Тёмный
No video :(

#ZaNdaaani 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 276 тыс.
50% 1

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 197   
@mbelwamadiwa3334
@mbelwamadiwa3334 Год назад
Huyo ni job na azam
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Год назад
NA NYIE VIONGOZI KANN HAMUWALIPI WACHEZAJI MISHAHARA YAO? NA HUO UBINGWA UTAOUPATAJE? JAMANI WANATUMIA DAMU WACHEZAJI.
@nixnovember
@nixnovember Год назад
Momo Romano. Keep it up Brother. Tunakuonaaaaaaa🤜🏿
@blackothman7332
@blackothman7332 Год назад
Kuna mpumbavu apo anaulizwa vilabu viko vingapi et anajibu viwili halafu mchambuzi😄😄😄
@linuskyando4155
@linuskyando4155 Год назад
Simba haoooo!!!
@user-rw6iz6dc7s
@user-rw6iz6dc7s 8 месяцев назад
Huyu bwana ni muongo kupindukia habari zake sio za kweli
@ayubukedimundi3221
@ayubukedimundi3221 Год назад
Daaaaa Tupe iyooo bhana
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 Год назад
Wachambuz wa soka hapo hakunaaa kitu
@mzeeomary5780
@mzeeomary5780 Год назад
Chama huyo
@josephchuwa1206
@josephchuwa1206 Год назад
Ngada weee lipeni mishahara wachezaji wenu.🤣🤣🤣🤣
@abdurikalimu
@abdurikalimu 7 месяцев назад
Azizik za ndaannnn
@abdurikalimu
@abdurikalimu 7 месяцев назад
Azizik kii uyo mpkanleo kagoma kuongeza mkataba
@reillahabiba9923
@reillahabiba9923 Год назад
AISHI MANULA TO AZAM
@ramadhanrashidmthailand713
@ramadhanrashidmthailand713 Год назад
Chama akiondoka sjui viongozi watatuambia nn ili tuwaelewe!
@classicboyrahib903
@classicboyrahib903 Год назад
Ipo hivi Azam walikuwa kwenye mazungumzo na Inonga na Manula sasa Simba walishtuka wakamuwahi kumuongezea inonga mkataba na mahitaji yake wakamtimizia bado Manula sasa ndo hapo Kama umesikia mzee wa kudere kasema mmoja wamemuwahi😁
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 Год назад
Mkae mkao wa Kula Azam wanambeba Chama na manula
@yohanakayinga9279
@yohanakayinga9279 Год назад
Mayele wewe
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j Год назад
@@classicboyrahib903 hata chama
@yohanakayinga9279
@yohanakayinga9279 Год назад
Umewapa pesa za mishahara mpaka wahanngaike kukwambia ww nani nani unatoa sh ngap 😀😀
@isayaluvanda8470
@isayaluvanda8470 2 месяца назад
Wewe nimuongo sana huna rorote mmekunywa supu mnaropka hovyo
@FaisalSadulu
@FaisalSadulu Месяц назад
Shabalala
@salumujaibu8697
@salumujaibu8697 Год назад
Nakubali sana 😂😂😂😂
@renatushaule
@renatushaule Год назад
"MWENGINE" "MWINGINE"
@eliamunisinkya5169
@eliamunisinkya5169 Год назад
Manula hyo naa aslmia 100%
@sholdaniemmanuel8684
@sholdaniemmanuel8684 Год назад
manura amesha sinya hadi 2025
@eliamunisinkya5169
@eliamunisinkya5169 Год назад
@@sholdaniemmanuel8684 skia kauli yke mwishoni alishapta hapo afu unganisha na azam wanatatzo gan aswaa
@salvatorymbigili7895
@salvatorymbigili7895 Год назад
Kapombee
@thomasluhanga6439
@thomasluhanga6439 8 месяцев назад
Macha
@TwalibuAlbaamiryShoka
@TwalibuAlbaamiryShoka 8 месяцев назад
Aish Munula
@geraldbenjamin9302
@geraldbenjamin9302 Год назад
Umeshasema timu zamani ilikua inalipa mapema, na mchezaji wao mmoja wamememalizana, bado unataka kupewa code gani tena hapo? Hao ni Ihefu( hahaha)
@lumistarboy8499
@lumistarboy8499 Год назад
Makolo na hapo ni chama Inonga tayari
@OswardMwambete-en5uk
@OswardMwambete-en5uk 2 месяца назад
Mwamnyeto kendal Sc
@abdallahakida7908
@abdallahakida7908 8 месяцев назад
Mhhh mambo ya mbumbu mchezaji yupi atanyimwa mshahara miezi mitatu labda hatakiwi tena
@eddiemay547
@eddiemay547 8 месяцев назад
Hao ndo waandishi wa tanzania
@kanyikamasika3628
@kanyikamasika3628 Год назад
Inonga kawahiwa ila chama yupo mguu ndani mguu nje
@user-lb6my9qs5c
@user-lb6my9qs5c Месяц назад
Kagoma yusuf
@MarkoMgaya-xv3qd
@MarkoMgaya-xv3qd Год назад
Chama asepetuu
@daudkhatib4678
@daudkhatib4678 Год назад
Ndio. Kazi. Zenu. Umbra. Kama. Wakezeni. Wachakuku. Watupuu
@mohamedjeizan5929
@mohamedjeizan5929 Год назад
Utopolo ndio hawalipi mshahara
@saimonijonas1471
@saimonijonas1471 Год назад
Umekaririshwa bila kufanya uchunguzi.nikusaidie ili uumie sio uelewe. Simba wamemuwahi Inonga bado Chama.Inonga alitaka kuondoka dakika za mwisho wakamuwahi.
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Год назад
UTOPOLO VISHAHARA VYAO MKIA WA MBUZI HAWASHINDWI KULIPA.
@muddyville
@muddyville Год назад
Yanga hainaga shida hiyo sasa hivi. NGADA ndo kuna changamoto.
@ShabaniMchela-zx4ln
@ShabaniMchela-zx4ln Месяц назад
Ukweli mtupuhapa
@jailosibrahim88
@jailosibrahim88 Год назад
Hata mm naijua hiyo chama anataka kwenda azam baada ya kushindikana kwa inonga
@f.a6043
@f.a6043 Год назад
Labda Utopolo 🐸🐸🐸👈🏿😂 na manyele wenu🐸😂 Uto - manyele =🐸 👈🏿🤣
@jailosibrahim88
@jailosibrahim88 Год назад
@@f.a6043 mbona unatumia nguvu kubwa kwan shida iko wap
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 Год назад
Chama huyo ni kweli kabisaaa Ushafungua code kaka
@sadamramadhan9887
@sadamramadhan9887 Год назад
Peleka umbea daimondi kanunuwa marehenu baba ako kwa ajili ya uchawi hilo jamaa punga
@samiusiraj6769
@samiusiraj6769 Год назад
Daaah
@husseinkassimu2714
@husseinkassimu2714 Год назад
We dogo ni mshamba tu coz unajificha ficha ww niutopolo tu kama utopolo wengine kua free acha kujificha tunakuchukulia kama punga jiachie acha uzezeta
@AmaniHittu-qm1fx
@AmaniHittu-qm1fx 2 месяца назад
Mwamba anajua
@PharmacistGoodluckMdugi
@PharmacistGoodluckMdugi Месяц назад
Muongo sana we jamaaa
@mgongolwajoseph6901
@mgongolwajoseph6901 Год назад
Chama wakawaida
@bbclondonulimwenguwasoka6126
Kama Kuna timu ya namna hiyo ni wapuuzi sana , matajiri uchwara waondoke timu ibaki pekee c mashabiki tubaki huru na timu yetu.
@davidmyale9496
@davidmyale9496 Год назад
Ukibaki huru na team yako utaipa pesa ww 🥱
@user-uv2uo2ic2y
@user-uv2uo2ic2y Год назад
saluti kwako kado momo
@eddsonjeremiah6669
@eddsonjeremiah6669 Год назад
Simbwa hiyo mbona tushajua
@f.a6043
@f.a6043 Год назад
🐸🐸🐸🐸 machura yanalia tu
@samwelrevocatus1218
@samwelrevocatus1218 Год назад
Hizo za ndani mbona zinatisha kama ni kweli
@Elizabeth-fu3ze
@Elizabeth-fu3ze Год назад
Hawana cha maana cha kuongea ktk mipira ya bongo! mishahala sasa sisi ndiyo tunawalipa!si muwambie viongozi mafumbo ya nini wewe mwanaume
@issajuma8297
@issajuma8297 Год назад
Umbea waachie wadada aupendezei unaongea vitu bila ushaid udada uo
@aminaally7622
@aminaally7622 Год назад
Kama ni kweli azam wana ushenzi wa hali ya juu cjui kwann wametuanza cc kwa fei sahv wanaingia kwengne wanakera hawa jamaa kisa wanahela
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 Год назад
Mpira pesa mbwa ww
@aminaally7622
@aminaally7622 Год назад
@@afterfull-time1348 mbwa baba ako na mama ako waliofanya umbwa wqo wakakuzaa ww mbwa mtoto shenzi kahaba uso mteja
@suzancharles1639
@suzancharles1639 Год назад
Ngoja wapigwe kwenye mshono😂😂😂😂😂
@mussammanga7791
@mussammanga7791 Год назад
Azam hawana pesa,kama wanapesa kwanini wasiende kwa Yanga wakamchukuwe Fei na baadala yake wanafanya mizengwe kumchukuwa mchezaji kweli wana pesa haooo!? Hahahahahaa!
@askwarysiay635
@askwarysiay635 Год назад
Kweli Azam hawana hela wabakia kama vibaka wanawasubiri wachezaji uchochoroni🙈
@f.a6043
@f.a6043 Год назад
Wacha kelele zako za chura ww🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸👈🏿😂😂😂 kwa vile utoh wamepata changamoto unadhani ni kila team
@mikidadijoseph5612
@mikidadijoseph5612 Год назад
Kolo mtalia
@jumanneyakuti3218
@jumanneyakuti3218 Год назад
Diksoni job ,,🤣🤣🤣huyooo
@nationalparkofafrica2184
@nationalparkofafrica2184 Год назад
jamani Mayele kama akiondoka yanga 🙆🙆🙆🙆
@focusernest5610
@focusernest5610 Год назад
Ni Simba syo yanga na ni chama
@hoseaemanuel3528
@hoseaemanuel3528 Год назад
Kapombe
@joviignus1674
@joviignus1674 Год назад
Manula uyo
@elishaelisha6755
@elishaelisha6755 Год назад
Ricardo momo,,,,
@abubakarishariff8489
@abubakarishariff8489 Месяц назад
Uyo ni fei na anatua simba
@user-tw9nc5cq2t
@user-tw9nc5cq2t 7 месяцев назад
Singida je huyo mchezaji ninani
@barakamando2706
@barakamando2706 7 месяцев назад
Mwandishi mkuda huna lolote
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 Год назад
Anawaongopea mjinga huyo
@EnockSDady
@EnockSDady Год назад
Manula huyo Bai Bai simba
@emmanuelhosea370
@emmanuelhosea370 Год назад
Kakolanya huyo...😀😀
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 Год назад
Una Akili sana
@edwardmahela6225
@edwardmahela6225 Месяц назад
Kibu denes
@jacksonmartin8485
@jacksonmartin8485 Год назад
Mhhhhh chama huyo
@classicboyrahib903
@classicboyrahib903 Год назад
Ipo hivi Azam walikuwa kwenye mazungumzo na Inonga na Manula sasa Simba walishtuka wakamuwahi kumuongezea inonga mkataba na mahitaji yake wakamtimizia bado Manula sasa ndo hapo Kama umesikia mzee wa kudere kasema mmoja wamemuwahi😁
@nickdr_tv
@nickdr_tv Год назад
CHAMA....
@rahimmarions5712
@rahimmarions5712 Год назад
Manula huyo
@user-uv2uo2ic2y
@user-uv2uo2ic2y Год назад
ila wewe kado momo una nifulahisha
@ibrahimngirini8737
@ibrahimngirini8737 Год назад
Wakubal wasikubali wewe Mzee wa kudere ndo Fabrizio romano wa bongo
@samirysharifu8649
@samirysharifu8649 Год назад
manura
@jrkessy3011
@jrkessy3011 Год назад
#simba hiyooo
@f.a6043
@f.a6043 Год назад
Machura 🐸🐸🐸🐸🐸yanalia tu
@almasiahmed547
@almasiahmed547 Год назад
Huyo ni chama poleni cmba ila c MNA saidoo anaweza kufanya kazi za chama
@exestusidaudi7385
@exestusidaudi7385 Год назад
Dickson Job
@husseinkassimu2714
@husseinkassimu2714 Год назад
Wala simba hawana shobo zakijinga wanafanya biashara ya mchezo wa mpira timu ikifika bei kwa mchezaji wanamtoa tu hawana ushamba kama huo wakuzuia rizki za watu stupid we
@mussammanga7791
@mussammanga7791 Год назад
Umenuna lako hilo.Karibu mtapitisha bakuli.hahahahaaa!
@matesobuhuru2020
@matesobuhuru2020 Год назад
Kakolanya!!
@eddiemay547
@eddiemay547 8 месяцев назад
Wajinga wapumbavu
@lucasbatano333
@lucasbatano333 Год назад
Ukute kapombe
@arsenalic23
@arsenalic23 Год назад
Code imesumbua ila tumefungua. Azam ilitaka kuchukua Inonga na chama ila Simba wamewahi kumuongeza mkataba Inonga. Chama bado hajaongezwa na mkataba wake umebaki miezi 6. Kisheria anahaki zote kuzungumza na timu nyingine
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Год назад
@@arsenalic23 LAKINI WAO WANASEMA KUHUSU MISHAHARA HAWALIPWI MIEZI 3 SIO KUHUSU KUONGEZA MIKATABA.
@nizarkasam610
@nizarkasam610 Год назад
Job byee byee
@uwembatvonline
@uwembatvonline Год назад
Kimba hiyoooo 🤣🤣
@ashasaidi1895
@ashasaidi1895 Год назад
Manula ameongeza mkataba wa miaka mitatu msimu uliopita kwa tsh ml 300 bado miaka miwili nanusu chama nae bado miezi 20 mkataba wake kumalizka hzo story tu za mitandaon hazina ukweli
@OswardMwambete-en5uk
@OswardMwambete-en5uk 2 месяца назад
Mwamnyeto kendal Sc
@user-ox8pc5wu7u
@user-ox8pc5wu7u 7 месяцев назад
Huyu jamaa ni muongo sana ebu tafuta njia ingine ya kujipatia umaarufu.manara na huyu jamaa would fe wAko sawa
@amannesphory7343
@amannesphory7343 Год назад
Manula huyo
@VMGAfrica
@VMGAfrica Год назад
Mlete #Bangala #Simba Imeishaa Hyo
@davidpyc2392
@davidpyc2392 Год назад
Mtabaki kusikiliz nchi zingine zikiendelea kimpira zaidi kuliko nyinyi baada ya kuwekeza katika uzalishaji wa vipaji kupitia academy zenu mnabaki kunyemelea wachezaji ambao hawatawez wasaidia kwa muda mrefu na wanao wapa gharama kubwa hongereni mtibwa sugar kwa kuwasaidia vijana wa Tanzania kuijua thamani ya mpira sio kubeba makombe bali kutengeneza watu watakao saidia kukuza mpira nchini🤝
@afreemanonline8226
@afreemanonline8226 Год назад
Hii msg watumie hiyo club yako nayo isinunue ikuze vibaji kwn shida iko wapi
@frankhoffa8356
@frankhoffa8356 8 месяцев назад
Wenawe! Sijui nikujibu nini
@lazarolugwisha5524
@lazarolugwisha5524 8 месяцев назад
Baka , job, kibwana , kibu umewazalisha wewe
@josephwayesu338
@josephwayesu338 7 месяцев назад
Ligi zote kubwa duniani azitumii wachezaji wazawa ww mpira umeanza kufatilia mwaka gani katika ligi zipo timu ndogo kazi yake kufanya ivyo.lkm kilabu kubwa zote zinatazama makombe nasio kumfundisha mjezaji kujitambua.ukitaka mabadiliko nilazima ukubali kushindana.usijisifu unambio msifu na anae kukimbiza maana usingejuwa Kama unambiao kaka jifunze Kisha ndio coment
@felixbenos6365
@felixbenos6365 Год назад
Chama kuja yanga
@emmanuelgodfreylotti8684
@emmanuelgodfreylotti8684 Год назад
Sure boy uyo from azam to yanga
@davidjohn540
@davidjohn540 Год назад
Mmoja Fei Kisha wahiwa bado Mayele
@Veni584
@Veni584 Год назад
Chama
@mussammanga7791
@mussammanga7791 Год назад
Kwahiyo Fei ameshatambulishwa Azam?
@askwarysiay635
@askwarysiay635 Год назад
Fei hatoki ng'o mtasubiri sana
@Tchidymbanga
@Tchidymbanga Год назад
Fei toto Azam kuziba pengo Akaminko, Akaminko na Kipre Jr Yanga, Chama Azam weka kumbukumbu vizuri. Sijui nani kaumia 😂😂😂?
@mwitahassan1934
@mwitahassan1934 Год назад
Anamzungumzia chama aliewahiwa ni inonga yeye keshasain
@obedpeter6874
@obedpeter6874 Год назад
Mpole kuja simba
@Myplusbee
@Myplusbee Год назад
Ni timu moja tu hapa siku za nyuma ilikuwa inapanda ndege lakini hivi sasa Wachezaji wake wanapandishwa kwenye Eicher kutoka Dar hado Bukoba!! Kwanini tuoneane aibu kuambiana ukweli bhana!!!
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 Год назад
Acha zarau
@Myplusbee
@Myplusbee Год назад
@@malopemaliyamungu5243 Dharau kwa nani Kiongozi?!
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 Год назад
@@Myplusbee Eicher anapandishwa Nani? Hiyo haipo haijawahi na haitatokea.
@damarygaratulu9135
@damarygaratulu9135 Год назад
Huyu jamaa na domo Lake kubwa muongo kinoma
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 Год назад
Kati ya watu wajinga ktk hii tv ni huyu jamaa! Maana anajifanya anajua Sana! Ni upumbavu mtupu.
@eleoncejohn3823
@eleoncejohn3823 Год назад
Hyo ni Geita Gold.
@dullywa9973
@dullywa9973 Год назад
hapa ndo kuna tetesi za ukweli aise 😂😂momo salute aise
@sebammari5443
@sebammari5443 Год назад
Mmoja kawahiwa ni Feisal aliyebaki Mayele
@jonaskabonda741
@jonaskabonda741 Год назад
Inonga kawahiwa bado Chama
@francismwaipopo5046
@francismwaipopo5046 Год назад
Makolo hao, Inonga wamemzuia bado wengine hasa Manula
@cat-kr1ro
@cat-kr1ro Год назад
Manula au zimbwe au kapombe
@wakatv3704
@wakatv3704 Год назад
Huyo ni sakho tuna jua hilo
@DM_15
@DM_15 Год назад
Kamasio kapombe au manula
@mirajilimited8563
@mirajilimited8563 Год назад
Www mwongo kama simba, yang, azam hakuna
@deboramartin8111
@deboramartin8111 Год назад
Chama huyooo tunajua kitamboo
@AishshibnShibani
@AishshibnShibani Месяц назад
Nimayele
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Год назад
HUYO MCHEZAJI AKITOKA TUU HAPO MTATUANBIA KM HAMLIPI MNAFIKIRI WANAKULA NN? NA MNAFIKIRI WATAJITUMAJE KM MTU ANA MAWAZO? NA PIA FAMILIA INAMTEGEMEA.? NDY MAANA TIMU CK HIZI HAIFANYI VZR. WACHEZAJI HAWAJITUMI. TUTABAKI KUWALAUMU WACHEZAJI KUMBE NI KOSA LA UONGOZI. HAWA WACHEZAJI WANATUMIA DAMU REKEBISHENI HILO.
@johnzege209
@johnzege209 Год назад
Tshabalala
@bulugubujashi6378
@bulugubujashi6378 Год назад
Ni Dickson job huyo
@erickbenedict4943
@erickbenedict4943 Год назад
Uyo mchezaji alishawahi kupita kwenye hiyo club,momo akajibu alipitaaa.....Manula no doubt
@zakariadouglas6275
@zakariadouglas6275 Год назад
Halafu akasema huko kwingine washamaliza
@kasigehamisi7802
@kasigehamisi7802 Год назад
kapombe jee
@kennyndessa2039
@kennyndessa2039 Год назад
Air manula
Далее
SPONGEBOB POWER-UPS IN BRAWL STARS!!!
08:35
Просмотров 20 млн
C’est qui le plus fort 😂
00:18
Просмотров 9 млн
Bob c reponn sr Laura
10:07
Просмотров 9 тыс.
Dalili Za Mwanaume Anaekupenda Kwa Dhati
6:19
Просмотров 329 тыс.
KULA 'APPLE' BAADA YA NUSU SAA- PROF. JANABI
2:47
Просмотров 15 тыс.