Тёмный

Waziri Silaa aingilia kati mgogoro eneo la mgahawa wa Fresh mjini Moshi 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameagiza mmiliki wa mgahawa unaojulikana kama Fresh Restaurant uliopo Manispaa ya Moshi asisumbuliwe na badala yake asaidiwe ili aweze kulitumia eneo lake kulingana na matumizi anayohitaji.
Amesema hayo alipokuwa akikagua maeneo mbalimbali ya Halmashauri ya Manispaa ya Moshi yanayolalamikiwa kujengwa ama kutumiwa kinyume na taratibu kwenye halmashauri hiyo.

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 12   
@jovinusmutabuzi4647
@jovinusmutabuzi4647 10 месяцев назад
Anaifahamu sheria.nauna utu."hili ni eneo lamtu siwezi ingia"excellent! A problems solver.
@henrychacha5592
@henrychacha5592 5 месяцев назад
Mbunge wangu wa Ukonga, MITANO TENAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!❤❤❤❤Unatenda haki.
@peacemwesiga
@peacemwesiga 5 месяцев назад
❤❤❤❤❤❤ waziri Mungu aubariki
@HashimYahya-ic2wn
@HashimYahya-ic2wn 3 месяца назад
Rukuvi maringo mengi
@mathewtwimanye92
@mathewtwimanye92 10 месяцев назад
Akienda na Kasi hii atakuwa kavaa kiatu Cha mheshimiwa furani enzi zake ktk wizara mbalimbali alipariria magugu yote yalioshindikana na alipokuwa kiongozi wa juu aliinyoosha nchi tukaheahimiana but magaidi yakafanya Yao so hata huyu kwa Kasi hii ya kusimamia Haki majambazi hayapendi Mungu asimame na waziei
@davidkyara9676
@davidkyara9676 10 месяцев назад
SAFI SANA
@MabulaDoto-xb6xr
@MabulaDoto-xb6xr 5 месяцев назад
Huyu ndo waziri sio lukuvi alikuwa anajisikia sana yule mzee
@user-fx3sk9kh1s
@user-fx3sk9kh1s 5 месяцев назад
Unatsha sana
@othumanomari1589
@othumanomari1589 4 месяца назад
Mh Rais tunahitaji viongozi kama Hawa 500tu kwenye hiinchi iri mambo yaende vizuri
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 11 месяцев назад
HAPO SLAA NAMEKUKUBALI!KUMBE UNAUPIGA MWINGI,? HONHERA KAKA KWA KAZI NZURI!!
@mathewtwimanye92
@mathewtwimanye92 10 месяцев назад
Aombeww sana
@mathewtwimanye92
@mathewtwimanye92 10 месяцев назад
Kumnyanganya mwizi kisicho Haki yake na kumzuia mwizi kutoiba ni hatari kubwa sana ni afadhari kugombana na Simba
Далее
Новый уровень твоей сосиски
00:33
Новый уровень твоей сосиски
00:33