Тёмный

ZUCHU ALINIPA MILLION 25 /KUONEKANA KWENYE VIDEO YA NYUMBANDOGO. 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 81 тыс.
50% 1

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

30 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 97   
@petermbulusave8932
@petermbulusave8932 3 года назад
Nampenda masha JMn mungu ndo anajua mnaomchukia piten kushoto mnaompenda gonga like apa
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 3 года назад
Jamani tubuni,tubuni,tubuni,Yesu anarudi,anarudi,anakuja kuchukua watu wake,ebu tutubu na kuacha maovu
@anuaralmas8620
@anuaralmas8620 3 года назад
2najua man
@kidoh_tz
@kidoh_tz 3 года назад
Kahubili kanisani na mitaaani sio RU-vid
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 3 года назад
@@kidoh_tz tubu na uache maovu Yesu anarudi asipopokuta tiyari jehanum inakuita,huna mamlaka ya kunambia nihubiri wapi aliye juu yangu Yesu Kristo ndio ana mamlaka ya kuniamuru nihubiri wapi.
@AhmedSalah-ri3es
@AhmedSalah-ri3es 3 года назад
Million 25 waijua ww zuchu akupe tu kisa video endeleeni kuongeza 0
@allychoum9806
@allychoum9806 3 года назад
Hata mimi sijakubali
@nurdin.mndeme3447
@nurdin.mndeme3447 3 года назад
why Masha ako na aibu hivi ! na navyoongea hivi - ni Masha kweli huyu - dah afu mrembo sana , adi nampenda aise
@hamisaadamu8099
@hamisaadamu8099 3 года назад
Una magari 2 ya ghalama alafu unaishi nyumba ya kupanga kwamwez milioni 1 daah Y usi nunue kiwanja ukajenfa nyumba hata ya vyumba viwili
@malekahmm7502
@malekahmm7502 3 года назад
Niwajinga awa kiki tu
@frankngoloka2589
@frankngoloka2589 3 года назад
Sio ujinga ni kujipangia maisha,nenda Zambia mtu yuko na magari zaidi ya mia,lakini anaishi kwenye nyumba za kupanga
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 года назад
Nyumba ni muhimu sana
@fatushabdi2786
@fatushabdi2786 3 года назад
Kwaza nyumba kisha gari ndio mpango mzima
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 3 года назад
Kwa_nini_huvai_Sidiria?_Unakera_Uislam_gani_Mlonao_Msivhafue_Din
@yasseeryyazzeedy2257
@yasseeryyazzeedy2257 3 года назад
👙
@SAM_163
@SAM_163 3 года назад
We unauislamu gani? Unakuja kuangalia video hizi za wasanii ulitegemea kuona jubaaaa??😎😎 Unafiki😎😎😎😎
@Ann-vr7ti
@Ann-vr7ti 3 года назад
@@SAM_163 alitegemea kuona alshabab au Osama
@wisperfect5320
@wisperfect5320 3 года назад
Uisilamu peleka msikitin
@agnessmsacky6657
@agnessmsacky6657 3 года назад
Siyo Kila wakati nikuvaa blazia kwa maziwa makubwa
@zaitunirashidi5532
@zaitunirashidi5532 3 года назад
Diva maswal ya kumchora mwenzio🤣🤣🤣
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 3 года назад
Uongo_Mtupu_unaongea
@salehkhamis8653
@salehkhamis8653 3 года назад
We masha ukapimwe akili umesikia wapi wanaume waowe wanawake wa 5 au kumi acha kukufuru kama hujui kuongelea mambo ya dini bora tulia2
@ahmedanwar1210
@ahmedanwar1210 3 года назад
Mara wampenda Patrick mara uko na mwanaume wako Yani wanawake wa bongo MNA penda Kiki sana
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 3 года назад
Wewe dada acha uongo hatujaruhusiwa kuoa zaidi ya wanne au kumi.mwisho ni wanne tu
@milasbaibe307
@milasbaibe307 3 года назад
Huyu Dada zaidi ya chizi kichaa 😂😂😂😂
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 года назад
Una mafua acha mambo ya mitandaoni sana binti
@wlkmwlkm2174
@wlkmwlkm2174 3 года назад
Mapuwa mzur
@Mku-wa-waku1
@Mku-wa-waku1 3 года назад
🙉🙉🙉🙉🙉🙉, wanaume tunapitiya mengi🙊
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 года назад
Mashaallah Bi. Masha... Sasa ndio tunauwona uzuri wako...Usigombane Masha.
@mararegiononline3457
@mararegiononline3457 3 года назад
Unajifanyaga chizi ila unajua kujieleza sana. Nimependa Interview
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 года назад
Anajuwa kuzungumza.. Chizi anapokaa na machizi tuu 🤣🤣🤣🤣🥳🥳🥳
@bicesamweli8422
@bicesamweli8422 3 года назад
VP wewe
@chrismwanakwetu3677
@chrismwanakwetu3677 3 года назад
watu wa serikali wanataman kufanya kazi wasafi sababu kunamanufaa yanayoonekana Mimi pia Diamond oyee
@fatimamowa8166
@fatimamowa8166 3 года назад
Mhhh masha bwana drama qween kama sie yeye ila nampenda 😂😂😂
@ashahassan2120
@ashahassan2120 3 года назад
Masha wewe mrembo nakupenda sana shonga yangu
@mwanaishazain7985
@mwanaishazain7985 3 года назад
Nawasiwasi ba uiamu wako. Unatakiwa astaghafiru kabla laana ya Allah haijakushukia. Kusema uongo kwa njia ya uislamu ni laana. Nawewe ni Laanatu Allahu. Hujasoma chuoni aliyesema haizulii dini uongo. Waislamu wanaume wameruhusi kuowa mke mmoja, wawili, watatu ama wanne kwa Mwenye uwezo. Na uwezo hapa, kuwatunza wao na watoto watakao jaaliwa. Sasa hiyo namba yako Masha imenitoa kwenye sini yako wewe sio ya kiislamu. Mtake msamaha Mola wako na ushinde ama fii nari jahanam. Allahu aalam.
@mussamivache4986
@mussamivache4986 3 года назад
Sasa c ujenge magali yatawauwa
@athumanindyema2302
@athumanindyema2302 3 года назад
Yani wasafi kwa kiki zuchu akupe milioni ishirina tano mav
@alisaid5378
@alisaid5378 3 года назад
Hhhhhhhhhh
@treestem9081
@treestem9081 3 года назад
Wachana na maisha yao waiendeshe jinsi waipedayo. Ya ulaya in bofu na tunazila tu ila bora ya Afrika tunaiacha. Hongea binti kwa kuamwadilifu kwa uhusiano wao. Kaa make mwenza.
@bahatimellita6619
@bahatimellita6619 3 года назад
25 mmhmh muongooo huyuu mwenyewe m25 ni wewe njaaa tupuuuuu huyuu
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 года назад
Jamani kwanini muongo...
@abdulialiy5411
@abdulialiy5411 3 года назад
Uongo mtupu mm Wasafi ila Leo umekuja kutusifia alafu uongo mwingi sana
@stargalke2625
@stargalke2625 3 года назад
Huyo mwanaume anasema ni yule alimwambia ana nyonyo kubwa ni kama ananyonyesha majambazi😁😁
@rachealkalume7028
@rachealkalume7028 3 года назад
😅😅😅
@henureckemmanuel8469
@henureckemmanuel8469 3 года назад
Nashindwa kuelewa mme wake ana hela Kodi inaisha then Mondy anapigiwa simu alipe aache uchawa uchwara
@oyay2821
@oyay2821 3 года назад
Uongo angelipa nyumba mwanzo iliomshinda mpaka akatolewa
@fatimamowa8166
@fatimamowa8166 3 года назад
Mwambie akapime korona jamani
@maisaramaulid4668
@maisaramaulid4668 3 года назад
Masha anabahati sana mastar hko wanahaha lkn yy namaziwa yke ndy anapendwa htr
@jacklinengozi2794
@jacklinengozi2794 3 года назад
Happy to watch your interview Masha .💖💖
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 года назад
Maajabu hayo huna kazi ya kufanya kazi ndiyo hiyo mjinga wewe kivuruge
@amourdelicieuse2961
@amourdelicieuse2961 3 года назад
Mhongoo mtupu sana ni danga huyu amuna kitu Diva muvaee😷😷 mjikinze na covid-19
@syphroseshazala6854
@syphroseshazala6854 3 года назад
🔥🔥
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 3 года назад
Dah! Hatariiii hongera sana *Masha love* Nimekupenda bure 😘😍
@nurdin.mndeme3447
@nurdin.mndeme3447 3 года назад
diamond !! aise Mungu ambariki sana huyu kaka , Allah ampe umri mrefu wenye furaha na afy tele
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 года назад
Wanaume jamani dah! Hizo pesa bora awawekee watoto wake bank
@dan_platnumz8790
@dan_platnumz8790 3 года назад
Masha love kumbe unatulianga saa zingine, hongera unaweza ukawa mke mwema
@christopherfadhili5312
@christopherfadhili5312 3 года назад
Watano kumi😂😂😂
@swaumimmam4228
@swaumimmam4228 3 года назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙊
@wlkmwlkm2174
@wlkmwlkm2174 3 года назад
🤣🤣🤣chizi masha ww milion ngapi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ayoubpapiy4712
@ayoubpapiy4712 3 года назад
Kwaiyo unagari ila nyumba huna"! Pumbavu weee"
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 года назад
Mambo kidogo kidogo. Watu wengi wana magari lakini wanakaa nyumba za kukodi..
@madamloveness7274
@madamloveness7274 3 года назад
Tubuni maana dunia Ina mwisho wake .
@kidoh_tz
@kidoh_tz 3 года назад
We umetubu ama bado😂😂😂😂
@rahmahkanze2903
@rahmahkanze2903 3 года назад
Wanaume masha kawaongezea idadi ya wanawake wa kuowa
@suleshm4627
@suleshm4627 3 года назад
😂😂😂😂Mpaka kumi sasa
@OfficialA83640
@OfficialA83640 3 года назад
Don muongo huyu mengine dah
@nazmaabdullkarim8022
@nazmaabdullkarim8022 3 года назад
Masha muongo😅😅😅
@aishaabdallah8963
@aishaabdallah8963 3 года назад
Vizuri my der
@judithsidi1087
@judithsidi1087 3 года назад
Wewe mtangazaji kwani ni kila mtu unaongea nae kizungu
@dan_platnumz8790
@dan_platnumz8790 3 года назад
Ahahaha, kwani Masha hakielewi ama😃😃
@ommymehmed8880
@ommymehmed8880 3 года назад
kupenda ni upofu kweli
@josianerugema3964
@josianerugema3964 3 года назад
Masha anawumwa sorry ❤️
@zenadaudzena2849
@zenadaudzena2849 3 года назад
Corona
@happymrema6728
@happymrema6728 3 года назад
Acha kiki
@constanciapeter2497
@constanciapeter2497 3 года назад
Mmmh...!!!
@ramakimolo125
@ramakimolo125 3 года назад
Don mashaa
@hamisihamisibanda7573
@hamisihamisibanda7573 3 года назад
Masha manyonyo
@gazebopesambili3150
@gazebopesambili3150 3 года назад
Uyu masha jamani staki kuongea uwongo simpendi yani hajanifanyia chochote ila nafsi tu
@angelbwija9547
@angelbwija9547 3 года назад
Masha ma nyonyo nyumba ndogo 😍😍😍😍😍😍😍 mpole sana ,pole na mafua masha wangu ❤
@mbarikiwambarikiwa3988
@mbarikiwambarikiwa3988 3 года назад
Ila wanaume ni wa moto aisee, na hilo nyonyo ndo lililomvutia hyo mwanaume.
@fhgggffhg7721
@fhgggffhg7721 3 года назад
Eerr
@elarifmohamed5681
@elarifmohamed5681 3 года назад
Fatasique
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 года назад
Toka lini penzi likagawanyika hata kama sheria za dini la kiislamu ni kuuoa wanawake wengi
@k4mlokole588
@k4mlokole588 3 года назад
Milioni 25 mhhhh
@abbacali720
@abbacali720 3 года назад
usilolijuwa ni kuwa mwanamme sio mwanamke
@saidbanga
@saidbanga 3 года назад
@@abbacali720 Jibu Zuri sana Lenye Maelezo Yote
@fabricehakimana3100
@fabricehakimana3100 3 года назад
Acaushamba wakinjinga
@MtuSafi
@MtuSafi 3 года назад
@@k4mlokole588 muongo huyo
@florahamani5043
@florahamani5043 3 года назад
Patrick na masha wapi na wapi sasa
@jammomasaai4764
@jammomasaai4764 3 года назад
hahahahaha kweli wasafi
Далее
Dalili Za Mwanaume Anaekupenda Kwa Dhati
6:19
Просмотров 378 тыс.
Tazama Video Hii Kabla Hujakuza Mashine Yako
6:26
Просмотров 61 тыс.
Taarab: Mwanamke hulka
13:54
Просмотров 1,2 млн