Тёмный

WOOW! BARAKA MPENJA ASHINDANA LIVE KUTANGAZA MPIRA NA MTOTO ADIL SAAD ‘ADIL YANGA’/AFUNIKWA VIBAYA 

Mpenja TV
Подписаться 510 тыс.
Просмотров 1,1 млн
50% 1

Hatmaye Mtangazaji Mwandamizi wa soka wa Azam TV, Baraka Mpenja a.k.a Sauti ya Radi, ametimiza ahadi yake ya kukutana LIVE na Mtoto shabiki wa Yanga, Adil Saad Maarufu ‘Adil Yanga’ ambaye ana kipaji kikubwa cha Kutangaza mpira wa Miguu.
Adil naye ametimiza ndoto ya kuonana na shujaa wake na mtu wa mfano kwake (Role Model), Baraka Mpenja.
Mpenja TV imewakutanisha wawili hao Februari 5, 2022 muda mfupi baada ya mechi ya ligi kuu ya NBC kati ya Yanga na Mbeya City kumalizika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es salaam.
Enjoy mahojiano haya……
#BarakaMpenjaVsAdilYanga #AdilSaad #YangaSC #tff #tplb #MpenjaTV

Спорт

Опубликовано:

 

4 фев 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 782   
@swafaayunus2916
@swafaayunus2916 Год назад
From Kenya Mombasa nataka mpongeza sana Baraka mpenja nakupa pongezi sana Adil keep going uwe Best kama Baraka❤️
@sangoyaniyamati8008
@sangoyaniyamati8008 2 года назад
Napenda Sana kuona vipaji japo Mimi ni Simba damu damu Ila huyo mtoto salute kwake❤️💪 atakuwa vizuri Sanaa hongera mzazi hongera Baraka mpenja kwa motishia
@sumadashsumadash7342
@sumadashsumadash7342 2 года назад
Nainjoy kuona kuna watu wanajua Ushabiki wakweli kwenye soka kama ww, huo ndio Utani wa jadi wakweli. Safi sana mtani nimekukubali
@lovenahjoseph1901
@lovenahjoseph1901 2 года назад
Dah Safi sahnaaaaaa...
@omiomi8093
@omiomi8093 2 года назад
Huyu dogo kajazwa roho ya kumpenda mayele anampenda mno all the best. Allah amsaidie huyu dogo apate anachokipenda daima inshaallah.
@zackaliajohn4015
@zackaliajohn4015 2 года назад
AMEN
@pendoemily174
@pendoemily174 2 года назад
Nimpongeze sana Baraka mpenja,kuendeleza kipaji chake kwa watoto.Mungu ambariki katika kazi yake.
@davidbahati3748
@davidbahati3748 2 года назад
Dogo anakipaji cha uchambuzi kuliko utangazaji, miaka 8 lkn ana akil ya kuujua mpira kuliko ata watu wazma uku mtaani. Big up kwake
@ip_header
@ip_header 2 года назад
Safi sana Baraka Mpenja inaonekana ni mtu muungwa, Mungu amzidishie kipaji chake kwa maslahi ya WaTanzania wote
@abedkirway8668
@abedkirway8668 2 года назад
nakukubali sana mkuu mpenja kaz nzuri san tupo pa1 kaka
@furahaiddy5069
@furahaiddy5069 2 года назад
Yanga hoyeeeeeee team yanga gonga like tujuane
@misigarojeandedieu1865
@misigarojeandedieu1865 2 года назад
We love you baraka mpenja..💞💞💞 tena mtoto anakipaji kweliiii..baraka ukipendwa na watoto..nawazazi..juwa Kwamba..u are completely the blessed one in Tanzania..Rwanda 🇷🇼 tunakupenda Sana...
@maureenmilah3717
@maureenmilah3717 2 года назад
He is not only talented but also the cutest thing I have seen in my life....mashallah
@mwammekhamis2365
@mwammekhamis2365 5 месяцев назад
😅
@erickelia9826
@erickelia9826 2 года назад
Nipo Simba damu ila huyu dogo hakika ana kipaji kikubwa Sana Honger sana Dogo utafika mbali, 🇹🇿👍👊
@jerikomwakakwale2871
@jerikomwakakwale2871 2 года назад
hongera Sana mpenja umeinsipire watu wengi sana
@sabrarak9989
@sabrarak9989 2 года назад
Mashaallah mtoto Adil mungu atakujaaliya utafika pakubwa kwa nguvu za Alla
@mayasalum9794
@mayasalum9794 2 года назад
Baraka mpenjwa ww ni muungwana sana Mungu akupe gheri nyng akuwepesishie kwenye kazi zako, dogo umemuonesha njia na kumshauri vizuri mashaallah
@rizbfighter8574
@rizbfighter8574 2 года назад
Ukizungumzia mpenja unazungumzia inspiration kwa vijana na watoto wa miaka yote
@sumadashsumadash7342
@sumadashsumadash7342 2 года назад
Nakuelewa Riz
@adrianmallyakibona.352
@adrianmallyakibona.352 2 года назад
Baraka ur very humble na unapenda watu wengine...
@mzambiachirwa8787
@mzambiachirwa8787 2 года назад
Hiii hatari sanaa Safi baraka miaka buku mbele yako 🇲🇼🇹🇿🇿🇲
@omarkalita816
@omarkalita816 2 года назад
Wow masha Allah huyu kijana ana kipaji kikubwa sana
@salim02tv24
@salim02tv24 2 года назад
Nimeipenda ii dogo anaelezea kiufundi na nishabik wayanga na mdogo anaongea tofaut na umri wake
@rubenijackisoni5679
@rubenijackisoni5679 2 года назад
Mungu wambinguni mbariki huyu mtoto mjalie uzima na Afya njema akue ktk maadili mema sku moja ndoto yake ikatimie lakini pia mbaliki baraka mpenje nampenda Sana huyu mwamba wa malila huyu hakika nifundi wa kutangaza kabumbu Sina baya
@kareenmselle5539
@kareenmselle5539 2 года назад
Dogo fundi sana kashinda dogo
@mohamedshah1700
@mohamedshah1700 2 года назад
Aamin
@njootupendane7993
@njootupendane7993 2 года назад
Mpenja una roho nzuri best
@mohamedabdoulkarim3627
@mohamedabdoulkarim3627 Год назад
Baraka mpenja meilleur commentateur en Afrique de L'EST karibou comoros 🇰🇲
@felisteranthony8688
@felisteranthony8688 2 года назад
Kwakweli nimeifurahia hii Mungu akuinue mtoto mzuri ufikie malengo yako
@sarhamozes2426
@sarhamozes2426 2 года назад
Woooow dah nawakubali sana kuanzia Adil na baraka mpenja nawapenda sana
@deborabrown2114
@deborabrown2114 2 года назад
Uwiiii mtoto umenichekesha Mungu azitimize ndoto zako
@khadijakaombwe4051
@khadijakaombwe4051 2 года назад
Wooow I like it ....Mtoto ana mapenzi ya kweli kabisaa na Yanga
@alexandernyimbi8186
@alexandernyimbi8186 2 года назад
The Guy is so talented. His family have to support this talent
@Official83640
@Official83640 2 года назад
Maashallah mtoto ananishinda ht mie kujua wachezaji aisee Mungu amzidishie kipaji chake
@oshenijosifati8120
@oshenijosifati8120 2 года назад
Fafi sana mtoto mimi ni mnyama pamoja na mapnzi ya mtoto kuwa yanga dogo atafika mbali nimpenda bure
@aliebrahim9423
@aliebrahim9423 2 года назад
Hongera sana Baraka Mpenja,umefanya kitu kikubwa Sana.
@isikesamike
@isikesamike 2 года назад
I'm a Simba fun but this kid is gifted. Nakuombea kila lililo jema mwanangu uwe mtangazaji mzuri hapo baadae 👏👏👏
@nipherjoseph8561
@nipherjoseph8561 2 года назад
🥰🥰🥰
@abdimrisho1537
@abdimrisho1537 2 года назад
Talented
@abdialamin7572
@abdialamin7572 2 года назад
Big up bro from inspiring our young talents allah ibarik watching from dubai ✊
@shamiraabdallah3158
@shamiraabdallah3158 2 года назад
Manshaalah
@issaally2251
@issaally2251 2 года назад
@@shamiraabdallah3158 Aaaaaaaaa
@sammanjeka7357
@sammanjeka7357 2 года назад
Ase ninacho kiona mim kwa huyu mtoto kiukwel anapenda mpra sasa nimuombe Baraka mpenja siku Moja amchukue akae nae live kwenye chumba cha matangazo kiukwel atokuja kumsahau katika maisha yake.
@ndondinseleba3262
@ndondinseleba3262 2 года назад
Aiseee Baraka mpenja hayupo wa kumfananisha naye ni talent yake toka kwa mwenyezi mungu.
@saidabdallah2649
@saidabdallah2649 2 года назад
Sio mchezo mashaallah big up👍👍🤙🤙ukijua kipaji chako unakuwa juu always dogo kajua
@mwljuliuskiwovele223
@mwljuliuskiwovele223 2 года назад
Baraka Mpenja mtu wa watu sana ,yaani hajachagua kaamua kumpa nafasi dogo aisee
@marynyabenda4414
@marynyabenda4414 2 года назад
😢😢😢machozi ya furaha jaman, hongera bby boy
@saidimsangi7250
@saidimsangi7250 2 года назад
Baraka mpenja unakipaj sana huwa na enjoy unapotangaza mechi zako na nimependa unavyo mpa dogo moyo god bless you
@mathiasntalika5166
@mathiasntalika5166 2 года назад
Congratulations Baraka for your recognition of talents and for your encouragement. Keep it up.
@omarizuberi2300
@omarizuberi2300 2 года назад
Big up young man so talented 🇰🇪
@bongotrending2255
@bongotrending2255 2 года назад
Maneno ya baraka mpenja yataishi sana
@niyondikoemily4756
@niyondikoemily4756 2 года назад
Mtoto mzuli sana
@kingkuntajr6283
@kingkuntajr6283 2 года назад
Tazama umri wa mastaaa bongo kumbe zuchu n mkubwa kuliko harmonize ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-9rK399duqKM.html 😀😂
@edmundsospeter5667
@edmundsospeter5667 Год назад
Keep on fighting young boy your so smart kuanzia juu hadi chinii 📌📌
@yuzotv458
@yuzotv458 2 года назад
kipaji hiki kinahitaji ulinzi dah,conger to young man for Good talent God bless our next champion.
@najmaabby5034
@najmaabby5034 2 года назад
Mashaallah Mashaallah Mashaallah Mashaallah Mashaallah Mashaallah mtoto anakipaji wazazi wakizangatie kipaji iki na sio wamchagulie cha kufanyie in future
@ManiMani-ze2we
@ManiMani-ze2we 2 года назад
Mimi ni shabiki wa simba ila nipenda mtoto anavo ongea mashaallh mashaallh mungu muongoze mtoto huyo mashaallh 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@queenandchill91
@queenandchill91 2 года назад
Sipendi Football ila Dogo kanifurahisha 🙌🏽 He's talented, Mungu amjalie atimize ndoto zake
@yuzotv458
@yuzotv458 2 года назад
yes kijana yupo vizuri sana mungu atutunzie kipaji hichi.
@hijabyfinest8524
@hijabyfinest8524 Год назад
Sasa ww hupendi footiball si umchawi kalaba
@queenandchill91
@queenandchill91 Год назад
@@hijabyfinest8524 Nadhani wewe ndo mchawi ndo maana unaujua uchawi unaongelea. Kila ninachopenda au nisichopenda nina sababu nacho. It's not a crime na it's a free world.
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 2 месяца назад
HatamiepiaSipendiMpiraBasiWachawiWengi​@@queenandchill91
@alinassor391
@alinassor391 2 года назад
Zawadi aliyotoa mpenja ni kumpa motision mtt adil na kafanya jambo Zuri sana hongera kwa kumpa moyo mtt na hivo ndio inavotakiwa Big up mpenjaa
@restutaeliezery1719
@restutaeliezery1719 2 года назад
Yupo humble sana Baraka Mpenja
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 2 года назад
Our Star😁😁🤣🤣🇹🇿 Confidence 🔥🔥
@simionngayayi6903
@simionngayayi6903 2 года назад
Mtoto ana kipaji cha hali juu sana yuko vizuri sana
@ezeedi871
@ezeedi871 2 года назад
Mpenja unawa ispire watu sana adi watoto wanakukubali yaan dogo anaiga hadi swaga zako na kila kitu
@irynjoseph6898
@irynjoseph6898 2 года назад
He was so excited to baraka,and he get more excited after kumsikia akitangaza😂
@slimpeewee1426
@slimpeewee1426 2 года назад
dogo umetisha sanaaa wazazii wampe nafasi aweze timiza ndoto yakee inshallah...
@davidcosmas3188
@davidcosmas3188 2 года назад
Safi sana mpenja kwa kuwa role model👊👊👊 dogo anajua sana big up sana
@mariapialakanje3446
@mariapialakanje3446 2 года назад
Dah mtoto anakipaji jmni huwiiii safi mtoto mzuri unskipaji.kizuri sana jmni Mungunantangulie 🥰🥰🥰
@moise6735
@moise6735 2 года назад
Waow this boy, he is a super star i say. YOUNGER AFRICANS KAZI KWENU MNAJUWA CAKUFANYA TALENT KWA WATOTO AMBAO WANAPENDA YOUNGER.
@rubenijackisoni5679
@rubenijackisoni5679 2 года назад
Ktk maisha yangu Mimi napenda Sana watoto
@veronicasteven2243
@veronicasteven2243 2 года назад
Hunizd mm yan I can't wait to see mtoto wangu MUNGU anijalie kwakwel🥰
@mohamedsalehe9053
@mohamedsalehe9053 2 года назад
Dah huyu dogo mweny ez mungu amsimamie inshallah anakipaji dogo yupo vzr sana
@ramadhanomar8346
@ramadhanomar8346 2 года назад
well spoken word from Baraka mpenja .we have to furnish the talent young generation
@kulengwamabula9508
@kulengwamabula9508 2 года назад
Mtoto anampenda sana baraka mpenja
@linahkategaya9488
@linahkategaya9488 2 года назад
Wow wow wow ongera sana mtoto Kwa kipaji. ubarikiwe Barack Mpenja
@faudhiarwaba1294
@faudhiarwaba1294 2 года назад
Duh Hadi nimetoa chozi kwa furaha kumuona mtoto mdogo Yuko hv🥰
@venantmatamba7302
@venantmatamba7302 2 года назад
Mpenja Tv nawakubali kwa taarifa za ukweli na uhakika tofaut na midia nyingene za mchongo nawatakia mafanikio mema.
@geofreysenka7091
@geofreysenka7091 2 года назад
Haijalishi mtoto ni fans wa yanga lakini mtoto si yupo Tanzania na mtanzania Yupo vizuri Mtoto na atajiamini pale siku atakapo karibishwa studio moja kwa moja baraka akiwa anatangaza
@abdoulusheke2373
@abdoulusheke2373 2 года назад
Je suis aussi ravi de voir baraka c'est un bon journaliste vraiment, courage aussi pour le petit gamin
@margaretkato5178
@margaretkato5178 2 года назад
Kweli sauti ya radi imepata radi mwenzio. Nawapenda wote....youngman you are so talented....let God lead you more. .usiende bali tunakuhitaji tz
@clement.matogwa.101
@clement.matogwa.101 2 года назад
Nashauri watoto kama Hawa wawe sehemu ya uchambuz pale azam TV inaleta motivation kwa young generation . Tukiwaacha Hawa tutabaki na stori za youtube
@user-ts4zn1sx7h
@user-ts4zn1sx7h 11 часов назад
Hongera Sana kwa Baraka Mpnja kwakufunguka kinamna yke amekuwa muaz nakumpa kijana Matumain makubwa nakumuaid kma ipo cku atakuja kuwa kma Yey Nimeipend Sana Mpenja TV ❤❤❤❤
@ains1122
@ains1122 2 года назад
Baraka mpenja we ni Baraka Tanzania, keep it up
@sharifahussein8034
@sharifahussein8034 2 года назад
Usikute kuna mtu anamchukia mtoto uyu ila binadamu mimi akiamungu kanifuraisha tena nafulahi kweli dahh! kila la kheri dogo adili
@machibyamichael96
@machibyamichael96 2 года назад
Much better young kids & congrats Mpenja respect 2 u
@ramadhanihudhaifani4376
@ramadhanihudhaifani4376 2 года назад
Damn! This is what the white men would say: WOW!!! Congratulaltions young janja. Big up sana,Mr Baraka Mpenja! Keep the good while and let love take the lead.❤✌👍
@ashuramhando5285
@ashuramhando5285 2 года назад
Namuona mbali Sana huyu mtangazaji wa kesho akili nyingi kwa kichwa katoto akili imejaa duh Mungu akuze kipaji chake InshaAllah 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿💚💛💚💛💚
@salamasaid6905
@salamasaid6905 2 года назад
Mungu azidi kupatia mungozo mwema uyo mtoto na baraka mpenja ni nimempenda kwa upendo wake amempatia baraka zote uyo mtangazaji mpya
@nappekiliakiliasalimu346
@nappekiliakiliasalimu346 2 года назад
Mtoto kaongea kwelii kabisa. .moloko anakimbi bila sababu kabisa yanii..
@WABASHELE
@WABASHELE 2 года назад
Mtoto kashinda Baraka kwa kweli
@laticiaalinda5482
@laticiaalinda5482 2 года назад
Adi Raha baraka umemshauli vizuri anabidi asome aongeze kipaji zaidi uyu mtoto kanifulaisha sana
@tezamog9042
@tezamog9042 2 года назад
Huyu mtoto anakipaji
@salehalzakwani3283
@salehalzakwani3283 2 года назад
Mashaallaah Allah awalinde nyote Inn shaa Allah
@carrenbenson2111
@carrenbenson2111 2 года назад
Nimeifurahia hii💛💚💛💚
@ngwahimpulupulu3685
@ngwahimpulupulu3685 2 года назад
Mpenja upo vizuri tunanda watu kama nyinyi mungu akupe maarifa zaidi
@jaffaryhamiddy8939
@jaffaryhamiddy8939 2 года назад
mashallah he is so talented 🔥🔥i appreciate wat he did may allah bless the kid on his dreams😊✅🔥🔥
@iddyuchungu8238
@iddyuchungu8238 2 года назад
A
@jastinesamboto4674
@jastinesamboto4674 2 года назад
Binafsi huwa napata burudani Sana nikimsikia Baraka akitangaza mpira ila Nimependa zaidi alichomfanyia huyu mtoto, unajua ukitaka kupata moyo kwa kile unachopenda basi upate support.
@mozasalum9715
@mozasalum9715 2 года назад
MashaAllah mwanzo nilidharau kwa kua sio mpenzi wa mpira lakini nikataka kujua mtt anafanya nini kanifanya niendelee kuangalia kwa kweli mtt yuko vizuri mungu ampe uzima na afya atimize ndoto zake inshaAllah 💖
@hashimuamini4417
@hashimuamini4417 2 года назад
Mungu amjalie kila lenye kheri huyu dogo atafika mbali sana nawe mtangazaji wetu mahili Baraka Mpenja Mungu akujalie kheri na moyo wa upendo siku zote
@saidahj2543
@saidahj2543 2 года назад
Football runs in his blood..may God see him through
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 2 года назад
Masha Allah 💚💛
@HalimaHalima-id2cb
@HalimaHalima-id2cb 2 года назад
❤❤❤🔥🔥🔥mashallah adill kipaji chako allah akuongoze vyema baraka mpenja hongera sana🔥🔥🔥
@rahmaramadhani3470
@rahmaramadhani3470 2 года назад
Mashaa Allah mwenyezi Mungu akulinde na akusimamie
@minaabdul6140
@minaabdul6140 2 года назад
MashaAllah big talented my super hero adeel saad 🥰🥰🥰😘😘🏆🏅
@majaliwamsigwa6206
@majaliwamsigwa6206 2 года назад
Hongera zake,kweli kizuri huigwa
@iliasaazizi9301
@iliasaazizi9301 2 года назад
like father like son.. Baba zake wenyewe balaaa kwa Football
@dianaadrea8528
@dianaadrea8528 2 года назад
Mh pongezi Dogo mungu akuuze uwe mtangazaj nashukrani kwa baraka mpenja kwa kumpa moyo huyo mtoto
@beatbyrich2891
@beatbyrich2891 2 года назад
Kutangaza ni talent Mpenja ni talented, huyu dogo pia talented. Na Yule aliyetangaza mechi ya Yanga na Polisi Tanzania Arusha kule. Talented sana. Kutangaza sio kazi ya kusomea. Kuna vitu vinakuja kama ile anaweka mguu mbele anapigaaa mkono wake , anatetema. Amezowea kufanya hivyo na leo amefanya tena. Kipaji sana. Mpenja
@epifaniamzumbwe5159
@epifaniamzumbwe5159 2 года назад
Kweli kabisaa🤗
@budoditungu2161
@budoditungu2161 2 года назад
Anastairi mtoto mzri mungu amuongoze
@simoncharles683
@simoncharles683 2 года назад
Dah huyu mtoto is very tàlented keep on moving mtoto mzur
@theheroesmusic4398
@theheroesmusic4398 2 года назад
Mpenja nimependa sana,ulichokifanya hapo.Mungu akubariki sana.dogo yupo vzuri Good luck kwenu wote.
@aminasalum9953
@aminasalum9953 2 года назад
Mashallah mtoto❤️🌷🙏
@paulomkumbwa3836
@paulomkumbwa3836 2 года назад
mpenja TV na mpenja kwa ujumla umeongea vizuri sana kw kumpa moyo dogo.
@asnathdibwe9602
@asnathdibwe9602 2 года назад
Wow wote wameshinda ila mtoto anakipaji sana
@annaboniface1936
@annaboniface1936 2 года назад
Baraka mungu akupe maisha bhan we mtu wawatu
@furahakawogo9660
@furahakawogo9660 2 года назад
Namkubali sana dogo Adil mtoto anakipaji. Napenda sana anavoiga ushangiliaji wa Fiston kalala mayele.
@wilsonedward326
@wilsonedward326 2 года назад
baraka ni level nyingine ila uyo mtoto ndio funga kazi mungu ampe maisha marefu ili tupate matunda yake ya football
Далее
skibidi toilet 76 (full episode)
08:11
Просмотров 8 млн
Ronaldinho 100% Humiliating Nutmegs 👑🇧🇷
0:45