Тёмный

KOCHA WAZAMANI WA SIMBA- TALIB HILAL AMEMKATAA KOCHA FADLU DAVIDS!! HANA SIFA ZAKUINOA SIMBA HII 

LIKE MEDIA
Подписаться 29 тыс.
Просмотров 5 тыс.
50% 1

Развлечения

Опубликовано:

 

3 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 19   
@deogratiusvalentino6248
@deogratiusvalentino6248 2 дня назад
Sven alifika hakuna anayemjua na akaomdoka Simba akiwa kocha bora sana. Sometimes tunapaswa kusubiri wakati utaongea. Vicente Kompany alikuwa Burnley timu ikashuka daraja lakini bayern wakamuamini. So tusubiri tuone
@errydeo8865
@errydeo8865 2 дня назад
Unaongea nini wewe Company ungempa timu kubwa !? Nooo! Joa wasiojulikana au na uzoefu,hupewa Timu za kati,kwa sababu ya bajeti! Ulishawahi...
@errydeo8865
@errydeo8865 2 дня назад
Ten percent hiyo!!😂😂safari hii makolo mtatukoma! KOCHA wa kuokoteza,wachezaji wa kuokoteza😂😂😂
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 2 дня назад
Ni kweli hata mimi simuafiki. Bora basi angekuja Talibu mwenyewe au wakamwachia Mgunda.
@michaelrugaimukamu8732
@michaelrugaimukamu8732 2 дня назад
Apewe Kocha mzawa Mgunda amsaidie
@minazsaid2470
@minazsaid2470 2 дня назад
Huyu alikua msaidizi wa kocha jamani sasa Simba wamempa kuwa kocha mkuu
@comsmkemwa2671
@comsmkemwa2671 4 часа назад
Wamempata wa bei arahisi kwa sababu hana CV
@hatujuaniimani4425
@hatujuaniimani4425 День назад
Hao ndio viongozi wa simba ni wapigaji na waongo pia,wametuzima kelele kwa kusajili wachezaji wazuri xaxa wanaleta kocha ili mradi kocha,hujuma zinaanza mapema xana .Hivi najiuliza km wachezaji wazuri alafu wanafundishwa na kocha ili mradi kocha kweli hapo timu itafanya vizuri kweli? Hapo simba viongozi wasaliti wapo ,waongo ndo usiseme wapo kuihujumu simba tu.
@AbbasyMdabwa
@AbbasyMdabwa День назад
Kwakocha Simba tumefeli
@yugemasanza1008
@yugemasanza1008 2 дня назад
Yawezeka wanamleta kutegeshea kwamba yupo kocha mkubwa anayetegemea kumaliza mkataba na timu fulani halafu baadaye wamlete huyu aondoshwe
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 2 дня назад
Labda wameona pale timu ya Raja ilipochukua ubingwa bila kufungwa mechi yoyote.
@abdallahakida7908
@abdallahakida7908 2 дня назад
Tuwe makini na makocha msizoe zoe tu makocha pia wanafelisha timu na akija kocha yoyote mgunda akae nae atampa maelekezo mingine
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 2 дня назад
MCHUKUE KOCHA WA MAMELODI MKWENA SASA NYIE VIONGOZI HAO MAKOCHA HUWA MNAWATOA WAPI?VIONGOZI MJITAHIDI JAMANI
@raymondsekabigwa5907
@raymondsekabigwa5907 2 дня назад
Simba kocha huyo siyo asindane na Gamondi? Si bora Mgunda viongozi simba mnawatafita Genz ati?
@AmosKayega
@AmosKayega 2 дня назад
Mnacho kitaka viongozi kuhusu kocha hivi tuwaulize mgunda anashida Gani nyie majitu mbona hamtuelewi Sasa tutafanya kama Kenya nyie kila kitu mnataka mgao
@kassidpandu866
@kassidpandu866 2 дня назад
Huyo Benchika ni Maarufu sawa lakini kafanya jambo gani kubwa kwa simba?
@errydeo8865
@errydeo8865 2 дня назад
Wachezaji ambao hakusajili mwenyewe ndo walimwangusha! Hakuwa kocha wa majaribio yule! Mi naomba mlete hao hao😂😂 safari hii 12-0😂😂😂
@fredylucas2484
@fredylucas2484 2 дня назад
​@@errydeo8865 mimi ni Thimba lakini mwaka huu na hawa wachezaji vijana tutawafunga nyie wafuga kambale 6 nyumbani na ugeninu
@khamismahmoud777
@khamismahmoud777 2 дня назад
Kwa kocha huyo hatumtaki Bora mgunda
Далее
POLI зовет Газана
00:12
Просмотров 572 тыс.
Найди Влада на стадионе
0:26
Просмотров 2,6 млн