Тёмный

YUKO WAPI PAUL MAKONDA? MTETEZI wa 'SINGLE MOTHERS', WENYEWE WANASEMA - “WE MISS YOU”… 

Global TV  Online
Подписаться 4,9 млн
Просмотров 26 тыс.
50% 1

YUKO WAPI PAUL MAKONDA? MTETEZI WA ‘SINGLE MOTHERS’, WANASEMA - “WE MISS YOU”…
Likitajwa jina la Paul Makonda, Watanzania walio wengi hukumbuka matukio mengi ya kiongozi huyo aliyepata kuwa Mkuu wa Mkoa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Dar es Salaam.
Mwaka 2014 ndipo jina la Makonda lilipoanza kusikika kwa ukubwa wakati wa kura ya maoni ya marekebisho ya Katiba.
Katika mchakato huo, Makonda alikuwa miongoni mwa wajumbe wa Kikao Maalum cha Bunge waliotumwa kuandaa Rasimu ya Katiba Mpya.
Baadaye alipata umaarufu katika siasa za Tanzania; kwanza akiwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni akiwa ni mteule wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Nne, Dk Jakaya Mrisho Kikwete kabla ya kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Slaam akiwa mteule wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dk John Pombe Magufuli.
Mara kadhaa Makonda ambaye ni mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) alidaiwa kuwa ni mwanasiasa mwenye utata na mara nyingi alikosoa upinzani hasa Chadema.
Akiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alifanya mambo mengi ya kukumbukwa; kubwa zaidi ukiwasikiliza baadhi ya wanawake walipewa ujauzito au kupata watoto kisha kutelekezwa na wanaume maarufu kwa jina la Single Mothers wanasema aliweza kuwafuta machozi kwani wengi wao wanapata matunzo ya watoto kutoka kwa baba zao.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Опубликовано:

 

10 янв 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 77   
@globaltv_online
@globaltv_online Год назад
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@neemanziku5403
@neemanziku5403 8 месяцев назад
Waoooo umerudi waoooo makonda waooooo
@modestaulambale606
@modestaulambale606 Год назад
Ubarikiwe Makonda popote ULIPO, Mungu akulinde na akutunze zaidi
@magesaneema1903
@magesaneema1903 Год назад
🙏🙏🤝
@stephanokanyika6321
@stephanokanyika6321 8 месяцев назад
Alikuwa kiongozi mkubwa sana mkuu wa mkoa lakini ni kama waziri vile alifanya kazi nzuri sana
@abubakarikisuju80
@abubakarikisuju80 Год назад
Kwanza bila makonda hata rais asingefika hapa alipo
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 Год назад
Makonda jembe❤
@helentelemla5623
@helentelemla5623 Год назад
Naamini Makonda ni kiongozi
@edsonisrael8996
@edsonisrael8996 Год назад
Kwa kuwa alivamia clouds ndo awe kiongozi Bora!? Akafie mbelee
@zainabubalama8869
@zainabubalama8869 Год назад
Makonda alikuwa kiongozi mwenye kujituma Alikuwa mchapa kazi Jiji letu la DAR Lilitulia kwa umaili panya road walisabaratixhwa Madawa ya kulevya Wavuta bangi kiukweli tulikuwa tunajivunia uwepo wa Makonda
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 Год назад
Mungu amjalie sana huyu jamaa amefanya kazi kubwa sana dar wamkataetu ila amewasaidia wengu wanyonge wanajua
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 Год назад
Ipo siku makonda atakuwa mkuu wakowa wa dar mara nyingine amini msiamini.
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Год назад
MUNGU ATENDE
@chaucassim4123
@chaucassim4123 9 месяцев назад
Naamini
@zainabubalama8869
@zainabubalama8869 Год назад
Bila Makonda SAMIA asingekuwa Rais wa Tz. Rais Samia amxhukuru sana Makonda Maana ndiye aliyempigia debe bungeni kuwa makamu wa Rais apendekezwe SAMIA.
@calvinshirima2654
@calvinshirima2654 Год назад
Mwamba yupo katuliazake Arusha
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Год назад
Lakini mliwakatili wamama ninyi mliomnyima Nafasi Makonda
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Год назад
Mtu muhimu sana has mkoa wa Dar alifany vingi wengine hat hawawez ila Samia hat hamuon
@avelinamichaelndibayukao5656
Halikuwa kiongozi wakweli kabisa
@harrishussein6992
@harrishussein6992 Год назад
Huyu mtu mhimu sana kwenye hii nchi
@ainesndubula8361
@ainesndubula8361 Год назад
Mama unasema umetuunganisha sawa kama ni kweli bas makondo arudi kazini na sio unawapa chadema nafas huku ukimuacha makonda usipo fanya hivo bas tutajua ni uwago wa kisiasa
@aminamodi8927
@aminamodi8927 Год назад
Mwenyezi mungu akuwekavyo ndiyo UKUWAVYO
@fatmaalwiy7651
@fatmaalwiy7651 Год назад
Sasa mnakumbuka maknda mzuri simlikua mnasema kila kukicha mmejua umuhimu wke
@marymanoni5536
@marymanoni5536 Год назад
Huyu alikuwa kiongozi hasa wa kuiweka sw nchi
@modestaulambale606
@modestaulambale606 Год назад
Makonda, NAMIMI Nakukumbuka Sana Utawala wako, Mungu akukumbuke tena KWA mara Nyingine Makonda wetu, Mungu akuinue tena na tena kama alivyomuinua Yusuph kuwa Waziri
@aishaalbalushaishabalush8291
👏👏🙏
@edwardmakonge6951
@edwardmakonge6951 Год назад
Bado ni kijana atarudi tu acha upepo upite.
@didasseveline9013
@didasseveline9013 Год назад
Wema na ubaya wa mtu anaujua mungu!
@mwajabuyusuph3945
@mwajabuyusuph3945 Год назад
Hata mimi nimemkumbuka
@husseinseif7833
@husseinseif7833 Год назад
Nakukubali
@husseinkakanga2699
@husseinkakanga2699 Год назад
Namkubali sana huyu mwamba
@avelinamichaelndibayukao5656
Makonda ❤️
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 Год назад
MUNGU Atamtokea ni hazina nayeye ni mtu Anahitajika bado ijulikane hivyo
@jumasoli7818
@jumasoli7818 Год назад
Watu wakazi wote wamepukutishwa na mama kaweka Makada wa kumpeleka 2025
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 Год назад
Kabisa aisee
@aishaalbalushaishabalush8291
kweli kabsa yaani
@jumanneallyabdallah9428
@jumanneallyabdallah9428 Год назад
Jamaa makonda kiongoz alikuwa jembe yu kamanda kizur hakidum
@jambo3751
@jambo3751 Год назад
Tamaa imemponza amewacha ukuu wa mkoa kwa kutaka ubunge wa Kigamboni Lakini ndio ilikuwa bora mtaka yote hukosa yote. Makala anafanya kazi sio kwa KiKi Kama huyo Makonda ... Makala ameipaisha Dar mpaka imeshika nafasi ya 6 kwa usafi kwa majiji ya bara la Africa 👏👏.
@saimonsaimon2059
@saimonsaimon2059 Год назад
👍✊
@nasaelmanya1850
@nasaelmanya1850 Год назад
Amejificha kushtakiwa!! Ile kesi yake imekaaje!!!
@lutegobusweru5949
@lutegobusweru5949 Год назад
Hakika Makonda anafaa sana kila sekta
@oscarkasalile3966
@oscarkasalile3966 Год назад
Wewe ni mkuu wa mkoa niliyekupenda sana. Ila acha inyeshe tuone panapovuja
@mbuyaelyaoni6266
@mbuyaelyaoni6266 Год назад
Watu wengi dar ni waongowaongo hivi. Makondo ni hovyo katika viongozi waopita mkoa huo. Hana capacity
@ikulunimahalipatakatifu7642
Kuna zama zitakuja Hawa vijana watarudi kupiga kazi , mchango wao ndani ya miaka 5 ya JPM ni wa kuigwa, unakuta hapa yupo Mzee Makonda, hapa Mzee Pole Pole , Hapa Dr Bashir .. Hawa vijana siwezi wasahau nchi ilikuwa mstari .. Mzee Makonda ww ni nguzo ya Taifa.. ni muda tu , u will be back on the track..
@SaimonTanzaniaTanzania-ty5cz
@SaimonTanzaniaTanzania-ty5cz 9 месяцев назад
Uhakika ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@emanuelwilliam8834
@emanuelwilliam8834 7 месяцев назад
Makonda wewe nikiongozi mzuri sana
@stamelistameli8461
@stamelistameli8461 Год назад
Tunampenda sana
@user-bn1bd1vh5j
@user-bn1bd1vh5j 8 месяцев назад
Duuu mungu anaweza
@dann6295
@dann6295 Год назад
R.i.p
@JohnStephano-vs3yd
@JohnStephano-vs3yd Месяц назад
Mkuu tupo pamoja arusha
@victorphilipo
@victorphilipo 10 месяцев назад
Mimi najua makonda makosa yake Nikipindi arisema wabunge atawafukuza kurandaranda dar salamu
@peacemwesiga
@peacemwesiga 8 месяцев назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 Год назад
Ni nyakati tu.... Mema yapo mabaya yapo... Iwe heri Kwa nchi na watu
@chaucassim4123
@chaucassim4123 9 месяцев назад
Jamani. Turudishieni. Uyu mtu
@MilioneaTv
@MilioneaTv Год назад
Ndo mnampigia debe mtangazaji sifael paul makonda
@ngalamawecheslous9976
@ngalamawecheslous9976 Год назад
Mmmmmh
@jemamhagama4978
@jemamhagama4978 Год назад
Hana jipya huyoi
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Год назад
Kwako,Kwetu analo kuubwa saana
@josephineokama2200
@josephineokama2200 Год назад
Wewe ndo Huna lolote Mimi nilikua namkubali kinoma noma huyu angekua rahisi huyu nchi ingenyooka kama kipindi Cha hayati doctor John pombe magufuli
@jemamhagama4978
@jemamhagama4978 Год назад
Hahah watu wasiojulikana mmewasahau ee ! Kila enzi na enzi zake! Nchi imetulia sasa! Hakuna wasiejulikana wala nini !
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Год назад
Mshahau cio mnamuona mwema leo
@NDEWARA
@NDEWARA Год назад
Mmeanza kumsafisha huyu jambazi😂😂😭
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 Год назад
MUNGU atamyanyua tu
@vaskosamweli3556
@vaskosamweli3556 Год назад
Alisha chukua vyake mapema
@hajiramadhanihaji355
@hajiramadhanihaji355 Год назад
Mpumbavu makonda
@fredrickmwakalinga7882
@fredrickmwakalinga7882 Год назад
Ujinga mtupu wapi Ben sanane na watu waliotupwa kwenye sandarusi
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Год назад
Mmm hao ndo wangetusaidia Wanawake ??
@musakihama7205
@musakihama7205 Год назад
Huna ujualo kaa kimya.
@andrewmuro9805
@andrewmuro9805 Год назад
Makonda anapaswa kuwa gerezani
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Год назад
Na Hatokuwa
@yessemwakibete2458
@yessemwakibete2458 Год назад
@@trophywilson7211 makonda alikuwa kiongozi mzuri lakini kilichokosekana kwake ni hekima na kiasi katika utendaji.kiongozi kwa ujumla unatakiwa kuwa na hekima na kuwa na kiasi yani uwezo wa kujidhibiti.ukikosa hivyo hata uwe mzuri vipi watu wataumia saana ukiumiza watu uzuri wako si kitu.
@manyangumashala466
@manyangumashala466 Год назад
@@yessemwakibete2458 Nimekuelewa sana Simple,uzuri bila hekima ni sawa na bure.
@musakihama7205
@musakihama7205 Год назад
Kuna kipindi nchi ilihitaji watu wasiokuwa na hekima kuongoza,maana hekima katikati ya vita ni upumbavu.
@yessemwakibete2458
@yessemwakibete2458 Год назад
@@musakihama7205 Muda hekima inafit poote sema watu wanadhami hekima mi upole ama ukimya,lakini hekima inabeba,ujuzi ufahamu,busara,maamuzi, na akili timamu.hiyo ndio content ya hekima.ko izo mi siraha hata wakati wa vita.
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 Год назад
Makonda❤️
Далее
치토스로 체감되는 요즘 물가
00:16
Просмотров 3,4 млн
BABYMONSTER - ‘FOREVER’ M/V
03:54
Просмотров 18 млн
치토스로 체감되는 요즘 물가
00:16
Просмотров 3,4 млн