Тёмный

WAZIRI MWIGULU Aweka WAZI Chanzo cha WAFANYABIASHARA Kugoma/ HATUWEZI Kushusha VAT Kama Wanavyotaka 

EastAfricaTV
Подписаться 1,1 млн
Просмотров 46 тыс.
50% 1

Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB...
Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

Опубликовано:

 

25 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 486   
@user-uo3ft9nn9e
@user-uo3ft9nn9e 5 дней назад
Unajulikana Sana kwa wizi na kauli za kipumbavu.
@zahraramadhan2960
@zahraramadhan2960 5 дней назад
Saaana
@winstonmwalukasa4997
@winstonmwalukasa4997 5 дней назад
Huyu anajisikia sana nakuwaona watz ni mazwazwa na kutuambia tuhamie Burundi hovyo Sana huyu
@binseif2216
@binseif2216 4 дня назад
Hivi mkipewa nyie nafasi hamuwezi kuiba eti
@binseif2216
@binseif2216 4 дня назад
Acheni chuki
@JofreyMsigwa-ok7hv
@JofreyMsigwa-ok7hv 4 дня назад
Gupumbavu matako yake jinga sana hili
@subo2667
@subo2667 5 дней назад
Tangu nizaliwe,huyu ndo waziri wa fedha anaeongea kama waziri wa utamaduni na michezo
@malkiarosemuhando3310
@malkiarosemuhando3310 5 дней назад
Khaaaa
@juliuswantere6864
@juliuswantere6864 5 дней назад
Huyu jamaa hawezi kuongoza hata kundi la mbuzi
@champion-dz6kr
@champion-dz6kr 5 дней назад
Zakayo jitoe ufahamu tu IPO siku mtajua kwann sirlanka walijuta 😂
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 5 дней назад
kwa kauli hii ni upuuzi kufungua duka kwani serikali haina mpango wa kumaliza kero zao
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 5 дней назад
Maana yake kwa sasa waziri mkuu anadharauliwa,maana kinachohitajika ni mrejesho wa utekelezaji wa majibu ya waziri mkuu kwa kipindi kile
@kwisa4899
@kwisa4899 5 дней назад
Bunge limemtoa kafara
@helencyprian8745
@helencyprian8745 5 дней назад
Hela mnazokopa kila uchwao mnapeleka wapi? Majizi tu. Kila kitu mmeuza hela ziko wapi, kazi ya kujaza matumno yenu na familia zenu. Mwigulu unadharau sana
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 5 дней назад
Mpuuz wewe wapeleke mahakamani kama unushahidi
@MirajiMbolile
@MirajiMbolile 5 дней назад
​@@salehesalehe2967 na wewe ndo majizi pumbavu mtakufa vibaya
@user-cu3cl4yy5s
@user-cu3cl4yy5s 5 дней назад
@@salehesalehe2967 mwenyewe mpuuzi jinga wezi nyie nchi ni yetu sote yaliopo kenya yafike Tanzania 😢😢😢 mnakera mnaokwamisha ugawaji haki
@Taito-brand
@Taito-brand 5 дней назад
Aiseeeh eeeh mungi tupe moyo wa subira maan daaah wanajisahau sana wanaon nchi kam yao vile wakat yetu sote wao wapo na magar ya kifahar tunaacha wale maish bdo wanatak kutuona tunakufa njaa aiseeh roho za ain gan hii kaaah
@SunguraMmarekan-bs2lr
@SunguraMmarekan-bs2lr 5 дней назад
Kweri aliyeshiba hakumbuki mwenye njaaa
@PaschalGerad-xq4lw
@PaschalGerad-xq4lw 5 дней назад
Uko sahihi mkuu
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 5 дней назад
Hizo Basi kumi anaona kashapata mbwa huyu sijui angekuwa Kama kina shabby angekuaje
@faridamapogolo2892
@faridamapogolo2892 5 дней назад
Mwanae Yuko fedha boys mishavu buuu sie wetu nauli za daladala kwenda shule zinatushinda pesa wanajikusanyia wao
@SunguraMmarekan-bs2lr
@SunguraMmarekan-bs2lr 4 дня назад
@@deogratiusyudatadei5658 basi zake zinaitwaje
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 4 дня назад
Dawa ni kuwapiga chini katika Sanduku la Kula maana wapo Watanzania wengi wenye uwezo wa kuongoza kuliko Hawa Makada wapenda anasa kwa kujirundikia Magari na Majumba ya kifahari.
@alphachengula5368
@alphachengula5368 5 дней назад
Tuta Tuna Tuta... Kila.kitu kimekaa kisiasa
@audifacejosephat7071
@audifacejosephat7071 5 дней назад
Yaani hatujawahi kuwa na waziri wa hovyo kama ww sijui usomi wako upo wap
@jeffhard5773
@jeffhard5773 5 дней назад
Jizi hilo ndio maana halielewekagi.
@ramadhanimukharamy1616
@ramadhanimukharamy1616 5 дней назад
Taaluma ndogo sana
@MirajiMbolile
@MirajiMbolile 5 дней назад
Mwigulu wewe ni tatizo katika nchi hii .
@ajmagowaajetha
@ajmagowaajetha 5 дней назад
@@jeffhard5773kaka mimi nasema kila siku huyu jamaa fisadi number moja Tanzania sasa ivi…. Sijui kwanini Mh raisi analikumbatia hili jamaa.. huyu jamaa anawasemehe kodi wafanyabiashara mabilionea … halafu analeta tozo na makodi ya ajabu kwa watanzania wafanya biashara wadogo … huyu ndio zakayo wa Tanzania
@kichenjekichenje2072
@kichenjekichenje2072 5 дней назад
Hili lijamaa nalichukia sn,lkn ipo cku yke litakuja kujutia kauli zake za kiburi na majivuno.
@Andreayustus
@Andreayustus 5 дней назад
Hacha kupanic mlitakiwa mseme baada ya Kikoa cha waziri mkuu yapi yalifanyika, na yapi bado ili tujue nani msumbufu kati ya Serikali na wafanya biashara, pia wewe ni tatizo wa yote haya kwenye Nchi yetu, pia mtambue Tanzania ya leo sio ya miaka 60 huko kwamba mtatupeleka peleka tu, endeleeni kuleta viburi
@JacksonFrances
@JacksonFrances 4 дня назад
Mna Dharau Sana Nyinyi Watu wa CCM. Yaani Hata Unavoongea Unaonesha Jinsi Gani Mnatudharau Sisi Wananchi Tuliowaweka Madarakani Utadhani Hii Nchi Yakwenu. Ngojeni TIME WILL TELL Mbeleni Muda Si Mrefu Mtawaelewa Wananchi Kuwa Wamechoka Dharau Zenu"
@fadhilikombe3338
@fadhilikombe3338 5 дней назад
Endelea kukaza kichwa na kuleta kiburi ukifikiri wewe ndio msomi wa uchumi peke yako nchi hii utakiona cha moto, sasa nchi nzima inaelekea kwenye mgomo. Mwigulu unakiburi sana hufai kuwa waziri wa Fedha, unatakiwa ujiuzulu nafasi hiyo.
@birianination7097
@birianination7097 5 дней назад
Ila umeelewa kilicho semwa
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 4 дня назад
@@birianination7097 sindio..kusema tuu hakuna utekelezaji. wamesha sema kila siku
@russia1253
@russia1253 5 дней назад
Kinacho uma zaidi tuna ongezewa kodi kwa kigezo cha mapato na maendeleo alafu CIG anachukua mnacheka 😭😭😭😭
@birianination7097
@birianination7097 5 дней назад
Kodi ipi iyo, maana kodi ya mitandao waliyo ongeza walisha punguza
@russia1253
@russia1253 5 дней назад
@@birianination7097 kumbe ujui ata kama kuna kodi uchwara bandarini upo dunia gani kk 😠? Kwani CIG ujui wamekupiga wapi 😴😴
@patricknyiti5303
@patricknyiti5303 5 дней назад
Mnatoza kodi kwenye Mauzo badala ya kutoza kodi kwenye Faida ???!!!! Sasa unamsaada gani kwa Rais kama huwezi kumshauri ..Hiyo PHD ya mchongo
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 5 дней назад
Yan ndo shida ya hesab za tra unauza pepsi katon 10000 umenunu jumla 9600 faida 400 😢😢😢 wanapigia10000 ya mtaji na faida wanachukua 😂😂😂
@lucykinabo
@lucykinabo 5 дней назад
😭😭​@@faidhamyovela179
@edrisalusonge4141
@edrisalusonge4141 5 дней назад
Huyu Hana maana hata kidogo
@khadijaalimohd1320
@khadijaalimohd1320 5 дней назад
KICHWA KIBOVU HICHI 💯. HAJALI KABISAAA WHAT R THE PEOPLE STRUGGLING FOR&FIGHTING FOR. UTUMBO MTUPU
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 5 дней назад
Mwigulu nchemba na samia ndo tatzo ktk nchi hii
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 5 дней назад
Baba ako pia nitatizo
@jeffhard5773
@jeffhard5773 5 дней назад
Sanaaaaaaa!
@AleiHadji-js3ed
@AleiHadji-js3ed 5 дней назад
Mama Samia Suluhu atakua Raisi Tuuu Inshallah
@bonywahab9565
@bonywahab9565 5 дней назад
Nyie c ndo machawa wa ccm mnakaa mnasifia kila kitu hata mtu akiharisha mnasema anaupiga mwingi! Acheni ujinga...
@BabaLea-ez7pp
@BabaLea-ez7pp 4 дня назад
​@@salehesalehe2967Wewe unaona kawada 2
@peterrandego1489
@peterrandego1489 5 дней назад
Mama yetu ili kusaidia wafanya biashara teua msukuma awe waziri wa fedha siyo huyo ni tatizo sugu
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 4 дня назад
Msukuma hana vigezo
@thelalas9204
@thelalas9204 5 дней назад
Inabidi tupunguze mishahara ya hawa jamaa ndio wataelewa
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 5 дней назад
Tunataka majibu ya ile kamati ya waziri mkuu na sio kuanza kulishana matangopori
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 5 дней назад
Hakuna kitu hapo.
@salumnassor3857
@salumnassor3857 5 дней назад
Nchi nyingine zinawezaje kumudu hyo 18%Vat ww ushindwe ...Elimu ndgo kabisa ,mnajua kumkamua mwananchi ndio kipato cha maendeleo dahh!
@user-to6cg8uf3f
@user-to6cg8uf3f 5 дней назад
Nawaza..Hivi hizo pesa anazotaja sababu ya hayo makusanyo ya mabavu kumbe ni nyingi hivyo hapo bado hujarudi kwenye makusanyo ya vyanzo vya asili kama bahari,maziwa,gesi,mbuga zote,Madini na mambo ya utalii sasa kinachopelekea kwenda kukopa ni nini ikiwa anasema akishusaha 2% tu ya VAT anapoteza 600bil kwa pamoja? Kwann kwenda kukopa huko aiseee hapo bado tunaweza kupunguza matumizi ya serikali mfano magari ya kifahari na kuchukua ya kawaida tunashindwaje kujitegemea kama sio umbumbu na upigaji aisee
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 5 дней назад
Vyanzo vya asili ndivyo wamepewa wawekezaji. Mfano bandari, migodi,
@leokamil6284
@leokamil6284 5 дней назад
​@@edsonnelson4464kwa hiyo wamepewa bure?
@jumamayonga8914
@jumamayonga8914 5 дней назад
Tozo kwenye miamala ya simu zipunguzwe
@georgesolos344
@georgesolos344 5 дней назад
Mwigulu alipata PhD ya kuhonga maprofessa udsm maana haileti matinki Mwigulu yuko bungeni 24/7 ,yuko jimboni 24/7 wakati gani alipata muda wa kusoma na kupata PhD
@user-nr2ud1dm3y
@user-nr2ud1dm3y 5 дней назад
Wewe Waziri ni tatizo, Unawasikiliza hutatuwi changa moto zao. Kaeni meza moja na wafanya biashara mkubaliane kwa haki
@TumtukuzeMbise
@TumtukuzeMbise 5 дней назад
Tutaelewana tu muda ni mwalimu mzuri
@mrmixedtopics1240
@mrmixedtopics1240 4 дня назад
Unafaa sana kuwa waziri wa michezo na umeonyesha Nia kwa kumiliki timu ya mpira
@emmanuelmanka
@emmanuelmanka 5 дней назад
Wamechukua hatua Gani juu ya pesa zinazoibiwa kama kupunguza Kodi kutasababisha serikali ishindwe kutekeleza miradi???
@eddyempire9797
@eddyempire9797 5 дней назад
Miradi si mmesema mnakopa hela ninyi
@PENTEfx
@PENTEfx 5 дней назад
Yaan hawatabiriki kabsaa😂!
@birianination7097
@birianination7097 5 дней назад
Bado haitoshi, kikweli nchi inaitaji fedha, tena sana kupunguza VAT sio sawa ila watafute njia bora za kuwezesha kama misamaha ya kodi kwa kipindi cha mwaka mzima kwa biashara zote mpya zilizo chini ya milioni 5
@user-et2rb5ej8j
@user-et2rb5ej8j 5 дней назад
Hamna jitu Kuma na jizi kama hili duniani
@NemesMasawe
@NemesMasawe 4 дня назад
Nyieeeh mnaendaaa kukopa mikopoo ovyoo nnjee safar za nnjee za ovyooo ambazo zinaathiri uchum wa tanzania mnakuja kuwakandamiza wafanyabiashara walipie safar zenuu za kisengeee
@chrismassawe2939
@chrismassawe2939 5 дней назад
Jaman c muongeze wigo wa kukusanya kodi ongezeni vyanzo vya mapato
@PaschalGerad-xq4lw
@PaschalGerad-xq4lw 5 дней назад
Kumbe wasio wazalendo niwengi hakuna wazili apa. Huyu nimmoja wa wauzaji wa nchi siasatu
@asrymohd6690
@asrymohd6690 5 дней назад
Kwani mama samia Rais wangu huyu waziri ni msahafu au Mbingu hazibadikishiki
@allymyete5327
@allymyete5327 4 дня назад
Taifa Lina Mzigo mzito Sana!! Ila basi tu!!
@JuhudiJotham
@JuhudiJotham 5 дней назад
Sanaa nyingi Kwa Taifa hili,kila kiongozi anamajibu mepesi mno,na kudhalau wafanya biashara mno
@stewartdyamvunye-wz6rn
@stewartdyamvunye-wz6rn 5 дней назад
Tukiuza bandari zetu na kukopa sana serikali itapata fedha nyingi na nchi itawahudumia wananchi vizuri zaidi. Maisha ya wananchi yataboreka.
@jamesnyamila2165
@jamesnyamila2165 5 дней назад
Huyu mpuuzi kabisa
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 5 дней назад
Mwijulu na wenzio wanagombea pesa zao Wataishije maisha yao ya kifahari?
@helencyprian8745
@helencyprian8745 5 дней назад
Mwizi tu kama zakayo
@unjuusalvatory5331
@unjuusalvatory5331 4 дня назад
Wanasiasa wanategemea jeshi la wananch, wananchi wanaogopa jeshi lao. Kuna siku jeshi litaungana na wananchi wanasiasa jiangalieni sana achen kudharau raia wenyu
@andrewIzdory-sk4cu
@andrewIzdory-sk4cu 5 дней назад
Waziri wa fedha wa hovyo tangu tupate uhuru.Huyu jamaa ana kiburi sana
@msafirimaulidi5054
@msafirimaulidi5054 5 дней назад
Mwigulu afai hata kuw mwenyekiti
@kwisa4899
@kwisa4899 5 дней назад
kosa lake nini?
@Fundi12345
@Fundi12345 5 дней назад
Huyo alituzarau watz arisema tunapo raramika hali ngumu maisha magumu ,,,,,,arisema tuhamie burundi kama tunaona hari ngumu tz majibu ya mtu ariye tosheke. Kama maneno ya mungu yasemavo binadamu akitosheka huruka mipaka 😭😭😭😭
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 5 дней назад
mnawabana watu wahali ya chini halafu pesa mnakula CAG kasema mala kibao mabilion meng yamepotea mikononi mwa watu hakuna hatua yoyote imechukulia acheni kutia watu umasikini
@user-hk2oz2eg4j
@user-hk2oz2eg4j 5 дней назад
Na hapo ndio wananchi wanagoma. Maana mwananchi ajua hasa kua kodi yake inaenda mikononi mwa hawa wajinga. Sasa nani atakubali kulipa zaidi wakati matunda ya kodi yake hayaoni.
@CharlesElias-zh5hz
@CharlesElias-zh5hz 5 дней назад
We susha vat. Mnasubir tatiza ndo muongee. Nchi yetu sote lakin ulisema tuhamie Burund hukujua kama nch yetu sote
@kennedyjohn8900
@kennedyjohn8900 5 дней назад
Wabunge wapunguze maposho wapunguze magari yakifahari itasaidia kupunguza ugumu wa maisha nahayo masafari ya nje ya nchi kula Bata punguzeni wananchi wenu wa hali ya chini hali nimbaya jamani
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 5 дней назад
Mpina awe waziri wa fedha, Ujinga wote angeuondoa
@binseif2216
@binseif2216 4 дня назад
Alikuwa waziri nini alifanya??
@revocatussebastian2427
@revocatussebastian2427 5 дней назад
Baba alinihusia ukikosea kuoa mwanamke mwenye maadili na hofu yamungu utajuta maisha yko yote # nyinyi leo mnagoma,mnafunga maduka akati mlimchaguwa mbunge ambae hafai na akapata uwaziri leo hii anawaona tktk mgomemsigome VAT Iendelee.......
@listamaswaga5289
@listamaswaga5289 5 дней назад
Uko kinyume na wafanya biashara kwa sababu unazidi kuongeza kodi jitafakari ndugu yangu.
@Piscesblair
@Piscesblair 4 дня назад
Suala la msingi ni tunafanyaje ili kufanya biashara zetu zinakuwa endelevu bila kupoteza mitaji. We need to strike a balance to create a win win situation between the Government and the Taxpayers.
@HusseinNkuna
@HusseinNkuna 5 дней назад
ukishaona mtu alitumbuliwa na magufuli ujue hafai na hawezi kazi
@kdloon2030
@kdloon2030 5 дней назад
Magufuli alimtumbua huyu jamaa,kwa kua aliona hafai.Na hafai kweli na hatofaa hata siku moja
@user-wo8oq3gc5q
@user-wo8oq3gc5q 5 дней назад
Mi naomba rais aje kutoa tamko naimani itakua na mashiko lkn hawa wengine🤗🤗🤗
@Forester__
@Forester__ 4 дня назад
Huyu jamaa very pride man
@FrankMushi-cs5js
@FrankMushi-cs5js 5 дней назад
Acha zarau wewe aya ni maishaa tu babaa acha kujisaau jali na binadamu wezakoooo MUNGU tuondole uyu mtu tumemchoka
@aliykamaga4174
@aliykamaga4174 5 дней назад
Mungu anakaziyakutulinda na mwovushetani hikikiliotutakimaliza wenyewe Mwezi10
@kichenjekichenje2072
@kichenjekichenje2072 5 дней назад
Wazir wa Trab na Trat.Hatukutaki kbs ktk nchi hii,hautufai
@OmarAme-hd3fd
@OmarAme-hd3fd 4 дня назад
Muheshimiwa spika Nenda kariakoo ukasikilize wafanya biashara kero zao kazi mineno tuu vitendo hamna
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 4 дня назад
Yani sijui raisi anampendea Nini huyu jinamizi roho mbaya
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 5 дней назад
Ngoja tuje
@YohanaMwakaje
@YohanaMwakaje 5 дней назад
Mji funze kwa Kenya mkate tu ume panda Bei saiz watu wanalia sisi mna tuona manyan tutsanza na nyie wabunge maana hamjui wajibu wenu Kila kitu rais kazi yenu ni nini 🤸
@swalehemusa4546
@swalehemusa4546 5 дней назад
Uyu ni msomi mavi msomi mwizi magufuli alifukuza hawa masomi yote ya uwozo rip magufuli tumebakia na wasomi waginga
@Zaikadena
@Zaikadena 5 дней назад
Kwan kabla haipo Io service revi halimashauli ilikuainajiendeshaje acheni kiburi viongozi hii Dunia tunapita mjue
@AmosKachatiro
@AmosKachatiro 5 дней назад
Pole sana Usijiamulie kuwa wewe una akili nyingi kuliko watanzania wote
@devangandhl2255
@devangandhl2255 4 дня назад
Ni kweli alivyoongea waziri.kama uataratibu ukikaa vizuri na wote tukalipa kodi inawezekana ikapungua .
@jarnskorelly464
@jarnskorelly464 5 дней назад
Huyu magu alimtoa mama kamrudisha mwizi sana jamani nawajua sana wanyiramba muongo sana kodi nyingi sana
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 5 дней назад
Pumba tupu sijui huyu anaachwaje au ni yale ya mkono wa Mungu kuwa atawatumia wao wenyewe wajimalize kama anavyofanya. Kusifia sifia ndiyo silaha yake.
@sophykimario7350
@sophykimario7350 5 дней назад
Mungu tuone Huruma masikinj na wanyonge...
@omarkipotwile9052
@omarkipotwile9052 5 дней назад
Imagine huyu ni mbunge wake mtu ambaye anamshangilia kabisa akishapewa kofia na t-shirt ya chama
@leokamil6284
@leokamil6284 5 дней назад
Kuna za Korea na Ifm na nyingine nyingi matumizi yao makubwa mno
@jumamayonga8914
@jumamayonga8914 5 дней назад
Posho za wabunge zipunguzwe badala ya kumkamua mwananchi mwenye kipato cha chini kwenye miamala ya simu
@MirajiMbolile
@MirajiMbolile 5 дней назад
Hata mijadala ya bumge yote ni ovyo yapo bungeni kwa ajili ya wizi tu . Lakini ipo siku yao make wamesha wafanya watanzania ni mbulula mbulula
@Bin_Malik
@Bin_Malik 2 дня назад
Dola imepanda haipatikani, Sea Freight imepanda faida ipo chini kwanini kama Serikali musishushe VAT ili mfanyabiashara akapara unafuu?.
@faridamapogolo2892
@faridamapogolo2892 5 дней назад
Mungu anawaona hakuna anaeishi milele
@shalomchaula4420
@shalomchaula4420 5 дней назад
Migomo kweli sio afya ,ila serikali ndo wa kwanza kusababisha kwasababu maisha ya wananchi yamekuwa gharama mno na Bado tuna sehemu nyingi za Tz zenye uwezo wa kuingiza pesa nyingi sio madini,sio mbuga za wanyama ,sio vivutioa vya utalii sio maji tuliyonayo samaki na vivutioa vingi Sana kilimo chetu ndo husiseme Sasa mnakopa mnaacha lasikimali zetu Kwa wazungu na waarabu hapo sio sawa mwigulu tunapenda kwenda Kawa kasi ila sio Kwa kuuza nchi na kuwaweka wanachi wenye nchi yao mazingira magumu. Ukweli ni kwamba wazungu wanatuangalia na kutucheka wanataka tugombane wenyewe Kwa kututengenezea mazingira ya ukopaji Sana ili tushindwe kulipa afu wabebe sehemu zote zenye vyanzo vikubwa vya uchumi wetu ndo wanafanya ivyo ndo ukoloni mamboleo huo na wanajua kabisa silaha yao ni kutuweka kwenye madeni na uwitaji Kila siku. Mwisho maandamano mwisho machafuko mwishoe walete silaha wazimwage kama njugu uko mitaani tudindane turudi nyuma Mh mwigulu tukiamua kuuza mazao yetu Kwa gharama kubwa na kilimo Cha kisasa tutavunja pesa mingi Sana ,tukiamua madini yetu yatokee Kwa nizamu ya uzalendo, nishati tuuze vizuri na kuchukua bandari vizuri,mazima ,habari na mito na mbuga za wanyama zikae sawa watu wasimamie mbona mikopo hatuitaji ndo maana shabby alisema JPM pesa zaote zikusanywe ziende BOT afu muandae bajeti Kila mtu apewe kulingana na uhitaji Sasa Kila mtu anakusanya pesa na kukaa nazo kama TRA lazima mambo yasiende na hatuoni mradi mpya kabisa kusema tunashindwa kufanya.
@homeboybeyondtheborders4935
@homeboybeyondtheborders4935 5 дней назад
Hawa hawajui biashara zinapotia watu uchizi na stress mtaji ukipotea hakuna sehemu wanakupatia,mikopo lazima uwe na asset ili ukopesheke.Sasa wao wanawakatisha watu tamaa badala ya kuwapa motisha.
@emmanuelburakola-bz2zo
@emmanuelburakola-bz2zo 5 дней назад
Huyu ni miogoni mwa watu wanao mchimbia mashimo Rais japo ,mama hajajua
@manchalijob9600
@manchalijob9600 5 дней назад
Rais chukuwa mawaziri wa awamu ya tano TANZANIA itakuwa Safi ondowa hawa makubwa jinga
@stevenchawala5316
@stevenchawala5316 5 дней назад
Mikodi mikubwa punguzen posho huko bungen na mishahara ipungue mpewe hata laki 7 posho isiwepo kabisa
@user-ex4hi7fj5c
@user-ex4hi7fj5c 5 дней назад
Maneno mheshimiwa spikaaa mheshimiwa spikaaa ndiyo nyingi KULIKO maneno yote mheshimiwa spikaaaaa
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 5 дней назад
Inaonesha Tz sio wasikilizaji wazuri,, Sisi sisi wamachinga wakifukuzwa tunasema R.I.P. Magu😢, ki ufupi hatuna jema
@Mutako-ig1ik
@Mutako-ig1ik 5 дней назад
Hivi huyu bado munamuita waziri kama hamujaondoa huu uchafu eti ni waziri mwizi mukubwa mutaishi kwa kulalamika mpaka mutachoka
@user-yo4mt8cv6w
@user-yo4mt8cv6w 4 дня назад
Mimi ninachokiona hapa miradi iliyoachwa na mzee Magufuli ni mikubwa inatumia garama kubwa sasa usimamizi wa namna yakupata fedha ulikuwa tofauti na mama samia mama amelegea kwenye swala la usimamizi wa miradi na utumish kwa ujumla sasa serikali imelemewa lazma ifanye hvi ili kumaliza miradi hyo mikubwa
@johnshayo9635
@johnshayo9635 3 дня назад
Tunahitaji viongozi wenye mawazo namna ya kugundua vyanzo vipya vya mapato si kukariri na kunga'ng'ania vitu vya kale
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 5 дней назад
Mtu a ayetumia nguvu nyingi kujieleza huwa naona kama anataka kufupisha maswali yanayoweza kuchimbua kilichochimbiwa
@salehereuben5785
@salehereuben5785 5 дней назад
Kwani hoja ni kushusha vati, serikali ni tasisi na ili tasisi ikuwe inatakiwa iwe na miladi ya kuiendesha, kadi, tozo, na vat, hata ukizikusanya zote kwa asilimia 100% bado haziwezi kutosha kurndesha nchi, hata kulipa tu mishahara watumoshi kwa mwaka hazitoshi, ila tunachohitaji nikuona ubunifu wa wizara ya fedha kwenye vyanzo vya mapato na hasa miradi yenye tija. Hapo unazungumuzia bilions of money wakati bajeti ni tilions of money na zenyewe siyo cash. Tunategemea na wahisani.
@yuzotv458
@yuzotv458 5 дней назад
99% ya comments zinamlaumu waziri wa fedha,ni muda sasa ajitafakari huyu mwamba.
@mashakaamosgabinza3893
@mashakaamosgabinza3893 4 дня назад
Watanzania tungekuwa kama wakenya tungefika mbali wananchi mnatuumiza kwa ititili wa kodi wambunge mkatwe pesa mnakula pesa za bure tu huko
@IsmailKidongo
@IsmailKidongo 5 дней назад
mnashangaza sana biasha ya milioni mbili faini milioni kukinatano
@mawn6828
@mawn6828 4 дня назад
Rais hebu tafuta mchumi mwingine Kwa nafas hii huyu upeo wake umefika mwisho,atakutia matatizoni huyu kakwama na nchi itakwama.
@KamwandaNzowa-eo4ur
@KamwandaNzowa-eo4ur 5 дней назад
Acha kutudanganya wewe Mwiguru ni lini serikali inaugopa wanachi hii Nchi ndiyo inayoongoza kwa kodi kubwa kwa wafanyabishara hata kwa wakulima
@birianination7097
@birianination7097 5 дней назад
Sisi sio ulaya bado tunamiradi mingi yakufanya isitoshe pesa yenyewe bado ni ndogo, bila kodi hakuna kitu.
@user-hk2oz2eg4j
@user-hk2oz2eg4j 5 дней назад
Kwahiyo nyinyi hamkuona njia mbadala ya kufanya ili kuongeza pato la taifa mpaka mkaona muweke kodi zisizo za msingi kwa wafanyabiashara.?
@DenisRukangula
@DenisRukangula 5 дней назад
Mimi sioni kabsa haja ya kugoma kwani hakuna mafanikio kwenye kugoma, Ila ukiona mtu kafikia hatua hiyo ujue maji yamemfikia mtu shingonu
@SanziNzige
@SanziNzige 4 дня назад
Mungekuwa wazalendo wa hii nchi kabisa kabisa mwigulu huyo angekuwa hata selekarini hajulikani kabisa .kwannza haya akisimama tu kuongea bungeni halivutii kabisalinajishitaki lenyewe hata kwa mungu ndo maana magufuli alilitupa huko.mlililudishaje kulinfa hela ya taifa?jamani.a.a.
@AbdulazizMohammed-wi8qz
@AbdulazizMohammed-wi8qz 5 дней назад
Yaan ktk viongoz wehu huyu namba moja kikwete atutolee waziri wake huyu hatumtaki sisi
@FrankMushi-cs5js
@FrankMushi-cs5js 5 дней назад
Wewe una uhurum na cc kabisaa yani tena una kabisaaa nakwambia kweliiii muheshimiwa
@isacktesha6659
@isacktesha6659 5 дней назад
Yaaani hawa viongozi wetu wakikaa kwenye magari makubwa na suti basi wanajiona kama miungu ,subirini 2025 ,tuwanyooshe mmetuzoea sana
@raymondmushi9019
@raymondmushi9019 5 дней назад
Kwa hili watu wanakwenda kuangalia maisha mbadala.
@YassinRajabu
@YassinRajabu 5 дней назад
uzalendo wa mwigulu upo kwenye kuvaa tai yenye bendela ya tanzania tu
@nuswemwakasala8687
@nuswemwakasala8687 5 дней назад
🤣🤣🤣🤣 masanja mkandamizaji
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 5 дней назад
Hapa hatuna waziri hiyo nafasi yake ni bora angepewa mbunge msukuma angeweza kuiongoza vizuri hiyo wizara
@EsterYohana-ix7ii
@EsterYohana-ix7ii 5 дней назад
Ndugu zetu wanasingida mmemsikia huyo msimludishe bungeni huwa anajitetea maji yakimzidi, usiseme mama yetu nimama yako ww aliyekupa hicho cheo
Далее
Модные мальчишки
00:36
Просмотров 17 тыс.
Модные мальчишки
00:36
Просмотров 17 тыс.