauti
@veronicawilsonmbwambo1054
@veronicawilsonmbwambo1054 Год назад
Asante sana umekuwa mbarak mkubwa sana Kila ninapokuw na changamoto ya biashara
@Mwalazanyi
@Mwalazanyi Год назад
Asante joel
@HamenyaLameck
@HamenyaLameck 9 месяцев назад
Live longer more my brother love you
@khadijamohamed3043
@khadijamohamed3043 Год назад
Broh ur so intelligent Mashaallah
@JoyceHaule-v7t
@JoyceHaule-v7t Год назад
Shukrani Joel
@marryhewasi3070
@marryhewasi3070 Год назад
Mimi nitajiambia kila siku naweza tayari naingiza kipato kikubwa
@confiancendayishimiye3951
@confiancendayishimiye3951 Год назад
Ubarikiwe Kaka
@rehemaally4466
@rehemaally4466 Год назад
Mimi nakushuku sana kaka mungu akutia nguvu
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 Год назад
Sauti yako Ni Furaha yetu Amin
@WilliamJulius-p1q
@WilliamJulius-p1q Год назад
Asante sana kaka pamoja sana
@peninahmuthoka8667
@peninahmuthoka8667 Год назад
Thanks good idearvto alway positive in our l lifes
@judithjulius5993
@judithjulius5993 Год назад
Ameena unanipa nguvu sana
@SmilingBeaver-od7hy
@SmilingBeaver-od7hy Месяц назад
Thanks be blessed bro
Далее
Siri 4 Za Kuvutia Watu Muhimu Kwenye Maisha Yako.
9:48
That was too fast! 😲
01:00
Просмотров 4 млн
KUWA MAKINI NA WATU HAWA
3:17
Просмотров 1,3 тыс.
EPUKA MAMBO HAYA - JOEL NANAUKA
9:19
Просмотров 105 тыс.
DALILI 4 ZA WAKATI WAKO WA KUINULIWA - JOEL NANAUKA
7:43
LAZIMA USHINDE HOFU HIZI - JOEL NANAUKA
10:59
Просмотров 70 тыс.
AMUA UNACHOTAKA LEO - JOEL NANAUKA
17:14
Просмотров 105 тыс.
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
30:39
Просмотров 388 тыс.
Mfumo wetu wa Elimu hatufundishi kujitambua
31:13
Просмотров 17 тыс.