Wizzo tanonane nakutambua all the way from Ethiopia Addis Ababa,Kwan ni kesho, keep motivating the youths, cuz nowadays even the youngest having inspired by gegtone singers.nomare
Understanding...Now Wizzo fine art emphrase n everythng "Kwani Ni Kesho tena si Kesho"...Vita ni Mental sio Physical Constructive Critism...Now we Know Big up Kipawa for the Hardwork
The questions asked were not good. If you are interviewing an intellect then read please and come up with intellectual questions. Kuuliza mtu kama anakunywa sa ni gani hizo
Oya huyo fathela asiwai kam kwa show anasema og...ako na look mbwakini ame ji angalia og will remain og....peleke hyo ice yako huko....kwanza we ndo una va a u fabulo
Wizzo Nane anaeza kaa ako juu ya madawa but mindset yake iko radar sana hata kuliko thousands of University Graduates out here.... My opinion, if he gets a good mentorship and something like Rehab anaeza enda mbali zaidi.
Huyo kando yako mwenye ako na white ni Mwizi, y'all should be careful wenye mna entertain kwa Studio. Mwizi anajulikana Buruburu, Donholm, Mutindwa, Umoja na sijui kwingine anaiba, He tried to steal my phone na alikosa pahali iko juu nilikuwa nimeficha so akaona aniitie Geng kunipiga na kwa uzuri kulikuwa na karao karibu na hio Estate juu ilikuwa Donholm. The only thing alienda nayo ni jacket na ilikuwa na 3k pekee ndani ya mfuko... so plz be Careful who you invite into the Studio coz hii ilikuwa interview ya Wizzo Tano Nane si akina Glenn na sijui nani.