Тёмный

🔴 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 43 тыс.
50% 1

🔴#LIVE: RAIS MAGUFULI ATOBOA SIRI "MWINYI ANGEKUWA MAKAMU WANGU KAMA MAMA SAMIA ASINGEKUWA MWANAMKE"
Ni mkutano mkuu wa CCM Taifa unaoendelea kule jijini Dodoma ambao umehudhuriwa na wajumbe 1886, ambao wote wamemptisha kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM 2020...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Опубликовано:

 

13 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 62   
@jackhans7708
@jackhans7708 3 года назад
Bado umebaki ni rais wangu ambaye niliamini maneno yako MY KING 🙏 mungu akulaze mahale peponi.
@jeanelias3182
@jeanelias3182 4 года назад
Hongera Sana rais wetu mungu akujalie katk uongozi wako umekuwa mwenye ekima namamlaka kutoka Kwa mungu.
@husnamohamed9245
@husnamohamed9245 4 года назад
Makufuli hongeraaa kura yangu hiyo hapo 2020 .pia tunakushukuru kwa kututafutia raisi msomi shukran makufuli mmungu akubariki. Amina
@jumajaffary9698
@jumajaffary9698 4 года назад
Ni kweli Hussein ni kijana alieleleka vizuri.. Masha Allah
@ashasunga6185
@ashasunga6185 4 года назад
Ongela baba mw/Mungu akisimamia katika kuongoza Tanzania mpya
@magindushija5024
@magindushija5024 2 года назад
Mungu akupokee
@mildredwanami8127
@mildredwanami8127 4 года назад
Hoyee Maghufuli. Rais wa wanyonge TZ. Ni mkenya na najivunia kuwa na RAIS wa africa mashariki mtenda kazi, mwenye hana majivuno,hana kiburi. We kenyans ,are much proud of you MR.PRESIDENT SIR. Chanda chema uvishwa pete,na watanzania washaamua tayari. Tunaomba term yako ikiisha,uje kenya kunyorosha mambo,kura tutakupa pia,maana akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki.finally ,i like to dedicate this verse to the people of TZ [ISAIAH;32;1-4. GOD BLESS YOU TO BE OF EXAMPLE IN AFRICA.
@mbeshijulius4853
@mbeshijulius4853 4 года назад
God bless you too
@susananyasani6526
@susananyasani6526 4 года назад
Kura ya kotoka Moyoni ikufikie na ongera sana kwa Uchaguzi wa miaka mingine mshukuru Mungu na umechaguliwa sababu ya uwezo wako wa kuchapa kazi
@gracelaurent3929
@gracelaurent3929 3 года назад
Huseini husimwangushe baba mzeee wa rukusa please
@mawananasoro4405
@mawananasoro4405 4 года назад
Amina baba mungu akutangulie
@gavanaally4176
@gavanaally4176 4 года назад
Mh Raisi ajae Tena, Hongera Sana kwa kuchaguliwa kwa KISHINDO. HOTUBA yako ya kufunga Mkutano Mkuu wa CCM imejaa HOJA ZENYE NGUVU NA ZILIZOJAA MATUMAINI. Mungu akubariki, pia MGOMBEA MWENZA ni mchapa Kazi anaejituma, AHSANTE Raisi wetu Mungu akubariki.
@mwinyimkuu1045
@mwinyimkuu1045 4 года назад
Ongera sana mh raisi wetu nakuaidi kkupigia kura yng umepata uliyoyafanya tumeyaona na tunafaidi
@felixlwimbo5937
@felixlwimbo5937 4 года назад
Amina
@massoudsalum6722
@massoudsalum6722 4 года назад
Watanganyika wa ccm wamefurahi sana lengo sasa limekamilika kufuta zaidi neno Zanzibar
@focuseric4109
@focuseric4109 4 года назад
Masoud kwann unapenda muungano uvunjike utafaidika na zaidi ya ubinafsi cc niwamoja na hilo alipo alokutuma kakudanganya tafuta kazi fanya jishughulishe akuna zaidi ya hilo
@gracelaurent3929
@gracelaurent3929 3 года назад
Huseini mwinyi kaza buti mungu ni mwema atakujalia leo na kesho kaxa buti utashinda Leo na kesho
@allyfutto8763
@allyfutto8763 4 года назад
Jembelinanolewa ili kuingia kazini zaida, watanzania pongezizenu 🇹🇿
@bjzee1981
@bjzee1981 4 года назад
Waheshimiwa wasanii
@danielwantahe3551
@danielwantahe3551 4 года назад
Acquiring all the votes in general CCM meeting is the concomitant of Dr. John Magufuli's winning general election presidential election.He is sagacious, daring man, committed, longing for Tanzania betterment. The great thing he loves God.
@gastordominic410
@gastordominic410 4 года назад
Nice speech ever
@daxtonraiden2503
@daxtonraiden2503 3 года назад
I guess I am kinda randomly asking but do anybody know a good site to watch newly released movies online?
@jnote9283
@jnote9283 2 года назад
Tuko kwenye nchi tajiri : JPM Mungu ampumzishe mahali pema peponi, Amin.
@gracelaurent3929
@gracelaurent3929 3 года назад
Kumbuka hatutaki shikamoh Zanzibar
@PhilibetLadislaus
@PhilibetLadislaus 7 месяцев назад
Bila kauli ya kulala mbele na mafisadi naye alishachemka.asante kwa kauli na kuifanyia kazi
@happinesslyimo8876
@happinesslyimo8876 4 года назад
JPM unatosha baba. Kura yangu hiyooo hapo 2020 hadi 2030
@jee9473
@jee9473 10 месяцев назад
Hussein Mwinyi 13:15
@samsonhaule5422
@samsonhaule5422 4 года назад
Magufuli mwenyezi mungu Akulinde na Akupe Umri mrefu wa Maisha ili Ututumikie Wana nchi wako.
@saadyusuph5136
@saadyusuph5136 4 года назад
Ameen Allah ibariki
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 4 года назад
🤲🏾Amin Amin Inshallah
@gracelaurent3929
@gracelaurent3929 3 года назад
Vipi Kaka upo!!
@zuwenahamoud2701
@zuwenahamoud2701 4 года назад
Hongera mama Samya👌😂💚🤲
@allymwazoa6301
@allymwazoa6301 4 года назад
Uongozi hauji kiholela lazima uandaliwe kama mzee magufuli hussein mwinyi na wengineo
@marcokashe895
@marcokashe895 4 года назад
Never give up JPM
@zainabsisso3544
@zainabsisso3544 4 года назад
Magufuri bana ananichekesha
@marcokashe895
@marcokashe895 4 года назад
@@zainabsisso3544 ila ni jembe xanaa
@zainabsisso3544
@zainabsisso3544 4 года назад
@@marcokashe895 napenda maneno yke
@marcokashe895
@marcokashe895 4 года назад
@@zainabsisso3544 nampenda kitu kimoja tu ni mkweli
@zainabsisso3544
@zainabsisso3544 4 года назад
@@marcokashe895 mungu amsimamie kwa kweli
@foibekajiru7243
@foibekajiru7243 4 года назад
Hii inaitwa wengi wape!!CCM oyeee!!
@bjzee1981
@bjzee1981 4 года назад
Naona Kama mbowe huko alipo anaota kavaa koti la kijani akiwa anapanda ngazi kwaku kimbia huku akimpungia mzazi mwenzake kwaheri
@gracelaurent3929
@gracelaurent3929 3 года назад
Huseini mwinyi huko tayari!?!!!
@gracelaurent3929
@gracelaurent3929 3 года назад
Mimi baba mwinyi namfagilia Leo na kesho
@mdimistudio2741
@mdimistudio2741 4 года назад
Hili Chama kubwa Sana
@tawhidakhamis4028
@tawhidakhamis4028 4 года назад
Mzee sheni ametetea na ameinuwa maslahi ya wafamyakazi kuongeza mishahara
@gracelaurent3929
@gracelaurent3929 3 года назад
Tena huseini kaza buti husimwangushe makufuli
@felisterchimtunga7011
@felisterchimtunga7011 4 года назад
Mcnichagulie shikamoo hahahaha magu we kiboko
@stanleyatilio8760
@stanleyatilio8760 4 года назад
Magu hoyeeeeee!
@gracelaurent3929
@gracelaurent3929 3 года назад
Bila mwinyi nisingevaa mtumba
@gracelaurent3929
@gracelaurent3929 3 года назад
Tunashukuru amelelewa kimaadili hasituangushe
@khamismohamed8634
@khamismohamed8634 4 года назад
Kidumu Chama cha Mapinduzi
@josephmataba6533
@josephmataba6533 4 года назад
B
@sarllemmtunze405
@sarllemmtunze405 4 года назад
Hakuna atakaelifuta neno Zanzibar labda Muungano uvunjike. Tunajua sefu na wafuasi wake lengo lao kubwa ni kuvunja Muungano na hilo likitokea lazima tugawane visiwa kwa upumbavu wa kipemba basi bora waunguja kuungana na tanganyika kuliko pemba na wapemba mnajua hilo.
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 4 года назад
😳😅
@msalikemedia
@msalikemedia 4 года назад
Hahaha umeona mbali sana
@sabrinaali9750
@sabrinaali9750 4 года назад
Kumber alishaahidiwa mwinyi umekosa umakamo subiri uraisi wa Zanzibar. Ilikua hakuna haja ya kuwababaisha mabwege wa Kizanzibari
@felisterchimtunga7011
@felisterchimtunga7011 4 года назад
Ckiliza vizuri mzee ndo uandike comment dont type otopolo
@besthonney3232
@besthonney3232 4 года назад
Shokishoki matufaa zambarau fuu mapera chenza haluaa zimejaaaaaaa
@yussufnyangoma5693
@yussufnyangoma5693 4 года назад
SASA TUME HURU YA UCHAGUZI TU , MECHI IWE FAIR KAMA UNAJIAMINI.
@alphoncemagessa8725
@alphoncemagessa8725 4 года назад
Mhe Rais wetu wewe ni kioo cha Dunia si Tanzania tu Mungu akubariki na kukutia Nguvu usonge mbele
Далее
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Просмотров 16 млн
JOEL LWAGA - OLODUMARE (Official Lyric Video)
3:07
Просмотров 85 тыс.
Salama Na JK Ep 48| MSOGA UNO PART 1
28:27
Просмотров 556 тыс.
BREAKING: JPM Afanya Ziara ya Kushtukiza Bandarini DSM
42:08