Waswahili walisema akili ni nywele ila hawakufafanua ni za sehemu kwa mwili 😂😂😂kipara hapa umeweza❤❤❤❤❤ sehemu ya tatu inje haraka juu imetukamba koo hatuezi nyamazia
Kwawasanii wakike wote kutoka gang zote nampa tuzo SANDRA, nilianza kumuona akiwa na Jumajicho tangia pale sijawahi kumuona kafeli. KWA WANAUME nawapa tuzo #BUTUA, #CHIBU & #KIPARA hawa watu wanavipaji asilia sio vyakulazimisha.
Huyo demu wa kipara ndio Boss wa madawa ya kulevya huyo askari mpelelezi katumia njia hiyo ya kujifanya chizi kupata ukaribu kuwafuatilia Who am i Nimeguess tu sina majibu kamili utabiri tu tuendelee na movie huenda ikawa hvo Huenda