Тёмный

Wasanii waTamthilia ya JUA KALI walivyosheherekea kufikisha Mwaka mmoja, wafunguka haya kwa furaha 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 46 тыс.
50% 1

#juakali

Опубликовано:

 

10 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 46   
@bintihijjah9822
@bintihijjah9822 2 года назад
Nakupenda sanaa lamata na timu nzima ya jua kali allah awajaaliye muzidi kutuletea mafunzo kupitia move zako.🙏
@revitasawmw2209
@revitasawmw2209 2 года назад
Mam lamata nimependa san move hii ya jua kali, natamani sana na mim kuigiza lakini uwezo wangu ni mdogo kuweza kufanikisha hilo, nimekupenda sana mama mungu akulinde na akuweke salama zaidi
@gradnesmaiko
@gradnesmaiko Год назад
❤❤❤❤❤ kopa zako ana uko vizuri sana unafaa kuwa dada wa mjengo
@agnesmpoki6510
@agnesmpoki6510 Год назад
Jaman vile nawapendaga team jua Kali 🥰🥰🥰 mko vizuri
@leocadiabaranyikwa4047
@leocadiabaranyikwa4047 2 года назад
Anaaaaaaaaà Bill Mazengo🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 take a look at her presentation 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@edwinelias8554
@edwinelias8554 2 года назад
Huyu dada aliyendoa mwenye macho makubwa (godliver) nampenda sanaa ananifanya niangalie jua kali Hii ndio best season inayonivutia Tz nzima
@magrethdotto32
@magrethdotto32 Год назад
Nampenda pia
@SarahGms-x5t
@SarahGms-x5t Год назад
Asante mama lamata na huku tupo tunavipaji dear
@agneschapile2351
@agneschapile2351 2 года назад
Love😂😂🖐🏻🖐🏻nakuzoom too dear uko fire😇
@jennyclaundolandolapascali3263
@jennyclaundolandolapascali3263 2 года назад
Je suis au Congo je vous aiment tant napenda ngisi munaingiza mungu awabariki
@machozimukucha
@machozimukucha Год назад
Nawapenda sana 💖💖💖
@zawadimrindoko6782
@zawadimrindoko6782 2 года назад
Lamata 😍😍🙌
@irenekimaro5252
@irenekimaro5252 2 года назад
Mungu azidi kuwapa ubunifu zaidi big up lamata
@njoroboihustla125
@njoroboihustla125 2 года назад
Congluation to her🇹🇿🙌🙌
@daisynyerere5730
@daisynyerere5730 2 года назад
Hongera sana Lamata, upo juu, jua kali ni nzuri sanaaa
@mohamedimwaliko2567
@mohamedimwaliko2567 Год назад
Mungu akusimamie ktk kilajambo lamata love ♥️😘
@mejumaaabuu618
@mejumaaabuu618 2 года назад
Luv u all lamata team
@Kashtvbeni188
@Kashtvbeni188 2 года назад
Ongera sana mama lamata kwa sapoti Yako Kali
@rithamsechu7220
@rithamsechu7220 2 года назад
Kazi nzuri
@maseleenaesleen8149
@maseleenaesleen8149 Год назад
Huyu Lamata pia alikua director wa KAPUN
@rosemuthio5716
@rosemuthio5716 2 года назад
Cograts napenda juakali
@fafawaukweli6817
@fafawaukweli6817 2 года назад
Wow nawapenda pia💕💕
@sintaibra355
@sintaibra355 2 года назад
Kuwapenda Tuu Team Jua Kali
@SarahGms-x5t
@SarahGms-x5t Год назад
Mama Eva weeee nzogo dholye amanombo na mabele
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 2 года назад
Mama Anna mwenyewe
@cherylcheryl7694
@cherylcheryl7694 2 года назад
Mungu awatangulie sana wana jua kali nawapenda sana
@paulontalaruka
@paulontalaruka Год назад
Du aisee dodiliver we jembe
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 2 года назад
Mashallah
@aggrayngaya5541
@aggrayngaya5541 2 года назад
Hiki kipindi hunifundisha sana juu ya maisha
@mariethajoseph6565
@mariethajoseph6565 2 года назад
Lamata love you
@salmasulleysh7101
@salmasulleysh7101 Год назад
Kwaiyo leo ni ivi to
@joycedavid3695
@joycedavid3695 2 года назад
🔥🔥🔥🔥
@ashurapandu4116
@ashurapandu4116 2 года назад
Where is anty zai
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 2 года назад
Sio Poa hawa awataki kutuwekea you tube 😢😢ila mmependeza 🤗sema mnatukata kinoma si tuliopo mbali
@latifahussein9221
@latifahussein9221 2 года назад
Lamata uko juu
@hamedabashir9
@hamedabashir9 2 года назад
Bi mkama nampenda namjua jmn bi maka nakusalimia hamida hapa
@marthageorge5043
@marthageorge5043 2 года назад
🥰🥰🥰🥰
@ivyrose4656
@ivyrose4656 2 года назад
Lamata turudishie KAPUNI plz
@shamsiahamisi5348
@shamsiahamisi5348 2 года назад
Jamani kama unahitaji kujiunga unapaswa kufanyeje
@zabibugodi341
@zabibugodi341 2 года назад
💕🖐️
@roqayaro9439
@roqayaro9439 Год назад
NAWAPENDA WASHILIKI NA MTUZI MPO VZR
@maikowatz3254
@maikowatz3254 2 года назад
Mkovizuri
@jacquelinefabian6217
@jacquelinefabian6217 5 месяцев назад
Ongera sana ramata na kundi rako
@rebeccaninga7705
@rebeccaninga7705 2 года назад
Akuja tanzania kukutana n'a wewe maman yangu lamatah
@aminaabdalla9949
@aminaabdalla9949 2 года назад
Nabadotunaendeleatukikosa tunaingiayoutubu
@gradnesmaiko
@gradnesmaiko Год назад
❤❤❤❤❤ kopa zako ana uko vizuri sana unafaa kuwa dada wa mjengo
Далее
Safari Ya Upendo- Hope Center | Bagamoyo
25:06