Тёмный

Wanawake wa Congo kutoka kabila la wa tutsi wahofia usalama wao mjini Goma 

DW Kiswahili
Подписаться 185 тыс.
Просмотров 57 тыс.
50% 1

Baadhi ya wanawake katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, kutoka kabila la watutsi wanaozungumza lugha ya kinyarwanda wanasema wanaishi kwa hofu kubwa tangu vita vilivyozuka upya kati ya jeshi la Congo na kundi la waasi wa M23 wilayani rutshuru. Wanasema wanapokea vitisho kwa watu wasio kabila lao haswa wafuasi wa kundi la M23. #kurunzi

Опубликовано:

 

17 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 114   
@rubefabi8366
@rubefabi8366 Год назад
Kinachowasumbua wanadamu wengi ni chuki pamoja na baadhi ya makabila kujihisi kuwa bora kuliko wengine hususani watutsi wao wakiona pua zao ndefu basi hijifananisha na wazungu. Wanadamu wote tumeumbwa na Mungu hakuna aliyebora kumzidi mwingine kama ni kuugua tunaugua sote kufa tunakufa sote na hukumu ya Mungu tutahukumiwa sote bila kuangalia rangi kabila au taifa. Wanadamu tupendana tutajibu nini siku ya hukumu?
@gamalieladriano7996
@gamalieladriano7996 8 месяцев назад
Tatizo ni tabia zao..kwa nini popote walipo sherti mauwaji ya wasiokuwa na hatia iwepo ,iwe mtoto mchanga wazee ni kuchinjwa,,laana iko juu yao
@ErickBageyo-fl7im
@ErickBageyo-fl7im 7 месяцев назад
Merci sana ku informations
@bon_boy__singer_artist_of_Tz
@bon_boy__singer_artist_of_Tz 7 месяцев назад
Hao watusi wamezaliwa congo ni wa kongo muwaache mutu akizapiwa ndani yaichi niwaichi hiyo MUACHE UBAGUZI
@pauloropian2367
@pauloropian2367 7 месяцев назад
My God protect your people
@rurangwaoscar851
@rurangwaoscar851 7 месяцев назад
Iyi ni tabu sana Mungu afanye nini kweri Kabira too mutu akakinjwa kama ngombe .My God
@ppdruganda7
@ppdruganda7 7 месяцев назад
Ce n’est pas bien ça d’attaquer des innocents. Kagame insecurise les peuples rwandophones en les hypothéquant dans son business. Ceci n’a jamais existé en RDC. Qu’il cesse avec sa guerre pour la recherche de la richesse.
@mbitseharera9944
@mbitseharera9944 Год назад
Polesana
@kamurasihenry6059
@kamurasihenry6059 Год назад
I wish i can rescue these beautiful women from that chaos.
@jocy7167
@jocy7167 8 месяцев назад
Oui belle femmes que congolais
@carlkuna4544
@carlkuna4544 7 месяцев назад
They can cross the border and go back to their motherland, Rwanda. Rwanda is more safe.
@MuhweziEmmanuel-d9z
@MuhweziEmmanuel-d9z 14 дней назад
The day I visited goma and they called me Tutsi that's when I realized that many innocent people have died like that
@cardabal890
@cardabal890 11 месяцев назад
Waende kuawo ni rwanda.
@SimonVivita
@SimonVivita 8 месяцев назад
Wewe hujielewi has hapo wake ni rwanda,kwenyewe waache warudi na udongo muache kujisumbua hakuna maharishi wataenda utaumwa nakicwa tu
@alicehouston8882
@alicehouston8882 7 месяцев назад
N’importe quoi , haba bamama ni ba congolaise kwabo ni Congo siyo Rwanda. Vive le Congo❤️❤️
@ChapalapaNdazi
@ChapalapaNdazi 7 месяцев назад
Imana uzaca izira ahatagaragara
@PaulinPolepole-u7v
@PaulinPolepole-u7v 7 месяцев назад
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥. ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@torokopita2763
@torokopita2763 Год назад
Munasema amuna amani Congo je njiya ya kwenda kwenu Rwanda amuijuwi?
@BienvenueBisimwa-rn9rn
@BienvenueBisimwa-rn9rn 8 месяцев назад
Mwende kwenyu mutakufa🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@Kiswahili
@Kiswahili 7 месяцев назад
Badala ya kuwabeza, tuwaombee amani.
@AmriSabiti
@AmriSabiti 8 месяцев назад
Mwende kwenu Rwanda
@umutesizelda8503
@umutesizelda8503 8 месяцев назад
Stupid kwenu na mm yako kwetu hatubajui
@Kiswahili
@Kiswahili 7 месяцев назад
👍
@mumbereeinstein
@mumbereeinstein 8 месяцев назад
Pole
@iranzidangote2496
@iranzidangote2496 2 года назад
Kwanza wabembe wametoka tanzania
@salehedrc3356
@salehedrc3356 Год назад
Kwani wabembe ndio kabila kongo nzima?. Na kwa nini utaje Wabembe?.
@gamalieladriano7996
@gamalieladriano7996 8 месяцев назад
Bora kuishi na ndugu zetu wabembe kuliko walaaniwa watutsi ndo mana hawana nafasi duniani
@alfredkaserekasivanzire9488
@alfredkaserekasivanzire9488 2 года назад
"Wanatuua kama wanyama", amesema. Ila maiti haionyeshe. Huo ni woga tu. Hakuna alieuliwa.
@rukoranyangabo9128
@rukoranyangabo9128 Год назад
Akiwa maiti atawonyeasaje? Unatiya kichefuchefu
@max1086
@max1086 Год назад
​@@rukoranyangabo9128propagande rwandaise et auto-victimisation....votre UBUENGE ne marche plus. Retournez chez vous au Rwanda si vous vous trouvez en insécurité au Congo,le pays qui vous a tout donné.Vous tuez ,violez massacrez les congolais chez eux mais vous êtes le premier à vous plaindre.
@jocy7167
@jocy7167 8 месяцев назад
Vs venez en france ns vs protege les femmes
@nkurunzizabosco2027
@nkurunzizabosco2027 7 месяцев назад
Angelitembea na maiti alakini mutazidi kua biwelewele hadi siku Gani
@bienvenukleis5177
@bienvenukleis5177 8 месяцев назад
Congo hakukuwake wa Tutsi, hao wote ni wanyerwanda. na wanaume wao wote ni wa jeshi wa m23.
@Kiswahili
@Kiswahili 8 месяцев назад
Kongo kuna makabila gani?
@Union-force
@Union-force 8 месяцев назад
Uyu ni mjinga , unaelewa kama hakusoma, arudi shule kwanza afunzwe historia ya Congo
@SOGHO776
@SOGHO776 7 месяцев назад
Detrompes toi koï avec tes propos haineux tu crois k tu resteras ici sur la planète éternellement au diable vauvert
@MouhammedSeif
@MouhammedSeif 4 месяца назад
Utaisaidia serekal kwa uchunguz
@augustabisetsa5007
@augustabisetsa5007 4 месяца назад
MUNGU walinde
@carlkuna4544
@carlkuna4544 7 месяцев назад
Where are their men (husband, brothers, sons, father...)? I guess they are in the battle ground.
@rachellaiza7779
@rachellaiza7779 Год назад
Murudi rwanda rais wenu hana roho mbaya atawapokea na kuwapa nafasi
@kayitaremika7964
@kayitaremika7964 8 месяцев назад
Unaongeya ujinga weye
@michaelmazu1293
@michaelmazu1293 3 месяца назад
​@@kayitaremika7964he's right I think so they must go back home kagame with his dirty politics divide Rwanda peoples and Congolese it's difficult for them to live in harmony imagine a president saying ill use the tutsi who are in Congo few years tutsi are killing in Congo you won't believe they have to go back home we don't need trouble here
@amin-
@amin- 7 месяцев назад
Watsusi wako Congo, Gawatapata shida, Wa Congo hawachungake hasira moyoni...
@jeanpierreakilimalirutebez9503
@jeanpierreakilimalirutebez9503 7 месяцев назад
Zambi zao za kisirisi ni sumu sana kuliko ukimwi...iyo nyimbo ya Mchungaji Munishi😂,mkuki kwa nguruwe mtamu ila kwa Binadamu mchungu. Hata na wale wa Mama na watoto wa kabila laki Hutu walio chinjwa kama Nyama inchini Congo nao pia ni Binadamu kama Mweye. Je!walio wapokea na kuwakuza hadi kuwa fundisha kufaa na kukubali kula na kunywa na Mweye mbona nao Muli sifu na kujigamba walipo kuwa waki uliwa hapo Mutarure,Bwegera,Makobola hadi zone nzima ya Fizi. "Unacho panda ndicho ukifuna"poleni sana...
@PromesseMuhindo
@PromesseMuhindo Месяц назад
Barudiye kwabo rwanda
@JudithKigalu-ue3in
@JudithKigalu-ue3in 8 месяцев назад
Mukonasema mweye amukufi munasema bongo banyarwanda mwende kwenu.mweye muko protège na kagame lakini watu watu wa goma wanakufa kila siku
@Kiswahili
@Kiswahili 7 месяцев назад
Tunaomba amani irudi mashariki mwa Kongo na duniani kote🙏
@justintina3663
@justintina3663 8 месяцев назад
Awa wanawake ni wa tutsi. Na wanawake wetu wa Congo awana ma sura kama zao. Wote pale ni wanyerwanda.
@Kiswahili
@Kiswahili 7 месяцев назад
Je, unaweza kutofautisha makabila ya watu na uraia wako kwa kuwaangalia tu?
@alicehouston8882
@alicehouston8882 7 месяцев назад
Sura 😜😜 sisi bote tuko wana wa Adam. Mungu akurumiye Ndugu , zire sura ziko fasi yoto kwa Plusieurs Pays Africains fasi yoto ya wewusi wanayisha gufika Indian Étudie bien l’histoire de chaque pays Africain tu trouvera le gens de la même Sura.
@tumusiimeemmanuel-mv3wn
@tumusiimeemmanuel-mv3wn Год назад
Ntimwabayeho kubwimpanuka imana ibarengere Kandi tugombagusenga satani yigumya gukinira kubuzima bwanyu
@bantuvoicemuchaik.k.7715
@bantuvoicemuchaik.k.7715 Год назад
Naomba hata mtafute njia mkuje Kenya ..mpaka amani itakapo patikana humo..wanaigeria wame jaa huku sioni sababu yoyote tusi wasaidie watu wote wa Africa mashariki
@LameckMeshack-y6p
@LameckMeshack-y6p 10 месяцев назад
Kenya Kuna ukabila mkubwa hata msiende mtabaguliwa saana, ni wao kwa wao wanabaguana Sana na viongozi wao pia wabaguzi saana .
@iranzidangote2496
@iranzidangote2496 2 года назад
Hakuna mtanzania halisi ama mkongomani halisi
@PaulinPolepole-u7v
@PaulinPolepole-u7v 7 месяцев назад
Imbwa weeeeeeee bwana yako iko na uwa wa congomani kisha hamuseme ata kitu moya shukrani kwenu yote yata lipiwaka apa apa
@mkongomanidrc849
@mkongomanidrc849 2 года назад
Nyie sii wakongomani na muta rudi kwenu Rwanda ipo siku tuta komboa inchi yetu
@joyeuseumwari7617
@joyeuseumwari7617 Год назад
Funga Domo lako we pumbafu
@Ryannkae
@Ryannkae 9 месяцев назад
@@joyeuseumwari7617 sio wa congo wewe ujuwi kitu nikikubuka mama moja alikuwa mtasa alilea watoto wa kitutsi 5 walikuwa mayatima ila watoto hao walivyo fikisha miaka 20 walimkata mama huyo kishwa na kunywa damu yake nankusema tulivyo kuhuwa wewe atutokuwa na uruma na mtu mwegine tena baada yaapo waliuwa majerani wao abao niwa congomani alisi hiyo kitu ndo ilifanya wacongo kuwachukiya maana waliwasomesha ila walikunja kuwalipa mambaya . Achanikupe mfano si tanzania kuko camp ya wakimbizi tanzania sasa watu haho walete vita tanzania nakuhuwa watu 5 million na wadada wajawazito kubasuliwa tumbo baadaye wanashukuwa mtoto wanamponda na jiwe kiukweli wa congo awawezi penda wa rwande ila burundi ndio tanzania zambia wapo apo congo bona awachukii kama wanavyo wachukia wa rwande apo kuna kitu kama umeshawayi kwenda shule lazima uhelewe apo ndo walivyo fanya hivyo
@bakaridelfe1987
@bakaridelfe1987 8 месяцев назад
Namtakufa mbwa nyinyi
@Kiswahili
@Kiswahili 8 месяцев назад
Mbona matusi tena? Umekosewa nini?
@princewilo709
@princewilo709 8 месяцев назад
​@@Kiswahiliwewe ujuwi kinachoendelea kongo , kwanza akuna kabila la watusi kongo awo wote ni wakimbizi wakinyarwanda kongo ambao wanasaidia.inchi yao kuuwa wakongo nakuiba mali ya kongo , watarudi kwao wapende wadipende , akuna udongo ya jamii yakimataifa kongo sisi sio waganda .
@YustaMfugale
@YustaMfugale 4 месяца назад
Warudi kwaooo😂😂😂
@NiyonkuruGodwin
@NiyonkuruGodwin 4 месяца назад
Wako kwamama yako mpuzii wewe
@mugemainyas5241
@mugemainyas5241 2 года назад
Kwa usalama wao warudi Rwanda tu .
@MTDDAFRIQUE
@MTDDAFRIQUE 9 месяцев назад
Wakija Rwanda watakuwa wakimbizi na kwao ni DRC. Kuna wengine wanaona hakuna mahali na hawasikiye kuitwa réfugiés alors que kwao ni huko huko. Basi peke yake , aliye waumba awalinde.
@wisequotes4267
@wisequotes4267 8 месяцев назад
You're lying yourself, those are Congolese if you don't want them give them back their land
@michaelmazu1293
@michaelmazu1293 3 месяца назад
​@wisequotes4267 all Congolese peoples have their land when you ran from genocide you came in Congo you were refugees go ask kagama your land in Rwanda congo belong to Congolese we welcome any african who want to live in Congo but respect peoples are there already we are the bantu not neolithic you see the different even if you guys try harder we know each other as Congolese so peace is better the problem with you guys we are scared of you infiltration kagame is using you now look were are we now go to Rwanda because kagama said he will use the tutsi who are in Congo
@remybaloji5949
@remybaloji5949 7 месяцев назад
Chères mamans ruandaises le Congo est en guerre contre vôtre pays d'origine , ils seraient mieux pour vous compte tenu de la souffrance causée par le Ruanda au Congo de réfugiés au ruanda et après la guerre vous pouvez revenir !!! En ce moment les congolais qui ne digèrent pas bien les choses sont contre tout ruandais !!! Nous sommes des frères et sœurs c'est kagame qui crée tout ça !!!
@namirembedenise3393
@namirembedenise3393 7 месяцев назад
😏😏😏😏😏😏😏Unadanganya
@kingzanika860
@kingzanika860 Год назад
Ni bwivu tu muko warobo sana mai mai ni bushafu
@JeanBaraka-pu5xo
@JeanBaraka-pu5xo 8 месяцев назад
mwende kwenyu Rwanda mwami wabanyemulenge iko wapi mukongo
@kayitaremika7964
@kayitaremika7964 8 месяцев назад
Weye uko pumbafu sana uko nterahamwe weye kiwelewele
@malcolmnabir305
@malcolmnabir305 8 месяцев назад
Victimisation et chantage doit cesser, toutes les tribus de la Rdc sont minoritaires et il faut à savoir si réellement cette tribu est congolaise??? Plus de 10 000 000 ( dix millions) de morts congolais, on a en marre....
@AbasiNazo
@AbasiNazo 8 месяцев назад
Mbona mwenyekiti wa M 23 ni mushi nmsemaji wa chama kumbe washi na wenyewe wauwawe waache kubaguwa kama wanapenda congo
@CecileBungolo
@CecileBungolo 8 месяцев назад
Tolingi bino te bozonga rwanda
@Kiswahili
@Kiswahili 8 месяцев назад
👍
@Kiswahili
@Kiswahili 8 месяцев назад
Kwa nini unatumia maneno makali hivyo, kuwa mvulimivu na watu wa jamii nyengine.
@BUTA817
@BUTA817 7 месяцев назад
Mwandishi wa habari kutoka chombo kikuu cha habari kama DW? Je, unakubaliana nami kwamba watu wa kongoman wa kabila zote waliuwawa muda mrefu kutokea muaka 1998? Sasa unawavuruga watu kama sio kuwatemea mate wahasiriwa hawa wote kwa kuchagua kabila moja tu na kulifanya kuwa mhasiriwa zaidi kuliko wengine? Kila mtu ana haki ya kuishi, ni wazi ikiwa ni pamoja na wale unaozungumza kuwahusu. Ama ni ukosefu wa weledi kwa upande wako, au uhariri wa vyombo vyako vya habari au ufisadi tu 🤷🏿‍♂️🤷🏿‍♂️🤷🏿‍♂️ Samahani kwa wahanga wote wa unyama huu waliowekewa watu wa Kongo na Paul Kagame. kibaraka wa mabeberu
@kashindiidi8259
@kashindiidi8259 8 месяцев назад
Wa tutsi na waarabu Africa wao ujiona bora zaidi na hili kabla la wa tutsi ndilo lililo leta mauwaji inchi Congo! Kama wewe unaomba uraia toka lini una lazimisha kwa silaha? Ndo maana Tanzania wa liliona hili mapema President Kikwete akawatimuwa wote inchi mwake!
@SOGHO776
@SOGHO776 7 месяцев назад
Kanga munoko nayo Wana bilobaloba
@eugeniezemanga8687
@eugeniezemanga8687 7 месяцев назад
Allez chez parce que quand vous étiez venus vous étiez Les Rwandais où Rwandaise Aujourd'hui vous êtes les Nyamurenge ? depuis quand ? Moi je suis Mobenge Mondila ma tribut à vous quelle là votre ?😂😂😂
@thedailycheckpoint
@thedailycheckpoint 5 месяцев назад
Country of Rwanda didn’t even exist when they came there. Neither did DRC. So who’s to say that you weren’t part of a different kingdom before then? Not everyone in Congo was part of Bakongo kingdom so your hate has no stability
@michaelmazu1293
@michaelmazu1293 3 месяца назад
​@@thedailycheckpoint they belong to Rwanda we know when they came as refugees ran away from the hutu government we welcomed them live with them in peace as Congolese like peace kagame came with genocide hutu ran here again in Congo they start fighting between them here in our country killing each other and other innocents the worse part of it tutsi infiltrate us because kagame said he will use those one live in Congo so we are aware already of kagame is dirty political
@thedailycheckpoint
@thedailycheckpoint 3 месяца назад
@@michaelmazu1293 I dont belong to rwanda. too bad i was on the wrong side of the border. no wonder we have alot of names of the populations in our language
@spitfiremusicproducer9623
@spitfiremusicproducer9623 8 месяцев назад
Wakongo acheni usenge mnawakimbiza wenzenu mbona nyinyi mpo tz hapo na nyie rudisheni matako kwenu nyie wote waafrika kongo mliikuta kwa nn mbague wenzenu na mnajuwa wana nchi ndogo
@Jurbeg
@Jurbeg 8 месяцев назад
Shida warwanda wanauwa wacongo kwa jiri ya Dhahabu sio nimesikia najionea nashinda kufanya biashala kwenye izi nchi 😢
@Kiswahili
@Kiswahili 7 месяцев назад
Tuombe amani irudi mashariki mwa Kongo.
@Kiswahili
@Kiswahili 7 месяцев назад
Mbona matusi tena?
@Jurbeg
@Jurbeg 7 месяцев назад
@@Kiswahili mimi pia nashangaa matusi yaajabu naipenda Congo from Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏🙏
@KashindiKalenga-jd8ex
@KashindiKalenga-jd8ex 11 месяцев назад
Nyiye ndo mulianza kuhuwana mulitemeana mate mukapiga wa congomani mpaka wakakosa husemi kwawatu wengine
@BChaporoto-nl2vm
@BChaporoto-nl2vm 8 месяцев назад
Uongo yenuuuu
@Kiswahili
@Kiswahili 7 месяцев назад
👍
@LuhomboShabani
@LuhomboShabani 8 месяцев назад
Bongo yenu ile
@Kiswahili
@Kiswahili 8 месяцев назад
👍
@iranzidangote2496
@iranzidangote2496 2 года назад
Watu WA sud Kivu hamna akili mkose kujenga inchi mjenge mabarabara na ma hospital munashinda tu kupiga kelele nyinyi iyo ni laana mumelaniwa
@levesjustinoelviskulenvuka9207
@levesjustinoelviskulenvuka9207 8 месяцев назад
Toi tu es intelligent Vien prendre votre sœur nullotique Tutsi refuge rwandais vive au nous avons pas la place pour les nullotique Tutsi rwandais
@Kiswahili
@Kiswahili 8 месяцев назад
👍
@LuhomboShabani
@LuhomboShabani 8 месяцев назад
Wa bwana wabo wako mu vitæ waende Rwanda nuinyi ni manyoka
@Kiswahili
@Kiswahili 8 месяцев назад
Asante kwa ujumbe wako.
@nkurunzizabosco2027
@nkurunzizabosco2027 7 месяцев назад
Kama wanazidi kutubagua vita haita isha congo hadi yesu aludie tutauwana hadi mwisho
@NabintuKachuruzi
@NabintuKachuruzi 8 месяцев назад
Niende kwenyu akuna mkongomani mtusi
@Josee2030
@Josee2030 8 месяцев назад
Sasa ujiwuwe ju hawakwende fasi, wako apo milele na milele. Vita itawaka moto mpaka
@Kiswahili
@Kiswahili 7 месяцев назад
Asante kwa kutuandikia maoni yako.
@NoeMuamba-if7fr
@NoeMuamba-if7fr Год назад
Uta sikiya wewe mudingi rudiya kuenu
@JumaHamisi-y7f
@JumaHamisi-y7f Год назад
Mkongomani hajuwi kuuwa ni nyinyi watusi njo wauwaji wakubwa Kisha muna mbinu za kujiteteya kuonesha kama nyinyi munaonelewa
@KaserekaHenock
@KaserekaHenock 6 месяцев назад
Apanahamukobacongmanimukonasalitiinjimukonacabasoldayetubanashindwakupiganajuumukonakopernakagam
@patricksikwaya
@patricksikwaya 8 месяцев назад
Kama muko wa kongo kwanini muna kimbilia Rwanda kwa ku shika siraha simukue kama wazalendos ? Nyini mfate kagame muta ishia kongo kisekedi ni muzalendo
@SOGHO776
@SOGHO776 7 месяцев назад
Mungu ameumba mtu ili amtumikiye mwisho akamkoseya mungu akamwambiya wewe utakufa hakusema mzungu Wala mweusi nyinyi wote mtarudi udongoni je!wewe kujisifu kumuua mwenzako utaishi wewe milele ?utafariki utakwenda bila kurudi angalisho kifo ni yetu sisi wote
@wamupepe5301
@wamupepe5301 7 месяцев назад
Uuuum, ni wakongomani sawa wengine. Qu'est-ce qu'elles ont fait de mal ? Ngomo walikataha itiliwe kabulimbo ? Walikataha watoto wapate chakula ? Svp, arrêtez de MENACER les innoncentes et innoncents, immédiatement et sans délai. Ni ujinga. Wote PAMOJA pour un congo fort et UNIS . La HAINE ?????
Далее
Waasi Wa M23 Wasalimu Amri
4:08
Просмотров 177 тыс.
HOW UPDF COMMANDOS DESTROYED ADF IN DRC
5:21
Просмотров 360 тыс.