Тёмный
No video :(

MATAJIRI WANAONGOZA KWA STRESS | UKIFIKA ULAYA ACHA USLAY QUEEN | NIMEMUWEKA MUME WANGU KWENYE CHUPA 

Official Dating Assistance
Подписаться 42 тыс.
Просмотров 24 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

23 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 410   
@ashapearubart2624
@ashapearubart2624 4 месяца назад
yaani huyu msishana kasema ukweli kabisa. Nampa hongera zake. Mwalimu tosha ❤
@oiiii3898
@oiiii3898 4 месяца назад
Ukiachana na mapozi huyu dada yupo smart sana tu. Mawazo yake mazuri hata English nzuri kwakweli. Vingine ni excitement au kutojua tu namna ya kujiwasilisha but she’s good
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 4 месяца назад
Asante sana, unacho ongea ni ukweli mtupu, ULAYA ni kazi kwenda mbele.
@evakabete2944
@evakabete2944 4 месяца назад
We acha tu yani huku kila siku ni kazi tu
@veelilyn7635
@veelilyn7635 14 дней назад
Huyu dada kafunguka ukweli,,,kitu ambacho wengi walituficha,,katusanua huyu😅😅😂😂😂😂
@ReginaMussa
@ReginaMussa 4 месяца назад
Hii interview hata sielewi 🤣🤣 haijaingia akilini coz mdada hajatulia 😂😂weka kinywaji pembeni then continue with interview, much love sheeeenaaaa💕💕💕💕💕tukijua kiingereza tutakuja 🤣🤣🤣🤣🤣
@hejmabohejhej9
@hejmabohejhej9 4 месяца назад
Leo raha shena umetuletea mcharuko sijui ata ni comment nini mana hataki stress na glass yake ya champagne 🍾 ❤❤
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 4 месяца назад
Tutulie tupate darasa, Leo tunakoma😂😂😂
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 4 месяца назад
Ukimwamsha alie lala da
@lovely10emoji49
@lovely10emoji49 4 месяца назад
😅😅😅😅 si uongo
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@kassiannyamba805
@kassiannyamba805 14 дней назад
Hakika 😂
@OnlyRuky
@OnlyRuky 4 месяца назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Daaah sorry but no way ni sichekeeeee😂😂😂😂😂😂😂😂Shenaa Shikamoo kwa utulivu
@Fettyelriyam
@Fettyelriyam 3 месяца назад
Utulivu vo mimi nimecheka ila yupo smart nimempenda
@godfreymuniku4057
@godfreymuniku4057 4 месяца назад
Huyo mdada yupo vizuri sana she's great Editer
@subbyluckson6231
@subbyluckson6231 4 месяца назад
Mwaka huu hauishi bila kupata mzungu! Amen
@evakabete2944
@evakabete2944 4 месяца назад
Mimi pia mwaka huu hauishi bila kupata muafrica mwenzangu. Amen
@DaudiJamesKafulila
@DaudiJamesKafulila 4 месяца назад
Du! Sema ameniboa sana yani kanifanya nisiangalie kabisa maana kanipotezea hadi mudi yani mapozi mengi bwana
@mmasipeter4157
@mmasipeter4157 4 месяца назад
we tuliya hvyo hvyo
@julianayesayamwailolo8240
@julianayesayamwailolo8240 Месяц назад
Yaani kiswahili chenyewe anaremba kukitamkaa hvyo kizungu hvyooo jameniiii.
@evakabete2944
@evakabete2944 4 месяца назад
Huyu dada nimempenda sana kwa sababu anaongea ukweli mtupu kuhusu maisha ya huku ulaya .alafu kunywa wine ni kitu cha kawaida kwa sababu kwenye interview watu wengine huwa wanakunywa maji ,soft drinks au wine
@hora8707
@hora8707 4 месяца назад
enhee sehemu za kwenda ni paje,before,zingine zipi wenzangu mmezisikia?Safi sana nimempenda huyu mschana muwazi mno,asante kwa hii interview
@doriceprosper6588
@doriceprosper6588 4 месяца назад
Thank you so much for your channel,,we learn a lot of thngs..May God Bless you sister Sheina❤
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 месяца назад
You are so welcome 🙏
@nicekweba9920
@nicekweba9920 4 месяца назад
Sema dada shena tunashukuru sana kwa kutuletea watu tofautitofauti na wanatuelimisha pia,Mungu akubariki kama ni mapungufu kila mmoja anayo vingine vinafurahisha tunacheka kidogo ila humohumo tunapata elim
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 месяца назад
Maneno mazuri kabisa 🙏🥰
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 4 месяца назад
😂😂😂 nahisi amelewa 😂😂😂but she very funny ❤
@ashaidei5680
@ashaidei5680 4 месяца назад
Huyu anasema ukweli kabsaa hilo la vibabu kwa kweli baada ya kufika huku na kibabu chako wanasumbuka wanaanza macho juu bora dada katoa siri za huko ndani.
@hejmabohejhej9
@hejmabohejhej9 4 месяца назад
@@aminanamoyo83kwakweli nimempenda alivyoanza tu Shena ndio unywaji gani uwo nilijua apo kazi ipo 😅
@user-rl5qu4zj9b
@user-rl5qu4zj9b 4 месяца назад
😂😂kungwi leo hatariii
@jooepaullas791
@jooepaullas791 4 месяца назад
She really And smart 😊
@vero57
@vero57 4 месяца назад
Mwacheni anywe leo ijumaa , weekend imeanza 😀😀
@madalanasri2226
@madalanasri2226 4 месяца назад
😅😅
@lydiamnango9388
@lydiamnango9388 4 месяца назад
Editha nimecheka mpaka. Kuna ukweli sana ktk maneno yako mengi. Ubarikiwe
@sekikigosi8265
@sekikigosi8265 4 месяца назад
Leo darasa limepata mwalimu haswaa nimempenda Editha.❤
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 4 месяца назад
😂😂
@user-gu3px5me6u
@user-gu3px5me6u 4 месяца назад
Kwakweli hana papara
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 4 месяца назад
Umesema kweli dépression is really na ndio maana watuwanaingia kwenye alcoholic basi na kupokonywa watoto ❤❤❤❤❤❤❤
@user-is7ot7bq9x
@user-is7ot7bq9x 4 месяца назад
Duh mm ningekua ni shena anayehoji uyu dada ningecheka sanaaaaa ayo mashauzi dah 😂😂😂😂
@fettyrashid9042
@fettyrashid9042 4 месяца назад
😅jamani
@EstherPhinias
@EstherPhinias 4 месяца назад
😂😂😂😂😂😂
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 4 месяца назад
Halafu hajuw sasa kujishauwa mpaka anachekesha😂😂😂
@helinahenry2363
@helinahenry2363 4 месяца назад
Hahaha, msinichekeshe, yaan mwandishi wa habari Lazima awe mvumilivu
@helinahenry2363
@helinahenry2363 4 месяца назад
Kungwi tunayeee hatunaaaa🎉🎉🎉
@marykennedymarwa1641
@marykennedymarwa1641 4 месяца назад
Sasa? !!! Umejuaje kama hao walioolewa na wanaume wengine hawako happy? Wewe unaona kumpata huyo wako ndio umefika? Wazungu hawatabiriki kwahiyo usiwaponde wenzako ,just pray for your marriage my dear . Tumezeekea ulaya tumeona mengi zaidi yako wewe mkuja .
@evakabete2944
@evakabete2944 4 месяца назад
We acha tu. Mi niko huku ulaya kwa miaka mingi sana lakini bado nataka niolewe na muafrica mwenzangu
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 4 месяца назад
Kweli
@Louessentials
@Louessentials 4 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂leo tumepatikana Ila ana nondo pia
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 3 месяца назад
Leo ni Leo 😂😂😂😂huyu Dada kiboko 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Месяц назад
😂😂😂
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 4 месяца назад
Kuna ubaya gani kujipatia wine 🍷 👌 😋?
@evaeve8388
@evaeve8388 4 месяца назад
I like the way your honest 😊Edith
@mohamoudhussein4570
@mohamoudhussein4570 27 дней назад
Haya Mapozi ni yakishamba sana.Any way Hongera Shena kwa Uvumilivu wako
@suzanmaro686
@suzanmaro686 4 месяца назад
Shena upo na utulivu na usikivu hongera kwa kazi nzuri
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 4 месяца назад
Kazi yake
@homeandaway2811
@homeandaway2811 4 месяца назад
Daaaah kuishi kwingi kuona mengi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 khaaaa
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 4 месяца назад
😂😂😂😂
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@KirabreezyKira
@KirabreezyKira 4 месяца назад
Anachekesha 😅 na kuelimisha vile vile One ❤ from Ireland🇮🇪
@josephnyanda1512
@josephnyanda1512 4 месяца назад
Nipe iG yako
@thrillthings
@thrillthings 4 месяца назад
Mungu anisamehe, lakini mwanamume ambae sio msafi ni changamoto unaanzaje kutoa harufu jameni .! Khaa inakera
@dinocastico8495
@dinocastico8495 4 месяца назад
Huyu edita mcharuko ana mambo ya kindengereko ndio unywaji gani sasa 😂😂😂
@helinahenry2363
@helinahenry2363 4 месяца назад
😂😂 huku ni kufurahi tuuu. Interview Iko vereee
@marykisoka4233
@marykisoka4233 15 дней назад
😂😂😂😂
@juliethkatabwa5306
@juliethkatabwa5306 4 месяца назад
Aisee Leo nimemsikia mdada mmmh wine imemchangamsha😂
@allthingsafrican
@allthingsafrican 4 месяца назад
Shena endelea na kazi hii ya kuelimisha jamii
@mummymaduhu5307
@mummymaduhu5307 2 месяца назад
Very smart kichwani hata kama awe na mashauzi
@immaculatakadyanji5927
@immaculatakadyanji5927 4 месяца назад
Shena anajikaza kucheka😂😂😂
@devothasimbi6495
@devothasimbi6495 4 месяца назад
Nimecheka mpaka basi hapo kwenye mamabo ya chumbani,mdada kafunguka vilivyo nimejifunza kitu
@hejmabohejhej9
@hejmabohejhej9 4 месяца назад
Ha leo kazi ipo
@suziemichael4338
@suziemichael4338 4 месяца назад
Huyu dada nahisi kalewa . Hii kiboko
@MartinaMsimbe-qk8ug
@MartinaMsimbe-qk8ug 3 месяца назад
Shena❤❤❤Kazi nzuri unatufundisha na kuelimisha, unatoa uchangamfu wa akili. Kumbe watu tuko tofauti kimawazo😂😂😂😂
@MARYSHANGWA
@MARYSHANGWA 3 месяца назад
Nimeipenda hiyo dada Asante sana kwa kutuelimisha
@machozukumuda6596
@machozukumuda6596 4 месяца назад
Jamani dada uyu amenimaliza iyo nyonyo daa mimi sijaelewa kitu apo nijicho elewa apo ni mdada uyo mzungu amependa nyonyo na lips...hongera dada ata kama mimi ni mzungu nisingeruka
@jacksonmsendo3478
@jacksonmsendo3478 4 месяца назад
Ziwa kweli analo
@nicekweba9920
@nicekweba9920 4 месяца назад
Kwakwel leo tumefundwa vizur sana na tumefundika,nimependa kwakweli❤😊yupo really sana huyu dada
@zeinababdi4757
@zeinababdi4757 4 месяца назад
One thing in this life is to be well educated and/ or well-behaved Especially for women. The lady who is conducting the interview has class but the guest????? You go figure.
@mmasipeter4157
@mmasipeter4157 4 месяца назад
dadaangu shena we ni mtulivu sana kwenye mahujiano aisee daàaah nakupa mawa yako 🎉
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 4 месяца назад
🎉🎉😂
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 Месяц назад
Umependeza sanaaa na urembo wako umezidi unajua mrembo wangu asante sana Shena nimefurahi sana sana ❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-tl9mx6sw4o
@user-tl9mx6sw4o 4 месяца назад
Tupe somo dada , nimekuelewa, 😂😂😂😂😂
@agriparose3942
@agriparose3942 Месяц назад
Sijapenda mengi ila Kuna niliyojifunza
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 4 месяца назад
Kasema kweli yuko mkweli sana jaman wine ulaya kam maji watu wanavyokunywa wazungu kawaida sio kam analinga na mtundu mtundu Dada wa watu always yuko ivyo 😂🥰
@liannsambu7264
@liannsambu7264 4 месяца назад
Ni kweli ,wadada wengi wenye wazungu Wanasemaga ooo ni MUNGU kumbe wanafanyanjia mbalimbali kuwapata ,maana MUNGU ni mwenye finally uwezo wa kuunganisha ila juhudi binafsi nayo inahitajika hasa pale unapolenga tofauti ,So great dear girl
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Месяц назад
😂balaa km vile matajiri wanavyosema walianz kuuza karanga
@ivankadaudi8161
@ivankadaudi8161 4 месяца назад
Yaleo kiboko kungwi tumempata
@eunicenangole5740
@eunicenangole5740 4 месяца назад
Amen Editha
@nafuwswedi2465
@nafuwswedi2465 4 месяца назад
WaTanzania sasa tunazidi kuongezeka Switzerland,Karibu sana Mdogo wangu,uko Mkoa gani Switzerland?
@user-tl9mx6sw4o
@user-tl9mx6sw4o 4 месяца назад
Wapeee wapeee, kazi kurusha roho za wadada kwenye mitandao. Kujionyesha onyesha kwenye mitandao. Waachaa weee vibabuu tena.. kiutamuuu !!!!!!😂😂🙄🙈😎
@user-tl9mx6sw4o
@user-tl9mx6sw4o 4 месяца назад
Hongera dada unangozi nzuri Sana
@nicekweba9920
@nicekweba9920 4 месяца назад
Jamani eti imagine just Bieber anakupelekea moto daah nimecheka sana😂😂😂
@user-sp7xr9zd8i
@user-sp7xr9zd8i 4 месяца назад
BEST REAL INTERVEIW KUHUSU KUOLEWA NA WAZUNGU....ASANTE SANA SHENA NA DADA ETU
@PureSoul-rf4xd
@PureSoul-rf4xd 4 месяца назад
So sweet to hear ,😂😂😂😂😂jamani mbona umesimama kama sanamu,
@user-go8nq7gi5k
@user-go8nq7gi5k 4 месяца назад
Nimependa sana Asante dada
@user-mw5xs2wx8n
@user-mw5xs2wx8n 4 месяца назад
Da mzingu kapenda nyonyo mashallah ila ungenyoosha tu kwa kishwahili
@user-en1uq1eg6h
@user-en1uq1eg6h 4 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@BERLINHENRY-tc8em
@BERLINHENRY-tc8em Месяц назад
Nimependa kasema ukweli wake wazungu tuna stress😂
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 4 месяца назад
😂😂😂😂😂😂 juwa kupatwa kwa mwezi uwiiiiiiiii🙌😉
@hejmabohejhej9
@hejmabohejhej9 4 месяца назад
Nimempenda kwa kweli
@KirabreezyKira
@KirabreezyKira 4 месяца назад
Funny 😄 and smart 😘
@pablomnyama
@pablomnyama 4 месяца назад
Dada mambo mengi sana uko kwenye interview tulia bhac hata hivo dada shena una moyo kwa vituko hivi umejikaza sana m😅😅😅😂😂😂😂😂😂
@SheilaMaregesi
@SheilaMaregesi 4 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@skbonita4117
@skbonita4117 4 месяца назад
Yaaani me nisingeweza
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Месяц назад
😂😂
@richardrichope3528
@richardrichope3528 Месяц назад
Hatari aiseee 😂😂
@stellaprotazibashaijaban-gq4mb
@stellaprotazibashaijaban-gq4mb 4 месяца назад
Asanteni. Asante Rdithar
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 Месяц назад
Tunashukuru sana
@iantussa9064
@iantussa9064 4 месяца назад
Ninapenda sana utulivu wa shena na uvumilivu ako nao❤
@RoseMafuru
@RoseMafuru 4 месяца назад
Ila shena kwa utulivu ulio nao mbinguni utaenda kabisa
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 месяца назад
😁😁💃🏾🥰
@user-cb6hz6lh4k
@user-cb6hz6lh4k 4 месяца назад
Yeye mwenyewe hajali wala nn
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 4 месяца назад
Umeona ee? Naupenda sana utulivu wa Shena. Hana bipolar 😅😅😂😂😂
@AinekishaNyakato
@AinekishaNyakato 4 месяца назад
Mzungu hatapatikana kwa uwezo wa mungu Acha nitunze huu ujumbe
@user-ki9wu6no3d
@user-ki9wu6no3d 4 месяца назад
Yeah Anajua Ku interview Vizuri
@user-iz2dw8rp2i
@user-iz2dw8rp2i День назад
Huyu km vile ana jin la kizungu..maana anaongea km mzungu
@user-iz9ci4rs3d
@user-iz9ci4rs3d 4 месяца назад
Ahsante dada kwa kutuletea watu wanatupa Elimu nzur
@user-kr2yk6gn4q
@user-kr2yk6gn4q 4 месяца назад
Uyo dada ana akili sana, nmempenda sana.
@Aidaanatory
@Aidaanatory 3 месяца назад
Ahsante nazidi kujifunza na kupata idea mpya kila Leo .ahsante da zena mm nilikuwa na hizo akili mgando kuwa nikipata mzungu nimepata kila kituu😅😅😅😅😢😢😢
@gracemahugi4380
@gracemahugi4380 6 дней назад
Binti ni mrembo lakini apunguze ulimbukeni mambo mengine anayotuelezea ni ya kiulimbukeni kabisa 😢 hiyo English sasa na ma kina Cardi B na ma lambogini 😂
@user-en8ze3zq8h
@user-en8ze3zq8h 4 месяца назад
Da shena eti unywaji gani huwo😂😂 uwe unawambia,na nimependa umemwambia😂😂😂🎉🎉 hongera kwa ujasiri safiii
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 4 месяца назад
Mmmh kwa kweli wadada mna kazi. Fanyeni kazi mjiajili hayo Mambo ya kusafili kule na huku Mala kulala beach kisa kutafuta wazungu yanawapotezea utu wenu. Ndo mana mnafanyiwa vitu vya uzalilishaji kwenu
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 Месяц назад
Sema sema wape somo
@MishiMarcus
@MishiMarcus 7 дней назад
Umepatwaaaaa😂😂😂😂😂😂
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 Месяц назад
Yaani leo somo zuri pongezi Shena❤❤❤❤
@mariammajiba
@mariammajiba 4 месяца назад
Huyu dada amejua kunichekesha 😂jamani hiyo glass imeingia yote mdomoni bila shida yoyote
@Njeriii536
@Njeriii536 4 месяца назад
Yaaan naalivyo sasa😂😂
@BeatrecLwekela-ek8uj
@BeatrecLwekela-ek8uj 4 месяца назад
😂😂
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 Месяц назад
Yaaani asante Shena
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 4 месяца назад
Hapo kwa kuvuta hisia na Justin Bieber kha hahahaaa😂
@upendogreutert199
@upendogreutert199 4 месяца назад
Shenaaaaaaaa na wewe umepewa kitchen party au 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mummymaduhu5307
@mummymaduhu5307 2 месяца назад
Dada anaongea kama ebitoke au mnaonaje
@Asmaah-eb3ti
@Asmaah-eb3ti 4 месяца назад
Naomba niwe na subra kama ya dada shena😂😂😂
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 4 месяца назад
😂😂
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 4 месяца назад
Hii ya Shena ni pro max kwa kweli😂😂😂mimi sitoboi
@helinahenry2363
@helinahenry2363 4 месяца назад
😂😂😂usinishirikishe kwenye haka kadhambi kadogo jmn😂😂😂
@ilakozasembumende1975
@ilakozasembumende1975 4 месяца назад
Da shena kwa uvumilivu na subira ni kiboko uwiiii dunia hiii kupata mtu wa kusikiliza hiv uwiiiiii da shena pokea maua yako
@queenkameta9891
@queenkameta9891 4 месяца назад
🤣🤣🤣🤣 kwakweli
@oiiii3898
@oiiii3898 4 месяца назад
Ushauri wa mapenzi hapo aaaah atuache kidogo pia sio kila mwanaume wa kizungu anapenda hayo mambo yanini sijui anayoyasema. Editha Ahsante tunashkuru
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 4 месяца назад
Hapo kwa kutumika ni kweli.,kuna wengi wametumika for nothing, na hawana mia na washazeeka. Sad Ameongea ukweli kwa mengi.
@johnriwa2854
@johnriwa2854 4 месяца назад
Dada ana maneno deep pay attention cream tupu
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 4 месяца назад
Paje Jambiani Uroa Kizimkazi Kiwengwa Nungwi Pwani mchangani
@ameeranassor1619
@ameeranassor1619 4 месяца назад
Kwani bara hakuna sehemu za wazungu? Acheni kupeleka laana zenu Zanzibar, mshindwe na muregee. Nendeni dating sites
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Месяц назад
​@ameeranassor1619 😂😂😂
@vero57
@vero57 4 месяца назад
Ongea tu kiswahili dada,
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Месяц назад
😂😂
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 Месяц назад
Wowww Editha wangu wewe mbona ulisha kuja kwetu wowwww❤❤❤❤
@vero57
@vero57 4 месяца назад
Jamani khaaa!!!😂😂😂
@user-is7ot7bq9x
@user-is7ot7bq9x 4 месяца назад
Sna la kusema izo pozi😁😁
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Месяц назад
😂😂
@upendogreutert199
@upendogreutert199 4 месяца назад
Hatari Leo Tumekutana na Bi Hinduu 😂😅
@ngowibeatrice1701
@ngowibeatrice1701 4 месяца назад
😅😅😅
@annacharles2842
@annacharles2842 4 месяца назад
😅😅
@joyce55727
@joyce55727 4 месяца назад
😁😁😁😁
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 4 месяца назад
😂😂😂😂😮
@upendogreutert199
@upendogreutert199 4 месяца назад
Yaaani 😂😅 🤭🤣😂
@gillianwilliam5688
@gillianwilliam5688 3 месяца назад
Dah haha hatariii 😅😅😅😅😅😅😅
@marykennedymarwa1641
@marykennedymarwa1641 4 месяца назад
Kwani mzungu ndio umeona mwanaume wa maana , jameni 😅😅😅
@evakabete2944
@evakabete2944 4 месяца назад
We acha tu
@upendogreutert199
@upendogreutert199 4 месяца назад
Kwanini unyanganywe mtoto ?? Huwezi nyanganywa mtoto hata siku moja kama huna kosa Switzerland 🇨🇭, nipo hapa Switzerland 🇨🇭
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 месяца назад
Nadhani alichomaanisha unaweza kimbilia kuzaa na Kumbe hujawa tayari kua mama So ukafanya makosa yatayokupelekea kukosa mtoto lakini ukiwa na elimu na kazi ni ngumu mtu kukunyang’anya elimu yako au kazi yako (Ndio nilivyomuelewa)
@ashaidei5680
@ashaidei5680 4 месяца назад
Shena Leo ulipatikana 😂😂😂😂mastaili ya kupangusa madirisha…ni vizuri ila nimeona aibu.
@nafuwswedi2465
@nafuwswedi2465 4 месяца назад
Genau👍🏾
@vivianmahoo8611
@vivianmahoo8611 4 месяца назад
Inawezekana ndugu, ninajua kuna watu walinyanganywa, hapa Ujerumani, na mmoja alimpa mtoto wake kumuadapti ni wa kiafrika lakini alimchukua pia
@upendogreutert199
@upendogreutert199 4 месяца назад
Kumbe sio mimi mwenyewe 😂😅 maneno mengine jamani kuyatamka public kirahisihisi ngumu wengine hatuweziii
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 Месяц назад
Woowwww❤❤❤❤
@sellysang7504
@sellysang7504 4 месяца назад
Hi beautiful, I know of woman who has been given cars, houses n me seeing one of them n my husband is not a mlionea ,n not babu , married 33 years n happy Just like ny other marriages ups n down , n I not wrokd all my 33 together , I think each one has a different case , depending on who meet yes it not easy to live here but it is possible ❤Just saying 😊😊😊😊
@latifasadick
@latifasadick 4 месяца назад
Jaman iv nimagonjwa gani hauwez kusafir ukiwa nayo?
@shamzone388
@shamzone388 4 месяца назад
Hiv na maradhi ya ini hepatitis zote
@Lidyaanthony-bl1nt
@Lidyaanthony-bl1nt 4 месяца назад
Aminaaaaaaaa
Далее
Simple Flower Syrup @SpicyMoustache
00:32
Просмотров 1,8 млн
WANAUME WALIKUA HAWANITAKI KWASABABU YA UFUPI WANGU
1:02:41
Simple Flower Syrup @SpicyMoustache
00:32
Просмотров 1,8 млн