Тёмный

WAKINA MAMA WACHAFUA HALI YA HEWA KISUTU, NGUVU YATUMIKA KUZUIA WANANCHI WASIHUDHURIE KESI YA MBOWE 

Chadema Media TV
Подписаться 210 тыс.
Просмотров 23 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

23 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 45   
@chidjosh6056
@chidjosh6056 3 года назад
Kusema kweli akina mama chadema, mnafanya kazi kubwa
@forodhanitaslima1617
@forodhanitaslima1617 3 года назад
Mama Kama hawa wakipatikana 1000! Watatuelewa kuhusu Ishu ya Katiba..apewe ulinzi
@EliaHiluka
@EliaHiluka 15 часов назад
Tunashauri kama watumishi wa Mungu serikali iache ubabe iache vitisho kwa raia Machozi ya wananchi yatawagarimu pale ambapo Mungu mbabe wa Dunia atakapo shughulika dhidi ya waonevu
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 3 года назад
Umeongea kweli kbs mama pole sana wote imetuumiza hiki kitendo cha kinyama kinachoendelea mungu ndo kila kitu🙏🙏
@danielmgeni1703
@danielmgeni1703 3 года назад
inauma sana
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 3 года назад
Wa Tanganyika AMKENI katiba mbovu msiwe mnalinda CCM Tu, katiba hii haiwezi kuleta maendeleo ndio maana tunashindwa na Kenya na Rwanda
@ayyanjambau2847
@ayyanjambau2847 3 года назад
Ipo sku uonevu huu utavunwa na ccmpolice
@annastaziaanna639
@annastaziaanna639 3 года назад
❤️
@uhurunyereremusa8592
@uhurunyereremusa8592 3 года назад
mahakamani ni eneo la wazi wananchi wote wanakaribishwa polisi inaingilia shughuli za mahakama kwa kuzuia watu
@mangasonsamson2101
@mangasonsamson2101 3 года назад
Watuzia vyotee kamwe hawatoweza kuzui nguvu iliyo na mkono wa Mungu wataangamia wao Kama ilivyokuwa hapo nyuma kidogo
@tubonemahalack2578
@tubonemahalack2578 3 года назад
Akika serikali ya ccm inavo tufanyi a watanzania inatukosea sana
@ricardoisdory1761
@ricardoisdory1761 3 года назад
wamesema anatuhumiwa hvyo tusubiri kama atakutwa na hatia au lah maana yeye pia ni binadamu anaweza kukosea
@sallahsultan2404
@sallahsultan2404 3 года назад
Kama unataka mawaidha basi msiba unatosha... ukimuona mtu hakuwaidhika kwa kifo cha mwenzake basi moyo wake umekugfa
@SamsungGalaxy-kx2zj
@SamsungGalaxy-kx2zj 3 года назад
Duu mama kweli ww huna maana wakimbia familia yako kutoka tabora mpaka Dar ww hukujua mahakamani umekuja kujiuza
@kasoyatvonline322
@kasoyatvonline322 3 года назад
Mama tulia IPO siku mungu atajibu
@kingbuddah6372
@kingbuddah6372 3 года назад
Yani mimi kamaningekua jaji ningemleta mbowe mwaka maratatu mahakamani baadaye ningemfunga miaka 56.jela Kashindwa kulipua vituo VYA mafuta Sasa Wanawaua Viongozi wa Serikali Miaka mia jela sio mnaleta mahakamani kila wiki.! Angekua marekani angekoma funga huyo sio mnamchekea
@uhurunyereremusa8592
@uhurunyereremusa8592 3 года назад
Samia anachafua nchi kwa kufungua kesi za kupika za ugaidi ndani na nje ya nchi
@madhuru2554
@madhuru2554 3 года назад
Samia hachafui nchi,chadema wanamdharau huyu mama kwa kuwa ni mwanamke.
@OdiloMagungu-uf5is
@OdiloMagungu-uf5is 17 часов назад
Police ccm ni kero katika nchi yetu hii
@serafineslaa1082
@serafineslaa1082 3 года назад
Rais samia ni lazima amuondoe siro kama anataka haki itendeke kwa raia wa nchi hii.
@mangasonsamson2101
@mangasonsamson2101 3 года назад
Hiyo ndo ileee this time tommorow!
@jumakapola419
@jumakapola419 3 года назад
Kila kitu kina mwisho na mwanzo mtu anadai haki anaitwa gaidi dah kweri iyo ni Tanzanian
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 3 года назад
Ww samia nikivul tu kuna watu nyuma yake
@pungopungo411
@pungopungo411 3 года назад
Usimtajetaje raisi wetu samia hajakwambia ukiuke sheria. Mnakunya wenyewe kisha unamwambia raisi zoa. Huyo raisi kwanza sio hazi yenu. Ni amili jeshi mkuu. Mkiiba kuku mnamshilikisha samia .kuweni na adabu huyo sio daraja lenu kama unavyohisi
@elsonkibasindila7526
@elsonkibasindila7526 3 года назад
Sasa watu matako ni nyie
@emmapaul1766
@emmapaul1766 3 года назад
Kuma lako linanuka kalioshe mkundu unayefilwa ccm wewe kumamako
@ebenezerfreight3309
@ebenezerfreight3309 3 года назад
Kuna Mambo ya kipumbavu kweli viongozi tumieni akili sio nguvu.kumbuka mtakufa na kuzikwa sawa na mnaowaonea
@maduhumaduh1005
@maduhumaduh1005 3 года назад
Jitafakali kwanza
@musashaweji4835
@musashaweji4835 3 года назад
Lazima usachiwe
@tanzanite9944
@tanzanite9944 3 года назад
Tatizo la akina mama wa Chadema ni kuwa Saa Nyingine mbalazimisha Na Kumwambia Rais hamtojali kitu, na Saa nyingine mnamwomba Awasaidie. Sasa yeye atashika lipi?Shikeni upande mmoja, kama mnaomba , omba; na Kama inalazimisha basi lazimisheni throughout, msitangetange Kama kipepeo kwenye maua mengi. Mnamchanganya na Anashindwa kuwaamini. Omba Tulia, subiri jibu.
@williamomondi1240
@williamomondi1240 3 года назад
Siyo kuomba na kutulia katiba lazima
@fredreckmwakalinga3475
@fredreckmwakalinga3475 3 года назад
Haya mambo walikuwa wanafanyiwa African kusini na makaburu ety Tz tunafanyiana wao kwa wao kutawala milele kijinga bila idhini ya wananchi
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 3 года назад
Jadi yetu wa Tz Ni utani iwe kwa makabila, dini, timu za mpira, n.k. Inashangaza serikali mmetuangusha katika vyama.... Hivi kwa nini msitumie jadi yetu ya utani... Kama ilivyo kuwa wakati wa kuanzisha vyama hivi Nyerere akiwepo.. uchu na uroho wa madaraka ndicho kinasumbua...site tu mavumbi na mavumbini tutarudi. Eee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz
@rahabumichael58
@rahabumichael58 3 года назад
🤣🤣mama huna familia au huna, kazi nyumbani kwako ? Eti ana familia, kwani inahusuu muone hicho ni kiherehere chake, pamoja na ww ivi kweli wewe unajitambua kwa mnaweza, shindana na serikali... ?
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 3 года назад
Use your common sense you just want power.Chadema siwaamini Tena
@renathaapollo3124
@renathaapollo3124 3 года назад
Na sisi atutaki utuamini kwendraaa kwenye miamala uko
@ayoubabdulrahman1305
@ayoubabdulrahman1305 3 года назад
@@renathaapollo3124 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@prosperjohn5849
@prosperjohn5849 3 года назад
Elimu haijamkomboa ata kdg ndugu yangu unamaisha gan ww unaetetea uasi........ask yourself......,........... binadam wote n sawa hakuna aliyezaid ya wenzake ndo maan wote runakufa even hao wanao accuse wenzao ipo siku yao hakuna maref yasiyo na ncha
@chidjosh6056
@chidjosh6056 3 года назад
Samia limekaa kama bubu
@itwaaky75
@itwaaky75 3 года назад
Acha matusi
@tanzanite9944
@tanzanite9944 3 года назад
Kobe akikaa kimya ndio anafikiria busara
@musashaweji4835
@musashaweji4835 3 года назад
Ningekuwa Askari ningewagonga viboko pumbavu nyie kwaiyo kama anafamilia kwani awezi kukosea pumbavu wazee piga vurungu hao
@prosperjohn5849
@prosperjohn5849 3 года назад
Musa Musa unaongea nn akiri wamekuzid ad wanawake kweli? Wanawake wanawaza future Lkn jitu Zima upo Tu kama tahira hajui kusoma ata picha hauoni??? Mambo yanayoendelea hauoni kwambia ipo siku yatatuletea shida sisi sote???
@musashaweji4835
@musashaweji4835 3 года назад
@@prosperjohn5849 mwendo wa viboko tuuu ndio tushamaliza ccm pumbavu Sana nyie mnaacha kwenda kutafutia watoto zenu ugari mnaanza kukusanyana mahakamani mnachukulia hapo club nini
@annastaziaanna639
@annastaziaanna639 3 года назад
❤️
Далее
Wait for winner 🏆 😂 #shorts
00:42
Просмотров 5 млн
DIVORCED! Gachagua, Raila’s THREAT to Ruto’s Reign
19:47