Тёмный

Waziri uso kwa uso na Madereva Namanga; Waeleza changamoto zinazowakabili kwa uchungu 

Mwananchi Digital
Подписаться 1 млн
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

7 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 6   
@babuloliondo74
@babuloliondo74 Год назад
Jamaa kafanana sana na marehemu amza nazani nawewe umemuwona asante kwairo amza mrisi wake uyo ario vaa furana ra mpunda miria
@Hamy1109
@Hamy1109 Год назад
Watanzania bado kujieleza hatuwezi hususani mbele ya viongozi. Sasa huyo dereva (Katibu) amepata nafasi ya kuongea na Waziri lakini anaongea PUMBA mwanzo mwisho. Hana utulivu katika kuwasilisha hoja zake.
@JumaAbdalla-xm9pb
@JumaAbdalla-xm9pb 2 месяца назад
Kwani hawa viongozi hawajui kero za wafanyabiashara ?
@gracemima5234
@gracemima5234 2 года назад
. Samia alisema Magufuli ndiye hakuwa na uhusiano muzuri na jirani zetu. . Alisema hakuwa ha uhusiano mzuri na Kenya. Kenya haitaki kabisa Tanzania iendelee. Hawa kuanza leo. Tangu wakati wa Rais Nyerere mpaka akaufunga mpaka wetu. Lakini yote akatupiwa Hayati Magufuli wanasema mama katatuwa matatizo na majirani zetu. Sasa Samia yuko wapi? Kenya ni majirani wabaya sana Samia hakufanya chochote. Ni sifa za uwongo mtupu. Tanzania haina matatizo na majirani zake. Tatizo liko Kenya kwa rushwa.
@hassinanassor5776
@hassinanassor5776 Год назад
Mamna. Ya. Kupi.ta. nabitha. ndogo
@thomasmallya2972
@thomasmallya2972 2 года назад
Akika wanaume tunapitia magumu sana
Далее
Vurugu laanza kushuhudiwa katikati ya jiji la Nairobi
3:11
очень грустно 😭
00:12
Просмотров 87 тыс.
DA'WAH NO MAN'S LAND - NAMANGA
52:43
Просмотров 8 тыс.