Тёмный

WADUDU WAMKATALIA RC MAKONDA ALICHOWASHAURI KWENYE KIKAO CHAO - ''ITAKUWA FEDHEHA -HATUWEZI KUACHA'' 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 62 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 65   
@globaltv_online
@globaltv_online 5 месяцев назад
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@japhetjoseph1772
@japhetjoseph1772 5 месяцев назад
Wana fanya music mzuri wafikirie namna bora ya kujibrand " KUMBUKA UTAKAVYOJIWEKA NDIVYO UTAKAVYO CHUKULIWA" dhamani ya sanaa ya msanii haipo kwenye talent ipo kwenye taswira ya sanaa yake.
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui 5 месяцев назад
Wadudu kama wadudu. Saluti kwenu, mmetisha na hilo songi aisee.
@marthaswai1185
@marthaswai1185 5 месяцев назад
Hongera Makonda kuwaambia kuwa wasijiite wadudu.Piga marufuku hilo jina na roho chafu imevamia Tanzania.Binadamu atabaki kuwa binadamu na wadudu watabaki kuwa wadudu.
@josamjoel2079
@josamjoel2079 5 месяцев назад
Na Tembo atabaki kuwa tembo harmonies Simba Diamond mbuzi Yound lunya
@epimackjohn461
@epimackjohn461 5 месяцев назад
Wanavoonekana hawa !!! Kuna kazi ya ZIADA sana naona hapa BADO .
@MeleckLaizer
@MeleckLaizer 5 месяцев назад
Duu itakuwa fedheha Tena hahaha leo umenichekesha sana Capt Kinyunyu
@edwardsademaki8431
@edwardsademaki8431 5 месяцев назад
Nyimbo yenu ni nzuri sana
@BaloonMacheni
@BaloonMacheni 5 месяцев назад
Kwa mara ya kwanza nimesikia Key nyonyo akiongea vizuri japo kiasi flani
@BaloonMacheni
@BaloonMacheni 5 месяцев назад
Napenda kutoa ushauri kwa Diper ratto kweli aliona mbali sana kutaka kubanana na key nyonyo ila iwapo key nyonyo angelikuwa anajitambua zaidi na kujua namna YA kuongea ungelikuwa mbali sana
@GoodluckBenjamin-bt9se
@GoodluckBenjamin-bt9se 5 месяцев назад
Hawamjui makonda vizuri hawa Hata yeye Ni hatri Zaidi ya mdudu
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud 5 месяцев назад
Uyo kiongozi ni KIDUDU 🐜 🐜 🐜 🐜
@IbrahimHassan-ex7sn
@IbrahimHassan-ex7sn 5 месяцев назад
Wadudu mmetisha aisee
@bulugubujashi6378
@bulugubujashi6378 5 месяцев назад
Makonda waga anaanzanao taratibu ila wakijichanganya hawataamini.
@AshuuuBakari
@AshuuuBakari 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 5 месяцев назад
Anawabembabemba mkileta za hovyo mjichanganye mtaisoma 😅😅
@amosihokororo9702
@amosihokororo9702 5 месяцев назад
Leo ajalewa
@MwanaishaSiri
@MwanaishaSiri 5 месяцев назад
❤❤❤
@modestussanga7610
@modestussanga7610 5 месяцев назад
Wanaenjoy maisha hawajataka kucomplicatisha mambo
@Kanyawela
@Kanyawela 5 месяцев назад
🚆🚆Bangi nyingi za wadudu bado sisimizi
@bushbabytz
@bushbabytz 5 месяцев назад
Kenyonyo leo kaongea kama kiongozi😂😂😂
@JonathanNelson-l8h
@JonathanNelson-l8h 5 месяцев назад
Ndiyo bwana😂😂😂😂
@IddyOmary-x6k
@IddyOmary-x6k 5 месяцев назад
Kwisha
@ikungasyamwakitalu6540
@ikungasyamwakitalu6540 5 месяцев назад
Very true
@petermuganda7322
@petermuganda7322 5 месяцев назад
MH aliwshauri wadudu iwe aka
@eliangikundimlay3084
@eliangikundimlay3084 5 месяцев назад
Hawa jamaa n kuwatoa lock tu ndy mtawez kuwamudu cyo kuwap elimu hamtaelewan zaid y kuchoshana vchw
@HassanHamza-qx9cm
@HassanHamza-qx9cm 5 месяцев назад
Umeongea sahihi kabisa
@PeridaMtweve
@PeridaMtweve 5 месяцев назад
Hamkumuelewa mkuu wa mkora amesema wadudu iwe A.K.A nyie vip😝😝😝😝
@rithaurassa
@rithaurassa 5 месяцев назад
Biga marufuk kabisa mh. MAKONDA ndio tunaendelea kutengeneza maov kwenye hii. Nchi watakuja wengine wajiite majina mabaya Zaid ikibidi waachishwe kabisa kamawamekataa.
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 5 месяцев назад
Yani haka katoto sijui kakubwa au katoto 😅😅😅😅 nikimuona huyu mtoto nacheka peke yangu na miatu yao km mkonga wa tembo 😅😅😅
@msatibongonyuzi14
@msatibongonyuzi14 5 месяцев назад
Kizazi Og Wadudu😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥
@alfoncejohn2104
@alfoncejohn2104 5 месяцев назад
Tafuteni habari zenye kuelimisha jamii HAMNA brand hapo nyie wapotofu.waandishi ni wachochezi tu
@jonsjones2580
@jonsjones2580 5 месяцев назад
nyuki hawezi kuacha kutengeneza asali atengeneze sumu🤣🤣🤣
@olivernyange2349
@olivernyange2349 5 месяцев назад
Fainali uzeeni.
@juliusbrush3202
@juliusbrush3202 5 месяцев назад
kenyonyo anafurahisha sna ety itakuwa fedheha hahahaha🤣🤣
@Umuhili_Ngendo
@Umuhili_Ngendo 5 месяцев назад
😏 hovyo kabisaa
@israeluronu9958
@israeluronu9958 5 месяцев назад
😂😂😂hapo kazi ipooo
@josiacharles2778
@josiacharles2778 5 месяцев назад
Nyie wandishi mnapenda kiki sana nyie mnakuza sana vitu visivyo na maana
@IsmailJuma-zb5ni
@IsmailJuma-zb5ni 5 месяцев назад
Muogopeni Allah enyi waja wa Allah.
@tuliafugutilo923
@tuliafugutilo923 5 месяцев назад
Saut ya kenyonyo ktk wimbo😂😂😂
@ernestbiseko1608
@ernestbiseko1608 5 месяцев назад
Wengine wanajiita machawa... 😅😅
@tsumiduwe1406
@tsumiduwe1406 5 месяцев назад
MDUDU HAPEWI LAWAMA
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 5 месяцев назад
nifedhea atuwez kujiita wadudu ,💪💪💪
@rehemadaudi550
@rehemadaudi550 5 месяцев назад
Ndo maana ni kafupi km mdudu, mi ajidhaniavyo mtu ndivyo alivyo
@valenakomba7686
@valenakomba7686 5 месяцев назад
SASA KUVAA HIVO NDO NINI?. MSIOVER DO MSIJE MKABOA .
@WilbertChambilo-yl1kc
@WilbertChambilo-yl1kc 5 месяцев назад
Hawa wadudu hawana Uti wa mgongo🤭🤭🤭
@jonsjones2580
@jonsjones2580 5 месяцев назад
kenyonyooooooo
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 5 месяцев назад
Awa jamaa kweli machizi eti wadudu. Na hata waaswas hawana
@hamisihemedi1099
@hamisihemedi1099 5 месяцев назад
Hao jamaa hawajahusika na ukabajii?
@EliasBoyka
@EliasBoyka 5 месяцев назад
Uyo dogo mbona ajui kuongea kila cku ebu mmpeni darasa
@delsonandrea5223
@delsonandrea5223 5 месяцев назад
Swali langu kwani hao wadudu hawavuti bangi,, maana najua ukisha vuta bangi au kama umewahi huwez kua na akili nzur,, mamb yako yanakua ya kibangi bangi, kiufupi unakua Kama chizi mda wote😂😂😂
@julianapatrick7911
@julianapatrick7911 5 месяцев назад
What
@meddyroshan74
@meddyroshan74 5 месяцев назад
Ningkuwa raisi arusha ningeipga bomu la nukria ikaanza upya
@delsonandrea5223
@delsonandrea5223 5 месяцев назад
😂😂😂😂kabisa
@bushbabytz
@bushbabytz 5 месяцев назад
hahha hitler weee tuache
@silvanfelicianmvungi271
@silvanfelicianmvungi271 5 месяцев назад
@meddyroshan74. tuache bhana na chuga yetu ndo maana cyo raisi mana una roho mbaya 😂😂😂
@uwesusaid5334
@uwesusaid5334 5 месяцев назад
😂😂😂😂
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 5 месяцев назад
Uwiiiiii 😂😂😂😂😂😂Hallow nimecheka,hilo bomu ungempa nani jamani ili akalipige?😂😂😂
@AminaHasan-n6l
@AminaHasan-n6l 5 месяцев назад
Kenyenyo anazingua bana
@SalamaJuma-s8e
@SalamaJuma-s8e 5 месяцев назад
Ivi makonda uyo sawa au mm sielewi
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 5 месяцев назад
Ndugu yangu arusha lazima uende polepole ukienda haraka,unaacha roho yako kule
@MzeewaslowHusseinAndrew
@MzeewaslowHusseinAndrew 5 месяцев назад
Oyaa jombaaaaa Sisi tutabaki kua wa DUDU tu.
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd 5 месяцев назад
Hivi vijamaa ovyoo kabisa....sasa kutafuta hela ndo kuvaa kijinga namna hiyo.
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 5 месяцев назад
Mtangazaji anacheka😂😂😂
Далее
Wait for it 😂
00:19
Просмотров 1,4 млн
РОК-СТРИМ без ФАНЕРЫ🤘
3:05:16
Просмотров 1,3 млн
Физика пасты Карбонара 🧪🔬
00:57
FILO QALADAADKA PART 1
11:02
Просмотров 115 тыс.
Green House കൊണ 😪👌
11:55
Просмотров 181 тыс.
Wait for it 😂
00:19
Просмотров 1,4 млн