Тёмный

WATEJA WAMPIGIA SHANGWE SHILOLE, MTOTO WAKE KUFAULU 1 YA 7 FORM SIX, AFUNGUKA KUWEKA HATI APEWE ADA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 93 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

12 июл 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 143   
@fatumajumanne5961
@fatumajumanne5961 Год назад
Mwalimu wa hesabu hapa n wap the shishi voice ❤Penye Nia Pana njia MUNGU azidi kukupgania Zaid wababa saa hz nyuso chn kama mbuz wa kafara 😢
@dabmagroup
@dabmagroup Год назад
Wow! What a super woman pongezi kwako shishi 🎉
@lailalaila8206
@lailalaila8206 Год назад
Nampenda sana my love shishi kwa hupambanaji wake na marezi yake mungu hambariki sana
@dkt.fatmasalim
@dkt.fatmasalim Год назад
Mwanamke mpambanaji, Hongera sna, Mungu amjaalie mschana aendelee kufaulu zaidi na zaidi..Amin
@sahraabdallah7242
@sahraabdallah7242 Год назад
Huwa nampenda Sana Zuena jmn♥️
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 Год назад
Huwa uko smart sana shishi kwenye malezi na unajitahidi mpz. Hongera
@eyabdimaha3698
@eyabdimaha3698 Год назад
Yupo makini sana kwa watoto wake anahitaji pongezi
@rosemuhandoofficial5676
@rosemuhandoofficial5676 Год назад
Nakupenda sana shishi
@annaandrew3051
@annaandrew3051 Год назад
Hongera dear.Mungu azidi kuwainua watoto wetu sisi tunaopambana
@user-qq1yl1jz9o
@user-qq1yl1jz9o Год назад
Hongera sana binti mzuri we are proud of you. You make your mom proud
@thuraiyathuraiya401
@thuraiyathuraiya401 Год назад
Mashaallah dada mungu akuzidishie ❤❤
@salvinahassan8778
@salvinahassan8778 Год назад
Shishi, you're so creative ❤
@peninashungu6633
@peninashungu6633 Год назад
Hongera sana, ata mimi najitafuta ada kabisaaa
@nanceaidan6622
@nanceaidan6622 Год назад
Mimi nampendaga shishi kindakindaki💘💘💘💘💘💘💘💘🤲
@maimunamnandowa5948
@maimunamnandowa5948 Год назад
Hongera sana shishi Mungu aendelee kumbariki mtoto wako na kuwalinda
@kazkaz1943
@kazkaz1943 Год назад
Kuna mzazi kama shilole ambaye hakufanikiwa kusoma na alidanga sana lakin kabadilika na kuwaonyesha wanake njia sahihi ambayo yeye hakupita na kuna mzaz kama kajala ambaye anampitisha mtoto wake njia ambazo yeye pia alipitia 😢 ila yote maisha kikubwa uhai nasemaje kikubwa uhai kuna mzaz pia anataman mtoto wake ambaye hayupo dunian arud hata awe mcharuko kama paula ila awepo tu duniani😢 Mungu ni Mwema tushukuru kwa kila jambo
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 Год назад
Hakika kunywa soda ndugu
@stellamsokwa6785
@stellamsokwa6785 Год назад
Umeongea KWA UCHUNGU sana daahh haya maisha MUNGU ATUSAIDIE TU...
@joycekaguo8476
@joycekaguo8476 Год назад
Mtakalia Ayo ayo
@garruwsuntilibreaththislif3681
​@@joycekaguo8476Sasa we ya Nini makasiliko
@CatherineKibona-sb5xx
@CatherineKibona-sb5xx Год назад
Yaani in kweli lakin,ila dah si kwa mchambo uwo kwa wenzko jmon,
@user-he3tv6ob6p
@user-he3tv6ob6p Год назад
Allah akuzidishie nakupend sana shishi,mmmmwaaaaaaaas❤
@rukiaahmed1291
@rukiaahmed1291 Год назад
Shishi your the best dear .smart in head we love you to the fullest. Mungu azidi kukuzidishia
@magejuliani5293
@magejuliani5293 Год назад
Hongera Sana! Endelea kuwatunza huku ukimshirikisha Mungu!Ila kuwa makini usimuache mwanao mtandaoni!
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 Год назад
Hongera sana shishi MUNGU azidi kukibariki wewe na wanao❤❤❤
@amanimyolo1478
@amanimyolo1478 Год назад
Mashaalah alhamdulilah hata mimi nina ardhi alhamdulilah Allah akbar
@lightinesssarakiky7367
@lightinesssarakiky7367 Год назад
Mam shishi love you ❤❤❤
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k Год назад
Shishi kama shishi mama mpambanaji ninanye muelewa sana Tz hongera zako mwaya😂😂 I love u from Mombasa ❤
@latifamlipano5286
@latifamlipano5286 Год назад
Hongera sana mpambanaji
@user-jz2su4co4d
@user-jz2su4co4d 5 месяцев назад
Hongera mama wa mama ilove you
@charlesmugisha6529
@charlesmugisha6529 Год назад
Nimefrahi Sana kuwaona wahaya wenzangu🙏🙏🙏
@twalebleboss9687
@twalebleboss9687 Год назад
UKO JUU SAANA...#SHISHI....TUKO PAMOJA NAWE NA TUTAZIDI KUKUOMBEA MEMA SIKU ZOTE .....#HONGERA SAAAANA.... #SUPER WOMAN 💥💥💥🔥🔥🔥❤
@user-bn8qx9kg7w
@user-bn8qx9kg7w Год назад
honger kwakupamban mungu yupo pamoj naw
@fatmakhatib2935
@fatmakhatib2935 Год назад
Hongera sana binty umeonyesha jitihada kubwa kwenye elimu baada ya kuona jinsi gani maamko alivyokuwa anafait 7bu kuna watoto wengine hawajali wala hawaoni wazazi wao jinsi wanavyo wahangaikia kwa faida yao wenyewe baadae
@hawasham908
@hawasham908 Год назад
Yaani yotenayote namefurahi pia kwa mtoto kufauli vzuri hongera mwanangu hongera shishi
@halimaoman8726
@halimaoman8726 Год назад
Ongera sana mwanawane kwa binti yetu kufaulu sio mchezo mwanawane
@sweetluc2660
@sweetluc2660 Год назад
Kweli kabisa Mi na kubali Sana shish
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Год назад
Mashallah ❤ ngoja Nami nooambane wanangu wasome
@elizabethmukeba2528
@elizabethmukeba2528 Год назад
Shilole ongera na malezi yako mazuri ya watoto wako kwanza malezi ni mazuri endelea kufanya kazi kwa ajili wa watoto njo maisha yako ya kesho
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Год назад
Hongera sna shilole
@azizasaid5255
@azizasaid5255 Год назад
Ongera shilole. Wameendana na mwanangu, yeye kapata 1 ya 7 .sayasi.
@teedullah5708
@teedullah5708 8 месяцев назад
Shishi na kupenda m🇰🇪🇰🇪 mimi
@florampayo6593
@florampayo6593 Год назад
Hongera sana shilole
@marywairimu5682
@marywairimu5682 Год назад
Shishi InshaAllah mola aku fanyie. Wepesii
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 Год назад
Hongera sana shishi
@anisia4390
@anisia4390 Год назад
Congrat sana Dada hayo ndo malezi yanastahili kwa watoto
@user-ip6ei8zt1u
@user-ip6ei8zt1u Год назад
Nikikuangalia napata nguvu yakufanya kaz kwa bidii sana
@happyfaniabatromeo8010
@happyfaniabatromeo8010 Год назад
Pongeziii kwa Wa MAMA wote wanaosomesha watoto wao kwa Mazingira yote 🙏🙏
@asiamohd5516
@asiamohd5516 Год назад
Mungu akubariki sana. Asante sana
@mrsab303
@mrsab303 Год назад
We love you ❤❤❤❤❤
@sakinaomary7207
@sakinaomary7207 Год назад
nimependa vibe
@upendojoseph7912
@upendojoseph7912 Год назад
Dada WA taifa wewe, nakupenda nikiwa ruvuma💕💕💕💕
@rosejoely4518
@rosejoely4518 Год назад
Hongera shishi
@mossyjoseph7212
@mossyjoseph7212 Год назад
Nakupenda sana dada Zuwena Mungu akupe maisha marefu dada ❤❤❤
@abdiathumani919
@abdiathumani919 Год назад
Namkubali shishi
@chaggatv818
@chaggatv818 Год назад
Wachaga hatuna baya na mtu hata tukifa hatuozi😊
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 Год назад
Dada ukopoa sana
@AmeenaTanzania
@AmeenaTanzania 11 месяцев назад
Ongera zikufikie mbili kwakusomesha pamoja na akili ya kazi umejiongeza dada saluti kwako
@user-wz9no5wx3g
@user-wz9no5wx3g Год назад
Natamani kufanya kazi nawe dada nahitaji kufata nyayo zako
@marthageorge5043
@marthageorge5043 Год назад
❤❤❤❤❤❤
@sarahbenard5493
@sarahbenard5493 Год назад
Nataman nifanye kama ww ila najua ntafanya tu.
@nathanlusulo-po2lj
@nathanlusulo-po2lj Год назад
Wanafaulu elimu za darasani Ila ubunifu wao hawaujui baadae maisha yanawasumbua
@irenemacha5661
@irenemacha5661 Год назад
Modo wangu❤
@magrthmakandi7224
@magrthmakandi7224 Год назад
Hongera una kashifa na watoto wako anawapa madilisha mazuri
@magrthmakandi7224
@magrthmakandi7224 Год назад
Wewe mpampanaji
@magrthmakandi7224
@magrthmakandi7224 Год назад
Malkia wa nguvu
@magrthmakandi7224
@magrthmakandi7224 Год назад
Wewe mfano kwa wasanini wa kike
@irenemacha5661
@irenemacha5661 Год назад
@@magrthmakandi7224 sana sana
@Ohhvio
@Ohhvio Год назад
Wachaga oyeeee 🔥🔥🔥🔥 rudia Kweli wengine tulikosaa
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 9 месяцев назад
Majina ya z udongo nyota wanausika na kilimo pia na sisi
@jasminmdimi6059
@jasminmdimi6059 Год назад
Shishi ❤❤❤
@user-mo6tr3yt3m
@user-mo6tr3yt3m 7 месяцев назад
❤❤❤
@biubwaabdalla9750
@biubwaabdalla9750 Год назад
Shilole nakupenda natamani nikuone
@user-tn1wr6zm4t
@user-tn1wr6zm4t Год назад
Penda shishi❤❤
@user-tn1wr6zm4t
@user-tn1wr6zm4t Год назад
😂😂😂😂😂nimejikuta nacheka❤❤
@anifamango6756
@anifamango6756 11 месяцев назад
Na kababy face kake... Nampedaga shishi sana
@jade75798
@jade75798 4 месяца назад
My dear sio kurisk ni kusacdifise
@user-fr3sq9qu8g
@user-fr3sq9qu8g Год назад
@aminaomary5567
@aminaomary5567 10 месяцев назад
Sifa kweli wanao.
@methodiutou7278
@methodiutou7278 Год назад
Huyu dada anajielewa mnoo! Mungu akutangulie
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 9 месяцев назад
Wahaya na waganda wanaita matoke
@sarasaraz-vn1vl
@sarasaraz-vn1vl Год назад
Yani mm sisemi kwa shishi
@shemsaali5961
@shemsaali5961 Год назад
arrrot of things😂nimeipata iyo
@pendokissatu937
@pendokissatu937 Год назад
Na siku hii nilibahatika Kuwepo hapo palijaaaa hadi pakupaki gari hapakuwepoo
@user-pe1qv1sn5p
@user-pe1qv1sn5p 6 месяцев назад
wewe.ndio mama.bora sasa.sio yule . anae vaa.chupi pamoja na.mtoto.wake
@beatricemrisho8431
@beatricemrisho8431 Год назад
Watu kusahvi wanafaulu sana mitaala ishabadilishwa masomo yote ni kuchagua ABCD... Elimu ya sahv ni mteremko mpka hesabu kuchagua lohhhh... Hakuna competition sahv ujinga tu
@amourhemed2950
@amourhemed2950 Год назад
Acha wivu jifunze kufurahia mafanikio ya wengine
@salvatorypaul6113
@salvatorypaul6113 Год назад
Acha bangi fara ww A level Kuna kuchagua ABCD
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 Год назад
Mjinga ni wewe nawe tuletee matokeo ya mwanao aliefaulu. Pumbavu wee! Roho mbaya shwain wee nyooooo!
@upendopeter8078
@upendopeter8078 Год назад
Acha wivu wewe dada, sawa imebadilishwa lakini mbona wapo wanaofeli?? Mtoto amefanya vizuri anastahili pongezi,, wewe kaa na wivu wako, mwanamke unajaka la moyo😏
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 Год назад
Acha roho mbaya ww ulifauru au wtt wako wamefauru nenda zako, Hongeraa sana Shishi
@kudanatz9943
@kudanatz9943 Год назад
Sasa shishi nikuombe kitu fanya chakula cha kimasai nyama mtori na damu mbichi watakuja wengi sana
@sweetluc2660
@sweetluc2660 Год назад
Ni furaha kama Mama
@hawaynatimam982
@hawaynatimam982 Год назад
Ila sio kila kitu muwe mnatangaza maana hujui mmbaya wako ninani, wengine unakuta baada ya siku chake tu mtoto haoni
@ruttaking6906
@ruttaking6906 Год назад
"Yaliyoomo yaaamo"
@mama_mlezi7744
@mama_mlezi7744 Год назад
Ani skuizi elimu Ni kujitambua,kujiheshimu na kuitwa tu Fulani amesoma,,,sema skuiz wadogo zetyu wanafaulu Sana Ila ukimaliza chuo ndio utajua division one ni deal au connection Ni deal🤣🤣🤣🤣🤣🤣hongera mdogangu
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 9 месяцев назад
Nakipenda
@tecratzmwakyambomwakyambo7243
Ikifikaa siku ya chakulaa cha wanyakyusa mnijulisheeeee.
@lusajoabel5496
@lusajoabel5496 Год назад
Shishi anavibe la kwenda sio poa
@naimasaid4608
@naimasaid4608 Год назад
Furaha nackia mm
@otmarmkali8883
@otmarmkali8883 Год назад
Usimlete mtoto mtandaoni atapotea
@user-pe1qv1sn5p
@user-pe1qv1sn5p 6 месяцев назад
waje.wasambaa.uapikie.ugali.wa.muogo.kama.hamta.pinda.migongo
@rajababdallah9791
@rajababdallah9791 Год назад
Apo ata kama baba yao alikua napambana huwezi sikia hata nukta
@user-qe8xp6ii1u
@user-qe8xp6ii1u Год назад
Me nikajua amefuzu kuingia peponi kumbe Division tyu.Kitu cha kawaida Ni bora angesoma Dini.
@scholamodestus9386
@scholamodestus9386 Год назад
Eeeh makubwa
@aureliadidas1531
@aureliadidas1531 Год назад
😅😅😅😅
@sleeprelaxation8431
@sleeprelaxation8431 Год назад
hahahaha
@rayanndizeyes3161
@rayanndizeyes3161 Год назад
kweli wazanzi wanaelewa iyo resque muzanzi anafanya anjili ya wayoto wasonge bali 😂😂shishi umenikubusha bali sana .ijapokuwa leo niko kwenye musimamo muzuri.ila ulipp ogeya risque mwanamuke anafanya anji ya watoto ni meliya maisha haya nisiri kubwa sana.shishi inarikiwe dada
@zenaycechanzinho6702
@zenaycechanzinho6702 Год назад
😂hii comment imenichekesha
@sandyk4966
@sandyk4966 Год назад
But why🤦🏽‍♀️😂😂😂sio rahisi wew😂😂😂
@emmanueljuvieh4316
@emmanueljuvieh4316 Год назад
Huwezi kuwa serious 😁😁😁
@yunuschum3754
@yunuschum3754 Год назад
Hapa ni wapi? Mbna najikuta nacheka tu 😂😂😂
@rehmakondo
@rehmakondo Год назад
Nitafsirieni jmn 😢
@justice607
@justice607 Год назад
Ebitoke ndani ya sahani
@khamisrashid9645
@khamisrashid9645 Год назад
Kabila kubwa sukuma kada ya ziwa shishi kikwe tu zaid
@azizasaid5255
@azizasaid5255 Год назад
Mtoto kichuna
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 Год назад
acha upumbavu kumueka mitandaoni mtoto Wako
@mishikombowato1457
@mishikombowato1457 Год назад
Mwerevu usiejielewa shishi unae muona mpumbavu kujitafuta kajipata na anabidika kusomesha wanawe na watoto wanampa mama yao moyo
@meshackkulinda1753
@meshackkulinda1753 Год назад
Wewe dada punguza maisha ya mtandao , hv unadhan watu wanafurahi??hv ujui kuwa unawezapgwa ni jicho la roho mbaya??
@user-sq7pz9ex5g
@user-sq7pz9ex5g Год назад
Wa kwanza utakuwa wewe mwanga
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Год назад
Alopewa kapewa punguza makasiriko
@bernadetamodest6170
@bernadetamodest6170 Год назад
@@lifeinmiddleeast8179 😁🤣😁🤣😆😆😆😆😆😆
@bernadetamodest6170
@bernadetamodest6170 Год назад
@@user-sq7pz9ex5g 😁🤣😆😁😆🤣😁😁
@svt3
@svt3 Год назад
@meshackkulinda1753: ukiamini ushirikina na ushenzi lazima ukushike
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Год назад
Huyu dada angepunguza huu unene maana alivyonenepeana daah amejiachia kihasara 😅unaweza kunenepeana watu wakafikiri unakula mavi 😊
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 Год назад
Apunguze unene kwani unampa wewe kula loh!
@mishikombowato1457
@mishikombowato1457 Год назад
Shishi hajajiachia rudi ukajifunze lugha mwili tu mungu kampa ila shishi anavyo pambana angekonda ila mola ndio aliempa afya huyu dada ni halali kutafuta kila kona yumo
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Год назад
@@mishikombowato1457 hamna kitu Kama hicho ni kujiachia akipunguza kula vyakula vya wanga na akifanya mazoezi atapungua tu siku hizi wanawake wengi wana vitambi
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Год назад
@@salmahalfani6307 na wewe una kitambi nini maana siku hizi ni kawaida wanawake wana vitambi 😂😂😂
@johnstephene3112
@johnstephene3112 Год назад
@@kabwelasutiviraka4765 h
@user-mo6tr3yt3m
@user-mo6tr3yt3m 7 месяцев назад
❤❤❤
@user-fr3sq9qu8g
@user-fr3sq9qu8g Год назад
@user-fr3sq9qu8g
@user-fr3sq9qu8g Год назад
Далее
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Просмотров 6 млн
EDDY KENZO TASALAWO - CAROL NANTONGO
4:15
Просмотров 619
WOSIA WA MAMA RWAKATARE | UTAJIRI WAKE, HISTORIA YAKE
18:40
Jua kali leo usiku jumapili 21-7-2024         4k
19:14
Просмотров 56 тыс.