Тёмный

BREAKING: Bashe atoa kauli sakata la kuuza mazao ya chakula nje ya nchi 

Mwananchi Digital
Подписаться 1 млн
Просмотров 20 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

20 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 99   
@ayubkakore8581
@ayubkakore8581 Год назад
Allah akubariki ndugu yangu,Allah akupe hekima na busara.
@amiindahir9479
@amiindahir9479 Год назад
Maansha Allah , The young minister of Tanzania Agriculture is brilliant and wise . The way he Expess the plan was absolutely amazing. People must thanks him especially farmers and government members. God protect you brother Bashe
@nevermwambela3719
@nevermwambela3719 Год назад
Safi sana Mh.Bashe, tunaibiwa mno na wakulima hawanufaiki
@mwikamwika4851
@mwikamwika4851 Год назад
Big brain huyu mwamba. Hongera sana mh waziri na watendaji wako wote wizara ya kilimo. Safari hii tumepata watu sahihi kuongoza wizara hiyo
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Год назад
Anaongea vitu vya kawaida tu na nilitakiwa viwe vimefanyika miaka mingi tu ila hamna mfuatiliaji
@mwijagenelsoni357
@mwijagenelsoni357 Год назад
Bora mwenye no zao anipe na mim niombe poitment🤣🤣 kuna mengi hawayajui
@deneagrofarms5884
@deneagrofarms5884 Год назад
​@@mwijagenelsoni357 😂😂😂😂😂. Pointment😂😂
@sifaelmophat1021
@sifaelmophat1021 Год назад
Uyu jamaa anagombea uraisi lini?
@BINTINAMAZINGIRASALAMA-il6xt
Hongera mh maelekezo yafuatwe kwa maslahi mapana ya nchi
@abdirizakibrahim1975
@abdirizakibrahim1975 Год назад
Safi sana mh Bashe
@martinomwakyusa8184
@martinomwakyusa8184 Год назад
Upo smart sanaa kaka ila sasa tusitoe mazao sana nje tuweke mikakati ya kuyaongeza thamani ili to export
@saimonseleka8792
@saimonseleka8792 Год назад
Kalime wewe ndo utowe ushauri huo
@samwelisaruni2816
@samwelisaruni2816 Год назад
Mungu akulinde Sana waziri wetu
@tanzaleo8670
@tanzaleo8670 Год назад
safi sanaaaaa mitano tena😅
@RichadTenga-ze4vp
@RichadTenga-ze4vp Год назад
Richard tenga,big up mhashimiwa Bashe
@oscartemba2841
@oscartemba2841 Год назад
😊, to the,,12❤😊;&
@kelvinluoga5140
@kelvinluoga5140 Год назад
Hapo safi maana wageni wananunua mazao Hadi shambani kume kuwa na uholela hapo kama umeliona Hilo waziri safi nakupongeza
@maulidmnukwa3171
@maulidmnukwa3171 Год назад
Wakenya walikuwa wanaenda mpaka uvunguni kufuata mazao pumbafff xao
@mwijagenelsoni357
@mwijagenelsoni357 Год назад
Na wataenda tyu mh anachosema ndo kinachofanyika shida hiko iv tz janja janja sana watu hawana mitaji labda akili mkichwa ndo hao wanaopata vibali tena kwa kushirikiana na watu wa wizara ya kilimo wanaenda kwenye boda na vibali vyao wanaweka ofsi wanajifanya crearing afu serikali haijui watendaji wanajua upuuzi mtupu ata uende kusajir utazungushwa hupati ili wao wafanye kazi wale hiyo laki nane kazi yao kupewa idadi ya tan za kuemport au kuexport wanakaa hata mil 100 mtaji hawana wanatega wenye mitaji sasa ndo wanawavuta watu toka nje kuwaelekeza mashambani
@deneagrofarms5884
@deneagrofarms5884 Год назад
Kweli. Hapa wamepigwa pini sasa. Ni lazima watuone wenyeji kwanza 😂😂😂😂
@Frazztraveller
@Frazztraveller Год назад
Bashe Yuko vzur
@frankyeye
@frankyeye Год назад
Safi
@JOSEPHURUPIA
@JOSEPHURUPIA Год назад
Hapo sawa
@franksam8581
@franksam8581 Год назад
Shida ya serekali mnachelewesha malipo.Tunapenda kuwauzia sana
@deneagrofarms5884
@deneagrofarms5884 Год назад
😂😂😂😂😂. Hili nalo neno. Yaani unawakopesha😂😂😂😂
@athumansaid796
@athumansaid796 Год назад
Nahawa wageni iwe malufuku kwenda vijijin
@birianination7097
@birianination7097 Год назад
Waje kama wanavibali vyote
@LucasSabida
@LucasSabida Год назад
Thank you sir
@birianination7097
@birianination7097 Год назад
Hili ni zuri.
@wemapaschal2325
@wemapaschal2325 Год назад
Bashe wananunua sn wakisha nunua wanawapa wenye leseni kusafirisha hapo hamuwez wakamata
@lucasmartin431
@lucasmartin431 Год назад
Wenye Leseni watalipa Kodi .....Maana walikuwa hawalipi kodi
@birianination7097
@birianination7097 Год назад
Sisi hatutaki waache kununua, sisi tunataka walipe kodi
@deneagrofarms5884
@deneagrofarms5884 Год назад
Hilo sio tatizo ndugu. Wakiwapa wenye leseni tayari wanaingia kwenye mfumo lazima mwenye leseni atalipa kodi
@zablonmlazi4415
@zablonmlazi4415 Год назад
👍👍👍👍👍
@gasperswai6963
@gasperswai6963 Год назад
Super mhe
@yokoi3970
@yokoi3970 Год назад
Hakuna kitu hapa
@jicholafursa7058
@jicholafursa7058 Год назад
Hii nchi kilimo hakina sera zinazoeleweka kila siku mabadiriko
@isayatighter8358
@isayatighter8358 Год назад
Wizara hii tunakupa Hussein Bashe hakuna uchaguzi endelea kuchapa kazi
@suleymanboko
@suleymanboko Год назад
Tulichelewa sana tena mno hii wenzetu wa Zambia, Msumbiji na South Africa wameshapita huku siku nyingi sanaaaa.
@deneagrofarms5884
@deneagrofarms5884 Год назад
Usisahau na BOTSWANA mkuu nao wako smart sana kwenye hii sekta
@johnsmolle504
@johnsmolle504 Год назад
huyu mwamba sichoki kumsikilisa mungu asidi kukulinda
@malikkb6444
@malikkb6444 Год назад
👍👏👏👏👏👏
@sifaelmophat1021
@sifaelmophat1021 Год назад
Yaan mh Bashe unaupiga mwingi mno
@ramamrutu4914
@ramamrutu4914 Год назад
Hiii kitu inaenda kushusha bei ya mahindi yan
@birianination7097
@birianination7097 Год назад
Itapandisha maana kwaku lazimisha walanguzi kusajili biashara, hii itawaruhusu walanguzi kununua mazao kwa ukubwa kwani watakuwa wanalindwa sasa na sheria
@frankyeye
@frankyeye Год назад
Ila bashe 💪💪💪💪🦵💪🦵💪🦵🤲🤝🤲🤝🤲🤝
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Год назад
Sawa tuzidi kujipanga viazi 4 uku mtaani buku 2.ndo tunaita fungu 1
@kadiriamwanga850
@kadiriamwanga850 Год назад
Mheshimiwa Waziri wa kilimo mkulima kuchajiwa elfu kila gunia anapovuna mazao yake kutoka shamba kwenda nyumbani ni haki kweli hiyo?
@enosndinadyo5593
@enosndinadyo5593 Год назад
Serikali muwe mnaeleweka. Sasa kampuni na biashara ya nafaka vinahusianaje. Mnataka hata mwenye mtaji wa gunia 50 anayejiunga na wenzake wapakie roli waende namangaasajili kampuni?
@hassanselemani3411
@hassanselemani3411 Год назад
elimu ndogo kwa wafanyabiasbara
@ikombebusisi765
@ikombebusisi765 Год назад
huwezi kufanikiwa na pia nakushauli mkulima hatalima tena kama ndio mambo haya
@birianination7097
@birianination7097 Год назад
Mtu anaroli 10 hiyo ni mlanguzi sio mkulima, lazima awe na kibali
@FrankNzombo-ps8gw
@FrankNzombo-ps8gw Год назад
Ccm ina kiongozi 1 tu makini nae ni bashe walio baki wote ovyo
@ikombebusisi765
@ikombebusisi765 Год назад
naishangaaa hh nchi
@mkiryaleonard8468
@mkiryaleonard8468 Год назад
Shida nikwamba Bado kila lengo Lenu Alina manufaa kwa mtu wa Hali ya chini. Vijijini hakuna vyakula vya kutosha. Zuieni chakula kistoke.
@birianination7097
@birianination7097 Год назад
Husaidi kitu kwa kumnyima mkulima faida kubwa, wacha mkulima apate pesa nyingi ili walime wengi
@deneagrofarms5884
@deneagrofarms5884 Год назад
Hiko vijijini si ndio wanapolima? Kwann hakuna vyakula vya kutosha? Wewe unataka wenzio walime tu wewe ununue kwa bei ya chini? Huyo mkulima anayetegemea kilimo kwa kila mahitaji yake yote atawezaje kukidhi mahitaji yake kama asipopata faida,? Cha msingi hapa chakula lazima kiwe na thamani ili watu wengi wanaolalamikia serikali hakuna ajira waingie huko kwenye kilimo. Wakiona kilimo kinalipa wengi wataenda kulima
@beatricemgeni9354
@beatricemgeni9354 Год назад
Kama huko vijijiji wana njaa ni uvivu wao na akili zao acha kila kitu kijiendeshe kila mkulima anakumbushwa kutunza chakula chake. Na sio kumnyima haki ya kuuza anakokutaka na kwa bei inayomlipa wafungue mipaka tuuze t
@YassiniHalfani
@YassiniHalfani 2 месяца назад
Mupitie ivyo vitengo muone Kama mkulima tunapata nafac
@mkiryaleonard8468
@mkiryaleonard8468 Год назад
Mnaozungumiza kilimo hamjui kulima. Maskini wanashida kwel
@maulidmnukwa3171
@maulidmnukwa3171 Год назад
The guy is smart
@georgewilliam6001
@georgewilliam6001 Год назад
Smart vp, wao ndio waliachia hayo mambo. Sasa hivi Kuna mchele unaitwa mama Samia
@maulidmnukwa3171
@maulidmnukwa3171 Год назад
@@georgewilliam6001 shida ni kuwa wakulima walipozuiwa ilikuwa kwa nia njema japo uhasama wa jiwe na wakenya pía ulihusika..... Ila kwa Sasa tofauti ni kuwa vitu vinakuwa formalized Kwanza uwe na kampuni Au business name brella... Second Kama waziri anavyoeleza miaka inavyozidi kwenda mamlaka za serikali ndio zinapaswa kusimama in between kusave interested za wafanya biashara wake na kupitia Hilo even standard zitakuwa improved C's issue haitakuwa wewe kuwa na mazao issue itakuwa ni taifa ndio litakalokuwa linauza mazao Yako na hivyo hata katika world market level na standard Za uzalishali zinakuwa ni rahisi kidhibitiwa ukiachilia Mbali kodi
@birianination7097
@birianination7097 Год назад
@@georgewilliam6001 lengo sio kuzuia mchele kutokwenda njee, lengo ni kuakikisha walanguzi wanalipa kodi
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Год назад
Nchi haina sera nzur za kilimo anaongea mno huyo msomali na kiingereza kingi Ila hakionekani anachofanya
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Год назад
Sasa huyu msomali mbona anatumia kiingereza sana sasa wakulima wa Tanzania wana muelewa na misamiati ya kiingereza? Kuelimika ni pamoja na kujua unawasiliana vipi na hadhira unayoongea nayo !
@olivasanga1150
@olivasanga1150 Год назад
Mh huku kwetu mkoa wa njombe wananunua mahindi na viazi shambani hii imekaaje kitaalamu
@kulwakayagamba1328
@kulwakayagamba1328 Год назад
JPM alisema huwezi kuongoza nchi iliyo na njaa.alipiga marufuku nyie mkaja na ajenda ya kuruhusu mazao kwenda nje Leo mnarudi Tena na maneno mengine
@oldma90
@oldma90 Год назад
Yaani kilimo hakiwezi kuendelea kwa kuruhusu kuuza mazao nje ya nchi sanasana mtatuletea njaa tu na kazi ya hiyo wizara haitaonekana . Mkulima anahitaji teknolojia bora ya kilimo mtaji na ardhi na pembejeo . Kuuza nje ananufaika mfanyabiashara mlaji mta zania atapigika , mkulima atapigika na hakuna cha uchumi kukua utapiamlo utakua kama wote , utajisifiaje kilimo kinakua wakati unga buku mbili ? Waziri wa kilimo tusaidie watanzania tushibe biashara waachie wengine zi zipo wizara zinazohisika na biashara.
@KamauWanganga-yk6ph
@KamauWanganga-yk6ph Год назад
Hio ni sela ya kurudisha Africa nyuma. Fungua mipaka ya biashara Africa mzima bila kujali mtu ni WA nchi gani,
@masijamajogoro7231
@masijamajogoro7231 Год назад
Total support
@kenedymghamba2833
@kenedymghamba2833 Год назад
BASHE HUKU SIHA ASKARI WANAZUIA MAHARAGE WAMEMUAA MKULIMA WA MAHARAGE SOKO LIMEKUFA HAKUNA MNUNUZI KISS SEREKALI IMEZUIA ANGALIENI WAKULIMA WAMECHUKIA KABISA HII SEREKALI YA CCM
@deneagrofarms5884
@deneagrofarms5884 Год назад
Hizi taarifa za lini mkuu? Mbona tukio halipaziwi sauti kwenye vyombo vya habari?
@isayaamulike
@isayaamulike Год назад
Walisema mazao ni haki ya mkulima auze anatapo taka Leo tena TIN na BRELA
@birianination7097
@birianination7097 Год назад
Wamiliki wa lori sio wakulima hao ni walanguzi, wao ni wafanya biashara kama wengine.
@edwardgafachu8932
@edwardgafachu8932 Год назад
Mnaumiza wakulima kupangia jinsi bei na kudhibiti mipaka wakati mbolea, mafuta na pembejeo ziko bei juu
@emanuelpetro7701
@emanuelpetro7701 Год назад
KWELI kabisa
@devothakassimu8289
@devothakassimu8289 Год назад
Tena tunaumia sana, pembejeo za kilimo zipo juu, tunachokipata hakuna mkulima kila siku anaonekana kuzid kuzeeka kwa kazi isiyo na faida
@abelkilawe9596
@abelkilawe9596 Год назад
Bashe u have nothing ACHA KUWADANGANGANYA WTZ.
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Год назад
MKULIMA MWENYE GUNIA ZAKE 50 ANATAKA KUKUZA ILI AWEZE KUJIKIMU AKAKATE LESENI? MILOLONGO YOTE HIYO KUWAKATISHA WAKULIMA TAMAA!!
@thabeetgaw12
@thabeetgaw12 Год назад
Km una uza nje ya nchi ndio inatakiwa uwe navyo
@sajigwelunogelominga2446
@sajigwelunogelominga2446 Год назад
Kama ana Export nje ya nchi ndugu au hujamuelewa waziri?
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Год назад
HILO LILITAKIWA LIFANYIKE KABLA MSIMU WA MAVUNO HAIJAANZA!!
@birianination7097
@birianination7097 Год назад
Tulisha ambiwa ila bado kuna walio puuzia kama kawaida.
@deneagrofarms5884
@deneagrofarms5884 Год назад
​@@birianination7097 kweli
@mndambokilavo2502
@mndambokilavo2502 Год назад
urasimu ndio shida watu wamechoka mtu anaona kufuata sheria atapoteza wiki tatu ni bora akalipe hiyo fine hivi vitu vingeanza kwenye serikali za mitaa mambo ya tin na mambo mengine hata kusajili wakulima halafu viingizwe kwenye mfumo halaf mtu akifika namanga akitaja jina tu tayar mfumo unataarifa zake zote
@birianination7097
@birianination7097 Год назад
Tin, leseni za biashara zote unapata mtandaoni sasa na ni siku tatu kila kitu unapata.
@abdallahomary515
@abdallahomary515 Год назад
Bashe baba nilijua tu kama utachemka, Kwa kauli zenu eti tumeifungua nchi mkulima auze mazao yake popote hatufungi mipaka, naona Sasa mnaanza kuweka slow down, mnaanza kuwawekea ugumu wakulima ili chakula kisiende nje Kwa wingi, mlimuona magu kama alikua hana akili, sasa na nyie mnaona jamaa wanavyo kisomba, mgeshagaa kidogo tu wangekimaliza, kaeni chini mjipange ili mumsaidie kulima na mlaji hawa wantegemeana kwani chukula kikiwa ghari sana kelele zinakua nyingi sana mtaani yaani hata nyie watu wa siasa watu wanaona kakama hamna maana, chakula kinapokosekana mnbaki na kisingizio ch vita ya urusi,
@jambo3751
@jambo3751 Год назад
Huyo Magufuli alizuia kuuzwa chakula nje kabisaa . Lakini hivi Sasa hakuna zuio isipokuwa kinachosisitizwa ni kufuata utaratibu uliowekwa na serikali kwamba lazima kiwepo kibali cha biashara business license na export license isiwe kiholela tu. Magufuli alopozuia ilikuwa ni kumuumiza mkulima yaani awe analima tu lakini haondokani na umasikini kwasababu hana soko la kumpatia tija yaani aendelee kuwa lofa tu na ndio maana watu wengi walikuwa hawathamini kilimo . Lakini hivi sasa watu watakimbilia kilimo badala ya kukaa vijiweni tu au kukimbilia mjini kuzurura bila ya kazi. Ardhi tunayo kubwa tu lakini kilimo bila ya soko la maana ingelikuwa ni jambo gumu sana kwa vijana kuingia kwenye kilimo. MaMa kaifungua nchi kwahiyo wananchi ni kuichangamkia fursa.
@abdallahomary515
@abdallahomary515 Год назад
We acha kamba, kwani wakati wanawaruhusu wauze walikua hawajui kama vibali vinahitajika , na kipindi kile magu hakufunga mpaka ila aliweka ugumu wa kutosha chakula nje
@muhammedsuleyman6501
@muhammedsuleyman6501 Год назад
Kweli kabisa waliona magufuli hana akili, sasa wanakiona na jamaa wanakibeba kisawa sawa maana ukienda shambani lori zimejazana zinabeba tu,
@babuloliondo74
@babuloliondo74 Год назад
Sasa mtu kampuni ana sasa hapo ndio mambo yarushwa ataipata vipi apateiya pamet kuipata ndio tatizo
@patrickKitambo
@patrickKitambo Год назад
Pamet😂😂😂😂
@deneagrofarms5884
@deneagrofarms5884 Год назад
​@@patrickKitambo 😂😂😂😂😂
@maulidmnukwa3171
@maulidmnukwa3171 Год назад
The guy is smart
@josephkembe3019
@josephkembe3019 Год назад
Wewe huwezi kutupangia unalimaga ? Bei yenu siyo
Далее
Павел Дедищев - «Как кайф»
42:08
Просмотров 466 тыс.
skibidi toilet multiverse 042
20:57
Просмотров 4,6 млн
Павел Дедищев - «Как кайф»
42:08
Просмотров 466 тыс.