Тёмный

Yanga 5-0 JKT Tanzania | Highlights | NBC Premier League 29/08/2023 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 389 тыс.
50% 1

YANGA vs JKT: Yanga SC imeichakaza JKT Tanzania mabao 5-0 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.......
Magoli ya Yanga kwenye mchezo huu yametoka kwa Stephane Aziz Ki kwa free kick dakika ya 45+5, Kenedy Musonda dakika ya 54, Yao Kouassi dakika ya 64 na Max Nzengeli aliyefunga mawili dakika ya 79 na 88.

Спорт

Опубликовано:

 

28 авг 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 165   
@FirdausyAbubakary-bl2wo
@FirdausyAbubakary-bl2wo 11 месяцев назад
Ramadhani ngoda na baraka mpenja MaashaAllah mnajua kuliko ujuzi wenyewe💛💚💛💚💞💞💞
@shadyasalum192
@shadyasalum192 11 месяцев назад
Mwendo wa mkono tuu like hapa kama unainjoi mpira mtamuuu 🖐🖐🖐🖐
@sportsextra4795
@sportsextra4795 11 месяцев назад
mmzize kwenye one two pasrs yupo vzr sana daadec kijna ameiva
@EmmanuelZenda-ji5gc
@EmmanuelZenda-ji5gc 5 месяцев назад
Napitia hizi highlight nafurahii😂Nilichelewa sana kufuatilia hii team
@elizabethmwaipyana7827
@elizabethmwaipyana7827 11 месяцев назад
❤❤ the first
@user-zs3zz5iy6w
@user-zs3zz5iy6w 3 месяца назад
Sikujua Kama naweza ipenda yanga iv Mana sikuwa shabiki wa mpira kabisa ila Siku niliyoamua kufatilia mpira nikajikuta naipenda Sana yanga Yani Nina mapenzi na hii timu mno💚💛
@winifiridamayala4692
@winifiridamayala4692 Месяц назад
Safi sana
@yusuphkacc6232
@yusuphkacc6232 11 месяцев назад
GAMONDI ⚽ BALL 🎉
@lucyandason9336
@lucyandason9336 6 месяцев назад
Naipenda younga
@miltonstephano3246
@miltonstephano3246 11 месяцев назад
Wa kwanza 1
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 11 месяцев назад
LIGI IMEISHA 😂😂 1.Yanga 2.Azam 3. 🦁
@barnabemulumba8573
@barnabemulumba8573 11 месяцев назад
Congratulations 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-ck1ug6yb7s
@user-ck1ug6yb7s 11 месяцев назад
Kwa mtindo huu mechi 10 Itakuwa goli 50
@jacksonmpinge4928
@jacksonmpinge4928 11 месяцев назад
Wakwanza leo wananchi wekeni like hapa
@josiacharles2778
@josiacharles2778 11 месяцев назад
Mhmm hii Yanga ilinichanganya nikajikuta nashangilia magoli yanaingia kaamvu, wakati natoka ukumbini kufika nje nakuta wanaofurai wamevaa jezi za njano nyeusi na kijani ee kumbe nilikua nashangilia ushindi wa Yanga afu Mimi Simba tena nashangilia ligii, Mimi naisi nshalogwa jamani angalieni namna yakunisaidia.
@kelvinminde9652
@kelvinminde9652 10 месяцев назад
Yanga bora mnooo
@abdymmanga6338
@abdymmanga6338 11 месяцев назад
Bora Yanga ya Nabi ukimzuia Mayele tu wamekwisha ila hii ya Gamondi hata Ali Kamwe anafunga ni mwendo wa Hamsa tuu! 😂😂
@mariampeter6258
@mariampeter6258 11 месяцев назад
Unapo pambana na max unakutana na yaoyao
@kassimchuo5290
@kassimchuo5290 11 месяцев назад
Umeonaeeh hii ndo yanga tuliokuwa tunaisubli mzee baba...
@dastanfussy4898
@dastanfussy4898 11 месяцев назад
We ni yang'a au?😅
@wardashabani
@wardashabani 11 месяцев назад
Umeona eeh wafungaj wapo weng watamkaba nan
@jacksonnyoni1978
@jacksonnyoni1978 11 месяцев назад
😅😅😅
@loyotv
@loyotv 11 месяцев назад
Yanga ya 5G🔥🔥🔥🔥
@innocentmakala6542
@innocentmakala6542 10 месяцев назад
Sio paja n mpaja wa Aziz Kii
@praymoshi752
@praymoshi752 11 месяцев назад
Ongezeni dk
@user-bd5zi9mv7g
@user-bd5zi9mv7g 11 месяцев назад
Fainal ichezwe mara mbili ata Ile ya ngao iludiwe ,,,, tuwakabizi makolo nao mkono ✊.
@user-jy1vp5dn6y
@user-jy1vp5dn6y 9 месяцев назад
Yanga ya sasa ni hatari sana
@user-uq7ik3iz9i
@user-uq7ik3iz9i 10 месяцев назад
Hatari sana hii yanga
@rukaya-jg7hj
@rukaya-jg7hj 11 месяцев назад
Jkt ni bora lkn wamekutana na wabora zaid yao
@brighton3693
@brighton3693 11 месяцев назад
Team hii ni yanani inaleta raha
@gchordsofficialtz614
@gchordsofficialtz614 11 месяцев назад
Hii clip ya highliths na ile ya magoli tofauti ni nn sasa???zile skills zote hazipo kwenye highliths ongezeni dk kwenye highliths hamnaga highliths ya dk 7 kwenye dk 90 zote mbona ulaya wao utakuta hata highliths ya dk 15+ huku bongo tunakwama wapi???
@Prince-rafael
@Prince-rafael 11 месяцев назад
Adi sisi mashabiki wa yanga tunatishwana na club yetu Sasa maana sio kwa pira nguruwe pira kitimoto😋pira kisukari🥰
@Phillips_ki
@Phillips_ki 11 месяцев назад
Azam mnatukosea highlight gan ya dakik4 kweli
@alicenice1711
@alicenice1711 11 месяцев назад
Nyie hiyi yanga acheni tuuu😂❤❤
@aziziatumanially424
@aziziatumanially424 11 месяцев назад
Yaaah hii ndio highlights sio dakik mbil imeisha
@kibokutiwanatanyika1540
@kibokutiwanatanyika1540 11 месяцев назад
Msimu huu mashabiki wa yanga ni zamu ya nyavu KUTETEMA na 5G 😅😅😅
@tusajigwekanemela2864
@tusajigwekanemela2864 11 месяцев назад
Najivunia yangaaaaaaaaaa
@johslim2895
@johslim2895 10 месяцев назад
Muwe mnaweka full match ili tuenjoy mpira
@justinecharles2704
@justinecharles2704 11 месяцев назад
❤❤❤
@rickmediatz7842
@rickmediatz7842 11 месяцев назад
Sijui Tabora United watakula ngapi eeeeh jamani 😅
@dmswaggbamboostick4576
@dmswaggbamboostick4576 11 месяцев назад
😂😂😂kibwana kazi unayo mshkaji wangu
@shamimujamaly8197
@shamimujamaly8197 10 месяцев назад
Barak mpenja
@chakuboyofficial9720
@chakuboyofficial9720 11 месяцев назад
Kwa Yanga hihi kuizuwiya ina itaji team mbili ziungane afu ndo ije icheze na na yangaa sio kwa motoo Uhu wanao fata waji pange Kweli Kweli ✊✊✊🇦🇺🇨🇩🔥
@ainessamani8399
@ainessamani8399 11 месяцев назад
Yan bola ya nabi ila hii anae funga humjui ni nani. Wite poa
@LeticiaRichard-zm7co
@LeticiaRichard-zm7co 11 месяцев назад
Yanga inanipa Raha mie jaman
@user-kj8bh9hx4d
@user-kj8bh9hx4d 11 месяцев назад
Ah mnatukera mnatuwekea highlights kidogo
@user-ui9sb8bl1n
@user-ui9sb8bl1n 11 месяцев назад
Huyu yao maomb acheze nafasi ya winga maan anajua mbaka ana kera
@NDIMYAKEMLENDA-mk9gj
@NDIMYAKEMLENDA-mk9gj 11 месяцев назад
Hii Imeenda
@zarinatv2024
@zarinatv2024 11 месяцев назад
Jaman Simba wenzangu kwel hiz raha wanazopata ndugu zetu Yanga hamzitamani maana wanacheza mpira unavutia hadi napata utamu kisimi kinasisimka,,,uwiii🙈😊😃
@freestyleboywaraptz7706
@freestyleboywaraptz7706 11 месяцев назад
Sasa ww dada umekuja kushangilia au una matangazo kisimi kinasisimka
@freestyleboywaraptz7706
@freestyleboywaraptz7706 11 месяцев назад
Sasa ww dada umekuja kushangilia au una matangazo kisimi kinasisimka
@user-pi5rz5hp2t
@user-pi5rz5hp2t 11 месяцев назад
😂😂😂😂😂jmn, binadamu kz ipooo
@EREVUKATV
@EREVUKATV 11 месяцев назад
😅😅😅😅😅😅
@user-wj8eg4js4g
@user-wj8eg4js4g 11 месяцев назад
Wananchiiiiiiiiiii 💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💛💛💛
@Aymaniddi
@Aymaniddi 11 месяцев назад
Mechi 2 gori 10
@barackmoses7003
@barackmoses7003 11 месяцев назад
Hakuna haja ya kuandika Highlits Andikeni tu magoli highlights gani haina matukio yote mhimu
@user-gy1rp8wo6j
@user-gy1rp8wo6j 11 месяцев назад
@danielsunghwa487
@danielsunghwa487 11 месяцев назад
Kwel yanga rahaaaaaaaaa wenye ligi yetu tumerudiiiiiii kwa kasi ya 5G😆😆😆😆😆
@paulkidula1663
@paulkidula1663 11 месяцев назад
Kuna mtu siku moja ataungwa bundle la 10GB🤣🤣🤣🤣🤣
@user-mq1zq7kb7n
@user-mq1zq7kb7n 11 месяцев назад
Wananchii
@elineemakaaya4117
@elineemakaaya4117 11 месяцев назад
nabi na mayele waliondoka roho safi, wanafanikiwa walipo na huku yanga inafanikiwa
@user-iu3lk6qu3u
@user-iu3lk6qu3u 11 месяцев назад
Ni mwendo wa 5G au mnasemaje
@PanchoValentino-wh7wt
@PanchoValentino-wh7wt 11 месяцев назад
Viva Yanga Viva Wananchiiiiii 💚🌟💛💪🌟🖐️⚽🔝
@dausonidominick719
@dausonidominick719 11 месяцев назад
Of said gor3 cku zote uyo lefa uwa bena
@IsmailMakame-yn7ne
@IsmailMakame-yn7ne 11 месяцев назад
Mwixh watakuja kusema Tim zote kwenye lig ni mbov
@lenatusmganga7793
@lenatusmganga7793 11 месяцев назад
mnatengeniza vifupi sana mpaka vinamaliza laza
@user-ru7np8ji9p
@user-ru7np8ji9p 11 месяцев назад
5😮
@zabulonnsengiyumva2738
@zabulonnsengiyumva2738 11 месяцев назад
Highlights zenu jameni, tunataka at least 30min. But 10 minutes are not enough. Kuna watu wanatumia wifi hao wanataka dakika nyingi, na Kuna watu wanatumia zile bando hao wako satisfied with hizo 5-10min.
@mussajackson783
@mussajackson783 11 месяцев назад
Nasemaje dhambi za wachezaji wa yanga wapewe mashabiki wa simba😂😂
@EvaMaiko-zp6ld
@EvaMaiko-zp6ld 10 месяцев назад
Ni mwendo wa 5G 2
@berahinoalimas719
@berahinoalimas719 11 месяцев назад
Ngao irudiwe bana😅😅😅
@yussuftaimu986
@yussuftaimu986 11 месяцев назад
Irudiwe kwa kweli😅
@johnabery-vn7eb
@johnabery-vn7eb 11 месяцев назад
Man city ya bongo hii yanga
@user-rr4tk9ty4t
@user-rr4tk9ty4t 11 месяцев назад
Sa highlight gani hii wakuu mb zetu mnatubania
@user-ru7np8ji9p
@user-ru7np8ji9p 10 месяцев назад
😮😮
@JosephMarko-k6b
@JosephMarko-k6b 13 дней назад
Naiman na timu yangu najua haitoniangusha katk msimu huu
@user-pb9rl2wv4n
@user-pb9rl2wv4n 11 месяцев назад
Yanga inaweza kuchez na timu yoyot Africa Kwa stage hii
@user-qb7ye3ke5n
@user-qb7ye3ke5n 7 месяцев назад
Msimamo wa ligi kuu nbs
@zebedayojonathan2257
@zebedayojonathan2257 11 месяцев назад
Raha sana kuwa mwanachi hata kula staki@Kwevo
@user-cf6ly2fn8g
@user-cf6ly2fn8g 5 месяцев назад
yanga Tam jaman😅😅😅
@mrbio48gamingyt
@mrbio48gamingyt 11 месяцев назад
Makolo wana vonza tu😂 Yanga ya GAMONDI 🔥💪🔰
@Noel-lp6ne
@Noel-lp6ne 11 месяцев назад
2peni maua yetu mlisema hua tunabahatishaga hap niwap
@ip_header
@ip_header 11 месяцев назад
Kwa Yanga hii kila mtangazaji ataonekana Bora, maana watu muda wote wanafurahia mabao😅
@user-ho7gr4gq2o
@user-ho7gr4gq2o 11 месяцев назад
Mbn munacherewa kutuma hivyo
@cletuskasonso4925
@cletuskasonso4925 11 месяцев назад
Hii yanga ni hatali nyie aaaa
@stephanocornely130
@stephanocornely130 11 месяцев назад
Daah aloo hii shughuli ya utopolo n nzito sana, hata kolo sijui aliponaje kweny ngao jmn, angekula hata mbili. Mziki wa hawa vyura n nouma sana sio siri
@user-se8gz4sh7l
@user-se8gz4sh7l 11 месяцев назад
yanga mbele kwa mbele
@walengamwamaua-ws6io
@walengamwamaua-ws6io 11 месяцев назад
Raha Kama yote
@user-ex3od8vs7q
@user-ex3od8vs7q 11 месяцев назад
Wananchiiii mambo nimoto 💛💚💛💚
@michaelgibril8594
@michaelgibril8594 11 месяцев назад
Mm NI simba lkn ninafurahishwa na jinsi YANGA WANAVYO CHEZA, HILI NI KABUMBU LA KITABU, @ROBERTIHNO MPAKA SASA SIJAMUELEWA KABISA FALSAFA YAKE. YUPO KAMA MANDONGO TU
@ephremmtuya3094
@ephremmtuya3094 11 месяцев назад
Hongera sana kama kitu kinakupa raha sifia tu maana makolowenzako wanateseka kwa wivu
@MudyAbuu-tx8lw
@MudyAbuu-tx8lw 11 месяцев назад
Wewe unajua sports shabiki wa kwanza wa simba kusema ukwel
@RakimJuma
@RakimJuma 11 месяцев назад
😂😂😂😂,
@HassaniMtunguj
@HassaniMtunguj 10 месяцев назад
😅🎉
@user-ui9dd8yb9q
@user-ui9dd8yb9q 11 месяцев назад
Hii yanga inanifanya nacheka mwenyewe
@hawamohammed6939
@hawamohammed6939 10 месяцев назад
Wewe Joseph Ungewafunga Wewe Usingefurahia Ungelia Kwa Kuwafunga Wacha Roho Mbaya Huo Wivu Basi Nyie Mkishinda Wewe Lia Sawa
@icramnajim626
@icramnajim626 11 месяцев назад
Leta na yako kama hizi zinaonewa😂
@user-nn5sq8ol4g
@user-nn5sq8ol4g 11 месяцев назад
Kumbe jkt walikua rafu hivi
@natashanyagali-sn2if
@natashanyagali-sn2if 11 месяцев назад
Team ndogo sana kwa yanga
@user-go5ei8fb3m
@user-go5ei8fb3m 11 месяцев назад
Mbona cku hizi highlights mnaweka dakika chache kwanini
@Emmanuellobelo
@Emmanuellobelo 11 месяцев назад
Halafu dakika zilikuwa zinakimbia Sana ,au aliyekuwa zamu ya kuendesha saa aliambiwa na JKT akimbize muda
@paulowilliam3319
@paulowilliam3319 11 месяцев назад
huyo refa hamna kitu bora agungiwe tena mbona hayupo makini
@athumanmalongo8403
@athumanmalongo8403 11 месяцев назад
Mnara unaendelea kusoma 5G🔥🔥🔥
@cletuskasonso4925
@cletuskasonso4925 11 месяцев назад
Wana yanga tunanenepa tu mweeeeee
@user-ru7np8ji9p
@user-ru7np8ji9p 11 месяцев назад
Il mbn dakk ndog sn azm kwann
@DaatuKaunde
@DaatuKaunde 11 месяцев назад
Huyo ndio yanga ya gamond bwana kama hutaki, jeuli
@user-gy1rp8wo6j
@user-gy1rp8wo6j 11 месяцев назад
Ndaro famlii❤
@aranikiss6841
@aranikiss6841 11 месяцев назад
Nimefulahi kumuona refaa R jiga
@ramadhanjamali
@ramadhanjamali 11 месяцев назад
Mlizowea kumkaba mayele Sasa mjiulize wenyewe maana kikosi chetu Kila mchezaji anaweza kufunga goli yanga hii ni hatali sana
@allykhamis9246
@allykhamis9246 11 месяцев назад
Bado mapema
@kingibandajembe2247
@kingibandajembe2247 11 месяцев назад
Kwa refa huyu 😮Tanga lazima hashinde
@user-zn5vu5yi1d
@user-zn5vu5yi1d 11 месяцев назад
JKT wasilaumu mtu walitaka wenyewe wametandikwa
@IsmailMakame-yn7ne
@IsmailMakame-yn7ne 11 месяцев назад
Wale madunduk walipataje droo
@LeticiaRichard-zm7co
@LeticiaRichard-zm7co 11 месяцев назад
Yanga balaaa
@SashaOscar
@SashaOscar 11 месяцев назад
Ila Azam 🤔🤔🤔 highlight gn ya dk 4
@Phillips_ki
@Phillips_ki 11 месяцев назад
Et 😂😂😂
@user-vo3kr7rb5p
@user-vo3kr7rb5p 11 месяцев назад
Yan yang ya saiz ni buludan tu
@user-ym9rj6bw7o
@user-ym9rj6bw7o 11 месяцев назад
Wananchi wako salama nyinyi mnaonaje
@azariahmwaikenda
@azariahmwaikenda 11 месяцев назад
yao kawajibu makolo wakadai kapombe kaasist sasa yeye kafunga kabisa
@OurCryptoWorldwide5
@OurCryptoWorldwide5 11 месяцев назад
Tena kafunga na ku asist goli la mwisho la max
@shanmlawa
@shanmlawa 11 месяцев назад
Yao Moto wa makuti msimu bado Nina Iman na kapombe
@matrida.lunyilija5196
@matrida.lunyilija5196 11 месяцев назад
​@@shanmlawaUnaota ndoto za mchana wewe
@josephvenus3259
@josephvenus3259 11 месяцев назад
Hata kuwafunga vibonde mna pasuka mapovu mitandaoni Eh 😂😂😂😂😂 Tulieni hayo kwetu 🦁🦁 Ni mambo ya kawaida Sana
@modelka222
@modelka222 11 месяцев назад
lini mmecheza mechi tatu na mkafunga goli tano tano zote? nyie mtakua kichwani hamko vizuri
@matrida.lunyilija5196
@matrida.lunyilija5196 11 месяцев назад
Yaan madunduka bwana mmewahi kufunga mfululizo goli kama hizo?hebu lete mkeka tuone
@Goodluckmalenga
@Goodluckmalenga 11 месяцев назад
Kwa akili zenu mtaongea mengi
@Rodgers_01
@Rodgers_01 11 месяцев назад
Makolo siwaoni kabisa,,hapo profesa pacome hakucheza 😂
@user-yo6xd5cz2v
@user-yo6xd5cz2v 6 месяцев назад
shuklan
Далее
Я читаю переписки сына
00:18
Просмотров 766 тыс.
Yanga ilivyoichapa Simba 1-0 mbele ya Rais Magufuli
26:37
Messi & Garnacho💔🇦🇷
0:18
Просмотров 9 млн
Knee Slide Fails 😂
0:26
Просмотров 37 млн
Хабиб НЕЖДАНУЛ ФАНАТА #мма
0:32
Просмотров 138 тыс.
ОБХИТРИЛ NIKE НА 3,5 МЛН $🏅
0:48
Просмотров 25 млн