Тёмный
No video :(

🔴 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 63 тыс.
50% 1

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 22   
@amanmalima940
@amanmalima940 Месяц назад
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@Afsah90
@Afsah90 Месяц назад
Keep fooling yourself 😂😂
@binwasiumbanga9256
@binwasiumbanga9256 Месяц назад
Mwakisi unapenda kusema dar young Africans, sio sawa ni Young Africans na sio Dar young Africans.
@user-nz5qx9jy7l
@user-nz5qx9jy7l 29 дней назад
Mi napenda Alikamwe angebaki yanga atufikishe ileee inchi ya shadi ya afrika
@laurian27
@laurian27 Месяц назад
Mzee Magoma kuanzia sasa hatukutaki na hatukuhotaji katika taasisi yetu ya yanga mvurugaji mkubwa! Na kuanzia leo tunakufuta yanga mbwa ww mzee mibusha! Kanunue uchawi upya mshirikina usiejielewa! Yanga ni kubwa kuliko mtu yeyote! Nimetukana laana yako inijie mm nilieokolewa na Mungu! Jina lenyewe Baya ety MAGOMA KWENDRAAAAA
@chichasam9032
@chichasam9032 Месяц назад
Yangaa wanaonewaaa sanaaa
@aku-vc09a11k
@aku-vc09a11k Месяц назад
Nchi hii ina uhuru usio na mipaka, anatokea yeyote na madai yasiyoeleweka na watu wanapoteza muda kuelezea ujinga huu
@binwasiumbanga9256
@binwasiumbanga9256 Месяц назад
Wanasheria wa Yanga kila siku wanafeli,sijawai kuwaona wakishinda kesi ni wakufukuzwa wote hawa
@slimmuhabesh2400
@slimmuhabesh2400 Месяц назад
Kesi ya fei walishinda ila mama akaingilia kati
@mahunapaschal
@mahunapaschal Месяц назад
Hivi huyu jamaa anajiamini nini kutaka kutuvulunga hivi wakati tuko vitani au mutu gani anahakili timamu kweli
@RajabudabogGobeka
@RajabudabogGobeka Месяц назад
Uyo no mwehu
@machanoyusuf8045
@machanoyusuf8045 Месяц назад
Ngoma umeishaa hiyooo
@machanoyusuf8045
@machanoyusuf8045 Месяц назад
Ngomaa umeishaa hiyoo
@josephjohn2114
@josephjohn2114 Месяц назад
Mbona hamkukata rufaa kupinga hukumu hii tangu mwaka jana 2023 na kufungua kesi ya jinai kuwashtaki kwa kughushi nyaraka. Mmekaa kimya hadi mambo yanaharibika.? Unasema hamkushirikishwa wakati mwenzenu Jabir Katundu hadi aliandika barua mahakamini kuwa hausiki nyie mlindwa vipi kujua. Yanga futeni idara ya sheria ni bure kabisa iko siku mtalia kwa mwendo huu wa idara ya sheria.
@laurian27
@laurian27 Месяц назад
Kama ulikuwa unapata kula yako kupitia yanga mzee mashamba yameisha tupo Digital
@djumakonki1964
@djumakonki1964 Месяц назад
sasa ndiyo wakati umefika wa kukomesha wahuni katika vilabu vyetu vikubwa . waliohusika na uhuni huo uongozi wa Yanga lazima uwachukulie hatua za kisheria. hii yote ni hiyana baada kuona sasa hakuna ulaji kama ilivyokuwa huko nyuma.
@kaijagetv9643
@kaijagetv9643 Месяц назад
Jela is loading 😅😅😅
@user-ou2ip8zr7n
@user-ou2ip8zr7n Месяц назад
Wezi wakubwa nyinyi
@GwamakaMwaisumbe
@GwamakaMwaisumbe Месяц назад
Mangoma kaulamba mbuyu dakekii
@hassanabdala7383
@hassanabdala7383 Месяц назад
Utopolo ulibwanji😂😂😂
@marthamwasumbi2387
@marthamwasumbi2387 Месяц назад
Hiyo jela hiyo
@GwamakaMwaisumbe
@GwamakaMwaisumbe Месяц назад
Mangoma ameulamba
Далее
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Просмотров 29 млн