Тёмный

"TUNAMSIMAMISHA KAZI" AWESO ASHTUKIZA DAWASA, AZAMA CHINI YA TENKI KUKAGUA MAJI NA KUYABAINI HAYA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 29 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

29 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 199   
@EmmanueliZani-ur9bi
@EmmanueliZani-ur9bi 20 дней назад
Mheshimiwa, sababu kubwa ya kutokuwepo maji kwenye matanki ni hii. Wana Magari yao ya kusambaza maji mitaani, na hasa maeneo ya King'azi B wana soko kubwa la maji. Mabomba yapo, lakini yanatoka kwa mwezi mara 2 au hayatoki kabisa. Asante kwa ufatiliaji, mkiwa mnafanya hivi, wananchi tutapata raha kwenye Nchi yetu. Mungu akubariki Mh.
@ayoubmtumishi50
@ayoubmtumishi50 13 дней назад
WANA MAGARI YA KUSAMBAZA MAJI,,,,MABOZA
@shinipapaya846
@shinipapaya846 13 дней назад
Yachomeni moto hayo magali yao yanayo sambaza maji mtanyanyasika mpaka lini kwenye Tanganyika yetu amkeni kwenye usingizi wa samaki pono 😢😢
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 20 дней назад
Tena alivyokua Jeuri anatafuna huku anaongea na Mkuu wake...Hyu ndo Kibaka sugu w Kodi za wananchi.
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 20 дней назад
Hatafuni. Ana tatizo la meno 😅
@hajihassan5433
@hajihassan5433 13 дней назад
Yule ananuka meno anakata harufu.
@nguruwekikwete1635
@nguruwekikwete1635 20 дней назад
Wafanyakazi wa serikali asilimia 99% ni wapumbavu haswa ndiyo maana wanalialia kuongezewa mishahara for nothing ni kama walimu hakuna wanacho fanya ila wanataka mishahara mikubwa.
@africaonechannel1289
@africaonechannel1289 20 дней назад
Ndugu!, Mbona UMEAMUA KUYASEMA MANENO YAKIWA MABICHI KABISA!? Hujayakaanga, hukuyachemsha &hata kuyaanika juani pia hukutaka!? HII NI "NGURUWE Aitwe NGURUWE●
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 20 дней назад
Wapuuzi sana. Waachie ngazi
@frankyeye
@frankyeye 20 дней назад
Bro kwani sisi walimu kwenye maji tunaingiajee😢😢😂😢😂😢
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 19 дней назад
Kama una akili huwezi kuasema walimu hawana wanacho kifanya siwez kuwadharau kabisa hao watu ni kama wazee kwetu
@nguruwekikwete1635
@nguruwekikwete1635 19 дней назад
@@MohamedAhmada-ie7ke tatizo lako ni kukosa akili....tafuta akili utajua naongea nini ?
@hildajoel5
@hildajoel5 21 день назад
Huyu bwana kuna kitu kinampa jeuri maana hiyo confidence sio ya kitoto😢
@joycekambuga6286
@joycekambuga6286 15 дней назад
Hana confidence ana afya ya akili na anatafuna dawa
@NurudinZuberi
@NurudinZuberi 8 дней назад
😂😂😂​@@joycekambuga6286
@saidhamza5318
@saidhamza5318 21 день назад
Hy mzee white mbona ka kalewa au👀😳
@user-zm4mm4eb5j
@user-zm4mm4eb5j 13 дней назад
Zombie hilo linawaza magari yake yatauza maji vp ikiwa matanki yatajaa maji
@africaonechannel1289
@africaonechannel1289 20 дней назад
Mhe.WAZIRI WA MAJI!!. Utamuonea bure huyu MTAFUNA Big G. PICHA KUBWA NDANI YA UKUMBI INAJIELEZA● Hii ni HUJUMA DHIDI YAKO. Jaribu kuzipekua Sura za WASHIRIKI WOTE AND NINASEMA WOTE WA HICHO KIKAO; It's A Very Open Msg. HIZI NI SIASA ZA KIJINGA. Kuzuia hatua za Maendeleo Yetu! ●KAMA JAMII; Let's Be Serious😎
@user-bi7gk7im4f
@user-bi7gk7im4f 16 дней назад
😂😂. Labda anatafuna miti shamba,sio big g
@user-xn8jh1yw1h
@user-xn8jh1yw1h 19 дней назад
Hatutakii mema huyo! Anatesa Jamii! Maji ni Uhai! Anahujumu uchumi.
@GeorgeChacha-dd9fh
@GeorgeChacha-dd9fh 21 день назад
Yani unatafuna kabisa huwazi😂😂😂
@lucasmlowezi9214
@lucasmlowezi9214 20 дней назад
Kweli ni dharau kubwa sana, watu wanahangaika maji mzembe mmoja anazingua. Lengo serikali ya Mh. Samiah ionekane hafanyi kazi. Safi sana Mh Waziri
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 20 дней назад
Anaficha harufu ya pombe au dawa za kuzindika asufukuzwe.
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 20 дней назад
🤣​@@verdianabanabi2205
@user-bi7gk7im4f
@user-bi7gk7im4f 16 дней назад
Hahahaha
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 21 день назад
Tumbua wote hao wanafanya kaz kwa mazoea. hawana hata wasiwasi maana mishahara wanalipwa
@user-gy5en6cy8o
@user-gy5en6cy8o 21 день назад
Kabisa Kama serekal inafanya yte haya alafu hawa wajingawajinga hajui jinsi tuna yo pata shida ya maji tumbua Muheshimiwa 😢
@aminamwashambwa6846
@aminamwashambwa6846 18 дней назад
Njia panda ya makabe Wana magari yanauza maji boza elfu ishirini kwa maisha gani ni manyanyaso
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 20 дней назад
Awamu ya majizi tupu. Hongereni
@MnubiMm
@MnubiMm 20 дней назад
Kwa Mtazamo wako haki yako
@injilinjeyakutazakanisa
@injilinjeyakutazakanisa 15 дней назад
Nakumbuka mbali sana, Kaka jipe moyo na kubali hii ndio dunia. Pole
@MariamLigoha
@MariamLigoha 16 дней назад
Waziri Aweso na wewe ujitathmini, unaongeaje na huyo mzee anajitafuna-tafuna na humuwashi kibao. Ujue anapokudharau wewe ameidharau jamhuri ati! Ungemdhalilisha na wewe, hongera kwa uvumilivu,. Na wewe mzee acha kujitafuna, bosi mzima
@sabrinaibrahim1127
@sabrinaibrahim1127 11 дней назад
Huyu atakuwa kalewa anatafuna vitu vya kutoa harufu ya pombe
@aminamwashambwa6846
@aminamwashambwa6846 18 дней назад
Watu wanateseka kununua maji ndoo hamsini kwa elfu ishirini huku njia panda ya makabe, ni mateso wao wanakula mshahara na majumbani mwao maji yapo
@eliudsinkala419
@eliudsinkala419 7 дней назад
Njoo Morogoro Waziri huku ukienda kutoa shida unapewa namba ya simu ya fundi uwasiliena naye ,badala ya ofisi kutoa maelekezo.Maana unambiwa mafindi wako site.
@davidchihimba9489
@davidchihimba9489 11 дней назад
Ccm mnajizengua wenyewe mnapiga ndo maana na wao wanapiga wanawaonea gere mnavopiga
@VictaDaudi
@VictaDaudi 14 дней назад
Viongozi Kama hao wapo wengi Sana ,, hata Hulu IRINGA wapo wao kazi yao ni kubambikizia watu bili za maji ,ndio wanachoweza TENA tunaomba mtuletee mita za kununua maji kabla ya matumizi hapo mtakuwa mmetusaidia 😮
@2003hintay
@2003hintay 20 дней назад
Adabu hana fukuza kazi sio kusimamisha unaongea nae yete anatafuna big G
@hamiduomar1316
@hamiduomar1316 17 дней назад
Anaonesha zarau kwa wazir cjui ninani anayempa kiburi cha kujiamin mbwa huyu fukuza kabisa
@johnmwakipesile9046
@johnmwakipesile9046 21 день назад
Hiyo ni hujuma waziwazi apo kuna watu wanakutengenezea zengwe ili utumbuliwe Mh Waziri
@sofiakhan9706
@sofiakhan9706 20 дней назад
Kweli kabisa na maada ye waziri anaondolewa wanabakia waharibifu palepale na kuendelea uzembe
@charlesadolf1062
@charlesadolf1062 13 дней назад
Hor. Dr. May you kindly fired out this guys. This days to be sincerely dawasco is *business as usual* Beach Beach every hour water went off. Please step down these team.
@user-um2nw8em7j
@user-um2nw8em7j 11 дней назад
Hapa ndio ungejuwa what is JPM
@godfregiiti8327
@godfregiiti8327 14 дней назад
Waziri wa maji tembelea mwanza Nako kuna ujuma kubwa kwenye chanzo kipya Cha maji akitoi maji kama tulivyotangaziwa matatizo ya maji yamekuwa makubwa kuliko ilivyokuwa kabla ya ujenzi wachanzo hicho maeneo ya buhongwa ziwaunaliona lakini maji ayapatikani
@hamzaibrahimu
@hamzaibrahimu 20 дней назад
Boss njoo na Mwanza Umeme upo ziwa tunalo lakini maji ya mgao🙏
@habibamaguru2722
@habibamaguru2722 13 дней назад
Niwajeur sana,Greda lilipita kutengeneza barabara mtaan kwetu wakakatakata mabomba,tumekaa week 3 naa hatuna maji,Wakipigiwa majibu yao ni ya nyodo pia mpaka tumeenda ofcn kwao ndo wakatuma mafund tena wanataka pesa tukagoma ndo wakaunganisha maji
@sammymdemeka7937
@sammymdemeka7937 14 дней назад
Hawa mameneja wa Mamlaka za maji mtatuulia Waziri wetu Aweso mnamfanya aingie hadi kwenye matank kwa uzembe. Sasa dawa yenu inachemka sheria kali ziletwe ikibidi kufungwa maisha na kufilisiwa huu ni uhujumu uchumi😢😢😢😢😢
@consorathajames2693
@consorathajames2693 20 дней назад
Anatafuna kizizi ndio maana ana confidence zakutosha
@JemaLupande
@JemaLupande 15 дней назад
Mbagala utakuja lin mhe,make tunateseka mpk basi mwezi mzm maji hayatoki na bili zinasomwa tukiuliza sababu ya maji kutotoka tunaambiwa umeme wakati umeme upo!
@MRN_the_Real
@MRN_the_Real 13 дней назад
Mh. Fukuza hayo matahira, watendaji wa moja kwa moja huwa ndo wazembe sana, ukianzia kuchunguza mapungufu kuanzia mamlaka za juu mpaka watendaji wa moja kwa moja utakuta kuna uchafu mwingi sana
@ntegrity277
@ntegrity277 6 дней назад
Waziri punguza maneno piga chini hao ni wasanii
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 13 дней назад
Jamaa anaonekana mkatili kweli kweli. Mtu mzima hovyo
@YahyaMbega
@YahyaMbega 13 дней назад
Hata huyo wa2 wote hao warevi watowe au huna wengine au mnarindana huyo mkuuwa wiraya wamemfukuza kure mawasiriano 2000wanareta mazowea
@YahyaMbega
@YahyaMbega 13 дней назад
Agaria macho yao warevi hao warikoshe hera wana maboza hayo huku maramba 2 wanatuzia 45000
@nicholouswaryoba1474
@nicholouswaryoba1474 12 дней назад
Tunawaonea tu viongozi ila watendaji wa chini ndio tatizo
@YahyaMbega
@YahyaMbega 13 дней назад
Ndugu waziri huyo mrevi wa madaraka wanatuambia puresha ndogo
@pascaldonati2711
@pascaldonati2711 20 дней назад
Na sis Nyashishi hatuna maji tokea Uhuru
@sananefrank6560
@sananefrank6560 20 дней назад
Njoo na mwanza haraka sana mkuuu same kunamichezo mibaya hakuna maji hapa mjini mgao mkali sana hapa Nyegezi
@jonasnyanga8167
@jonasnyanga8167 20 дней назад
Acha uchochezi
@mweyoms5548
@mweyoms5548 12 дней назад
Wahuni wamejaa ofisi za umma
@iam_sami
@iam_sami 21 день назад
Ukiskia kazi na mazoea ndo haya mazoea mengiii aisee kummke tia ndani woteee
@ElishaMgimba
@ElishaMgimba 8 дней назад
Huyo jamaa nihaki asimamishwe anaongea nawazir huku anatafuna JoJo hiyo niutovu wanidham
@mohammedkhimji7505
@mohammedkhimji7505 20 дней назад
Mzee White kalewa hahaha ndio maana kaamua kutafuta bigG kuua harufu
@khadijakimaka8427
@khadijakimaka8427 13 дней назад
Muheshimiwa nakuomba uje Arusha
@AugustKisaka-qy7kl
@AugustKisaka-qy7kl 16 дней назад
Ongera waziri ,bado waziri wa nishati na madini atuonyeshe cheche zake, umeme garama sana atue tamko atueleweshe kwanini garama za umeme zimekuwa juu
@DerickNgowi-mf5pe
@DerickNgowi-mf5pe 20 дней назад
Jaman hao wafanyakaz wanaoesabu mita ni wiz mtupu tunajaziwa bil ambayo hatujatumiwa mita yangu haifanyi kaz ila wananijazia init
@HamadBashir-bs5wo
@HamadBashir-bs5wo 14 дней назад
Wanamagari yao wanawauzia maji wananchi majizi hao
@EphulaimemanuelEmanuel
@EphulaimemanuelEmanuel 20 дней назад
Mweshimiwa njoo mwanza nyegez hamna maj miez 3 njoo tusaidiye
@jamilamkunga234
@jamilamkunga234 20 дней назад
Na buhongwa pia
@bossmolellsisiya4101
@bossmolellsisiya4101 20 дней назад
NJOO ARUSHA MKUU OJIONEE MAAJABU YA WIZARA YAKO IDARA MAJI WAMEJIGEUZA MUNGU MTU MAJI NI YA KUBEMBELEZA WANATUFUNGULIA MUDA WANAO TAKA WAO NA WAKI YA FUNGULIA NI NYAKATI ZA USIKU SAA 7 WANAYAKATA SAA 11 ALFAJIRI
@jumamdaki9691
@jumamdaki9691 14 дней назад
Pwani na Dsm kuna upotevu wa Maji kwa kiasi kikubwa na watumishi wa Idara ya Maji wanaona ni hatari sana.
@pascalntandu1217
@pascalntandu1217 14 дней назад
Mnabembeleza sana watu wazembe kama hawa fukuza wote kazi patia wengine kazi achana na hao wazembe;waziri wangu take action ya nguvu watu wengine wajifunze kwamba hatuigizi.
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 20 дней назад
Shabaan Mkwanye umeyakanyaga leo
@STEPHENKingu-yz2dk
@STEPHENKingu-yz2dk 20 дней назад
Mama Samia meongezeee Aweso mingine
@ayoubmtumishi50
@ayoubmtumishi50 13 дней назад
JAMBO muhimu jitu zima linatafuna tafuna duuuu.
@GeneralSankala
@GeneralSankala 20 дней назад
Safiii sana
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 14 дней назад
Simamisha wote chukua wahitimu wapya
@BarakaThoas
@BarakaThoas 15 дней назад
Aiseee daaaah! Yaaani hayo majamaa niyakufukuza kazi ili yaje ulaiyani uku yaone joto la jiwe tunalolipata wananchi sio poa kabisa
@user-zm4mm4eb5j
@user-zm4mm4eb5j 13 дней назад
Hujuma Hujuma Hujuma hakuna zaidi sijui Tumerogwa na nani sisi Watanzania
@davidchihimba9489
@davidchihimba9489 11 дней назад
Muweke sheria atakayefanya utoto anyongwe
@josephmathayo5139
@josephmathayo5139 15 дней назад
Huyo atakuwa anatafuna Kizizi siyo Big G. Waziri na hapa Dodoma shida ipo unalipa pesa lkn hawafiki kuunganisha maji. Sijui tatizo ni nini?
@sofiakhan9706
@sofiakhan9706 20 дней назад
Miezi mitatu maji hakuna City centre bill inasoma 172,500/= na nimelipa kitu kinaitwa hewa yaani kila ukijaribu kuwasha pump na line ikiwa haina maji hewa ndiyo inahesabu maji pale sasa bora kuwa na meter kama za luku pata unit kutokana na pesa yako siyo kubambikwa bill zisizokuwa na mantiki bei ya maji kuliko dhahabu duuh na wakati hakuna ,
@gililwise
@gililwise 20 дней назад
Njoo Morogoro Morowasaa .maji bigwa tunapata mara moja Kwa Wiki
@jackmabirangacharles9398
@jackmabirangacharles9398 21 день назад
Waziri Aweso watu wana kufanyia Hujuma Kwa Makusudi Kwanza huyo Mfanyakazi anaonekana Mlevi hivi hivi fanya kazi Yako Mkuu Usimwonee huruma mtu fukuza tu Vijana wengi wakoitaani hawana kazi na Wana Elimu ya kutosha tu
@sofiakhan9706
@sofiakhan9706 20 дней назад
😂😂😂😂😂
@BenjaminSululu-uz6sd
@BenjaminSululu-uz6sd 20 дней назад
Huyo anadawa mdomoni
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 21 день назад
Maji yanatoka machafu tope tupu shoda ipo wapi jamani na bill tunalipa tumefikia huku kweli Waziri Aweso?
@rehemashabaniameen
@rehemashabaniameen 20 дней назад
Mungu atusaidie sana tuna chukia nchi yetu kumbe ni viongozi walio pewa zamana ndio mazombi wanataka tumchukie mama,mtu analizwa maswali anafumba macho huyo jeuli,kibuli
@EdwardMchome
@EdwardMchome 18 дней назад
Maji yenyewe ukitaka kuunganishiwa nimelipa Nina mwezi mitatu bado maji sijaunganishiwa hani hawa wanakera sio sir
@valenakomba7686
@valenakomba7686 20 дней назад
WASIKUMWAGIE KITUMBUWA MCHANGA HAO MUHESHIMIWA UWESO. WATIMUWE . NYERERE ALISEMA USIONE HAYA KUMWONEA HAYA MLEVI. NA UKITAKA KUMWUWA NYANI , USIMWANGALIE USINI.
@bongo39
@bongo39 21 день назад
Hiyo ni hujuma asilimia 💯 sio huyo tuu yupo na wenzake halafu matusi yote anatukanwa mama hivi nyie mawaziri hatuwaelewi kabisa mnabembrmelezana mno mama sie ndio wapiga kura wako na ndio tunaolipa kodi na hao watendaji wote tunawalipa inakuaje wanatuchezewa kiasi hiki mda huhatumbuwa mawaziri hebu waguse wanajisahau mno
@babafemie4576
@babafemie4576 17 дней назад
Hii nchi inarudishwa nyuma na watendaji wa serikali, mambo ya ovyoo yanayofanyika..alafu hawajali wanamapuuzaa balaa!
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 20 дней назад
UJE HAPA KIBAHA MILE MOJA NIMELIPA KUUNGANISHIWA MAJI NOW MWEZI WA PILI SIJAWEKEWA MAJI SHIDA NINI MUESHIMIWA
@user-ui5du6wj7n
@user-ui5du6wj7n 20 дней назад
Ndiyoo maana makongo maji shidaaaa dahhh sukumia ndani banaa unachelewaaa
@luizabahati5198
@luizabahati5198 20 дней назад
Very Sad..Tena kwa Dsm? Hii ni hujuma kabisa.
@user-uo5em7im6b
@user-uo5em7im6b 17 дней назад
Nenda machine ya maji mtoni tandika ukaone hali ya maji mbaya .ulipomtumbua meneja wa Dawasa maji yakatoka kutwa ,na sasa yameondoka Tena
@valenakomba7686
@valenakomba7686 20 дней назад
HATUWEXI KUENDELEA TUKIFUGA UZEMBE. PAMOJA NA KUWA KIONGOZI , LAZIMA UFUATILIAJI UWEPO KILA SIKU. KUHAKIKISHA YALE ULIYAAGIZA YAMEFANYWA. NA AKISIMAMISHWA HUYO , NA MSHAHARA APEWE NUSU MSHAHARA..
@demicratia4071
@demicratia4071 21 день назад
HATA Waziri naye amechelewa kufanya inspection kwa nn aje vry late watu walishateseka
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 21 день назад
Waziri nae bomu tu, alikua wapi Leo ndio anabeba makamera kukuonyesha anafanya kazi😂😂😂
@leskarmeikok8956
@leskarmeikok8956 20 дней назад
Alikuwa amelala kidogo ​@@darajalakidatukilomgi2362
@mohammedshaaban3730
@mohammedshaaban3730 14 дней назад
Mheshimiwa Waziri wa Maji Njoo Kigoma Ujiji
@daudimichael7338
@daudimichael7338 16 дней назад
Dah, Shaban hauko serious
@emilianchibinda82
@emilianchibinda82 20 дней назад
Maji ni uhai,viongozi wetu hamjui? Jamani tuacheni utani hivi mji wa Dar es salaam kwa umati ule wa watu ni wa kukosekana maji jamani? Acheni utani jamani na maisha!! Hivi maji hadi yamsubiri waziri atoke Dodoma, viongozi wengine mpo wapi? Acheni utani bwana!!
@nenenongi66
@nenenongi66 17 дней назад
Hili ndio tatizo la ajira za kujuana, mtoto wa fulani,kwa akili za kawaida ,huwezi kufanya ujinga wa namna hii,waziri hao wote timua,wanakuharibia kazi,na wanawatesa Watanzania sana,
@Zaburi-
@Zaburi- 21 день назад
Anatafuna kitu au ndivyo alivyo?
@swaiagnes6696
@swaiagnes6696 14 дней назад
Yaani unaongea na kiongozi wako huku ukitafuna BG 🤔🤔
@abrahammtegeta635
@abrahammtegeta635 20 дней назад
Hata huyu Wazori naye hayuko serious. Inakuwaje Leo siku ni siku ya Tano sasa maji yanatope.
@hijaabdalah9235
@hijaabdalah9235 15 дней назад
fukuza wapuuzi kama ao wako wengi wako wako tu
@user-oy2gp3nq4j
@user-oy2gp3nq4j 21 день назад
Aweso huku mbezi makabe hakuna maji wakiamua ata wiki 3 awatoi maji tunanunua maji unit 1sh 15000 Sijui hii biashara ni yao?
@EdwardMchome
@EdwardMchome 18 дней назад
Unaambiwa vifaa hakuna lakini ukitoa rushwa vinapatikana mimi nimeambiwa sijasoma kiuba nilikuwa sijaelewa kumbe hadi utoe rushwa vifaa vinapatikana
@shaban6644
@shaban6644 21 день назад
Wapige Spana, Vichwa vitakaa sawa tu.
@super815
@super815 17 дней назад
Wazir aweso anapigya kazi atakimasihara kabisa kwenywe swala lamaji
@ramadhanimohamedi717
@ramadhanimohamedi717 19 дней назад
Waziri wa maji mugu akupemaisha marefu kazi yako inaonekana
@gordiansoko9113
@gordiansoko9113 19 дней назад
Sasa hivi maji tunayopokea ni machafu yana rangi uzurungi inaonyesha hayawekwi madawa ya kusafisha.
@yasinkiaze2352
@yasinkiaze2352 15 дней назад
Ni siku zaidi ya sita atupati maji ubungo kibangu chini sasa tmeambiwa matenk yamejaa maji iweje ayatoki
@omarmkumba3547
@omarmkumba3547 17 дней назад
Dah,ndo mana wanatubambikia maden
@MasoudSultan-ks6kc
@MasoudSultan-ks6kc 21 день назад
PIA HUYU MSHIRIKINA ANATAFUNA MTI FULANI ANADHARAU
@lusese1
@lusese1 21 день назад
We jamaa bhana!! Umenifanya nimepaliwa kwa kucheka ghafla bila kutegemea!!!hivi ni kibogoyo au anamambo ya jadi kama unavyosema maana sio kwa kunung'unya huko!! Loh
@mohammedshaaban3730
@mohammedshaaban3730 14 дней назад
Njoo kigoma Ujiji
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 21 день назад
Wasomi wengi ni wezi na wapigaji ira hili swala Kuna wakubwa wapo nyumba yake picha inajionyesha kua wewe ni mtu mdogo sana kwake
@collinndabi1914
@collinndabi1914 20 дней назад
Hata wewe ungewekwa ungekuwa mwizi tu
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 20 дней назад
@@collinndabi1914 kupiga. Unapiga ira unapigaje hapo angekua kakuria uswahilini angekua namna ya kupiga we SI unaona kama kina msukuma kina Bashe wana piga huwezi shtuka
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 21 день назад
Aweso anaonekana mrevi tu
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 20 дней назад
Huyu wa Bodi naye anaongea upuuzi eti anasubiri maelekezo ya waziri. Kwani bodi walikuwa wapi hata wasijue matatizo haya? Amekaa tu anapaka nywele black bila aibu. Waziri amekosea kutokumpasha huyu mtu. Bodi iwajibike. Kanchi ka ajabu kweli .
@masoudrashidmohammed4124
@masoudrashidmohammed4124 16 дней назад
Hao mawaziri mbona wao hawasemi. Km haya magari tunayotumia ni ya gharama sana bei yake ni ya juu mno ili kupunguza gharama tuwaonee huruma wananchi tununueni magari ya bei ya kawaida .hawa mawaziri wao ndio watu wa mwanzo kupigwa na chini
@valenakomba7686
@valenakomba7686 20 дней назад
JILEVI HILO HULIONI DOMO LAKE ?. HANA MAANA HUYO NI MUUWAJI. MTOWENI HAPO , WAWEKENI WATU WENYE AKILI ZAO HAPO WAFANYE KAZI. WATIMUWE HAO.
@dancerboy2686
@dancerboy2686 20 дней назад
huyu waziri ndo huwaga namuelewa kweny maamuzi lakn wengne ni nyumbu tu
@valenakomba7686
@valenakomba7686 20 дней назад
Muwe mnavaa japo kamba mkiingia huko chini ili iwe rahisi kuvutwaa kukiwa na matatizo.
@evaristjoseph8151
@evaristjoseph8151 17 дней назад
Huyo jamaa anaakili sawa kweli mbona anaulizwa anatafuna bublish
@neemakerefu4876
@neemakerefu4876 20 дней назад
Waziri Wangu Ndiyo ujue watendaji wako niwajeuri sanaaa hata ukiwapigia simu ndivyo wanajibu Kwa jeuri Tusaidie Watakuwa wameanza Biashara ya uuzaji wa magari
@japhetbalilonda797
@japhetbalilonda797 15 дней назад
Mbona hapa mpiji magohe hakuna maji
Далее
skibidi toilet 76 (part 2)
04:28
Просмотров 14 млн