Тёмный
No video :(

WANANCHI WADAI ENEO LA KKKT SINGIDA, WAZIRI ANENA "JAMBO HILI MIMI NALIMALIZA, FATENI TARATIBU" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 12 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

15 окт 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 19   
@kabaly18
@kabaly18 3 месяца назад
waziri yuko smart sana wallah!! afu haegamii upande wowote
@chamijanuary6071
@chamijanuary6071 10 месяцев назад
Mkuu, hakika Wewe hupepesi macho kwenye ukweli, hongera sana. Nimeona ushauri wako kwa Mzee Massawe dhidi ya BAKWATA. Hongera sana
@johnnnko5814
@johnnnko5814 10 месяцев назад
Hii awamu inafuata sheria. Polepole tuelewa sheria za nchi. Ingekuwa miaka ya nyuma mwenye haki (kkkt) angeipoteza hiyo aridhi. Viva Maza yetu.
@edwinmbelle4207
@edwinmbelle4207 10 месяцев назад
Waziri upo vizuri, karibu yombo vituka mzambarauni uone kiwanda kimejengwa kwenye makazi ya watu na barabara zinafungwa bila kufuata taratibu , wenyeviti wa serikali za mitaa na mtendaji wanahusika. Hicho kiwanda ukuta wake upo kwenye road reserve.
@OdenBidili-lj5qi
@OdenBidili-lj5qi 10 месяцев назад
Hiyo mizee huwa inasumbua sana njaa mitapeli ikae ndani
@ChristerShao
@ChristerShao 10 месяцев назад
Waziri upo vizuri ndo walivyo wanyanganyi,wabishi wanapenda kudanganya danganya wanapenda kusumbua mahakama ni shida.
@rosehaule6765
@rosehaule6765 10 месяцев назад
Mtoto.wsngu asome..kufa kupona ntapambana waziri.kichwaa anaongea kisomiii polepole utaelewa tu
@giftlwila9967
@giftlwila9967 10 месяцев назад
😂😂😂😂😂 Saruti kwako waziri
@mayanmlingwa4250
@mayanmlingwa4250 3 месяца назад
Waziri yupo smart sana
@JeremiahOmbewa-vm9ng
@JeremiahOmbewa-vm9ng 9 месяцев назад
Kwa namna hii viwanja vyangu sidhani kama ni vyangu ikiwa ndio namna hii.
@leonardsasita4634
@leonardsasita4634 10 месяцев назад
Ukijua Sheria Raha Sana
@msatibongonyuzi14
@msatibongonyuzi14 4 месяца назад
Sionsawa tangu mwaka 55 hilo kanisa litafute eneo lingine😢
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 3 месяца назад
Waziri wa katiba na sheria aanze kazi yakupita kwenye mahakama kuangalia kesi zilizoota mizizi mpaka kuwa mbuyu
@jumaalmasjuma1700
@jumaalmasjuma1700 10 месяцев назад
Jery ukienda hivyo tutafika mbali
@victorjames3730
@victorjames3730 10 месяцев назад
Waziri amenyoosha hongera kwake
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 3 месяца назад
Hii wizara imempata mwenyewe
@user-oh6pc7zd4s
@user-oh6pc7zd4s 4 месяца назад
FIDDA HUSSEIN NI FISSAD PAPA WA ARDHI
@respiciusndyanabo366
@respiciusndyanabo366 10 месяцев назад
❤❤❤
@alphoncembasa592
@alphoncembasa592 10 месяцев назад
Duuu
Далее