Тёмный

WAKRISTO KUOA MKE ZAIDI YA MMOJA JE MZEE WA UPAKO KWANI ANASAPOTI? 

MWALIMU ISAYA BENSON
Подписаться 20 тыс.
Просмотров 20 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 379   
@ThomasMselle-rw5ej
@ThomasMselle-rw5ej 5 месяцев назад
Nilikuwa nikupinge lakini sasa nimekuelewa na kukubali umesema kweli tupu. Very great nitakutafuta Isaya the teacher
@Abcdefghijjjjjjjj
@Abcdefghijjjjjjjj 5 месяцев назад
😂😂😂😂 Thomas umewah kumpinga huyu MPINGA KRISTO wewe? Kuwa muwaz bana Mpo njia Moja tangu mwanzoni kabisa
@IsayaMakau
@IsayaMakau 5 месяцев назад
Perfect 👍 well explained 👌
@chistinenduwayezu6080
@chistinenduwayezu6080 4 месяца назад
Asante mwalimu .mimi nakusoma 200%
@geraldmnyone9340
@geraldmnyone9340 5 месяцев назад
Wakati wote kile kimjaacho mtu moyoni ndicho kimtokacho. Kinachofanyika hapa ni kulichafua Kanisa la Kristo aliloligharamia kwa mauti ya msalaba. Hatushangai mambo kama haya kutokea nyakati hizi. Mtu akifarakana na Roho Mtakatifu ni hatari sana! Mteule uwe macho!
@mkanulamajid500
@mkanulamajid500 3 месяца назад
Tangie ile Habari ya ugaidi na uislam ulifafanua ipasavyo nakukubari pia uko vzuri naendelea kukufuatilia hongera sana Mr isaya natamani cku moja uje kuwa ustadh utapendeza sana ubarikiwe sana
@RashidKasanduku
@RashidKasanduku 3 месяца назад
29:00 29:11 Asante sana mwalimu waneno la MUNGU mimi ni mwislamu lakini huwa nakuelewa sana MUNGU akubaliki sana
@LosotwaMichael
@LosotwaMichael Месяц назад
Ni sawa kabisa haya mimi nimeanza utaratibu wa kuoa mke wa pili
@SadikRajab-l6i
@SadikRajab-l6i 3 месяца назад
Duuh huyu jamaa ni mkweri sana hongera brother
@sautikuu212
@sautikuu212 5 месяцев назад
Inna nahnu nazzalna dhikra wainna lahu lahaafidhuun
@ALLYBULULA
@ALLYBULULA 3 месяца назад
Hongera kwakufikisha ukwel nahapo wqnaopenda uznifu watakupinga na wanaake wenyewivu watakupinga ila upo sahihi mola.akuongoze ulejee ktk uislam ndio ktk haki
@FelisterMsyani
@FelisterMsyani 5 месяцев назад
Hili swala la ndoa linanitatiza sana...naomba mungu anipe ufunuo juu ya hili...
@emmanuelakutulaga9756
@emmanuelakutulaga9756 4 месяца назад
Tunashukuru Kwa elimu, kip it up. Sisi tunakuelewa sana,...lakini wale hawakuelewi KBISA.
@saidkipalo4427
@saidkipalo4427 5 месяцев назад
Baba Upo vizuri mno fact's
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 5 месяцев назад
MADA HII NI RAHISI SANA,MFANO DAUDI ALIKUWA NA ZAIDI YA MKE MMOJA,LAKINI MUNGU HAKUMKEMEA KWA KUOA WAKE WENGI,ALIMKEMEA KWA KUPOKONYA MKE WA URIA ASKARI WAKE..HII INA MAANA MUNGU HANA SHIDA NA WAKE WENGI
@salumsimai642
@salumsimai642 4 месяца назад
Sasa tuoeni wake wengi sasa
@salumsimai642
@salumsimai642 4 месяца назад
Ili tuwanusuru wanawake waaafrika wenzetu tuachane na wazungu
@kitindifredy9436
@kitindifredy9436 4 месяца назад
asante sana kwasomo kubwa
@loner_wolf
@loner_wolf 5 месяцев назад
NJOONI KATIKA DINI ACHANENI NA MILA ZA KIRUMI .....PROUDLY MUSLIM ALHAMFULILLAH 😊
@LosotwaMichael
@LosotwaMichael Месяц назад
Wakristo Tunajinyima raha wenyewe Chagueni wake mnaowapenda muwaoe
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 5 месяцев назад
kabla ya kulaumu jiulize kwanini Mwenyezi Mungu akaumba idadi kubwa ya wanawake.
@nillachrispher9556
@nillachrispher9556 4 месяца назад
Toka mwanzo haikuwa hivyo, Mwl soma vizuri Neno! Usipotoke
@sweetbertrwiza5982
@sweetbertrwiza5982 3 месяца назад
Niambiea toka mwanzo kuna kiumbe gani Mungu aliumba zaidi ya viwili? Yaani cha kiume na cha kike
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 5 месяцев назад
Mungu akubariki sana
@pidiusDominick-qi7nl
@pidiusDominick-qi7nl 5 месяцев назад
Uko vizuri mwalimu isaya achana na hao wakina mbalikiwa hawajui wanataka nini maana wanajifanya kama mbingu niyao na kuona wengine hawafai
@sweetbertrwiza5982
@sweetbertrwiza5982 3 месяца назад
Huyo mbarikiwa kuna siku aliniblock baada ya kumpinga wakati anatetea ujinga w Sabaya anataka kukosoa wengine lakini yeye hataki kukosolewa
@YusufLugata
@YusufLugata 5 месяцев назад
Mwalimu ubarikiwe sana. Unaelimisha jamii Kwa ukweli. Naitwa Bp Yusuf Lugata wa Geita huduma ya New Deliverance Church International. Naomba kujua wewe unaabudu Kanisa Gani. Naomba utusaidie zaidi kuhusu maisha baada ya kifo. Eschatology... Naomba sana
@leonardchoma3765
@leonardchoma3765 5 месяцев назад
Kumuuliza ana abudu Kanisa gani ni kukosa akili.Lengo lako ni nini.Huu ni utumwa wa dini badala ya kuwa huru kiroho.Dini au Kanisa gani mtu anaabudu ulikuwa mpango madhubuti wa walioleta vitabu ili kuwatia umaskini Waafrika.
@sweetbertrwiza5982
@sweetbertrwiza5982 3 месяца назад
@@leonardchoma3765 shida dini zimekuwa zinawatisha watu hasahasa wanawambia wakifa hawawaziki wakioa mke zaidi ya mmoja
@sweetbertrwiza5982
@sweetbertrwiza5982 3 месяца назад
@@leonardchoma3765 na ndoa hawawezi kuzifunga, lakini kuoa mke zaidi ya mmoja utapata tabu kuwatunza na watoto utashindwa kama kupato chako kidogo labda ndio maana walitwambia hivyo ili tusije tukashindwa kutunza familia
@KabatoniBoraa
@KabatoniBoraa 5 месяцев назад
Toeni ulofaa apo na uzinifu umewajaa mnajifanya mmeowa mke umoja baadaye akiumwa ao akifariki unaenda kuzini eti yesu amesema tuowe mke umoja unakubali unajificha unamzini mwanamkewa inje .siuowe tu acha uxinifu.iyo nisababu yakwanza mimi nakupeni.ni nyingietu sabab zakuowA wake zaid ya umoja.sbbu matatizo kuwanaume ni meeengi ndiyo mana mungu aliwapangiyeni kuowa wake wengikwanini mko wapingaji?Tena mungu hakupanga kwa sisi waislam tu nisisi wote wajawake sabab sote ni wanadam.mnaswara muislam sote.
@SAYUKI513
@SAYUKI513 5 месяцев назад
Mimi naona mke mwingine soon na ni mroman cwez kufuata mpango wa binadamu niache kufuata mpango mungu.
@emmanueltengulaga9007
@emmanueltengulaga9007 3 месяца назад
Elimu Yako ni ndogo sana kujiita mwalimu
@didasmajor9288
@didasmajor9288 2 месяца назад
Weeeeeeeeeee, akili ya kuambiwa changanya na ya kwako
@ZakariaChaula
@ZakariaChaula 5 месяцев назад
Kaka MUNGU akubariki Sana, ila nakupa pole maana elimu ya mke mmoja imetawala Sana mwanadamu na mbaya zaidi elimu zote zinatoka Kwa wazungu. Waafrika tumeacha VYA kwetu tunafuata VYA wageni
@abdulcharles3430
@abdulcharles3430 5 месяцев назад
Binafsi nimekuelewa mwalimu👏👏👏
@masumbukosylvester9482
@masumbukosylvester9482 5 месяцев назад
Ubarikiwe huo ndio ukweli sema wivu was uke wrnza ndio unaleta shida.
@planetanimals9547
@planetanimals9547 5 месяцев назад
Wamasai wakikiristo wanaoa zaidi yamke mmoja nakupongeza sana mwalimu kuendelea kuwaonyesha ukweli huu ingawa wengi hawakuelewi mana wametawaliwa nashetani
@elishadodi8787
@elishadodi8787 5 месяцев назад
Unampongeza kwa ujinga tu.
@GeraldKishimbo
@GeraldKishimbo 5 месяцев назад
Hueleweki kabisa nakushhauri uwe Mwsilam ukaoe WA awake Tani yako KWA wakristo ni mmoja BIBLIA INASEMA MTU ATAAMBATANA NA MKEWE
@johnndaji9532
@johnndaji9532 5 месяцев назад
Kazi zipo nyingi tu siyo kujifanya mwalimu
@jumahalifa6436
@jumahalifa6436 5 месяцев назад
Kazi ndiyohiyo yakuelimisha
@SadikRajab-l6i
@SadikRajab-l6i 3 месяца назад
Jamaa akiri nyingi sna huyu
@pastorjameswatersoflifechu1227
@pastorjameswatersoflifechu1227 5 месяцев назад
Kuoa wake wengi sio wito ndugu yangu. Naomba swala hili kama huna uhakika liachetu. Unatengeneza watu wakuoa wake wengi.
@elishadodi8787
@elishadodi8787 5 месяцев назад
Huyu kaajiriwa na Ibilisi yupo kazini kwa Baba yake kupotosha watu
@HekimaSalama
@HekimaSalama 5 месяцев назад
Nimekufuatilia sana kwa kipindi kilefu nikagundua kwamba ww jamaaa unaakili ndogo sanaa
@MachinjaShabani-c2f
@MachinjaShabani-c2f 5 месяцев назад
Wewe akili yako imesinyaa sana!
@gisellamkama3785
@gisellamkama3785 4 месяца назад
Hapa watu waelewe, anayeolewa ni mwanamke tu. Na ndio maana ni rahisi kwa mwanaume kuwa mwili mmoja na wake zaidi ya mmoja. Na ndiomaana hesabu za Mungu haziongopi zenyewe zinabaki na ukweli uleule kwamba mwanaume atahitajika kuoa mke zaidi ya mmoja lakini si kwa kulazimishwa ni kwa hiari.
@KilonzoJohn-mg7cw
@KilonzoJohn-mg7cw 5 месяцев назад
Sema bibilia inasemaje ACHA ujinga na uchawa achane kutumia vibaya neno LA mungu Kwa sababu ya kutetea manabii wa uonge kumbuka ikosiku inakuja hayo unayosem utajibu mbele za mungu ACHA tafri za hovyo ACHA uchawa lusekelo ni mlevi anafundisha uongo nawe nisehemu ya mlevi muongo mnanganyifu mwalimu wa uongo na mungu anakuona
@leonardchoma3765
@leonardchoma3765 5 месяцев назад
Biblia ndiyo nini?Hiyo Biblia haikushuka toka mbinguni.Iliandikwa na wanadamu na kufanyiwa marekebisho mara1647 kwa maslahi ya Wazungu ili tuwe mafukara.Hadi hii leo Mashoga wanaendelea kukifanyia marekebisho Kitabu hicho.Kama ukuu wa Mungu unadhihirika kwenye Kitabu kiitwacho Biblia au Qur'an basi huyo ni Mungu aliyefeli.Kwenye vitabu huko ndiko kulikojaa utapeli,mauaji,wizi,ubaguzi nk.
@saimonsingija
@saimonsingija 5 месяцев назад
Mwogope Mungu, acha kupotosha neno la Mungu.
@josephatkajange-zx2tl
@josephatkajange-zx2tl 5 месяцев назад
Amepotosha nini, toa vifungu hapa. Sio kusema tu from no where!
@SaleheMwambiki
@SaleheMwambiki 4 дня назад
Kapotosha nini hapo? Mnaoa mmoja lakini mitaani mnamsululu wa michepuko
@davidndaha9607
@davidndaha9607 5 месяцев назад
Ila ndugu zangu midia kwasasa zitatupoteza
@IbrahimunyandaDanieli
@IbrahimunyandaDanieli 5 месяцев назад
Kweli zitatupoteza
@eppiemodest
@eppiemodest 5 месяцев назад
HAKUNA KUOA WAKE WENGI. NDIYO MAANA WALIKUWEPO ADAM NA HAWA TU. MUNGU HAKUONGEZA MWANAMKE MWINGINE KWA ADAM
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 5 месяцев назад
Hata kama ungeoa wanawake 100 uta zaa wana wake wengi kuliko watoto wa kiume kwa hoyo haita saidia kama ni tamaa za kimwili owa tu lakini hutaweza kuwamaliza wana wake.
@DodomaTanzania-r5z
@DodomaTanzania-r5z 5 месяцев назад
Una akili kubwa unachoongea ni kweli wanawake huwez kuwamaliza
@MariaDallaris
@MariaDallaris 5 месяцев назад
Hongera sana mwalimu uko vizuri sana unawafafanulia sana bibilia
@GraysonMtengeti-zc4ft
@GraysonMtengeti-zc4ft 5 месяцев назад
Safi sana
@jakoboamon9402
@jakoboamon9402 5 месяцев назад
Kuongezeka Kwa kuzaliwa kimwili haimbabaishi Mungu,mkezaid ya mmoja in dhambi
@adonaiastoni1703
@adonaiastoni1703 5 месяцев назад
Ni marufuku kwa mkristo hiyo ni tamaa na uache kupotosha watu Paulo anasema aliyezidiwa saana na tamaa awe na mke mmoja acha upotoshaji
@AhmedyyMicharazo-wi4mx
@AhmedyyMicharazo-wi4mx 5 месяцев назад
Aliqmbiwa nenda nyuma yangu shetani ukikwazk Kwang
@wilsonmasaindiammasi2779
@wilsonmasaindiammasi2779 5 месяцев назад
Hayo maoni ya Paulo
@juliusmsegu3347
@juliusmsegu3347 5 месяцев назад
Hayo ni maneno ya mtume Paulo sio ya Yesu.
@LuganoKingdom
@LuganoKingdom 5 месяцев назад
Wewe ndiyo mkristo wa kweli, endelea kutetea Kizazi cha UKRISTO
@ramadhanishabani9264
@ramadhanishabani9264 5 месяцев назад
wakristo hawaruhusiwi kuoa mke zaidi ya mmoja, ili pate nafasi hii adimu kwa madhehebu mengine, ili waoe wake wawili, watatu, wanne, lazima wasilim wawe waislam ndio wapate idhini ya m/mungu, inje ya hapo indeleeni kuzini mtakuja kujuta siku inakuja mtakusanywa km udongo wa mfinyazi na kupondwa pondwa na kutupwa motoni kwa upofu wa mioyo yenu kukataa kuiona kweli ya m/ mungu
@yusuphhassan9619
@yusuphhassan9619 5 месяцев назад
Wewe kweli ni mwalimu unasimama na ukweli Mungu akulipe kheri
@RosemaryChengula
@RosemaryChengula 5 месяцев назад
Shehe acheni kupotosha watu tamaa ya mwili huwez itimiza
@yusuphhassan9619
@yusuphhassan9619 5 месяцев назад
@@RosemaryChengula siyo tamaa ya mwili sisi tunafata mitume na manabii wote walioa wanawake zaidi ya mmoja je walifanya dhambi?
@LuganoKingdom
@LuganoKingdom 5 месяцев назад
Uko vizuri saana, ila uwezi eleweka kwa sababu tumedanganywa mpaka tumepoteza uelewa wetu USICHOKE KUKOMBOA UZAO WA KIKRISTO
@emmanuelakutulaga9756
@emmanuelakutulaga9756 4 месяца назад
NIMEKUELEWA SANA
@BarakaYasini-lp3ys
@BarakaYasini-lp3ys 5 месяцев назад
Ukweli unajua Sana mjinga ndy atakaye kubisha
@elifasinimpagaritse7902
@elifasinimpagaritse7902 5 месяцев назад
Huyu mwalimu Ana sema Biblia tunayo isoma sio ya kweli Ila anapo soma kuhusu Mambo anayo yataka yeye Anafika anaweka tiki kuwa ni kweli
@elishadodi8787
@elishadodi8787 5 месяцев назад
Huyu dishi limeyumba na hajielewi anaeleza suala la ndoa kwa mitazamo ya kidunia Mara aikosoe Biblia kuwa ilipotoshwa na kujiona yeye Yuko vizuri na historia zake za kishetani. Tukisema hivi anasema tunamtukana. Ni Mpumbavu sijawahi kuona Ila yeye anavyojiona ni bonge la Mwalimu. Yeye kama anadai wakristo hatuongezeki na akijiona yeye anafundisha sahihi, ana mpango wa kuoa wake wangapi kama mwl wa Neno la Mungu?
@heneriko_pius
@heneriko_pius 5 месяцев назад
HAMNA MWALIMU HAPA TUSHAPIGWA TAYARI
@eppiemodest
@eppiemodest 5 месяцев назад
ACHANA NA OPOTOFU MWISHO UTASEMA WAOANE BILA UTARATIBU WA DINI. SIKU ZA MWISHO HIZI JAMANI. TUWE MACHO.
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 5 месяцев назад
Imeandikwa kwa sababu ya ugumu wa mioyo usifikili walipooa wanawake wengi Mungu alifulahi.hapana yesu alisema ni.ugumu wa mioyo na inaonyesha kuna vitu mtumishi wa Mungu akivifanya Mungu anachukizwa ila anakuwa hana jinsi wakati mwingine anasamehe wakati mwingine mapatilizo hayaishi.usilahisishe.bensoni.yeye aliyeumba aliumba mke na mume ukiwa.bize.na Mumgu sana hata mume mmoja mke mmoja bado ni mzigo watu wanalahisisha kuwa na Mungu mfano.hata.mwiislamiki.anae.swali swala.tano.Mungu anamfunulia jinsi.dunia ilivo.na.siri.nzito.naamini.hawezi oa mke zaidi ya mmoja maana majukumu ya Mungu majukumu ya mke majukumu.yake majukumu ya watu majukumu ya watoto wake awafundishe kumcha.Mungu wanadamu tuache masiara
@sweetbertrwiza5982
@sweetbertrwiza5982 3 месяца назад
Kwa hiyo kuna kiumbe kiliumbiwa wake zaidi ya mmoja yaani kuku ng'ombe nk mbona vyenyewa haviko na mmoja? Acheni kukariri bwana
@lwitikoasa6899
@lwitikoasa6899 5 месяцев назад
Mwalimu wewe ni teacher mzuli sana Kwafundisho hili haupo sawa Biblia. Marko 10:6 [6]Lakini tangu mwanzo wa kuumbwa ulimwengu, aliwafanya mume na mke. SIYO MUME NA WAKE
@Pendopasilika
@Pendopasilika 5 месяцев назад
Masomo mengi tu anapotosha so hili tu naona ametumwa kazin na baba yake ibilisi
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 5 месяцев назад
Tena Yesu anawambia ni kwa sababu ya tamaa.naomba mtoe maandiko maana ndiyo msingi.alafu kama mtu anahitaji kuoa wake wawili aoe kwani mmezuiliwa na naniii?
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 5 месяцев назад
Tena Yesu anawambia ni kwa sababu ya tamaa.naomba mtoe maandiko maana ndiyo msingi.alafu kama mtu anahitaji kuoa wake wawili aoe kwani mmezuiliwa na naniii?
@mkkson6927
@mkkson6927 5 месяцев назад
Stay kwenye neno ya Mungu bro siyo maneno yako
@elishadodi8787
@elishadodi8787 5 месяцев назад
Yaani hoja ya kibiblia inavyotetewa ndipo utaelewa there is satanic agenda behind to spoil christians
@ElibarakaBellet
@ElibarakaBellet 5 месяцев назад
Biblia mwanzo Hadi ufunguo wa yohana hakuna sehemu imeandikwa mwanaume lazima aoe mke Moja kama unao mpunga oa wake wengi
@salumsimai642
@salumsimai642 4 месяца назад
Fact
@masoudsaid4157
@masoudsaid4157 3 месяца назад
Kasome 1wakolonto 7 kuanzia 1 hadi 10
@lawmarcusmwakagenda355
@lawmarcusmwakagenda355 2 месяца назад
Wewe Mwakilembe acha kufundisha upotofu afadhali upotee mwenyewe kuliko kumsaidia shetani kazi ya kupoteza walio wengi
@JacklineMmary-e2h
@JacklineMmary-e2h 5 месяцев назад
Kuolewa au kuzaa naye tu na sababu ilikuwa ni kupata uzao baada kuona umri umeenda ila MUNGU alishamuahidi atapata mtoto wa ahadi kupitia sara
@MashauriMashauri-u8q
@MashauriMashauri-u8q 5 месяцев назад
Ww sio mtumishi WA Mungu ww umetumwa na ibilisi maan unaipinga biblia! Unapotosha neno la Mungu! Paulo alisema ktk wagalatia 1:8 kuwa akija Malaika kutoka mbingun na kufundisha tofaut na Sisi na alaaniwe! Sasa ww unafundish kinyume na biblia! Mungu aksaidie Sana!
@paschaljuma3312
@paschaljuma3312 5 месяцев назад
Sasa binadam na malaika nani wa kuchaguliwa, Huyo Paulo ana utume gani kwanza?
@obadiahmadeje7016
@obadiahmadeje7016 5 месяцев назад
NIPE Maneno ya BIBLIA yanayokataza kuoa bibi 2, Ili yeye tumuone Kuwa muongo, Maana na Mimi kaniteka!
@simonmwambene4441
@simonmwambene4441 5 месяцев назад
Unajifanya unanidhamu wakati unalitukana Taifa la Israel wewe halafu unajiita Mwl wa neno la Mungu sijui Mungu gani
@victorbeno
@victorbeno 5 месяцев назад
Mmmmmmh nae huyu ujuage kusoma biblia sio kusomewa kila kitu utabaki unapingatu
@paschaljuma3312
@paschaljuma3312 5 месяцев назад
Kwaiyo israel ndio nini we mjinga
@adamsonkyando-l4i
@adamsonkyando-l4i 5 месяцев назад
!!! Kijana Umekufa kiroho,na shida umeokokea kwa hawa wanao jiita mirume na nabii asilimia kubwa hawa Neno la Mungu hawana ,wao wameshika vifungu vya kujilinda na mafanikio ,sio kweli ya Mungu ya kumfanya mtu aokoke !!! Mimi namshukuru Mungu nilisha wakimbia ,nimechunguza nikajuwa kweli hawa wauza mafuta ,na maji hawa hakuna kitu asilimia kubwa mafundisho yao niyakuzimu,yani yakishetan kabisa. Jaman makanisa yakweli yanayo hubiri kweli ni TAG , EAGT FPCT Na mengine Ambayo hawauzi vitu hawa ndo wanahubiri Neno kifadhaha lla sio hawa wauza vitu hawa
@isaackambofi1241
@isaackambofi1241 5 месяцев назад
Jipange usiropoke tu tatizo umerisi Imani izo, mazeebu yapo Zaid ya 1000
@heneriko_pius
@heneriko_pius 5 месяцев назад
HAKIKA
@daudigirgisi6683
@daudigirgisi6683 21 день назад
Sw ticha umesomeka
@sumamelody6197
@sumamelody6197 5 месяцев назад
Nimekuelewa sana mwalimu wangu tatizo ni mitaala tulio letewa na wazungu sio dini tu hata elimu yetu mashuleni inatufunza kua tegemezi
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 5 месяцев назад
Wakristo tusome biblia mbona inaonyesha aliyeumba aliumba mke na mume tunakwama wapi ukiwa siliasi.na.Mungu kwanza ndoa ni kitu kidogo sana msifikili watu wate.wanapenda ndoa ndoa zenu.hizo kila mtu alivojaliwa
@luckymsomba4818
@luckymsomba4818 5 месяцев назад
ukristo sio idadi. hatushindani kwa idad.tunashindania kukomboa roho
@dicksonmrope8030
@dicksonmrope8030 5 месяцев назад
Maoni ya wengi wanakupinga mwalimu Benson, wewe unafundisha ila haujashauri watu waoe mke zaidi mmoja Ila unatoa elimu, binafsi nimeelewa nimeongea kitu Mimi nimesoma theology ngazi ya bachelor
@MichaelNgowi-nc3vn
@MichaelNgowi-nc3vn 5 месяцев назад
Una tuletea mambo ya kihuni kuoa wanawake wengi iyo hapana Tena uyo mzee wa upako ndo hamna kitu upako Gani at wachukua watu wasio mjua yesu au mungu na tume wajua mambo yenu ya kupotosha jamii
@andrewmhagama9816
@andrewmhagama9816 5 месяцев назад
Sasa imekua ni mpango wa shetani kuwapoteza ata wateule wa Mungu. Kuweni na Akili maana ata Yesu anasema uwezi tumikia mabwana wawili lazima utampenda huyu na kumchukia huyu kwahiyo ata ndoa hipo hivyo pia.Suhala la kumpangia Mungu uko ni ukosefu wa Akili za kiroho mnafikiria kibinadam kuliko ki Mungu. Fikirieni kua nini Maana ya Mungu? Ni uweza ambao umeshinda uweza wote wa kila kitu Mbinguni na Duniani swala la kusema mkizaliana kidogo sijui mtakuwa wachache.Mmmh hapana Yesu Kristo alikuja kutufunulia habari za ufalme wa Mungu tu.kwahiyo yaacheni magugu na ngano safi viote pamoja ili mwisho kila mtu abebe mzigo wake.
@leonardchoma3765
@leonardchoma3765 5 месяцев назад
Acheni mawazo ya kizungu hayo.Sisi Waafrika tulimjua Mungu kwanza kabla ya kuja hizi dini za kigeni ambazo zinawavuruga Waafrika mpaka wanakuwa wehu.Hivi wewe unafurahi Sana wanawake waendelee kufanya umalaya ili Hali iliwezekana kuwa mke halali wa Mtu mwenye mke mmoja?Kama kuwa na mke mmoja ni dhambi Mbona hatuwaoni mkitumia nguvu zenu zote ikibidi hata kufa kuupinga ushoga unaoenezwa na hao hao waliokuletea hiyo Biblia?
@andrewmhagama9816
@andrewmhagama9816 5 месяцев назад
​@@leonardchoma3765 Ujalazimishwa ukitaka kuoa oa tu.Nafasi ni yako hila shika sana Neno litakuweka huru
@bernardmwenda5186
@bernardmwenda5186 3 месяца назад
Ningependa kukuuliza mwalimu Isaya, je, wewe umeokoka? Na kama umeokoka, umeokoka lini na nini tofauti yako, kabla ya kuokoka na baana ya kuokona? Na pia, unauzungumziaje wokovu? Je, unamwamini Roho Mtakatifu? Ni hayo tu, kwa sababu mimi niliyeokoka na kubadilishwa na Yesu, hata upige kelele kiasi gani, huwa siambui lolote kabisa. Ninaamini elimu hiyo anaweza kuiamini vizuri sana, mtu ambaye hajaokoka kwa sababu hana roho wa Mungu!
@sweetbertrwiza5982
@sweetbertrwiza5982 3 месяца назад
Wewe umeoa? Na una mda gani kwenye ndoa? Je umeridhika kuwa na mwanamke mmoja? hakuna siku unawaza kwanini umeoa mke mmoja?
@SaleheMwambiki
@SaleheMwambiki 4 дня назад
Unaweza kuwa na mke mmoja lakini mtaani unahawara je hapo anayetenda dhambi ni yupi kati ya mwenye wake wawili au mwenye mke mmoja na anahawara nje naomba jibu
@apostlejacksonkalinga5191
@apostlejacksonkalinga5191 5 месяцев назад
Biblia ni msitu mkubwa inaweza kukuokoa au kuku poteza
@LionKijazi
@LionKijazi 5 месяцев назад
Ujue kutenganisha uongo na ukweli
@mahadboy5124
@mahadboy5124 5 месяцев назад
Kumbe uongo mwing kwny bibilia
@josephatkajange-zx2tl
@josephatkajange-zx2tl 5 месяцев назад
Msitu gani!
@salumsimai642
@salumsimai642 4 месяца назад
Kwaiyo ww itakuokoa au i😊takupoteza
@lucasbaluhya3787
@lucasbaluhya3787 5 месяцев назад
Bado unahitajika kusoma inje ya box kwa sababu unawaza kulingana na kile unachokijua tafuta kile usicho kijua ili uweze kusaidika. Unachotakiwa kukijua ni kwamba Ukristo haujaanzia kwenye Roma Empire,kunatofauti kubwa kati ya ukristo na wokovu na unatakiwa kujua kuwa Mungu wetu sio wa Wingi ni Mungu wa Utakatifu.
@sizyathom-qq5cx
@sizyathom-qq5cx 3 месяца назад
Kweli
@lwitikoasa6899
@lwitikoasa6899 5 месяцев назад
Biblia. Mathayo 19:5 [5]akasema, Kwa sababu hiyo, mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe SIYO WAKEZAKE na hao wawili watakuwa mwili mmoja NIWAWI mwalimu apo haupo sahihi
@JacklineMmary-e2h
@JacklineMmary-e2h 5 месяцев назад
We si ndio umesema mke wa adamu hakuwa Eva alikuwa ni Lilith sasa we huoni unapotosha watu wewe acha mafundisho ya kishetani ndugu yangu
@elishadodi8787
@elishadodi8787 5 месяцев назад
Benson Una wito wa kuoa wake wangapi?
@peterkibiriti5601
@peterkibiriti5601 5 месяцев назад
Acha kujifanya hujui kiswahili,wake wengi na neno wake wanne haya ni maneno,mawili tofauti,kasome kuiswahili
@elysemanirakiza9956
@elysemanirakiza9956 5 месяцев назад
Lakini mafarisayo walimuuliza YESU akawajibu kwamba Mungu aliumba Mme Mmoja na musaidizi mke Mmoja na kwa sabu hiyo nendeni muishi ni wawili
@loner_wolf
@loner_wolf 5 месяцев назад
Sura gani?
@salumsimai642
@salumsimai642 4 месяца назад
Wacha ujinga oa wake wengi wachana na mambo ya mke mmoja Mila za wazungu
@jacobnduya798
@jacobnduya798 5 месяцев назад
Ukweli ni kwamba wanawake ni wengi kuliko wanaume na hii ni nature siyo mpango wa binadamu. Lakini mimi naamini Mungu si mjinga kuruhusu wanawake kuwa wengi. Kumbuka tunaambiwa kila binadamu aliyezaliwa ni mpango wa Mungu. Kwa lugha nyingine Mungu anajua kabisa kuwa wanawake watakuwa wengi lkn anauhakika kuwa mwanaume mmoja anatosha wanawake hata 500!! Na anawamudu vzr sana. Hebu ujifunze hata kwa wanyama, dume mmoja wa ng'ombe anatosha boma nzima, yaani hata ng'ombe 100 anaweza kıwazalisha vzr tu. Kwahiyo mimi naamini kuwa na wake wengi wala si dhambi hata kidogo.
@KabatoniBoraa
@KabatoniBoraa 5 месяцев назад
Jamani hawa nduguzetu naona hawelewi wala hawaamini kitab cha mungu.ningependa ma sheih wote sabab wao ndio wanaelim zaidyao.
@AgapeSMatosha
@AgapeSMatosha 5 месяцев назад
Sipendi kutaja Jina Langu kwasababu Za kiusalama. Swali Langu Ni Hili Bwana Benson. Nini kifanyike Ili 1.kufufua Huo Ukweli Uliofichwa na Wazungu kwa lengo La kuitawala Dunia. 2. Nini Kifanyike kwa Kanisa Ili Liweze kuulewa Huu Ukweli na kuufundisha Ili Waumini Wa Kikristo Waongezeke?
@josephmadukashambalawokovu642
@josephmadukashambalawokovu642 5 месяцев назад
Wewe ni mwalimu wa neno la shetani Kama makalio ya wanawake yanakuchanganya kaoe tu wewe. ,halafu inaonekana unamgogoro na mke wako unamtafta namna ya kumuacha
@heneriko_pius
@heneriko_pius 5 месяцев назад
😂😂😂
@alipipikasyupa5558
@alipipikasyupa5558 4 месяца назад
Achana na habari ya dhana katika neno la Mungu huo ushahidi wa utetezi wako ni mwepesi mnoo! Rejea mpango wa MUNGU pale Edeni aliumba mtu mume na mke..full stop! Habari za kudanga unawezaje kutumia kuwa kigezo cha utetea hilo? Naye mwanaume atawaacha wazazi wke na kuambatana na mkewe,hawatakuwa wawili tena bali mwili mmoja..wewe Isaya umejikita kwenye masimulizi ya mifumo ya maisha huna ushahidi wa kimaandiko..mzee wa kupakwa anasapoti vitu vingi vya kipuuzi mfano anahoji hadi Uungu wa Yesu sasa nyie nanyi ni wa kubishana nanyi au tuendelee kuwaombea?
@jabiromary3276
@jabiromary3276 5 месяцев назад
kweli huyu ni mwalimu ambaye hajaelewa hawezi kuelewa tena
@heneriko_pius
@heneriko_pius 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣❤️❤️❤️
@GodfreyMwita-j3v
@GodfreyMwita-j3v 3 месяца назад
Isaya hapa huwa mnachemka Daud kusema mpakwa mafuta aliangalia mafuta yalitoka kwa nani ma ndio maana leo yohana anasema zijaribuni roho sio kila roho inatokana na MUNGU
@abelwillium4286
@abelwillium4286 Месяц назад
Jifunze bibili ndg acha kulaum, pia soma vitabu tofaut todaut vya dini utaelewa
@sabasisilwela2796
@sabasisilwela2796 5 месяцев назад
Isaya unapotosha watu ndoa ni ya watu wawili tu mke na mme Mungu aliwaomba adamu na Eva2
@HamisAbdallah-cj2sc
@HamisAbdallah-cj2sc 5 месяцев назад
Ndugu ZETU wanatoa uumbaji WA kwanza Adam na hawa.kwani muhidi si iliumbwa punje MOJA mbona jkiipanda inatoka ZAIDI ya MOJA??? MUSA alisema MTU akiwa na wake wawili mmoja anampenda na MWINGINE anampenda wrote wakamzania WANA?? Taurati upo SAWA mwalkmu isaya
@sweetbertrwiza5982
@sweetbertrwiza5982 3 месяца назад
na kuku waliumba zaidi wawilu?
@loner_wolf
@loner_wolf 5 месяцев назад
Mm Biblia sijawahi kuielewa kbsa. Mtume Paulo ni mtume wa mungu kweli , huyu mrumi na crusader ktk jeshi la kirumi anakuwaje mtume , huyu Mr P ndio kaharibu image ya Yesu . mara Yesu mungu , mara mtume ,mara mtoto wa mungu ......
@bonychitanda6410
@bonychitanda6410 5 месяцев назад
Wanawake ni wengi kuliko wanaume lkn kila mwanamke ana bwana ake
@AhmedyyMicharazo-wi4mx
@AhmedyyMicharazo-wi4mx 5 месяцев назад
We ni mjinga, asa ndo hesabu gn
@anzomtebwa3461
@anzomtebwa3461 4 месяца назад
Mimi ni muislam lakini naona hao wakristo wenzio" wanao kupinga ni wenda wazimu kweli, maana hata mtoto aliye tumboni mwamamayake anawezaelewa unacho kisema.
@jacobnduya798
@jacobnduya798 5 месяцев назад
Mi naona wazungu wanatuchezea tu akili zetu. Wanasisitiza ndoa ya mke mmoja halafu baadaye wanaruhusu ndoa ya mikata na baadaye ushoga!! Na wanatishia kuwa asiyekubali mpango huu anawekewa vikwazo kweli 😥. Mimi sasa hivi nitakuwa najifunza kwa wanyama wala si binadamu kwasababu wanyama hawajadanganywa. Wanaukweli wa asili.
@elishadodi8787
@elishadodi8787 5 месяцев назад
Hivi kwani ni wazungu walioamuru muoe mke zaidi ya mmoja? Kwa hiyo ni dhambi kuoa mke mmoja na Mungu atawatupa jehanamu watakaofanya hivyo? Kama ndivyo Mwalimu anayefundisha Haya ana wake wangapi mpaka Sasa anapotufundisha? Kama anaye mmoja ni wapi Mungu aliagiza tuoe wake wengi?
@salumsimai642
@salumsimai642 4 месяца назад
😂😂😂😂 wanyama hawaoi kumbuka wanapandiana tuuuu
@sweetbertrwiza5982
@sweetbertrwiza5982 3 месяца назад
Hahahaha umeongea kwa uchungu!!!!!!!!!
@abwemulonda7848
@abwemulonda7848 5 месяцев назад
Someni Mathayo 19:1-11
@XavierMolaAsilia
@XavierMolaAsilia 5 месяцев назад
Mze unapenda mademu sana
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 5 месяцев назад
😅😅😅😅😅😅
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 5 месяцев назад
Kuna kademu kanamchanganya sana, anatafuta njia ya kukaoa anashindwa anatafuta kuungwa mkono, na kwahakika hutapata kamwe, baki na ualimu wako wa kishetani,
@pastorstevenmdoe5143
@pastorstevenmdoe5143 4 месяца назад
Uko.vzri kabisa mtumishi
@IsackIsacksamson
@IsackIsacksamson 5 месяцев назад
Huyu jamaa ni mpotoshaji wa hali ya juu sana mtanielewa siku si nyingi ss ni wakosefu lakini tusikubali mafundisho ya mashetani hoja za kuoa mke mmoja au wake wengi si hoja ishu ni uwezo wa binadam kuacha dhambi narudia tena huyu jamaa anajiita mwalm wa neno la Mungu amepataje cheo hiki? Mtu ambaye yuko kila mahali anasema anaongea na qatu wanao penda kujifunza si wanaopinga mm ntakupinga masaa 24 zungumza watu kuacha dhambi kuoa kuoa hoja za ajabu sana unatuletea nadharia mara hamas, ukraine, urus mara America sasa ww fuata dini inayorusu wake wengi mafundisho yako yatasaidia nn mana tayar ukrsto ushasema mke mmoja tupe testimony kama ww tayar ushaoa wake wengi na chips za mbeya unazo kula kama utawaweza bado naema ww n mtafta hela
@chrisshonga
@chrisshonga 5 месяцев назад
Kumbukumbu la Torati 21:15-17 [15]Akiwa mtu yuna wake wawili, mmoja ampenda, mmoja hampendi, nao wamemzalia watoto, ampendaye na asiyempenda wote wawili; na yule mzaliwa wa kwanza akiwa ni wa mke asiyependwa; [16]ndipo itakapokuwa ya kwamba siku atakayowarithisha wanawe alivyo navyo, asimweke mwana wa ampendaye kuwa mzaliwa wa kwanza mbele ya mwana wa asiyempenda, naye ndiye mzaliwa wa kwanza huyu; [17]lakini amkubali mzaliwa wa kwanza mwana wa yule asiyempenda, kwa kumpa mafungu mawili katika vyote alivyo navyo; kwa maana ndiye mwanzo wa nguvu zake; haki ya mzaliwa wa kwanza ni yake yeye.
@loner_wolf
@loner_wolf 5 месяцев назад
Silimu tu kaka , uko sahihi mashallah
@chrisshonga
@chrisshonga 5 месяцев назад
​@@loner_wolfHa ha ha ha ha ha ha bado kidogo tu mkuu jamaa zetu wamechemsha sana mara kuoa ni mke mmoja sasa hivi tena Mwanaume na Mwanaume Ruksa, Mwanamke na Mwanamke ruksa sasa lipi jema jambo ambalo andiko linaruhusu na tunalisoma kwa macho yetu ama jambo ambalo andiko linakataza??
@MussaIssaya-up1zu
@MussaIssaya-up1zu 5 месяцев назад
Nimekuelewa sana mwalimu barikiwa sana kutufungua kifikra
@Izikiel55
@Izikiel55 5 месяцев назад
Uzinifu unakusumbua brother
@elishadodi8787
@elishadodi8787 5 месяцев назад
Huyu hata hastahili kuitwa brother huyu ni chizi na mzinifu.
@sweetbertrwiza5982
@sweetbertrwiza5982 3 месяца назад
@@elishadodi8787 hahahs watu kwa kupenda kuhukumu!! Kwa hiyo Mungu kupenda sana uzao wa wake wanne wa mwanaume mmoja alikosea na Kuwaita kabila kumi na mbili za Izrael?
@JacklineMmary-e2h
@JacklineMmary-e2h 5 месяцев назад
Kwani wewe bensoni hivi huwezi kuzaa watoto wengi kwa mke mmoja? Mbona china sheria yao kuoa ni mke mmoja tu na wana watu bilion zaidi ya moja sasa. Wewe vipi
@benardbonephace4896
@benardbonephace4896 5 месяцев назад
Naona kama mtu namwita shetani na mwenda wazimu na mimi najiona mwenye haki,basi inanibidi niangalie sn maneno yangu maana yaweza kunionyesha mi ni mtu wa jinsi gani kabla ya kumkosoa yule anayeongea,nadhani kitu cha muhimu ni kuleta hoja yenye ushahidi wa kimaandiko kuwa hiki kinachosemwa hapa ni cha kweli au cha uongo,sio wote tunaosikiliza tuna mawazo mgando ila tuna mawazo mseto yanayotafuta kweli ni ipi kama watu wa Beroya
@elineemamwanga
@elineemamwanga 4 месяца назад
Naona media zitafunua mengi yaliyofichwa vichwa vyetu pia vifanye kazi ya kufikiri
@JacklineMmary-e2h
@JacklineMmary-e2h 5 месяцев назад
Wanakuunga mkono ni waislam sababu tamaa zimezidi
@sefaniambilinyi-1712
@sefaniambilinyi-1712 4 месяца назад
NENO LA MUNGU SIO LOGIC HATA SIKU MOJA, NA MUNGU HAFUNDISHWI KWA HEKIMA NA PHILOSOPHY HATA SIKU MOJA, Hii mitandao inatumiwa sana kama jukwaa la shetani kuchanganya watu, Kama wewe una MTAKA MUNGU, Rudi kwenye MSINGI wa BIBLIA Soma Neno mwenyewe ukimwomba MUNGU, ulitegemea kusikiliza WATU wengine katika ZAMA HIZI ZA UOVU HUWEZI KUMJUA MUNGU
@MaryamMaryam-n1v2e
@MaryamMaryam-n1v2e 5 месяцев назад
Mwalimu huku arabuni kuna mwarabu wa kirsto lakini ni wachache sanaa kwakuto kuzaliana alafu unakuta mchungaji alie African anasema waislamu wana waua wakirsto wezetu
@JacklineMmary-e2h
@JacklineMmary-e2h 5 месяцев назад
Unatukanwa sababu unaenda nje ya neno la MUNGU lazima utukanwe tu
@victorbeno
@victorbeno 5 месяцев назад
Ndani ya neno la Mungu ni wapi
@YusufLugata
@YusufLugata 5 месяцев назад
Kumtukana mtu sio jambo jema kwetu wakristo...
@HellenLemilya
@HellenLemilya 5 месяцев назад
Upuuzi wote wako na wenzio
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 5 месяцев назад
Kama anataka kuoa wake wengi, si aoe tu, yani anatafuta kuungwa mkono upuuzi wake😅😅😅, hizo tabia za kimalaya zinamtesa
@bernardmwenda5186
@bernardmwenda5186 3 месяца назад
Wote wanaomwamini mwalimu Isaya, na Isaya mwenyewe hawana Roho Mtakatifu. Kama mtu umeokoka na unaye roho wa Mungu ndani yako, huwezi kukubaliana na uchafu huu. Ni kwamba, hatuongezi watu katika imani au katika dini zetu, kwa kuzaliana katika Ukristo, bali tunaongezeka katika Wakristo kwa kuokoka. Watu wakishaokoka, ndiyo wanakuwa Wakristo. Biblia haina mapungufu yoyote, labda katika utafsiri; ndiyo maana tunajaribu kuangalia kwenye tafsiri nyingine, lakini asili ya biblia haina tofauti.
Далее
Ванька пошел!!!! 🥰
00:18
Просмотров 362 тыс.
UKRISTO NA POMBE
4:25
Просмотров 24 тыс.
Madaraka Nyerere Hajasema KWELI - Mohammed Said
35:41