Тёмный

YOUSSOUF DABO aeleza SABABU ZA KUFUKUZWA AZAM FC | WALISEMA SITOFIKA NYERERE DAY| HAIKUWA RAHISI 

bongotzfm
Подписаться 28 тыс.
Просмотров 315
50% 1

INTERVIEW EXCLUSIVE NA ALIYEKUWA KOCHA WA AZAM FC YOUSSOUF DABO.
Aliyekuwa kocha wa Azam Fc Youssof Dabo ameelezea kwa undani maisha aliyoishi akiwa kama kocha kwenya klabu hiyo. Ameeleza mambo mengi kuanzia kuanza kwa mashindano ya kimataifa na ligi kuu ya NBC. Dabo aliiongoza Azam Fc katika michezo 5 ya kimashindano ambapo alifanikiwa kupata ushindi mara 2, sare mara 1 na kupoteza mara 2.
Amezungumzia pia namna alivyokuwa akiona maneno ya mashabiki mbalimbali wa soka nchini ambayo yalikuwa yanamuhusisha na kumtabiria kwamba hatofika NYERERE DAY, na kusema kwamba alikuwa anayachukulia ni mambo ya kawaida kwenye mpira na kuendelea kufocus na project ya Azam Fc.

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1   
@cosmasandrea9
@cosmasandrea9 9 дней назад
🔥🔥🔥
Далее