Тёмный

WHOZU AMSIFIA WEMA ANAVYOMLEA VIZURI MTOTO WAKE, KUHUSU TUNDA AJIBU HAYA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 64 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 июн 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 95   
@user-qh7ei5yw9w
@user-qh7ei5yw9w Год назад
nampenda sana chimama, mungu amzidishie na roho yake nzuri apate mtoto mrembo kama yeye mwenyewe nae ajivunie
@aishaaisha9876
@aishaaisha9876 Год назад
Wema Allah akujalie kheri zaduniani mpaka kesho akhera inshallah ❤
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Год назад
Wema ubarikiwe Sana, afu Tunda uko vzr Sana nyie Ni wazazi Bora hongera Sana Tunda una utu Sana na unayajua maisha
@velmajoan3835
@velmajoan3835 Год назад
Mungu amkumbuke wema jamani nate apate mtoto wake❤
@clevermommiestanzania7145
@clevermommiestanzania7145 Год назад
Good interview Toka Kwa baba Lola pia. Hongereni Mmno chi baba na chi mama ❤
@kellyngogo3319
@kellyngogo3319 Год назад
Wema endelea na Mungu Atakufungua mama utapata na wewe wa kwako sasa hv. Pia nendaga kwenye maombi mama. Mungu anajibu UTAPATA
@naliakafatuma9870
@naliakafatuma9870 Год назад
Hongera Sana Kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana nyote nawapenda shalom shalom
@user-qj5gn7wk8p
@user-qj5gn7wk8p Год назад
Chimama anaroho nzuriiii sijawai onaaaa
@myloveloycemhichemwiche8740
Wozu anaakili anamchuna vip wema ww.mpuuzi tu unasema anamchuna kamchune na ww Sasa wozu kampenda. Tu wema na wema anauruma Sana Kama hamjui
@sheysarahnjeno5207
@sheysarahnjeno5207 Год назад
Hongera wema,kwa malez mazur hbd baby lola
@devotamutayoba9373
@devotamutayoba9373 Год назад
Bigup Wema❤❤
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 Год назад
Mungu akamjalie wema mtoto ana roho nyeupe
@AliceKarisa-jw6cl
@AliceKarisa-jw6cl Год назад
Wema mungu akupe mtt wako mwenyewe akuoe tulizo la moyo wako chimama
@winnierichard4265
@winnierichard4265 Год назад
Nimepanda walivyomsuka kitoto toto 👌
@uoFransisca-ew3fe
@uoFransisca-ew3fe Год назад
Whozu akili nyingi mno
@Lululemon55
@Lululemon55 Год назад
Whozu ni mwanaume mwenye furaha zaidi Tanzania.
@Whoisthismantalking
@Whoisthismantalking Год назад
Alisikika mkunduchi fulani
@wennceslausmushi2356
@wennceslausmushi2356 Год назад
Hongereni
@chocolatevivian830
@chocolatevivian830 Год назад
Wooow ❤❤
@ankovictor1564
@ankovictor1564 Год назад
Wema😍😍😍😍
@user-xb8zr5pm9v
@user-xb8zr5pm9v 9 месяцев назад
Siku wema Mwenyezi Mungu akikupa mtoto nitalia kwa furaha
@eduwadylelya
@eduwadylelya Год назад
Kumbe #Tunda alijifungua siku ya Hall day?? Hongera sana kwake
@sadasaid4408
@sadasaid4408 Год назад
Wema apenda sana watoto
@kellyngogo3319
@kellyngogo3319 Год назад
Hayo ndo maisja km wenzetu nje. Kuachana siyo kumtenga mtoto na nyinyi wazazi. Pia huyo tunda basi mpumbavu wozu ndo anamtumia. Siku anaamua kuoa tunda atapata hasara. Aendelee na maisha yake wabaki kulea mtoto
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 Год назад
TUNDA NA WEWE HONGERA HUO NDIO UBINADAMU .UMEFANYA VEMA
@gracios1324
@gracios1324 Год назад
👍❤️❤️KABISA
@user-fd8ce8ct2m
@user-fd8ce8ct2m 10 месяцев назад
Amina❤
@Aishah-ph1zi
@Aishah-ph1zi Год назад
Big up wema❤❤❤❤❤
@user-fd8ce8ct2m
@user-fd8ce8ct2m 10 месяцев назад
Mungu akupe moyo huohuo huyo Hana hatiya yoyote
@saidwayawaya5356
@saidwayawaya5356 Год назад
Huyo ni mtoto wa Tunda. Na kama ni mkubwa unaweza kumuoa sawa
@kimaroprosper4403
@kimaroprosper4403 Год назад
WHOZU MOVE ON MEN! DESPITE WHAT TUNDA NDIO KAKUPA HESHIMA HIYO HATE UNAIFICHA LKN TUNDA AMEONEKANA KUWA NA AKILI KULIKO WEWE....MOVE ON IN A BEST WAY UR A MANNNNNN
@wennceslausmushi2356
@wennceslausmushi2356 Год назад
Hàppybirthday to babyblola
@wennceslausmushi2356
@wennceslausmushi2356 Год назад
Nampenda
@chany9950
@chany9950 Год назад
Nice 👍🏽
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 10 месяцев назад
Kafanana na wozuuu
@appsplay4324
@appsplay4324 Год назад
Wema ana roho nzuri🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@harerimanaannemarie6396
@harerimanaannemarie6396 Год назад
Ki vp sasa
@harerimanaannemarie6396
@harerimanaannemarie6396 Год назад
Pale sio loho nzuli sema ni vile yeye hana mutoto 😊
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 Год назад
​@@harerimanaannemarie6396wangapi hawajazaa ila wakikaa ns watoto wawatu na wanawatesa??
@estherthequeen7699
@estherthequeen7699 Год назад
Nawapenda wema na whozu
@EZEKIAAMOSI
@EZEKIAAMOSI Год назад
Nakubali sana broo whozu
@Juju_judith
@Juju_judith Год назад
ila ukiangalia mapenzi ya wasanii wa bongo kwa haraka haraka unaeza usidhan kama ipo siku wataanza kurushiana matusi mtandaoni
@bernadetamodest6170
@bernadetamodest6170 Год назад
Umewaza sana yaan,kweli kabisa 👍
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 Год назад
Umekuwa mnene
@RosseMwenda-fw8js
@RosseMwenda-fw8js Год назад
Lola kamfanania wema kama wa kwake kabisa Mungu akipenda atawapa wakwao
@foodbasiccourt2028
@foodbasiccourt2028 Год назад
Hivi mnaweza kuona tunda na wozu wanamahusiano ila wanamchuna wema bila kujua mtasikia tunda mimba ya 2
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 Год назад
Hta me nmehis jmn😢😢😢
@tamausikanye9604
@tamausikanye9604 Год назад
hapana hawana mausiyano tunda ana mume wake
@foodbasiccourt2028
@foodbasiccourt2028 Год назад
@@tamausikanye9604 hakuna kipindi alichowahi kuwa na mume wasiendelee na whozi nao walikubali hivyo alivyokuwa na castro alikuwa na whozu akaja kuwa na mwanaume tajiri ilinga bado akawa na whozu hawajawahi move on hawa
@leaherasto929
@leaherasto929 Год назад
Uliwahusianisha wewe?? Ila watu mnamambo
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 Год назад
Acha umbea wewe.
@zaitunjuma870
@zaitunjuma870 Год назад
ila tunda anapat usingiz kweli kuwa mbali na mtt wake naon bad ni mdogo sn
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews Год назад
😂😂😂kwake ndo raha
@brigidmua2548
@brigidmua2548 Год назад
Ako na babake
@lailalaila8206
@lailalaila8206 Год назад
Wema aritoa mimba sana so ukishatoa mimba sana na mungu arikupangia mayai machache so usitegeme kuza tena tusitoe mimba wadda hangari haujaza hata mtto moja kisa usipoteze burandi ni hujinga wa hari ya juu zaha kwanza kisha mengine yafuate
@sophiamiondoko7098
@sophiamiondoko7098 Год назад
Mimi naisi tunda na whozu lao moja kumchuna wema mana wachaga ata siwaaminigi kwa kupenda pesa
@neemagowi7692
@neemagowi7692 Год назад
Wewe upendi pesa acha maneno wachaga wanafanya kazi ndio maana wanakua napesa acha kudharau kabila zawatu
@sophiamiondoko7098
@sophiamiondoko7098 Год назад
tunda anakazi gan mjini
@rehemaomary3493
@rehemaomary3493 Год назад
​@@sophiamiondoko7098😂😂😂😂😂😂😂
@tamausikanye9604
@tamausikanye9604 Год назад
sophia tunda ana mume wake ume waza vibaya
@leaherasto929
@leaherasto929 Год назад
Ila waja mna Mambo hamkosagi yakusema Yan ampend kabisa watu wakae kwaamani ubinadamu kazi kweli
@ChikuMaulidi-rv9fg
@ChikuMaulidi-rv9fg Год назад
Mapezi hayo kesho umwache wema sasa maana nyie wanaume mh
@faiqaanwar7268
@faiqaanwar7268 Год назад
Akiwa tumboni ni wako ukisha mzaa ni wa watu wote.
@suzannembotcha3965
@suzannembotcha3965 Год назад
nimufupi uyo montoto🎉
@sikudhanicharles3933
@sikudhanicharles3933 Год назад
Kama wewe😂😂😂
@saidwayawaya5356
@saidwayawaya5356 Год назад
Lakini whozu huyo sio mtoto wako ninavyo fahamu mm
@sikudhanicharles3933
@sikudhanicharles3933 Год назад
😂😂😂 kumbe wakwako wewe mwenzetu 😂😂😂 khaa kusoma hujui ata pic uoni
@mishikombowato1457
@mishikombowato1457 Год назад
Wa babako inatosha
@phlavianchixx
@phlavianchixx Год назад
Mung amp mapacha
@myloveloycemhichemwiche8740
Na ndio.maana wema anafanikiwa anaupendo na kila mtu anaemchukia wema Hana akili timam
@hawaamohammed6687
@hawaamohammed6687 Год назад
Wema ana utu sanaaa
@hawaamohammed6687
@hawaamohammed6687 Год назад
Wema ana utu sanaaa
@mnyasajohnson3681
@mnyasajohnson3681 Год назад
@@hawaamohammed6687 sanaaaa 🥰🥰🥰
@zuu114
@zuu114 Год назад
​p0
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews Год назад
Tunda kapata mlezi wamtoto😅😅atazidi kushinda mahotelini😂😂😂
@datty.wozaah865
@datty.wozaah865 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣 ila wewe
@lailalaila8206
@lailalaila8206 Год назад
Wema aritoa mimba sana so ukishatoa mimba sana na mungu arikupangia mayai machache so usitegeme kuza tena tusitoe mimba wadda hangari haujaza hata mtto moja kisa usipoteze burandi ni hujinga wa hari ya juu zaha kwanza kisha mengine yafuate
@kipandemalengo7002
@kipandemalengo7002 Год назад
Sio burandi ni brand😂
@aminatuffi2824
@aminatuffi2824 Год назад
Atukatai katoa mimba ila wangap wmetoa mimba pia lakin bado mungu kwajaalia watt tuseme kwa wema m/mungu akipanga mda wake ukifika tuseme inshallah atatenda miujiza yake
@queenambrose-yx1ri
@queenambrose-yx1ri Год назад
​@@aminatuffi2824🙏🙏🙏aminaaa sana
Далее
Cook with Wema Sepetu S03E08 Whozu & Tunda
8:10
Просмотров 684 тыс.
ПОЮ НАРОДНЫЕ ПЕСНИ🪗
3:19:41
Просмотров 1,9 млн
MWANZO MWISHO BIRTHDAY YA MTOTO WA NANDY NA BILNAS!!
8:35
GIGY AFICHUA ALIYOPITIA WHOZU KWA TUNDA MPAKA KUACHANA
10:57