Тёмный
No video :(

MBELE YA WAZIRI SILAA KIJANA ASEMA UKWELI | KILA KITU NI HALALI | NIMESHALIPA MBAKA MADENI YAO 

RAI TV
Подписаться 89 тыс.
Просмотров 26 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

22 апр 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 70   
@salumally663
@salumally663 3 месяца назад
Body language kamishna anaonekana kuna kitu anajaribu kumchanganya waziri..Ushauri wangu waziri Silaa anapokwenda sehemu hadi sehemu afanye maombi hawa watu wanaroga sana kuizima akili yake asione madudu ya watumishi...Ila Mungu atakulinda waziri Silaaa
@SalumImran-ku3yr
@SalumImran-ku3yr 3 месяца назад
Wanyonge wote tunakuombea Mh Waziri M/Mungu akuongoze na akuepushe na wenye nia mbaya na wewe
@michaeljpm5597
@michaeljpm5597 3 месяца назад
Aliyeona huyo kamishina akimbinya yule Mzee kwenye bega kuanzia dk 19:35, waziri huyo kamishina sio mtu mzuri
@othmanali7408
@othmanali7408 3 месяца назад
Waziri hebu toa namba zako wallahi natamani unywe alau soda kwa pesa inotokana na jacho langu ..kazi kubwa unayoifanya mungu akuongoze na akulinde na kila shari amin
@RichadTenga-ze4vp
@RichadTenga-ze4vp 3 месяца назад
Mungu akutie nguvu mtu wa Mungu,wazir slaa
@ngotikongotiko2711
@ngotikongotiko2711 3 месяца назад
Daaah watu wanaruka ruka utasema maharage kumbe wanaomba kimya kimya mh waziri aondoke au apate dharura
@namsamson3443
@namsamson3443 3 месяца назад
Huyo kijana mwenye kipara ana majibu na hampi kijana ajieleze vizuri. Huyo wangemtoa kama ana cheo chochote
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 2 месяца назад
Outomatical ni Mwizi huyo Mpumbavu
@bongo39
@bongo39 3 месяца назад
Waziri huyo kamishna sio ni msanii kwanza ni kiburi sana halafu ana dharau
@mustafamandindi6434
@mustafamandindi6434 3 месяца назад
Mungu akulinde leo hadi kesho kwani unafanya kazi mzuli sana kwa wanyonge naamini kwa uwezo wa mungu utapata shemu ya uongozi wa ju sana kupitia maombi yetu sisi wanyonge
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 3 месяца назад
Makamishna wa Ardhi na Maafisa Ardhi ni Matapeli na wanashirikiana na Matapeli wa Ardhi.Hapo umezungukwa na nyoka wenye sumu wanakuchora tu.... Mungu akulinde kwani wanakuchosha na kukuzeesha kwa majukumu ambayo walipaswa wayatatue wao!!
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 3 месяца назад
Pole sana mheshimiwa waziri nakuona apo umechoka pole sana lakini huyo mwenye kipara apo jirani yako kama msanii fulani hivi
@DM_15
@DM_15 3 месяца назад
Duh kumiliki ardhi nayokazi kweli kweli wahuni waliopo madarakani wana weza kukufanya uchanganyikiwe. Wallah hawa watu ndio.waliosababisha uchawi ukawepo watu wana choka aseeh
@thobymsule6045
@thobymsule6045 3 месяца назад
Waziri uwe makini sana na makamishna ndiyo wapigaji wakubwa na wachelewashaji wakubwa wa haki za watu
@kamalbashir5127
@kamalbashir5127 3 месяца назад
Bravo wazir wewe ni mfano kwa mawaziri wengine
@tumainiellyimo4657
@tumainiellyimo4657 3 месяца назад
Hawa watumishi hawa dah!sijui
@bongo39
@bongo39 3 месяца назад
Vizuri waziri ushamshtukia huyo kamishna mchunguze mkuu
@jazeerajuma5014
@jazeerajuma5014 3 месяца назад
Tunaomba muendelezo wa hii nimewapenda hao jamaaa wanaakili sana
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 3 месяца назад
VIVA MH. WAZIRI....HIYO WIZARA YA ARDHI IMEJAA 'UCHAFU'...NA VIVYO HIVYO MPAKA MIKOANI NA WILAYANI....SAFISHA WALA RUSHWA NA MAFISADI.
@mremaelisenguo
@mremaelisenguo 3 месяца назад
Hongera waziri. Wananchi tunafuatilia kwa karibu kazi kubwa unayoifanya. Watendaji ni aibu kubwa. Majukumu ambayo wangetakiwa wayatekeleze wakubebesha wewe. Kuna hajagani ya kuwa na kizazi hicho keenye ajira na mishahara. Local investors badala ya kuwa gaided ndio wanaonyanyaswa kikubwa. Sijui kama utayamaliza hayo majambazi
@user-ug1nv4mo9o
@user-ug1nv4mo9o 3 месяца назад
Slaa mungu akubarki unatenda haki
@andreap.assenga8480
@andreap.assenga8480 3 месяца назад
Tatizo ni kamishina wa hapo tangu ni chanzo cha ugonjwa huo
@mauasylla5024
@mauasylla5024 3 месяца назад
Body language unaona hapo kuna mchezo ulishapangwa. Kuna maafisa hao6. Kwanza huyo Kamishna na wenziye wawili waliokaa pamoja na nyuma ya Kamishna kuna huyo dada mwenye flana ya bluu anajikuna sana kichwa na anateta kitu na jamaa pembeni yake na yule mwenye shati la pinki. Na Kamishna huyo muhasibu alipokuja, hakuntambulisha kwa waziri kwanza. Alikuwa anamnong'oneza jambo na akamfinya begani wakati waziri anamuhoji huyo mama Msajilo. Baaadaye ndiyo Kamishna anasema, "Mhasibu huyu hapa ameshafika"...
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 2 месяца назад
Huyo Mwenye Kipara ni TAPELI fukuza Kifupi Watumishi wote hao ni Wababaishaji hawafai
@rasnchimbi
@rasnchimbi 3 месяца назад
Silaa aende na kule vijijini na wilayani kama kule kilosa n.k. ambako inasemekana wakubwa wengi wamejitwalia mapande ya ardhi,yataifishwe mapema,yasijeleta migogoro baadae.
@user-gm7mu1yy5d
@user-gm7mu1yy5d 3 месяца назад
Mungu akuwekee muheshimiwa silaha wana jeuri sana watu hao
@salimlumala6364
@salimlumala6364 3 месяца назад
Kamishna huyo mwizi
@DaviKampango
@DaviKampango 2 месяца назад
Kamishina uyo anaonekana tapeli uyo
@herbethlukogela7657
@herbethlukogela7657 2 месяца назад
Namuona Dr. Jembe ni jembe hapo
@bakarially253
@bakarially253 3 месяца назад
Daaah Tanzania bado sana
@saidnhoathuman1014
@saidnhoathuman1014 3 месяца назад
Hii pat2 iwekwe maana awajamaa naamini waliwakalisha maaana inaonekana ni wasomi kuliko wao.
@shafiisaidi9640
@shafiisaidi9640 3 месяца назад
waziri yupo upande wa kamishna
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 3 месяца назад
Mheshimiwa waziri kwa mtazamo wangu kuna wafanyakazi katika ofisi ya ardhi apo Tanga niwakuondolewa wasiwepo hapo wengi ni wasanii
@swalehbakari2667
@swalehbakari2667 3 месяца назад
Ukitoka apo njo na kwetu kange stend mpya waziri
@AishaJuma-wd8xd
@AishaJuma-wd8xd Месяц назад
Huyo kamishina mbona anawasiwasi
@NehemiahKamalangombe
@NehemiahKamalangombe 3 месяца назад
Dogo unapiga kazi...kongole
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 3 месяца назад
Wazir anajuta kuwa waziri 😂
@mauasylla5024
@mauasylla5024 3 месяца назад
Huyo Kamishna wa Ardhi ahamishwe. Anaonekana ameshawapanga wafanyakazi wenziye.
@brayanjames9953
@brayanjames9953 3 месяца назад
Uya jama mwenye shat la kijani ana lekod audio kwenye cm 😂😂😂 mapema ili wakimzengu a play saund
@Rai_online_tv
@Rai_online_tv 3 месяца назад
Haa haa Anataka Reference
@masoudrashidmohammed4124
@masoudrashidmohammed4124 3 месяца назад
Duh umeiona Bryan broo duh ww hatari kaka
@thelalas9204
@thelalas9204 3 месяца назад
Kamishna unatuvuruga mzee wenye D mbili tushakuelewa kitambo,hadi M.heshimiwa anaumwa na kichwa.Dah watumishi walio wengi ni waovyo kabisa
@Rai_online_tv
@Rai_online_tv 3 месяца назад
Ha ha ana mix ma file makusudi
@thelalas9204
@thelalas9204 3 месяца назад
@@Rai_online_tv umemuonaa huku anamvuta muhasibu shati
@thelalas9204
@thelalas9204 3 месяца назад
@@Rai_online_tv his body language tells us something fishy is going on
@banguha
@banguha 3 месяца назад
Mbona kamishna anakuwa na was was kama mwiz wa kuku
@Zainab_salat
@Zainab_salat 2 месяца назад
Maybe anajua amekula rushwa😂😂😂😂😂
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni 3 месяца назад
Huyo kamishna msani😂😂😂
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 3 месяца назад
Anaonekana tu
@bakarially253
@bakarially253 3 месяца назад
Haya maelezo yato ambayo Officer anatoa kuhusu madeni serikali ipo na Copyright? Maana simuelewi
@mremaelisenguo
@mremaelisenguo 3 месяца назад
14:57 15:01
@user-il5pk2dr5n
@user-il5pk2dr5n 3 месяца назад
Waziri punguza lugha ya kigeni unatuchanganya wa la saba..
@miriamalute1540
@miriamalute1540 2 месяца назад
😂😂😂😂😂
@justinbryson4314
@justinbryson4314 3 месяца назад
Mbaka ndio nini mwenye RU-vid channel???
@tumainiellyimo4657
@tumainiellyimo4657 3 месяца назад
Huyu kamishna kiboko ,Tanga mh!mabadiliko ni muhimu
@mwanamwendy9265
@mwanamwendy9265 3 месяца назад
Mbona Kamishna ana hofu Sana
@sixbertmwakaluwa5665
@sixbertmwakaluwa5665 3 месяца назад
Tapeli mkuu😂
@SaraJinalangu
@SaraJinalangu 3 месяца назад
Yni kamishna anatuvuruga hadi wtazamaji
@Rai_online_tv
@Rai_online_tv 3 месяца назад
Haaa haaa Daaah
@froma3732
@froma3732 3 месяца назад
Duhh mpaka watazamaji 😂😂😂
@tumainiellyimo4657
@tumainiellyimo4657 3 месяца назад
Kila nikimwangalia kamishna huyu katika kila clip hatulii aidha macho,mwili wake ndyo kabisa utulivu unapotea.Lazima kuna kitu kinaendelea ,waziri pls mweke pembeni na mfuatilieni
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 3 месяца назад
Macho huwa yanaonesha kama umetulia au haujatulia
@thabitngangila8562
@thabitngangila8562 3 месяца назад
Hapo waziri wanavyo mchanganyia mafali
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 3 месяца назад
Na yeye waziri ameshamjua kamishina kuwa ni chenga
@user-qy8qw9ny4s
@user-qy8qw9ny4s 3 месяца назад
Kamishna anafunga fail kimya kimyaa
@unjuinkuganda1991
@unjuinkuganda1991 3 месяца назад
JEMBE NI JE,MBE MMEMUONA LAKINI?
@bakarially253
@bakarially253 3 месяца назад
Kama kazi bado ipo kwenye makaratasi wallah bado migogoro itakuwa mingi sana maana files zipo nyingi hauwezi kupitia zote
@bigbrothermwita1971
@bigbrothermwita1971 3 месяца назад
Bm
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 3 месяца назад
Waziri pumzika japonsiku 5 hujioninkm unachoka sana. Jipe muda wa kupunzika
@kakagift8356
@kakagift8356 3 месяца назад
Makamishina hawafanyi kazi zao kabisa.
Далее
Mehdi Hasan at the Muslim Leadership Dinner
12:23
Просмотров 95 тыс.