Тёмный

🔴 LIVE: IBADA YA KUUA WACHAWI 

PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Подписаться 49 тыс.
Просмотров 69 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 788   
@AsiaMsemo-ox1tg
@AsiaMsemo-ox1tg 3 месяца назад
Kama kunA mchawi anayeroga familia yangu akija hapa nyumbani kwa ubaya apigwe na afe kwa jina la yesu amen
@godfreymwamaso2424
@godfreymwamaso2424 10 месяцев назад
Eee Mtumishi wa Mungu naomba uniombee Mungu anifungue niweze kuoa kujenga kustawi kiuchumi kupata mtaji gari napokea kufunguliwa kuanzia Sasa Amen
@roseludovick6449
@roseludovick6449 9 месяцев назад
Mtumsh wa mungu naomba uniombee niliungua Sasa ni miaka 6 siponi naomba uniombee mtumish wa mungu
@MaryKinabo-h1x
@MaryKinabo-h1x 9 месяцев назад
Amen baba. Mimi naitwa MRS Mary P. Naomba uniombee familia yangu. Kama kuna mtu yoyote ameloga familia yangu akate moto. Kwa jina la Yesu.
@Antonia-d6e
@Antonia-d6e 3 месяца назад
Baba Nabii ibada ya leo ilikuwa good... naomba Mungu unayemtumia anisaidiye
@AsiaMsemo-ox1tg
@AsiaMsemo-ox1tg 3 месяца назад
Eee baba 😊 nakuomba msaada wako kwa maana mimi nakuamini umuombee kijana wangu aache lombe amekuwa nikulewa tu tangu amemaliza chuo sijui karogwa mimi sipati jibu nisaidie nidaidie mimi nimezidiwa baba amen amen
@HildaBernard-t3n
@HildaBernard-t3n 3 месяца назад
Bwana yesu asifiwe najiungamanisha na Ibadan hii mungu anipe mafanikio katika maisha yang pia aiponye familia yangu amina
@rosemgonja2235
@rosemgonja2235 5 месяцев назад
Leo wachawi wote walioniloga mimi na familia yangu leo wafe kwa jina la Yesu.Amen
@MariaMwaja-c8m
@MariaMwaja-c8m Месяц назад
Alex on Edward, warogao familia yangu wasipone Kwa jina la yesu,mtumishi wa mungu ubarikiwe upewe nguvu zaidi
@SabrinaSultan-h4h
@SabrinaSultan-h4h 3 месяца назад
Naomba unifungulie family yangu imesambalatika hata sielewi nifanyeje bab nakuomba unisaidie mtumishi wa mungu
@AsiaMsemo-ox1tg
@AsiaMsemo-ox1tg 3 месяца назад
Eee bwana yesu naomba msaada wako huyu kijana wangu aache pombe na apate kazi kwa jina la yezu amen
@ShidaBundala
@ShidaBundala 3 месяца назад
Baba naomba unisaidie kumuombea mtoto wangu baraka awezekuongea vizuri leo anapoke a uponyaji kwajina layesu amiina
@frankkimaro1354
@frankkimaro1354 2 месяца назад
Wachawi wote wanao haribu maisha yangu naomba wafe kwanca sasa
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 7 месяцев назад
Thank you Daddy for opening our eyes in Jesus might name
@SuzanaAntony
@SuzanaAntony 10 месяцев назад
Naitwa Ruben baba na sumbuliwa na miguu pamoja maskio baba naomba uniombee baba Amina
@euniceedward-xh8zy
@euniceedward-xh8zy 9 месяцев назад
Ee mungu nijalie ndoa sahihi na unipe watoto mapacha dabo
@eunicendossi3267
@eunicendossi3267 6 месяцев назад
Ninajipatanisha na Ibada hii Kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 7 месяцев назад
Thank you 🙏 Doctor Jesus for healing
@AsiaMsemo-ox1tg
@AsiaMsemo-ox1tg 3 месяца назад
Eee bwana yesu naomba uniponye huu ngjuu wangu na mwili wote kwa jina la yesu amen
@Eliza-iu8fh
@Eliza-iu8fh 4 месяца назад
Bwana yesu asifiwe baba,mungu azidi kukupa nguvu uishi miaka mingi utusaidie.naomba unitabirie baba juu ya familia yangu.kupitia madhabahu yako ninaomba mungu amsaidie mume wangu apate kazi tanroad.
@AngelKifaru
@AngelKifaru 3 месяца назад
Baba niombee nipone damuikauke saahii,Amina
@ZanuraSondo
@ZanuraSondo 5 месяцев назад
Niombe nabii naibiwa nazulumika sana sinamaendeleoo. Naomba nirudishiwe walinyoviiba amina
@Rizikithilia
@Rizikithilia 6 месяцев назад
Naomba Mungu anijalie nipate watoto wawili mapacha wakiumee Kama kuna nguvu za kichaw zixhindwe kwa jina la yesu
@GelwadaMbunda
@GelwadaMbunda 7 месяцев назад
Asante baba kiboko ya wachawi naitwa gerwada niombe Mimi na familia yangu Misha yetu utusaidie Sasa Sina pesa hata nauli ya kufika huko
@alfredchallu1791
@alfredchallu1791 Год назад
Amen naomba nabii sniombee nifanikiwe kazini naingu aniondolee mapepo yanayonifuafuata Kila napornda amen
@Merry1980Meme
@Merry1980Meme 3 месяца назад
Mtumishi naomba umuombee baba yangu amepararahizi Ana mwaka Sasa yupo kitandani....muombee mwanangu kila akitafuta kazi apati amina
@RosemaryFesto-w8e
@RosemaryFesto-w8e 9 месяцев назад
Bwana yesu asifiwe Mungu wa pastor Dominick kiboko ya wachawi naomba anionekanie nimechoka mateso naumwa miguu na mikono inapata ganzi Sina kibali kazini na kwenye jamii inayonizunguka .watu wananiita mchawi,wananichukia bila sababu ,pesa hazishikiki bwana yesu nisaidie Kuna filimbi masikioni ninapolala kitandani
@EvelineMsaki
@EvelineMsaki 3 месяца назад
Mungu akupe maisha marefu uendelee kutsaidia kiboko ya wachawi
@FlavianaGeofrey
@FlavianaGeofrey 4 месяца назад
Bwana yesu asifiwe sana baba pastor mm nimshawahi fika kwako lakini Bado nasumbukiwa mgongo, Naomba uniombee nipokee uponyaji
@HusnaSharifu
@HusnaSharifu 6 месяцев назад
❤❤ asante yesu kwa ajili ya pasta dominic
@MfunjoWabaBoydays
@MfunjoWabaBoydays 4 месяца назад
MUNGU najiungamanisha na Mtumishi Wako PD KIBOKO vha Balodnji❤
@UdhihilishoSheria
@UdhihilishoSheria 10 месяцев назад
Bwana yesu asifiwe mtumishi wa mungu naomba uwafunguwe watoto wangu watoke kwenye vifungo amina
@NamanMagesa
@NamanMagesa 2 месяца назад
Naomba unisaidie tumbo langu mtumishi wa Mungu
@HENDRYMMARY
@HENDRYMMARY 4 месяца назад
HENDRY MMARY... nabii kiboko ya wachawi naomba nisaidie nipate kazi ya kujiunga na ajira ya upolisi inayo Anza mwaka huuu.. ninaomba na Mimi niwe miongoni mwa wanaochaguliwa naomba kibali baba🙏🙏🙏🙏🙏
@HENDRYMMARY
@HENDRYMMARY 4 месяца назад
Nisaidie baba niweze kupata kibali cha kujiunga na upolisi mwaka huuu🙏🙏🙏
@jasmineomary4325
@jasmineomary4325 7 месяцев назад
Amina baba Mimi nipo mbali nipo Zanzibar ila huwa nakuja kwa mwezi mara moja ktk Ibada zako na ninaamini mungu wa kiboko ipo siku na Mimi ataniona nipo kwenye mfungo wa ramadhani ukisha TU nakuja
@HENDRYMMARY
@HENDRYMMARY 4 месяца назад
Naitwa hendry mmary ..nambii nisaidie nipate nafasi ya kujiunga na mafunzo ya upolisi mwaka huuu 🙏🙏
@AgripinaSulle
@AgripinaSulle 6 месяцев назад
Mungu nibariki napitia majaribu na watot wangu kila siku wanaumwa na mm pia tumbo linanium
@lilianlazaro4189
@lilianlazaro4189 5 месяцев назад
May God bless me and my family pastor🙏
@ezekealpaulo-ny7ox
@ezekealpaulo-ny7ox 4 месяца назад
Familia yangu inateseka baba nafataliaga sana kipindi chako kwenye radio baba nikipiga simu redioni sipati nafasi yakuongea nawewe nabii niombee mungu wa kiboko ya wachawi anikomboe mtumishi naitwa ezekieli nipo msitu wa tembo manyara nabii
@carolinanigangwa
@carolinanigangwa 6 месяцев назад
Mungu nakwakutumia mtumishi. wako nipokee uponyaji kwajinala yesu
@YohanaSuday-d1s
@YohanaSuday-d1s Год назад
Naitwa simion WILILAM bab ninachanga Moto ya uchumi naomba unitambilie mungu akubaliki Sanaa bab
@vincentmwandiko3652
@vincentmwandiko3652 4 месяца назад
Huwa siwezi kulala bila kusikia sauti yako.Nabarikiwa kilasiku kwa mafundisho yako nabarikiwa Sana aAsante MUNGU kwa uwepo wako
@godfreymwamaso2424
@godfreymwamaso2424 10 месяцев назад
Amen napokea muujiza wa uponyaji wa kichwa mgongo uchumi ndoa ujenzi mtaji Kwa jina la yesu napokea
@abbymahia2044
@abbymahia2044 5 месяцев назад
Pastor Dominick ubarikiwe Sana Baba
@JacquelineAgape
@JacquelineAgape 5 месяцев назад
❤❤❤
@VeronicaPonda
@VeronicaPonda 4 месяца назад
Ibada ya leo wachawi wore walio niloga mim na familia yangu na ndoa yangu afe na niachilie maisha yangu kwajina la yesu
@ManenoAlexander
@ManenoAlexander 4 месяца назад
Amen Mungu nimwema 🇺🇸 🇺🇸
@OlivaElias-vv7jf
@OlivaElias-vv7jf 9 месяцев назад
Ebwana niokoe namm
@GodloveKiwia
@GodloveKiwia 5 месяцев назад
Kibok ya wachaw naomba uniombeee maisha yangu yawe maisha yeny heshima na so ya kudharaulika niombee nipate Kaz nilio omba mtumish
@Felly-xn3ng
@Felly-xn3ng 9 месяцев назад
Naomba nipate kazi, pia nipate Mme alie sahihi Mwaka huu 2024
@ObediGidion
@ObediGidion 6 месяцев назад
Bwana yesu asifiwe baba naomba maombi kwajili ya family yangu iondokane na umaskini
@TheresiaMwetitu
@TheresiaMwetitu 6 месяцев назад
Wachawi wote wanao harbu maisha yangu wapigwe kwa jina la yesu Amen
@TabuHassa
@TabuHassa 10 месяцев назад
ataka ufungue amina amalize madeni atulie asikubali kuuza nyumba emeni mungu nisaidie tufunguliwe
@pendoerastomwahalega5581
@pendoerastomwahalega5581 6 месяцев назад
Baba Amina naomba unisaidie napita kwenye magumu mdogo wangu amefungwa na wachawi miaka mingi tangu 2006 namwanangu wachawi wanamtumia
@EstavaofernandoganiFernando
Mtumishi make wangu ana tatiso latumbo vitu vinatembea tumboni na uvimbe naomba maombi amina
@Haika-hd7pq
@Haika-hd7pq 4 месяца назад
Bwana Yesu asifiwe mtumishiii naomba uponye mamaangu ni mgonjwa wa miguuni mwaka sasa hatembei anaitwa ELizabeth Isakarii Kiwia
@IddFaliyalamufa
@IddFaliyalamufa 9 месяцев назад
Amen pastor na Mimi nataka nijuwa matatizo yangu maana naona mambo ayaendi
@Jumwa-b2q
@Jumwa-b2q 10 месяцев назад
Kila mtu atakaye jipitisha kwenye maisha yangu.apigwe na radhi ya nguvu za mungu na afe.❤
@verananyaro7901
@verananyaro7901 8 месяцев назад
Shaloom prophet Mimi nipo Arusha najiunganisha na maombi ya Leo nipone kansa ya shingon na uvimbe shingon nipone na watoto wangu wafunguliwe kielim na kikazi na biashara na ndoa zao
@marykasigwa68
@marykasigwa68 4 месяца назад
Yeyote aliyecheza na maisha yangu, afe kwa jina la Yesu. Na yeyote aliyenizuia nisizae afe kwa jina la Yesu.
@StevenJoseph-ff6tv
@StevenJoseph-ff6tv 8 месяцев назад
Bwana Yesu Asifiwe Mtumishi wa Mungu,Baba Naomba ata Mimi huku nilipo Bukoba Upako unifikie NIFUNGULIWE Kwa Jina la Yesu Kristo wa Nazareth aliye hai Amina 🙏🙏
@DominickMushi-sc2gr
@DominickMushi-sc2gr 5 месяцев назад
Bwana yesu asifiwe naitwa Dominick mushi Nina dada yangu anasumbuliwa na kichaa anaitwa Kristena onesphory mushi tusaidie baba
@SifaMwashite-dg3bl
@SifaMwashite-dg3bl 9 месяцев назад
Eee mungu kupitia ibada ya Nabii kiboko ya wachawi nimimi nataka yeyote aliye guse mwili wangu na aliye nitupia pepo ya kupasuliwa watoto nikiwa mimba Nina pasuliwa watoto wangu nataka Leo hii adui yangu mchawi wangu yeyote aliye guse kizazi changu nataka waonekane mwezi huu kwa Jina la yesu
@eunicekiilu7485
@eunicekiilu7485 9 месяцев назад
Eeeh mungu wangu naomba unisaisie nije nifike kwa kiboko ya wachawi siku Moja🙏
@rehemasilasi2985
@rehemasilasi2985 7 месяцев назад
Naangamiza nguvu za majini mahaba kuanzia leo ninafuta ndoto zaajabu kupitia maombi ya nabii Mimi ni wathamani Amen
@nataliamwasege1291
@nataliamwasege1291 5 месяцев назад
Naomba unisaidie baba natamani kujua Mambo mengi juu yangu na familia yangu
@rosemarymghoi3581
@rosemarymghoi3581 5 месяцев назад
Muombee kijana wangu halali usiku na mchana wana taka kumshikisha wazimu ako na kesi kazini wanataka kumharibia kazi kijana wangu anaitwa walter maro tunatoka kenya
@JeanneSelemani
@JeanneSelemani 11 месяцев назад
Mungu akubariki sana mtumishi naomba uni funguliye nipate mume mtumishi toka mtoto wangu afariki andi ivi sina amani nisaindiye mtumisha
@teklaagustino
@teklaagustino 3 месяца назад
Naandika usiku huu najua nawindwa Sana niombee mtu atakaekuja vibaya au kuharibu kuvuga chochote kwenye maisha yangu yote yamrudie yeye na kila anachokifany asifanikiwe
@Eliza-iu8fh
@Eliza-iu8fh 4 месяца назад
Mtu anaeharubu maisha yangu afe kwa jina la yesu
@MwaminiHabarugira-zk6pw
@MwaminiHabarugira-zk6pw 4 месяца назад
Bwana yesu asifiwe nakutaji kubebea mimba
@millicentsamson6276
@millicentsamson6276 8 месяцев назад
Wachawi wanaofatilia maisha yangu na uzao la tumbo langu wafe wote kwa jina la yesu AMEN
@HidayaJackison-rm3tu
@HidayaJackison-rm3tu 4 месяца назад
Mungu akubaliki sn mtumixhi wa mungu na pia mungu akupe afya njema
@doreenmmary4390
@doreenmmary4390 4 месяца назад
Naomba niombee watoto wangupamoja na mm baba
@AsinathElihaki
@AsinathElihaki 6 месяцев назад
Mungu nipoganie,, naitwa Asnath
@MastidiaAngelloAmen
@MastidiaAngelloAmen Год назад
Naitwa mastdia Angelo Bwana Yesu Kristo asifiwe .Baba naomba uniombee niinuliwe kichumi, nipata nauli kumwona binti yangu anayesumbuliwa vifungo vya mizimu na uchawi. Walio niaidi kunipa mtaji wa kufuga Kuku
@GetrudaKamoga
@GetrudaKamoga 5 месяцев назад
Nabii naomba nitabilie nasumbuliwa na majini nisaidie maisha yangu magumu
@silvia5351
@silvia5351 9 месяцев назад
Naomba usisahau mtumishi wa Mungu, naomba unizaidie Mimi na familia ya babangu, familia ya kakangu Kisto Fredy, familia Inés, familia Athanancia.
@johnvicent8705
@johnvicent8705 9 месяцев назад
Ee mungu wa kiboko wa wachawi najiungamanisha na familia yangu nifunguliwe kiuchumi na mume wangu apate kibali
@ezekealpaulo-ny7ox
@ezekealpaulo-ny7ox 4 месяца назад
pasta naomba uniombee baba maisha yangu yamekuwa magumu sana nafanya kazi nikipokea mshahara haukai nabii nashindwa kuelewa mtumishi niokoe
@EstavaofernandoganiFernando
Nafuatilia kutoka Msumbiji Zambezia amen
@miechalmpalazi
@miechalmpalazi 8 месяцев назад
Mimi naitwa Michael Mjema . Binti yangu anateswa mama mchawi jirani . Binti yangu halali usiku kwa hubebwa🎉na kubebeshwa mizigo na kulishwa mavitu ya ajabu . Anamwona laivu Kila ana pomchukua usiku. Mtume Dominick , naomba huyu mama ashughulikiwe kikamilifu bila kupepesa macho! 'Kwa jina la Yesu apigwe!' Sadaka ni muhimu.
@BizimanaEdward-hr2jy
@BizimanaEdward-hr2jy 5 месяцев назад
Zabibu daudi Ubarikiwe sanaa
@UpendoUswege
@UpendoUswege 7 месяцев назад
Asante nabii naitwa upendo uswege nifunguliwe kiuchumi na watt wang wafunguliwe magonjwa ya Ajabu Ajabu hasa mwanguu mkubwa shukran Aponywe mapepo yanayo msumbua yanaongea Asisome na macho hakienda shuleni yanamtesa Akird nyumbani mzima baba wapigwe madui wanao fatilia familia yangu kwajina la yesu
@AlexMollel-nf7ct
@AlexMollel-nf7ct 7 месяцев назад
bwana yesu asifiwe mutumishi wamungu ubarikiwe namungu mimi Alex saitabau naitaji uponyaji wamungu ubarikiwe namungu amina
@deoaliwamakowiti8590
@deoaliwamakowiti8590 4 месяца назад
Naomba uniommbee maisha yangu imekuwa ni maglumu naomba unitabbiirie maisha ya vu ni .agumu saaana
@SadamfaumeMgendwa
@SadamfaumeMgendwa Год назад
Bwana yesu asifiwe baba mimi ni mgonjwa wa miguu siwezi kutembea naomba unisaidie
@godfreykahemela9584
@godfreykahemela9584 11 месяцев назад
Nafatilia ibada baba Mungu akubariki
@PasteurEric7
@PasteurEric7 Год назад
Love from Évangéliste Eric Movies
@EvaJohn-o5y
@EvaJohn-o5y Месяц назад
Ee mungu naomba kama kuna mchawi yeyote anatesa maisha yangu naomba afe leo..mm eva nipo runzewe
@FarhiaZubeli
@FarhiaZubeli 8 месяцев назад
Amina na bii kipoko ya wachawi naomba unisadie dada yangu tiona stoke kizuiyani EEE mungu naomba unisadie
@theobaldmsungwi6438
@theobaldmsungwi6438 4 месяца назад
Mungu msaidia mke wangu anaumwa anaitwa leah
@AminaSaid-tp8yt
@AminaSaid-tp8yt 6 месяцев назад
Baba naitwa Amina nitabilie maisha yangu mimi
@TomeManuel-it8tx
@TomeManuel-it8tx 5 месяцев назад
Bwana yesu asifiwa, nabii naomba unitabiliee japo nipo mbali
@AndrianKaiza
@AndrianKaiza 3 месяца назад
Kiboko ya wachawi naomba unitabilie maisha yangu naitwa adrian kaiza
@OlivaElias-vv7jf
@OlivaElias-vv7jf 9 месяцев назад
Naitwa oliva eliyasi naomba mungu akusaidie unione namimi upokee hata sm yangu
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 7 месяцев назад
Glory to Almighty God
@caisergiven4189
@caisergiven4189 10 месяцев назад
Mungu nipiganie katika jina la Yesu, hali ya hofu na wasiwasi initoke katika jina la Yesu
@IssaZungu
@IssaZungu 5 месяцев назад
Bwana yesu asifiwe baba naomba unisaidie kuhusu misha yangu nafamiliya yangu kwa jumla
@emmydickson1660
@emmydickson1660 3 месяца назад
Bwana yesu asifiwe najiungamnisha na ibada hii naombabmungu anitendee nnachangamoto kwenye mahusiano yangu nakataa roho ya vita namagomvi na mfarakano nahitaji amani
@EstavaofernandoganiFernando
Mtumishi naomba mjawi aliye funga maisha yangu ajie
@VailetyNikolaus
@VailetyNikolaus 5 месяцев назад
baba niombee nashida nabii wangu
@eliaikangui6543
@eliaikangui6543 10 месяцев назад
EE BWANA WETU YESU KRISTO NAOMBA UKARABATI WA NYUMBA YANGU MIMI NI MJANE NISAIDIE MWOKOZI AMEN
@FfFf-yb9cp
@FfFf-yb9cp 8 месяцев назад
Amina paster mungu akubariki zaidi ya hapa natamani niwe karibu lakin niko kenya .nisaidie mtumishi mmm nina shida ya ndoa na nyota yangu
@agnessmaro9659
@agnessmaro9659 8 месяцев назад
Haleluya naomba utuombee familia yangu inaishi kwa matatizs
@shanti-hd7zy
@shanti-hd7zy 3 месяца назад
Postor Mimi na Familie yangu 🇩🇪 twachukuliwa nywele yAni usiku Twanyogwaa na wachawii wazungu Pia na ndugu yangu alinipokonya nyumba iko Kesi kotini 🇩🇪
@SabrinaMasudy
@SabrinaMasudy 4 месяца назад
Naomba na uchumi wangu umeshuka
Далее