Тёмный

WAANDAMANAJI KESHO KENYA WANAINGIA IKULU HAWAMTAKI RUTO 

UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Подписаться 33 тыс.
Просмотров 11 тыс.
50% 1

Mpenzi mtazamaji wa IBM CHANNEL endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata elimu zaidi ya uzalendo, ukombozi wa kifkira na ukuu wa Mwaafrika hapa hapa. tunakupa pia makala mbalimbali zinazohusiana na ulimwengu tunaoishi na taarifa zetu ni za ukweli na uhakika sio za uongo. karibu tuendelee kuwa pamoja. kama hauja-subscribe tafadhali fanya hivyo ili usipitwe na chochote.

Опубликовано:

 

25 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 42   
@hanifahassan-sf1gg
@hanifahassan-sf1gg 20 дней назад
Watching from 🇱🇧🇰🇪hatumtaki ruto muuwaji
@jumamayonga8914
@jumamayonga8914 20 дней назад
Hapo ndipo Zakayo atajua kuwa ukibaraka ni mbaya. Vita ya huko ulaya Urusi na Ukraine ilimruhusu nini?
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 19 дней назад
Finance Bill inahisiana nini na NCHI za magharibi?
@ngendakumanajeanmarrie7490
@ngendakumanajeanmarrie7490 20 дней назад
Walimwambia apike uji mingi watakunywa naye ikuru kesho gen Z wamechoka navibalaka
@kelvinkariuki1054
@kelvinkariuki1054 20 дней назад
Zakayo ni mwizi wa kenya
@kitosio
@kitosio 20 дней назад
Bora Ivo hawa Manyang'au wanatambaa Duniani kote
@jumamayonga8914
@jumamayonga8914 20 дней назад
Mzuka wa Putin unamla Ruto
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 19 дней назад
Tz MWAKA juzi mlipigwa tozo, za luku, tozo za miamala mliishia kulalamika ruto kaleta tozo mnasingizia PUTIN acheni ushamba Putin anaingiaje?
@josephjulio6112
@josephjulio6112 20 дней назад
Laana ya kumlaani putini na wamtoe tu
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 20 дней назад
😂
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 19 дней назад
Putin anahusikaje KWENYE finance Bill ya kenya?
@hamisramadhan-eb3ie
@hamisramadhan-eb3ie 20 дней назад
Bado tz
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 20 дней назад
Zakayo wa tanzania nae kachemka lazma ashuke
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 20 дней назад
Safi mwalimu 💚
@NASSIBUHAMADY
@NASSIBUHAMADY 20 дней назад
Wakenya komaeni asee
@ARNOLDKARISA-fs3ht
@ARNOLDKARISA-fs3ht 20 дней назад
🤣🤣🤣🤣🤣takoma wewee🤣🤣🤣🤣🤣
@ElectroZamita
@ElectroZamita 20 дней назад
😮
@mutambukamubaraka
@mutambukamubaraka 20 дней назад
😮😮😮😮😮✌✌
@papaamularfins599
@papaamularfins599 20 дней назад
Hio ni kutuzingua akili! Katika katiba ya Kenya @Raisi hana power to withdraw the Bill only to reject it.Na zaidi ya hio the Bill even without the President's sign, becomes automatic active in 14 to 21 days! Ivyo basi alifaa ku reject not to withdraw coz has no Power to withdraw the Bill.@Zakayo MUST GO!
@mwamudmohamed5566
@mwamudmohamed5566 20 дней назад
hapo ni kweli kabisa wanajaribu kutuchezea akili zetu
@ARNOLDKARISA-fs3ht
@ARNOLDKARISA-fs3ht 20 дней назад
huyu alituita criminals na hajaomba msamaha...sasa lazima atoke
@ChumanaSusi
@ChumanaSusi 20 дней назад
Zakayo ni huyu rais wa bandia hapa kenya 🇰🇪 ameja urongo kama mwenda wazimu. Mwizi na rais fisadi mkubwa na mtumikia IMF na US na wananchi wa kenya. Useless lazima mwizi aende
@hanifahassan-sf1gg
@hanifahassan-sf1gg 20 дней назад
Muuwaji mwizi ametufanya tumekua maskini😢
@aftapat5365
@aftapat5365 20 дней назад
tanzania tumefurahi kuona kenya yanawatokea ila ujue sisi nchi yetu amani yake nikwamba hakili zetu zote zipo kwenye mziki na mpira na uongozi wa chama kimoja ila wenzetu wanatawala kwa ukabila ruto ni mnande hawezi kutoboa ukitaka kujua nachokiongea mnande bola aishi na mnyakiusa kuliko aishi na mkikuyu kwenye nyumba moja hata kwenye sherehw ni hivyo hivyo wanatembea kwamakundi kama nyumbu😂
@user-kj2xh6bt5y
@user-kj2xh6bt5y 20 дней назад
😂😂😂😂 zakayoo
@user-tq4go3sn5b
@user-tq4go3sn5b 20 дней назад
Kwani Zakayo wa Tanzania ni nani?
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 20 дней назад
Wakenya wana akili mno,sisi mazombi,tunapelekwa pelekwa tu
@user-ri9kz2ej5j
@user-ri9kz2ej5j 20 дней назад
Pia hata tanzania zakayo tunae 😅😅
@alisaadmohammed
@alisaadmohammed 20 дней назад
Zakayo yupo kila pahali
@princeabuu8297
@princeabuu8297 20 дней назад
Hio kukataa ni zuga tuu maana Rais hana mamlaka kikatiba kukataa swada ila alichofanya ni kuback down baada ya sku 21 unakuwa sheria moja kwa moja alafu yeye anakuwa amejitoa aseme ni wabunge ndo walipitisha...!!! Lakini tunae tuu paka ashuke....!!!! #RUTO MUST GO...!!!??
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 20 дней назад
Sasa marekani na ulaya mbona hawamsaidiyi
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 19 дней назад
Kwani marekani anaingiaje apo kwenye matatizo ya kenya?
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 20 дней назад
Wakenya balaa hadi vijana wanakalia kiti cha speaker na kula ubwabwa wa waheshimiw.....GEN .....Z
@hadijaossi7821
@hadijaossi7821 20 дней назад
LAZIMA WAANDAMANE MAANA HATA KAMA HAJASAIN IKIPITA SIKU 14 INAKUWA NI SHERIA TAYAR SO MPAKA BUNGE LIFUTE HUO MUSWADAAA
@Bittertruth-u4n
@Bittertruth-u4n 20 дней назад
😂ameubagaa mfumk
@coolbz133
@coolbz133 20 дней назад
Hamna Putin alie husika na maandamano biden ndio kamshusha ruto kwa kihere here chake chakujifanya msemaji wa Africa na msimamo ndio kampa hela kisha katuma watu ili wamfuatilie wajue hio pesa imeenda njia gani na project ngapi ila ruto alikua ataka kula na wafuasi wake
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 19 дней назад
PESA alizohaidiwa na marekani hazijatolewa BADO,,, TATIZO la kenya ni madeni makubwa TENA KUTOKA china,,,70% ya makusanyo yao wanalipa deni 30% ndio mishahara na maendeleo ni makosa makubwa kulaumu NCHI nyingine KWA matatizo ya kenya
@coolbz133
@coolbz133 19 дней назад
@@josephwilliam5813 hapo ni kweli wao kila kinacho fanyika wasema eti uchumi ni mbaya kwa sababu ya Ukraini kwani hii Ukraini yahusika nawapi huku Africa
@kolosii4351
@kolosii4351 20 дней назад
Majirani imetosha. Ikulu tena, mbona amesema amestisha zoezi la kutia sahihi??
@YasiniMomboka
@YasiniMomboka 20 дней назад
Ruto atumuamin tena mana yeye ni zakayo anaweza kutia signal ata kwa usiku kesho ni white house tunazama ndani mpaka achie kenya
@ChumanaSusi
@ChumanaSusi 20 дней назад
Ruto ni gaidi na mwizi na tumemkataa kabisa. Fisadi mkubwa anapora pesa zetu za uma kama mali yake. Ruto raus wa bandia lazima tumngatue
Далее
Стас о своих клиниках
00:19
Просмотров 312 тыс.
One moment can change your life ✨🔄
00:32
Просмотров 18 млн
Nightly News Full Broadcast - July 14
18:54
Просмотров 757 тыс.
Стас о своих клиниках
00:19
Просмотров 312 тыс.