Ummm ati wanasema GG hayuko sawa 🤣🤣🤣nyie twende mbele tu mana nyUma matukio n chini ya 18 yrs🤣🤣 GG acha tuendelee kuelewa…kuna sehem nimesema I WISH kwa sauti jamani 🤣🤣🤣💥
Wanawake tunatabia ya kutambiana bu ujue kama mwezio kaachwa na wew ujue utaachwa,ambacho hupend kutendewa usimtendee mwenzio la sivyo utaumizwa sanaaa mama mtafute Mungu na akuongoze kutafua pesa
Siku zote matatizo huwa haya tatuliwi na akili zile zile zilizo sababisha matatizo husika, Sasa gigy ana pata wapi huo ujasiri wa kujadili mahusiano ya watu wakati yeye mwenyewe yamezidia 🙆🙆🙆🙆🙆🙌👆🤣
@@vanessalaizer4363 mambo ya Mitandaoni yasikunyime hamu ya chakula kwaiyo ukiambiwa huna akili basi ndio utaamini kuwa hauna akili wakati una jijua una akili kwaiyo wewe calm down 😃😃😃🙌🙌
Bila kudanga gigy ana akili nyingi sema tatizo demu akishatoa chini kwa wanaume wengi Yale maji yanaendaga kwenye ubongo that why madanga akili zao azikuagi fresh 100% laasivyo gigy ana akili nyingi sema pia maisha yamemfunza vitu vingi
Gigy ameanza uhuni utotoni ila ameshakuwa na kuelewa maisha kwa sasa ana admit japo its late. This is so common kwa watoto wenye asili ya kinyaki na ndio style zao ila angetulia shule she would been very good ana confidence na nyota ya kukubalika.
Huyo Gigi ana matatizo ya mapenzi mbona anamsema Tunda wakati yeye ana yake kibao, huwezi kumchukia mtu wakati ni baba watoto wake mbona yako Tunda hakufatiliii haeleweki kwa kweli.
utamuelewa tuu.katika watu wakweli.waungwana na wenye HOFU ya Mungu NI huyu dada. Gygy asie nielewe huyu mtoto nikichaa tuu.nampenda mno natamani hata kuwa na number yake nimpongeze tuu.mtoto .zur na mikweli mno.