Sio mpenzi wa taarab. Lakini hii nyimbo ilikuwa moja kati nyimbo pendwa marehemu Mama yangu alikuwa anapenda sana kusikiliza. Kila siku nikifika hapa, ni kama namuona akiimba kila jumapili akifanya usafi na kunikimbiza 😂kwa kukanyaga alipo deki!!! Akisimama na kushika mfangio kama MIC, na kuimbaa.. Namfata nakumjoin mpaka nikaijua nyimbo.. Ahsante Mwanahawa Ally kwa kunipa kumbukizi ya marehemu Mama yangu.. Alikupenda sana. ❤❤
Bora uzindukane usiifate dunia tu ina mwisho wake na pesa vile vile rudi kwa Mola wako wengi walikuepo na umaaruf na sauti nzuri na nyororo lakini leo hawapo weshafika mbele ya haki, tahadhari usighururike na pumzi hapo ulipo tena bora urudi na uombe msamaha kwa Mola أنا الله غفور الرحيم
Namsikiliza mwanangu Mwanahawa Ally nikiwa k'koo mtaa wa Amani na Jangwani. 16-07-2023 Saa 9:58 Am Taarabu nzuri zilianza kupotea Mwakan 2009 kushuka chini Gonga like km wamkubal Mwanahawa Ally