Ntaanza kushabikia bongo nikiona taarifa za usajili zinakamilika....team inatangaza mchezaji kanunuliwa lakini haiweki bei wala mshahara wa mchezaji.. so stupid kwa TFF.
Mhh na wewe umechochora kweli kweli FEISAL anamkataba wa miaka sio mwaka mmoja jaribu tena kwanza huenda ukapatia vyema ila kwa Feisali umekosa aisee😂😂