Тёмный
No video :(

WATANZANIA Waishio SOUTH Wasimulia XENOPHOBIA ILIVYOWATESA.. 

Global TV  Online
Подписаться 4,9 млн
Просмотров 34 тыс.
50% 1

WATANZANIA Waishio SOUTH Wasimulia XENOPHOBIA ILIVYOWATESA..
Global TV imezungumza na watanzania waishio nchini Afrika Kusini ambao wameelezea maisha yao wakiwa katika radhi hiyo, ambapo wameitaja kodi kuwa ndio kitu kinachowaumiza zaidi..
YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY:
www.youtube.co....
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
www.youtube.co....
GLOBAL RADIO TV:
www.youtube.co....
EXCLUSIVE INTERVIEW:
www.youtube.co...

Опубликовано:

 

14 ноя 2019

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 87   
@MrherbsTz
@MrherbsTz 4 года назад
Ukisema maisha Tanzania ni mepesi nakataa. Na ukisema maisha south ni mepesi pia nakataa. Maisha ni ridhki mungu aliyokupangia na vile unavyojituma. Nimeishi nchi nyingi na hata south nimeishi, ukiniambia maisha Tanzania ni mepesi nakataa ila inategemea unafanya nini. Hata kwenye Kazi yangu pesa nyingi inatoka nje ya nchi. Shida hiyohiyo moja mtanzania ukimuambia 30000 hana na ataitafuta hata ndani ya mwezi. Lkn mzungu akinitafuta Yeye mwenyewe bill kumwambia anakuambia nitakupa 50usd na akiganikiwa anakutumia Zawadi bila kumuomba zaidi hata ya 200usd. Wakati mtanzania atakuambia tu ahsante sina pesa ila nikipata nitakupa soda. Hakuna sehemu kwa africa maisha nimepesi kama south africa,botswana na namibia . Usipokuwa wanaonda south africa wengi kwanza hawana elimu, Pili busara hawana tatu ni wale hata tanzania walikuwa Wezi na wahuni mbwa kupindukia . Lkn nakuambia kama una kipaji hata cha kushona nguo. Nenda namibia tena lipia kabisa work permit yao hata ya miezi 3 tu. Halafu utaona na utakuja kunipa ahsante.
@elizabethmabula101
@elizabethmabula101 4 года назад
Ni kweli kabisa. Yote nayosema
@britneymbogua86
@britneymbogua86 4 года назад
Duuh nakataa nyumbani maisha magumu ww ehe maswala ya kula kuku hadi chrismas au nyama ila South nyama maharagwe kawaida tuu hospital unatibiwa Za Hali ya juu malipoa yake kidogo tuu tofauti na nyumbani
@grandneo5264
@grandneo5264 3 года назад
Kweli namibia biashara inalipa
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 года назад
Kabisa wala uwongopi wengi kabulu wababaishaji tu
@MrherbsTz
@MrherbsTz 4 года назад
Hakuna nchi imekaa vizuri kipesa kama namibia lkn usiende kwa njia za panya na wala usifanye biashara bila kibali na pia usifanye Kazi za halaam. Nakuambia namibia hata mchungaji ukisema vipofu wataona. Kama kipofu amekuja na hajaona unakamatwa kwa kudanganya watu. Namibia nzima hutaakuta mchungaji anahubiri vipofu wataona, viziwi watasikia ,wasio na Kazi watapata,wasiopata ujauzito watapata ,wasio na waume watapata kwa jina la yesu. Hukuti huo ujinga na utaperi . utaishia tu tanzania na kenya na naigeria ulipoanzia huu ujinga na utaperi. Kule unakamatwa hata wiki haifiki . Ukinibishia nenda kajionee na namibia hakuna rushwa jomba. Ukikamatwa ujue ni jela tu hata kama una milioni
@frabomdemwa8880
@frabomdemwa8880 4 года назад
lugha sasa wanatumia kiingereza au
@MrherbsTz
@MrherbsTz 4 года назад
@@frabomdemwa8880 kingereza ndio
@yohanabaraka8192
@yohanabaraka8192 4 года назад
Inaonekana una idea sana....tuchekiane bro 0753659016
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 года назад
Namibia wakaksi sana na jela zao hatari sana
@erickmapunda4231
@erickmapunda4231 4 года назад
Mimi NP tz bush ila ninauwezo wa kuingiaza elfu 30 kwa ck sasa sioni sababu ya kwenda south.
@OmarHussein-mi1pw
@OmarHussein-mi1pw 3 месяца назад
Brother tulia Zak usifany mistake ya kuja S.A
@salomemphela878
@salomemphela878 4 года назад
Daaaaaah Mwenyezi Mungu atunusuru
@lucky9285
@lucky9285 4 года назад
Awanusuru na nini? ?
@efraimjohn4956
@efraimjohn4956 4 года назад
Maisha popote , kila mtu anasehem ambapo anaona anaweza kuingiza kipato chake so kama upo TZ na unaingiza mkwanja wa kutosha mshukuru mungu , na kama haupo tz ila unaingiza mkwanja poa mshukuru mungu , wala sio kwasababu unaakili sana bali mungu ndo alivyokupangia
@mavuzijiwe6805
@mavuzijiwe6805 3 года назад
South Africa Mtu Anaweza Akawa Anauza sigara , sweet (kibongobongo pipi) biskuti Akawa Anaishi ghorofani haya kibongobongo huwezi kuishi ghorofani kama unauza sigara na biskuti
@josephatkashendwa1177
@josephatkashendwa1177 4 года назад
Mngejua TZ ilivyo na rasilimali za maana, nyinyi msinge hacha TZ kwenda nchi za wengine kusumbuka hivyo na kunyanyaswa kana kwamba huku mmefukuzwa, hivi mnajua wazungu wanatoka ughaibuni kuja hapa TZ na wanawekeza mitaji kidogo na kupata utajiri mkubwa, nyie vijana wa TZ mnakwama wapi, je mnajua mnatia aibu huko nje?, eti unatoka TZ unaenda kuwekeza biashara za saloon na kazi ndogondogo huko south Afrika ambazo kipato chake ni kidogo kuliko ungewekeza hapa Tz wakati TZ tuna ardhi ya kutosha ambayo inarutuba ya kutosha kiasi kwamba ukikomaa msimu mmoja tu wakilimo kwa kulima angalau EKARI mbili kwa mazao ya mbogamboga na matunda na kujinyima unatoka kimaisha, hapo ujahamua kulima zao la mpunga na mazao mengine nk, ebu watz vijana wenzangu hacheni utumwa wa fikra eti muonekano mko ughaibuni wakati hakuna mnachofanya cha maana, rudini TZ kumenoga mjenge taifa na maisha yenu kwa ujumla hacheni uvivu wa fikra, huku TZ mazingira ya kibiashara na shughuli mbalimbali za kuwapatia vipato yameboreshwa, sasa hivi hapa TZ, MTZ anafanya biashata popote atakapo ndani ya TZ la msingi uwe na kitambulisho cha machinga ambacho ni elf 20 tu kwa mwaka, yale mambo ya zamani ya Mgambo kukamata machinga hayapo tena TZ, vijana huku TZ wanatusua kimaisha, Rudini home hacheni swaga za kizamani za kitumwa za wakoloni walizotufanyia ambapo wazee wetu walipelekwa huko ughaibuni kwa lazima wakiwa na minyororo shingoni na miguuni huku wakichapwa mijeredi wkt nyinyi mnajipeleka wenyewe kwa nauli zenu, halafu mnaanza kulalamika, kwanza hiyo nauli na pesa mnayotumia kuomba viza ni mtaji tosha kwa hapa TZ kufanya biashara na shughuri yoyote ya kimaendeleo la msingi fuata sheria za nchi. HUKU TZ Swaga ni HAPA KAZI TU, UVIVU HAUNA NAFASI.
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 года назад
😅😅😅 hivi uliisha wahi kwenda nje ya Tanzania?
@emmanuelchiza7733
@emmanuelchiza7733 4 года назад
We una hekari ngapi za mchicha mpaka sasa? Acha kuwabeza watu . unaongea habari ya visa nani kakudanganya south Africa unaitaji. Nyie ndio wale miaka 5 inapita bila safari yoyote hata morogoro uijui
@tumainirkyando8128
@tumainirkyando8128 2 года назад
Acha watu watafute maisha wanapoona kuna unafuu ! Mradi hawavunji sheria, wewe kukaa Tz,
@veronikamkuwele9072
@veronikamkuwele9072 4 года назад
Mie naona wamechoka kweli rudini tu nyumban
@ismailmbogo3408
@ismailmbogo3408 4 года назад
We boya tu
@issamsomba7219
@issamsomba7219 4 года назад
ushauli Tanzania kuna waendesha boda boda na waendesha bajaji wana piga hela sana
@muniradaudi440
@muniradaudi440 4 года назад
Maahllah tena wazur duh
@philemonkaduma9213
@philemonkaduma9213 4 года назад
Fighters
@aminakawawa1935
@aminakawawa1935 4 года назад
Poleni kaka zangu Bora europe euro mia laki mbili na hamsini tafuteni michongo mkiwa huko kupata visa rahisi
@eddimalon6051
@eddimalon6051 4 года назад
Wewe uko Europe unapata ngapi? uro 100
@aminakawawa1935
@aminakawawa1935 4 года назад
@@eddimalon6051 mie naishi huku kusafisha tu pesa ndefu usiweke kejeli nimeolewa huku Austria
@eddimalon6051
@eddimalon6051 4 года назад
@@aminakawawa1935 Ndio maana unapesa ndefu, kwa sababu hulipi nyumba.
@rukiyahussan4190
@rukiyahussan4190 4 года назад
Viza inapatikana kwa ela ya kitanzania bei gani na iyo kazi yakusafisha kwamwezi bei gani nataka nijipange
@mariamdimosso621
@mariamdimosso621 4 года назад
Europe kutamu Ila usije kichwa kichwa uwe na mwenye na huwe na visa ya kufanyia kazi tulio olewa haka hakuna longolongo
@bizzosela6186
@bizzosela6186 4 года назад
Bhn xenophonia ilikua kwa wageni wote sio kwa wageni wa mji flani kwangu me nasema NO achuzy, RAIA SIS WATU WEUSI WOTE WAGENI SEMA MABULA NDO WENYEJI
@ismailmbogo3408
@ismailmbogo3408 4 года назад
Kiukweli south Africa wananchi baala Na wakimbizi balaa Iyi inchi ni vurugu tupu
@georgemwidima3851
@georgemwidima3851 4 года назад
Poleni. Huku hata kilimo, bodaboda, ujasiriamali unalipa zaidi kuliko hizo mia mia randi.
@user-se9no4rg3k
@user-se9no4rg3k 2 месяца назад
Uyo kaka namfahamu jamaniii
@ayoubabdull1265
@ayoubabdull1265 4 года назад
Wew,hao wote unaongea nao ni new come ....uwezo wa kukufahamisha mdogo ...hujakutana na wakongwe wabongo wenyew wa kitambo sura zote hizo ni mpya kutana na wakurungu wakupe mawe ...
@jacksonamos2008
@jacksonamos2008 3 года назад
Haha
@frankchaula3974
@frankchaula3974 4 года назад
noma na nusu
@meena-ol6fo
@meena-ol6fo 4 года назад
Mtoto wa mwaka mmoja anasoma darasa la kwanza?😳😳😳chekechea kaanza ana miezi miwili😂 acha uwongo we mtangazaji
@lizzydiy4590
@lizzydiy4590 4 года назад
Muongo huyooo
@mohamedndaro1431
@mohamedndaro1431 3 месяца назад
na mimi pia nipo hapo hapo ulipo simama wewe kuhusu hili la mwaka mmoja kuuliza habari za dunia...!!
@mavuzijiwe6805
@mavuzijiwe6805 3 года назад
South Africa kama Tupo Shule Mimi Mwenyewe nilikuja south Africa sijui English lakini sasahivi Najua kuongea English, kizulu Bongo Niliishia Darasa la 7 tuu
@lenatawinchilaus7688
@lenatawinchilaus7688 10 месяцев назад
Safi sana mpendwa upo wapi kwa sasa
@MarieHeleneEtienne-bf9ub
@MarieHeleneEtienne-bf9ub 2 месяца назад
huyu jamaa mweye fulana ya. hallo afrika ameelezea vizuri from a to z
@mwamengele
@mwamengele 4 года назад
😁😁😁 kodi shikamoo
@vincentmokenye4465
@vincentmokenye4465 3 года назад
Daa ni shida
@britneymbogua86
@britneymbogua86 4 года назад
Mfike na capetown basi Global TV sio mnaishia tuu johbag
@ruu6592
@ruu6592 3 года назад
Kwa ufupi watu ambao Awana maisha tz ndio wanao enda south
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 года назад
Wanakwenda kutafuta na kujifunza mambo mengine zaidi
@user-se9no4rg3k
@user-se9no4rg3k 2 месяца назад
Kigoma ujiji
@mejakimaro2773
@mejakimaro2773 4 года назад
Namuona mwanangu omary hapo
@dollyandthedoliganeloi3025
@dollyandthedoliganeloi3025 4 года назад
Ivi south Africa shule sio bure
@emmanuelmakongoro8228
@emmanuelmakongoro8228 4 года назад
Bure
@hemednassor4560
@hemednassor4560 Год назад
Nyumbani nyumbani tu kama hamuna kazi nyie tu si tunaishi fresh 20000 kwa siku mtu hukosi uko roho mkononi south africa hakufai
@nemesdavid7346
@nemesdavid7346 4 года назад
Banda kakimbia alikua ananyoa hapo
@zawiajuma715
@zawiajuma715 2 года назад
Pambana maisha ni popote
@shabannkondo5726
@shabannkondo5726 4 года назад
Hamjajipanga tu bongo kila kitu unapata
@shukuruelijoseph7076
@shukuruelijoseph7076 Год назад
Waache watafute maisha
@adamumuki1242
@adamumuki1242 3 года назад
Uyo sio mbongo kwanza
@ismailmbogo3408
@ismailmbogo3408 4 года назад
Kaka mwisho kaongea ukweli
@emmanuelmakongoro8228
@emmanuelmakongoro8228 4 года назад
I'm well upi?hajui chochote muulize yeye anafanya kazi gani?
@omaredhasaidal.obthani4775
@omaredhasaidal.obthani4775 4 года назад
Ahhh si mchezo mtangazaji kaniumiza mbavu😂😂 'mtoto wa mwaka 1 anajua xenophobia 😂😂 hy mtoto anaongea mwaka 1 kwel ? 😂😂😂 Utaniumiza kaka
@matthewjohn5108
@matthewjohn5108 4 года назад
Anazingua boya huyo. hahahaha, si ajabu alizaliwa na meno yote 32. hahahahaha
@hamisishempoo186
@hamisishempoo186 3 года назад
Oyawee
@annaflorencebulondo2614
@annaflorencebulondo2614 4 года назад
Wana pambaneni msikate tamaa Ile kuweni makin Hao wajinga wa huko wasiwachome moto... Msiwe kama wabongo wengine kutoka Mazingira waliozaliwa ni issue... Mimi nawaita mashujaa.. Mmetoka kuthubutu.
@amourkhamis8259
@amourkhamis8259 4 года назад
Nakaza macho kwa hao vijana labda nitamuona kaka yangu.aliondoka tokea nina miaka 13 mpaka sasa nina miaka 32.wanateseka lakini bado wameganda..cheefuu.. RUDINI NYUMBANI KUMENOGA.
@festobazilio8894
@festobazilio8894 4 года назад
@@amourkhamis8259 Aheri kuwa mtumwa kwenu kuliko kuwa mtumwa kwa mtu mcheza kwao hutuzwa.
@kenybenjiz7850
@kenybenjiz7850 4 года назад
Wanashugulika na nn hko hao
@hemednassor4560
@hemednassor4560 Год назад
Hakufai uko bwana roho mkononi
@azizalivingston1954
@azizalivingston1954 3 года назад
Kwrr
@fetychina3273
@fetychina3273 4 года назад
Mh!na vipi watu kupigwa risasi?
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 года назад
Kwanini interview mmefanyia ndani? au wamejificha?
@dreamhighmotivation121
@dreamhighmotivation121 4 года назад
@FENITV FANYA KAMA UNABONYEZA LINK HII HAPO SUBSCRIBE NA SHARE TAFADHALI
@happymwakaluka5286
@happymwakaluka5286 4 года назад
Ludi nyumbani
@ashamwamba9088
@ashamwamba9088 3 года назад
Kunamkakani..wakigoma.apo
@efraimjohn4956
@efraimjohn4956 4 года назад
Maisha popote , kila mtu anasehem ambapo anaona anaweza kuingiza kipato chake so kama upo TZ na unaingiza mkwanja wa kutosha mshukuru mungu , na kama haupo tz ila unaingiza mkwanja poa mshukuru mungu , wala sio kwasababu unaakili sana bali mungu ndo alivyokupangia
@josephatkashendwa1177
@josephatkashendwa1177 4 года назад
Mngejua TZ ilivyo na rasilimali za maana, nyinyi msinge hacha TZ kwenda nchi za wengine kusumbuka hivyo na kunyanyaswa kana kwamba huku mmefukuzwa, hivi mnajua wazungu wanatoka ughaibuni kuja hapa TZ na wanawekeza mitaji kidogo na kupata utajiri mkubwa, nyie vijana wa TZ mnakwama wapi, je mnajua mnatia aibu huko nje?, eti unatoka TZ unaenda kuwekeza biashara za saloon na kazi ndogondogo huko south Afrika ambazo kipato chake ni kidogo kuliko ungewekeza hapa Tz wakati TZ tuna ardhi ya kutosha ambayo inarutuba ya kutosha kiasi kwamba ukikomaa msimu mmoja tu wakilimo kwa kulima angalau EKARI mbili kwa mazao ya mbogamboga na matunda na kujinyima unatoka kimaisha, hapo ujahamua kulima zao la mpunga na mazao mengine nk, ebu watz vijana wenzangu hacheni utumwa wa fikra eti muonekano mko ughaibuni wakati hakuna mnachofanya cha maana, rudini TZ kumenoga mjenge taifa na maisha yenu kwa ujumla hacheni uvivu wa fikra, huku TZ mazingira ya kibiashara na shughuli mbalimbali za kuwapatia vipato yameboreshwa, sasa hivi hapa TZ, MTZ anafanya biashata popote atakapo ndani ya TZ la msingi uwe na kitambulisho cha machinga ambacho ni elf 20 tu kwa mwaka, yale mambo ya zamani ya Mgambo kukamata machinga hayapo tena TZ, vijana huku TZ wanatusua kimaisha, Rudini home hacheni swaga za kizamani za kitumwa za wakoloni walizotufanyia ambapo wazee wetu walipelekwa huko ughaibuni kwa lazima wakiwa na minyororo shingoni na miguuni huku wakichapwa mijeredi wkt nyinyi mnajipeleka wenyewe kwa nauli zenu, halafu mnaanza kulalamika, kwanza hiyo nauli na pesa mnayotumia kuomba viza ni mtaji tosha kwa hapa TZ kufanya biashara na shughuri yoyote ya kimaendeleo la msingi fuata sheria za nchi. HUKU TZ Swaga ni HAPA KAZI TU, UVIVU HAUNA NAFASI.
@MrherbsTz
@MrherbsTz 4 года назад
Maisha ndivyo yalivyo ndg. Kuna wajerumani wanakwenda america na kuna wa america wanaenda ujerumani. Na Wewe ukipata pesa tanzania kuna mwingine hata hajui atakula nini.usione kwa kuwa umepata Wewe Ndio useme tanzaniaaaishaazuri. Nimeishi nchi nyingi lkn ukiniuliza nitakuambia Tanzaania maisha ni magumu kuliko unavyofikilia Wewe.
@Munyama675
@Munyama675 2 года назад
We ni mpumbavu
@user-kh5xx1xq2m
@user-kh5xx1xq2m 8 месяцев назад
Nabii hakubariki nyumbani kaka alaf maisha popote mtaftaji achoki
@MarieHeleneEtienne-bf9ub
@MarieHeleneEtienne-bf9ub 2 месяца назад
Mzee. umegonga msumali WA moto
Далее
Tom Swarbrick’s takedown of ‘racist’ rioter | LBC
10:13