Тёмный

WAFANYAKAZI WAMKIMBIA BOSS WAO, BASHE NA MWANRI WAKIMBANA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 100 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

20 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 218   
@josephatjordan2150
@josephatjordan2150 5 лет назад
Alie ona kipande cha'HE KUMBE NKO PEKE YANGU WAMENIKIMBIA WOTE'gonga like hapa
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 5 лет назад
josephat jordan 🤣🤣🤣nime ona ali pagawa
@aishammohamed5982
@aishammohamed5982 5 лет назад
Hahahaaaaaaaaa!
@maimunahassan4778
@maimunahassan4778 5 лет назад
Ha ha haaaaaaaaaaaaaa
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 5 лет назад
josephat jordan nimecheka kwa sauti
@estheradriel9829
@estheradriel9829 5 лет назад
😂😂😂😂🙆‍♀️
@hashimrweabula9
@hashimrweabula9 3 месяца назад
Unaaeza ukaapa kwa jina la Allah unaweza ukaapa hapaa oyaaa weeee ogopaaa nomasana kimbia 😅😅😅
@mtakamaonline7748
@mtakamaonline7748 4 года назад
Offer offer nunua au kopa mobisol solar watt 40,80,120,200 ikiwa pamoja na TV inch 21-43 na taa zake tukuletee hadi nyumbani pamoja na ufungaji ni bureeeeeeh wahi sasa offer hii ipo jirani kuisha.piga simu 0764325083/0654362426.
@mangegervas9651
@mangegervas9651 4 года назад
Gud saana
@husseinomary4466
@husseinomary4466 5 лет назад
Kama umesikia mwisho hapo abdakadabra gonga like tufurahi na mzee wasukuma ndani
@mtosimbakwetu130
@mtosimbakwetu130 4 года назад
Kama umependa busara za mh husen bashe gonga like
@lovenessrichard1473
@lovenessrichard1473 5 лет назад
😂😂😂😂nmecheka sana kwakwel kama nawe umecheka Kama mm gonga like
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 5 лет назад
😂😂😂😂😂Mwanry"wewe usiniangalie mimi,jibu kwanza maswali ya waziri ili useme vizuri"😂😂😂😂😂
@godlovegeorge2334
@godlovegeorge2334 5 лет назад
😂😂😂😂
@paschalmayoge3875
@paschalmayoge3875 5 лет назад
Hahahhahaah...nmecheka sana,,,Agrey sio poa
@pastorbonnyphillip8945
@pastorbonnyphillip8945 5 лет назад
Bashe & Mwandri hapo namuongeza Mh Majaliwa & Chalamila... wakiingia kwako hata kama ulikuwa umekufa kwa presha itabidi ufe tena... weldone
@stefaniadalberto9808
@stefaniadalberto9808 2 года назад
Niko peke yangu hapa?🤣😂🤣😂
@ruthleonard2958
@ruthleonard2958 5 лет назад
Mbavu zangu mm, jaman usiombe yakukute, "Usiniangalie jibu maswali"...." Usiseme uongo hapa, Unaweza ukaapa"
@erickmnyalu553
@erickmnyalu553 5 лет назад
Mmeaza vizur saana mwishoni mmekera mnacheka na muarifu mtu anayekwamisha kuendelea wezake ni sawa na mualifu tuu...
@innocentfocus9217
@innocentfocus9217 5 лет назад
Bashe🙌🏾🙌🏾anakuja mpka na document zote humdanganyi kitu...unaeza ukahisi anachat kumbe anafungua mafaili😂🙌🏾
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 4 года назад
Mwache vitisho nchi sio yenu peke yenu. Mwapeleke watu polepole . Useless leaders. 🇰🇪🙋
@iddiking6963
@iddiking6963 5 лет назад
Km umeona jamaa anapambana peke yake twende kazi
@JuliusExavery-o5o
@JuliusExavery-o5o 6 месяцев назад
😂😂
@kamanyile
@kamanyile 5 лет назад
kama ulisikia apia jina la mungu.Gonga like
@lawmaina78
@lawmaina78 5 лет назад
Jamaa yupo mwenyewe japo kapambana kujibu pumba, nampa hongera ya ujasiri, wamemkimbia wote.
@louiskayange-kz7ec
@louiskayange-kz7ec 6 месяцев назад
Huyu muha kiboko
@harounali9057
@harounali9057 5 лет назад
Kwa Zanzibar ni muheshimiwa Ayub na Bara muheshimiwa Bashe nipo pamoja nao hawa wana chapa kazi kweli kweli.
@muniraahmed624
@muniraahmed624 5 лет назад
Oh jaman ase imeniuma mno. Asee eti kumbe Niko mwenyew hapa jaman 😭
@hafifumohammed8776
@hafifumohammed8776 5 лет назад
Munira nakuona mama kila kona love you
@martinngwembe9903
@martinngwembe9903 5 лет назад
Ninachokiona mm waziri wa kilimo lazima atamwachia bashe tu iyo nafasi ya uwaziri bcz bashe anajuwa vitu vingi sana na mtaalamu wa kilimo
@punchlinetz
@punchlinetz 5 лет назад
😂😂😂😂😂😂 "Niko peke angu kumbe hapa..."
@Donald22ist
@Donald22ist 5 лет назад
Pure Economics! Not just anybody can be able to respond to such technical questions
@kiptookomen4127
@kiptookomen4127 5 лет назад
You can with up to date records. Factory Capacity % = Input tons / Output tons SIMPLE CALCS with Available Facts ( DATA ) 😂😂😂😂 ECON 101
@faridumiraji9960
@faridumiraji9960 5 лет назад
Ila Bashi anastahili kua hapa muda mrefu nyuma
@jumamagali5089
@jumamagali5089 5 лет назад
haupo peke yako, upo na hao wanaokuuliza maswali kwani vipi kijana, hapo ndipo utakapokumbuka ulivyokuwa unajificha chini ya dawati wakati wa kusoma tebo(table) tena ulikuwa unaomba darasani mchanganywe A na B ili muwe wengi usionekane maaniiinaa...jamani comrade bashe usimchanganyie lugha baba wa watu unazidi kumvuruga
@vansclassic6464
@vansclassic6464 3 года назад
Dah!!! kweli MAGUFULI kahamsha watu wengi Sana ktk vitengo mbali mbali god bless Tanzania liders and all ministry's
@mwajejasson6995
@mwajejasson6995 5 лет назад
Kaka kwa DC wa tobora na wazil bache utoki hapo alafu Ilo jamaa alijielewi kabisa
@leonsmallya2007
@leonsmallya2007 5 лет назад
Anafanana na nabii tito
@chomwabonzo8811
@chomwabonzo8811 5 лет назад
Waacha mchezo iyooo adakadabra usinishike mkonoo 🤣😂😂🤣shitf 3 dah duty 3 zawafanya kazi lakini hawapo aisee limewivaa hilooo
@mikidadichande9488
@mikidadichande9488 5 лет назад
Huyu mwanri anamchongea mwenzake 😂😂
@zachariamishai7258
@zachariamishai7258 5 лет назад
Kwan yeye alitaka awe na wakina nani?😂😂😂🤣🤣🤣 wananzengo wamemuuzia kesi dah!., watu wabaya Dunia hii🤣🤣😂😂🙌🙌
@jepkorirzipporah3777
@jepkorirzipporah3777 5 лет назад
Manager anaomba backup🤣🤣🤣🤣
@kamgomoli3650
@kamgomoli3650 5 лет назад
Tunataka Waziri mwenye data km Bashe. Magufuli mpe Uwaziri kamili kabsa
@cosmasthobias4679
@cosmasthobias4679 5 лет назад
Watu wabaya sana wamemuacha peke yake
@lucianodeo4103
@lucianodeo4103 5 лет назад
NSSF kuna taarifa na idadi ya wafanyakazi wote
@sanifhesro2169
@sanifhesro2169 5 лет назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 jaman jamn kwann mmemkibia alitegemea asaidiwe kujibu punguza kushutukiza watu watakufa bule
@issamohamedissa8894
@issamohamedissa8894 5 лет назад
Hee kumbe nipo peke yangu hapa 😂😂😂😂
@bonykimario8649
@bonykimario8649 5 лет назад
Wote wamenikimbia😂😂😂😂
@robertthomas7769
@robertthomas7769 5 лет назад
Wanafuata style ya boss wao.
@mr.machange1377
@mr.machange1377 5 лет назад
Hii nchi awam ya 5 imeweka Historia kali sana.. Viva JPM viva TZ
@salmaoriginaloriginal6478
@salmaoriginaloriginal6478 5 лет назад
Ume ona eeeh
@hasinauuwimana8405
@hasinauuwimana8405 2 года назад
Je vipi uliskia kua ni tatizo limeanza kwa myaka 4? Si kipindi cha mzee hapo tatizo lilipoanzia
@stanleyrububura4000
@stanleyrububura4000 5 лет назад
Huyu jamaa (company secretary) achukue hii kama fursa ya kujirekebisha apunguze maneno na kujichekesha chekesha, afanye kazi kama kuna changamoto azipeleke sehemu husika, leo anacheka siku Boss Kubwa JPM akifika hapo ajue kabisa kama hakutakuwa na mabadiliko mood haitakuwa hivyo. Kwa hayo wanayoyafanya ni kutugeuza shamba la bibi na JPM hawezi kuwaacha salama.
@nwntz
@nwntz 5 лет назад
we usiniangalie mimi jibu maswali ya waziri hapa
@kulwamigo9127
@kulwamigo9127 5 лет назад
Dah,jamaa kakutana na kisiki cha mpingo
@oscarlyanda4388
@oscarlyanda4388 5 лет назад
Huyo jamaa anaye jibu maswali hajui lolote anajibu maswali kama mlevi
@kulwamigo9127
@kulwamigo9127 5 лет назад
@@oscarlyanda4388 chezea ziara ya kushitukiza kk🤣
@faridumiraji9960
@faridumiraji9960 5 лет назад
Abra kadabra
@erickkagisa3470
@erickkagisa3470 5 лет назад
mi nikitoka hapo waziri na mkuu wa mkoa wakiondoka wafanya kazi wore natimua,,,,yahan mnanikimbia mnaniachia msala!!
@piusmdoe8112
@piusmdoe8112 5 лет назад
Shida iko hivi,Tz bado inapigwa,haijapata watendaji wenye utayari,weledi na uwajibikaji.Ndio maana akitokea wa kujaribu kuwajibika ipasavyo inakuwa kama jambo la ajabu.Wangekuwepo kama mwenye nchi mambo yangekuwa bomba.
@hasinauuwimana8405
@hasinauuwimana8405 2 года назад
Tatizo wakisema kunahitajik washauri kutok nnje watu tunalalimik kua tunajitokzlez
@kiariedavid8370
@kiariedavid8370 5 лет назад
Hii inaitwa Abra kadabra hehehehhe RC Mwaniri hoiyeee mchezo umekwisha usisike mkono
@treyibrahim2648
@treyibrahim2648 5 лет назад
Eeh kumbe niko peke yangu humu ndani?hahahahahahahahahahaha weziiiii nyie
@georgemhalla3515
@georgemhalla3515 5 лет назад
Trey Ibrahim @@ aiseee nimecheka hadi basi
@stevenshayo8801
@stevenshayo8801 5 лет назад
Kumbe nipo peke yang 😂😂
@felixbosco9683
@felixbosco9683 5 лет назад
Kwa waliopo ccm huyu ndie niliebakia kumkubali
@mariammussa2540
@mariammussa2540 5 лет назад
😂😂😂😂mbavu zangu jmn ....niko peke yangu tu hapa😂😂😂😂
@ammaherman3391
@ammaherman3391 5 лет назад
Hivi miaka yote hii hadi pamba ni shida. Serikali kwann msichukue hicho kiwanda mkisimamie wenyewe? Why lakini? Aibu sana.
@amanimwidowe653
@amanimwidowe653 5 лет назад
Kweli magufuli viongoz wangekuwa Kama hivi nawambieni baada ya miaka kumi tz inakuwa ulaya yaaani hata jua litapungua kuwaka
@ibrahimfrancophone229
@ibrahimfrancophone229 5 лет назад
Heee Timu ya magufuli iyo. Kama umeona. Heee kumbe niko peke yangu wote wamenikimbia apa tucheke pamoja
@jumaselemani2720
@jumaselemani2720 5 лет назад
Wamekukimbia daah 😂😂😂
@saitotisaitoti6734
@saitotisaitoti6734 5 лет назад
Huyu kaka anaonekana hana analolijua kabisaaaaa au anakigugumizi
@kiptookomen4127
@kiptookomen4127 5 лет назад
Mjama mjanja lakini kabanwa kwenye hesabu!! Na ziara ya gafla!! 😂😂😂😂
@moriz254
@moriz254 5 лет назад
Masomo muhimu na kuelewa position ya kazi. Kwake awezi jieleza. Huyu kama ni kortini angefungwa atakama hana atia😂😂
@allykassim9826
@allykassim9826 5 лет назад
ABRAA KADABRAA..... Mchezo umekwisha hapo.
@kingjafu7759
@kingjafu7759 5 лет назад
Huyu Jamaa katrend
@ayangaotacho2057
@ayangaotacho2057 5 лет назад
Kiukweli mkuu wa mkoa mjanja alaf ni noma sana naenda TRA uyu jamaa kashikwa pabaja aende pia na Nssf utakuta mishara ya NSSF Nitofauti na ya TRA tutakua wazalendo tu waziri (bashe) nae Yuko makini Kama
@erickkagisa3470
@erickkagisa3470 5 лет назад
jamaa nae kawa mkali,,,,tupeni order!!!
@abuyabally5086
@abuyabally5086 5 лет назад
weka mwekezaji alie serious na kaziwamgapi wamgepata ajira mapato mangapi yanapoteaa wakulima wamgapi wangeuza pamba hasara ni nyingi hapo wek mwekezaji mwenye kutaka kufanya biashara
@khamissnassor1462
@khamissnassor1462 5 лет назад
Duuh jamaa kama namuona anavyohaha vile😃😃
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 5 лет назад
Hahahahahahha😂😂😂😂😂heeee, niko peke angu kumbe hapa?!!wenzangu wote wamenikimbia
@mustaphahassan589
@mustaphahassan589 5 лет назад
Huyu jamaa hajui kujieleza
@AfroMusicCover25
@AfroMusicCover25 5 лет назад
Hapo ndio utajua, kwanini kulikuwa na debait mashuleni, na presentation ma vyuoni.... kujieleza ni tatizoo
@SHEMAHONGE
@SHEMAHONGE 5 лет назад
Shule
@kiptookomen4127
@kiptookomen4127 5 лет назад
😂😂😂😂
@kiptookomen4127
@kiptookomen4127 5 лет назад
Hiyo ni Ishuu ya hesabu, kujieleza leo inakuja namba mbili. Jamaa angekuwa ba hesabu sawa na daily records ( Takwimu ) ya kiwanda hangevuta jasho jebamba!! 😓😓 😂😂😂😂
@manpoo6979
@manpoo6979 5 лет назад
Yan ndoivo uyujamaa hajui kijieleza anabambanya mbanya maneno2
@erastojohn2101
@erastojohn2101 5 лет назад
Kumbe niko peke yangu APA. Awa mabos wangu wameniangushia jumba bovu
@donnieblasto2315
@donnieblasto2315 5 лет назад
😂😂😂😂 eeeh kumbe niko peke yangu hapa.
@privatesanya429
@privatesanya429 5 лет назад
RC mbona anamkazia jicho waziri
@colepapichulo4422
@colepapichulo4422 5 лет назад
Huyo jamaa na mkuu Wa mkoa wanajuana wanatuzingua tu ,mwisho kabsa jamaa anamtuliza mkuu potezea basi nimecheka sana
@jumamwadhini6066
@jumamwadhini6066 5 лет назад
Mohammed kama niwewe unge fanyaje hpo ukiangalia unakula maswala ya bashe
@jumamwadhini6066
@jumamwadhini6066 5 лет назад
George unajua hii habari napenda kla mda kuiskiliza hawa mawazir wapo makini wte huyu jamaa hana akili namshanga huyu mwenye kiwanda kuweka watu mbumbumbu
@allymapinda8804
@allymapinda8804 5 лет назад
He kumbe niko peke yangu hapa HAHAHAHAHA Kaniua jamaa LOL
@junioramos2997
@junioramos2997 5 лет назад
Aisay kama kunasemu magu alinigo ga nyondo kuchagua daaa uyu bashe bonge la mtu
@adammakoye4198
@adammakoye4198 5 лет назад
Junior Amos awe Waziri kamili tu huyu jamaa . cheki ni miezi kazaa tu tangu aingie mashamba yamepimwa PH masoko baadhi ya mazao yamefunguliwa naomba aje kuna kijiji kimoja huku kwetu takribani ardhi ya kijiji kizima miwa inalimwa ila inakosa soko akipaona huyu jamaa kiwanda kidogo cha sukari kitajengwa aisee !!
@magrethmwaibula926
@magrethmwaibula926 5 лет назад
Bashe nampenda Sana yupo makin na anaongea kwa uchungu Sana
@felixbosco9683
@felixbosco9683 5 лет назад
Huyu kaka anafanya anachokijua habahatishi namkubali sana
@seifzongo320
@seifzongo320 5 лет назад
kumbe niko peke yang 😄😄😄
@kennedylwambano5588
@kennedylwambano5588 5 лет назад
Ablakadabaaaa
@frankngoloka8311
@frankngoloka8311 5 лет назад
Tunakukubari Bashe piga kazi
@japhetjoseph1772
@japhetjoseph1772 5 лет назад
Ase bashe nakuelewa sana
@zakaraialusasi2684
@zakaraialusasi2684 5 лет назад
Hajui kujieleza plus woga ndo uwiiiii ukawa UJI
@machinefannatic99
@machinefannatic99 5 лет назад
Badge... Mtikise huyo.
@DrAbdi-rv4hd
@DrAbdi-rv4hd 5 лет назад
Kudadeki 😀😁😂 uku mwanri kule Bashe Patamu apo
@mzeemohamed8065
@mzeemohamed8065 5 лет назад
Daa?! Bashe uko vizur sio kwa maswali hayo
@emmanueljohn5011
@emmanueljohn5011 5 лет назад
Mambo aya daaah ivi kweli unajibu majibu aya mbele ya viongozi hawa , kweli kuna watu hawajitambui
@ibrahimyusuph6458
@ibrahimyusuph6458 5 лет назад
Kama umesikia abra kadabla gonga like hapa. 😁😁😂
@kiptookomen4127
@kiptookomen4127 5 лет назад
Hesabu na Abra Kadabra zilikataa kukubaliana hapo kiwandani!! 😂😂😂😂
@florenceshangwe7558
@florenceshangwe7558 5 лет назад
😀😀😀😀Hyo inaitwa Abracadabra, it's a nonsensical game..acha ww usinishike mkono #Mwanri
@SamuelCharles-111
@SamuelCharles-111 5 лет назад
Duh ila wenzake wamechoma vibayaa🤔🤔
@zuberikamote2078
@zuberikamote2078 5 лет назад
Mwarabuu nae kajajuuu akachafukwa nanini jmniijj
@rabrojita1552
@rabrojita1552 5 лет назад
Bashe kichwa
@bahatiteti9599
@bahatiteti9599 5 лет назад
Niko pekeyangu kweli
@georgemhalla3515
@georgemhalla3515 5 лет назад
Bahati Teti @@ duuu harari sana aiseee
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 5 лет назад
Huyu meneja bora angesema sifahamu kuliko kujibu vitu usivyovijuwa.
@teachermosseskalolo6654
@teachermosseskalolo6654 5 лет назад
Hahahhaahhahh 1400 -: 6000 Kama umesikia hyo gonga like
@iviejustified8109
@iviejustified8109 5 лет назад
Hehehe ulimi umetereza
@iviejustified8109
@iviejustified8109 5 лет назад
Mchezo umekwisha Hapaa usinishike mkonooo
@jozefuedmund2126
@jozefuedmund2126 5 лет назад
Yupo sahihi ni around 23.3% ukigawa in terms of %
@zittameela9090
@zittameela9090 5 лет назад
Nimemuona huruma boss wa watu
@iviejustified8109
@iviejustified8109 5 лет назад
Duh tutaanza lini kufanya kazi?? Tanzania .... watu wametuchukulia poa saana asee..
@klaragreen7999
@klaragreen7999 5 лет назад
Mwari bwana 😆😆😆😆😆
@jumamwadhini6066
@jumamwadhini6066 5 лет назад
npo peke yangu humu ndani hahahaaa chezea bashe wwe
@mohammedabdallah6390
@mohammedabdallah6390 5 лет назад
🤣🤣🤣🤣 nlicheka sana
@georgemhalla3515
@georgemhalla3515 5 лет назад
Juma Mwadhini @@@ haaaaaaaa, jamaaa amejamba ghafla!!
@schoolboy1614
@schoolboy1614 5 лет назад
😂😂😂😅😅 Dah i serikali ni balaa
@DZASTER_ON_DA_BEATS_TZ
@DZASTER_ON_DA_BEATS_TZ 5 лет назад
hahahaha kwan ulitaka uwe na nani
@machinefannatic99
@machinefannatic99 5 лет назад
Huyo mjanja wameshekacheka Nae inaezekana yeye ndio kawafukuza wafanyakazi au kawaonga wakimbie ili wasiseme ukweli
@ndoileseleman4863
@ndoileseleman4863 5 лет назад
Abra cadabra😁😁😁
@gerkombo6512
@gerkombo6512 5 лет назад
Ya nini? Uzi uzi, input ni kias gan? Heee! Kumbe wote wamenikimbia niko peke yangu. Kuwekwa mtu kati cyo mchezo. Wajanja wamechanja mbuga.
@joxiahmendez1325
@joxiahmendez1325 5 лет назад
Wachaa hiooo!..
@mathewungani9724
@mathewungani9724 5 лет назад
Jamaa atakuwa hata Kamkojo kamemtoka....
@ibrahimfrancophone229
@ibrahimfrancophone229 5 лет назад
Hahahahahahaha iyo inaitwa ABRA KADABRA
Далее
Борщ в стиле высокой кухни!
00:57