Тёмный

YAKUTUMBA | MAJI MAJI WAKATAA KUJIUNGA NA SEREKALI MSEMAJI WAO AMEWEKA MAMBO YOTE WAZI 

Tanganyika TV
Подписаться 56 тыс.
Просмотров 19 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

21 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 38   
@fiziparadise7808
@fiziparadise7808 Год назад
Umehongea vizuri sana mweshimiwa, mwakole manga👏🏾Tuko pamoja nawa heroes wetu…la patrie ou la mort nous vaincrons un jour✊🏾Respect and love from UK.
@Assanibirindwa
@Assanibirindwa 9 месяцев назад
Unasema muzuri Sana nakuhunga mukono
@jolemerci2155
@jolemerci2155 Год назад
Courage baba kwa ku pigania inchi yako kwa bidii mimi nakufata toka arabia saudia Asante kwa mashauli
@Godelivanana
@Godelivanana Год назад
Nooooooo
@fitinabwashi8487
@fitinabwashi8487 Год назад
Umeongeya vizuri saaana,mumutowe Tchisekedi Jo ya maaana Mume kawiya Mungu awabariki Kwakila munao panga asant
@massejobbs4284
@massejobbs4284 Год назад
Umeongea vizuri sana . Ao watoto watakufa bure. Niwajinga sana. Tshisekedi ni nyangalakata
@jawabyamungukwibe9743
@jawabyamungukwibe9743 Год назад
Yeye mwenyewe yakutubu kangame joohanamulipaka hawezi kupingana M23 juuniwamoja pamoja na Retabara woote wamojaa hasitundaganye kamakuna sababauyoyo
@mbayomaikoakzahi9400
@mbayomaikoakzahi9400 Год назад
Kabila langu mimi sijuwi tulipataga elimu yawapi uwasielewi kabisaa hivi unatetea udongo paka lini na mkijiunga na serikali mtakufa nini na nyie mtahenda kufanya nini paka mjifanye kutokujiunga yani kabila langu ndohuwa siwaelewi kabisa hivi nyie huyo kanambe ndo amuwezi kunyatia nyinyi kwanza mkamuhuwa ili muone mnchi itahenda wapi yani ni Mungutu kweli helimu ningumu sana kuelewa
@assanibutoto9208
@assanibutoto9208 Год назад
Congo yetuni ya kuachiya Mungu tu, ila ningeli watakiya serikali ya kimajimaji Mungu awalinde popote walipo na ingine kwa nini maji maji ijuwe kama ni Rwanda njo inasumbuwa inchi yetu kwa nini nao wasipiganishe Rwanda ili nao wakose amani?
@dunialehani6188
@dunialehani6188 Год назад
kama hamutaki kujihunga na serikali mdaa ndohuhu wa sisi kama wabembe tuna jina letu kalembelembe amatogo tuna shindwa wapi historia yetu inajiweka wazi congo bila fizi nibure sasa tutahamuka mpakalini tunaweza kujenga fizi yetu wenyewe tusimtengeme mtu aje atusaidie kuleta amani
@MapendoMuhindo-us7ff
@MapendoMuhindo-us7ff Год назад
Bien
@flavienjustin1340
@flavienjustin1340 Год назад
Sisi wakongomani tuna maneno mengi tuh ila vitendo hatuna ila mwenyezi MUNGU atujaliye neema kabsa
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 Год назад
Wa mayi mayi mna maneno mengi tu myaka mingapi m23 mbona mna shindwa ku mtoa makanika mbona unashindwa aca wanya rwanda wakuwe inci mnakalia maneno mengi tu
@massejobbs4284
@massejobbs4284 Год назад
Mnajuwa dili ambayo Tshisekedi alisinye na Wanyarwanda. Tshisekedi ni m,mbwa.
@kariuki8
@kariuki8 Год назад
Mimi kama mkenya na huzuni sana kuwaona wakongomani waketezeka juu ya ubinafasi na tamaa ya watu wacheche kweli Kongo itapata amani?
@nikowabantu6216
@nikowabantu6216 Год назад
Mungu ata saidiya Amani ita rudi , Wazungu ndo chanzo cha vita apa congo Kagame ana tumikishwa tu Ila marekani na inchi za ulaya ndo zina leta vita Mimi kama mbembe nina jua historia ya chanzo cha vita apo Congo
@jolemerci2155
@jolemerci2155 Год назад
Ndugu sisi wa Congo mungu atu rehemu n'a atuteteye sababu inchi moja ishambuliwe n'a inchi tatu nishida mabalozi wa Tanzania mabalozi wa Nairobi mabalozi wa Rwanda n'a kazalika mungu tu piganie baba
@jolemerci2155
@jolemerci2155 Год назад
@@nikowabantu6216 iko kweli wa zungu ndio wana haribu Congo sana ila mungu bariki wanaume wa Congo wanao kuwa namusimamo kama huu
@AntoineKizito
@AntoineKizito 3 месяца назад
Mtutsi.atawamariza.ndiyoshabaayake
@uwezojaninosgospelartist1432
Tuwe inchi moja na sisi huku?
@elishalugano5679
@elishalugano5679 Год назад
Mutoke pale nyinyi we ajinga
@eastafricanist9156
@eastafricanist9156 2 месяца назад
Msimamo wa Yakutumba ni ya chuki na ukabila tupu na haiwezi leta amani Congo.
@dunialehani6188
@dunialehani6188 Год назад
tujibebe wenyewe hacheni zone ruje hivi hamuhoni kitu kilichopo ndani ya zone yetu
@sengomajack1680
@sengomajack1680 Год назад
Una ongeya bure saana kwanza Yakotumba alipewa pesa kusudi asaliti inchi nanjo maana mu naanza kupigana na Biloze bishambuke tokeni porini hamuko nyani
@AntoineKizito
@AntoineKizito 3 месяца назад
Wabembe.tutakuwatunatekeyeya.mukijiungana.serk
@uwezojaninosgospelartist1432
Kwanini Maji maji wasiombe Fizi, Uvira, Mwenga, Maniema etc...
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 Год назад
Sasa kwakutaka wale wa nya Rwanda watoke inabidi nyinyi muingiye kwenye serekali mpata jinsi yakuawatoa mkicukua vyeo bikubw vikubwa
@AntoineKizito
@AntoineKizito 3 месяца назад
Bafulilu.muwemacho.munateketeya.mukijiungana.serkar.warega.muwemacho.mukijiunganaserkar.
@florentkatembo1456
@florentkatembo1456 Год назад
Mtu yeyote akiwa na nyumba ya makao ku mji wa kigeni hata weza kuongoza kongo kwagisi mkongomani ana taka tutakuwa tu watumwa nyinyi wakongomani wakamilifu benye silaha mushukuwe uongozi ya congo,upumbafu itoke.
@usatoenglandvegas4046
@usatoenglandvegas4046 Год назад
Mna changanya watu na uongo wenu
@demsonmmunga1293
@demsonmmunga1293 Год назад
Nyie wote ni waasi tu,nchi inatangaza vita nyie ni kuja kuongea uongo tu hapa
@massejobbs4284
@massejobbs4284 Год назад
Tshisekedi ajasoma. Ameishi tu ubeljiji. Alikua mwizi wa mabanki ulaya. Tshisekedi Idiot national.
@sebajohn9058
@sebajohn9058 Год назад
Wakongo pigeni hao ,m23 watoke Kongo haraka na Rwanda msiogope piga
@massejobbs4284
@massejobbs4284 Год назад
@@sebajohn9058 lazima wanyongwe. Jinga izo
Далее
What’s your height?🩷🙀💚
00:59
Просмотров 3,6 млн
Меня знают уже все соседи😅
00:34
FIZI BARAKA / UJENZI NA MAENDELEO  MWEMEZI YA KWANZA
20:35
What’s your height?🩷🙀💚
00:59
Просмотров 3,6 млн