Тёмный

🔴 

John Ngollo
Подписаться 66 тыс.
Просмотров 104 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 438   
@maryamshija566
@maryamshija566 2 месяца назад
jamani nani kafurahi kama mimi🎉🎉🎉❤
@stanleybupambambogo3334
@stanleybupambambogo3334 2 месяца назад
MIMI!!!
@sirumbaimanueli5866
@sirumbaimanueli5866 2 месяца назад
Mkuu mm nimefurahi sana kukuona niliumia sana kutokukuona mda wote huu
@RobertPeter-y2j
@RobertPeter-y2j 2 месяца назад
Mungu ni mwema umerudi mwamba ukiwa mzima japo nuru usoni haipo kama ulivyoondoka.
@rajabmwasangala5472
@rajabmwasangala5472 2 месяца назад
Hakika hata mm nimefirahi uwepo wake ewe Mwenyezi Mungu mjalie mja wako huyu umpe afya njema na umlinde na watu wabaya kwani anachofanya ni kwa ajili ya waja wako ambao wanateseka kwa kupitia kwake Mungu utamjalia nguvu na ulinzi wako Amin
@songeza
@songeza 2 месяца назад
Waoooo kipenzicha wengi mbona umekonda na Wala sio uchangamfu wako makonda ebu nipgie niongee nawe mwanangu Bado sijaamini nakupenda kama sauti sio ya Sasa ukiona vipi achia wajanja waendelee na kujimlikiaha kwao siwaache mtoto wako na mkeo
@YustinaGwataya
@YustinaGwataya 2 месяца назад
Ooh nimefurahi sana na kumshangilia Mungu kumwona Mh Rc wa Arusha kazini tena,Jina la Bwana Yesu Lihimidiwe mno.
@josephpeter8511
@josephpeter8511 2 месяца назад
Amina dada Yusta Wewe ni kama mimi tuu ❤
@Imaniamockgmail
@Imaniamockgmail 2 месяца назад
Big ameeen!💃💚💛🖤💛💚👏🙌🙏🖤🇹🇿💯
@annaurassa7082
@annaurassa7082 2 месяца назад
​binafsi ninayo furaha sana kumuona
@Jenifer-wd4hn7cv9s
@Jenifer-wd4hn7cv9s 2 месяца назад
Amen kubwa
@josphenembunde5805
@josphenembunde5805 2 месяца назад
Wow our hero is back again like he never left welcome back and be covered with the blood of Jesus 5:59 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@magrethmollel1078
@magrethmollel1078 2 месяца назад
Sure
@salminasalim5630
@salminasalim5630 2 месяца назад
Aimeen
@FarajiHaruna
@FarajiHaruna 2 месяца назад
Kwa huo mwenekano bado haupo vizuri MUNGU akulinde
@KhamisShekifu
@KhamisShekifu 2 месяца назад
Kabisa broo hayuko sawa muonekano wake umefifia
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 2 месяца назад
Makonda ndugu yetu, tumelia sana juu yako. Mungu akulinde. Hakika Mungu ana haja na wewe katika Taifa hili.
@chikujuma18
@chikujuma18 2 месяца назад
❤❤❤❤ makonda tunakupenda jaman Wananchi tulikua tunalia kwa ajili Yako mola akupe moyo huohuo kwa kusaidia wanyonge
@BlandinaPool
@BlandinaPool 2 месяца назад
Hautakufa bali utaishi baba nimefurai sana MUNGU wangu wa mbinguni akitunze
@justermulengeki6970
@justermulengeki6970 2 месяца назад
Eee mwenyezi Mungu, naomba toba kwa ajili ya Taifa letu, Mwenyezi Mungu tusamehe kwa yale yote tuliyokukosea kwa kuwaza, kunena na kutenda. Zab. 51.AMEN.
@ndelanzali
@ndelanzali 2 месяца назад
Wabongo ni wasahaulifu sana. This guy is killer
@SarahLetion
@SarahLetion 2 месяца назад
Tunakupenda baba Mungu akubariki sana na akulinde daima uendapo na ukanyagapo ukapate kibali na amani.
@WinifridaJonathan-cq2nw
@WinifridaJonathan-cq2nw Месяц назад
Hata sasa ni Mungu ametusaidia tulikuwa na hali mbaya hasa mimi moyo wangu ulipata maumivu makali nilimwachia Mungu
@patrickymkoma3558
@patrickymkoma3558 2 месяца назад
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@MerinaPauli
@MerinaPauli 2 месяца назад
Asante mungu kuludi kwa makonda tulichanganyikiwa watanzania kutokuonekana mdaa mrefu makonda wetu
@ZawadiSaid-x6f
@ZawadiSaid-x6f 2 месяца назад
Mungu akupe maisha marefu kaka makonda tumelia machozi baada ya kuskia habari mbaya na rafki yangu Veronica jamani mungu akulinde akupe maisha marefu
@leticiamakoye4871
@leticiamakoye4871 2 месяца назад
Nimefurahi sanaaa kaka makonda hakika uhai ndani ya aliye hai YESU kiristo wa nazaleti . BWANA akulinde .
@angelsafe4686
@angelsafe4686 2 месяца назад
Most powerful reader prease the Lord 🙏.
@TatuRashid-d6t
@TatuRashid-d6t 2 месяца назад
Allah tunakushukuru,mja wako umemlinda karejea mpe afya njema na furaha zaidi,wew ni.mkuu Allah,Aaamin.❤❤
@patrickmbarugwa
@patrickmbarugwa 2 месяца назад
Our hero is back again I like you welcome back ❤❤🇨🇦🇨🇦🇨🇦
@janelyatuu1135
@janelyatuu1135 2 месяца назад
❤❤tunaendeleaa kukuombea kaka mungu akufunikie kwa damu yake aduwii wasipate nafasi alichokianzisha mungu binadamu binadamu hawezi kukipangua pigaa kazi mungu Yuko pamojaa nawe ulichanguwaa fungu jema kumjuwaa yesu huo ndiyo ulinzi tosha mungu akutunze ni maombi yangu❤
@HUSSEINGUNDA-u2b
@HUSSEINGUNDA-u2b 2 месяца назад
Nakupenda sana namshukuru mungu kwa dhati kwa ajili yako kaka yangu kipenzi na ndugu mwema Makonda
@AnethMushi-c3e
@AnethMushi-c3e 2 месяца назад
Jamaniiiiii!¡Umerud baba!Karibu 😅
@RehemaFord25
@RehemaFord25 2 месяца назад
Wahooo! Mtumishi wa mungu, ahsante kwa mungu, neno la mungu linasema mtakula vitu vya kufisha havitawadhuru, yesu akuwekee nguzo ya moto mbele yako,
@leticiamakoye4871
@leticiamakoye4871 2 месяца назад
Asante BWANA wetu YESU kiristo wa nazaleti kwa ajili ya makonda wetu hareluyaaaaaaaaa
@binseif2216
@binseif2216 2 месяца назад
Yesu ndo Mungu wako????
@ChristinaSanga-pl5jm
@ChristinaSanga-pl5jm 2 месяца назад
Hata kwako ni Mungu ulichokosa ni elimu tu
@Imaniamockgmail
@Imaniamockgmail 2 месяца назад
​@@ChristinaSanga-pl5jm👏🙌🙏💃❣️🤩🙏
@binseif2216
@binseif2216 2 месяца назад
@@ChristinaSanga-pl5jm Naomba andiko kwenye bible yesu kasema mimi ni Mungu wenu,masna nyie wajinga sana mnamshirikisha Mungu
@hellen9056
@hellen9056 2 месяца назад
@@binseif2216siku utakata roho utajua yeye ni Nani ila utakuwa umechelewa sana ule mwili unao itwa Yesu usikusumbue ndani ni Mungu halisi sasa ole
@plisteradundo7603
@plisteradundo7603 2 месяца назад
Amen and amen futaha tele kwangu ku ona Mwanango Makonda Leo hi ubarikiwe sana sana tukopamoja Mwanango ubarikiwe sana sana
@agripinas.michael6419
@agripinas.michael6419 2 месяца назад
A man of right and transparency .God bless u Am happy to see you again .
@EmanMukowe
@EmanMukowe 2 месяца назад
Mweee makonda mungu akulinde baba yetu tunakupenda sana
@estershango4270
@estershango4270 2 месяца назад
Uishi ukimtegemea Mungu hivyohivyo hama alivyosema utapita katika maji nengi lakini kamwe hayatakugharikisha MUNGU IBARIKI TANZANIA❤
@elizabethmakaranga218
@elizabethmakaranga218 2 месяца назад
Christian makonda shauku yetu ni kukuona na ukiendelea. na. ajira yako na nafasi hiyo uliyonayo,kiukweli mwenyezi mungu alisikia maomba ya watu wote waliokuwa na mapenzi mema ,masikio ya wengi hayakupenda kusikia jambo lolote baya utukufu shukrani zimrudie mwenyezi mungu aliye mwingi wa rehema amen ,mwanangu mungu akutunze na kubariki yote ufanyayo na uzao wa tumbo lako pia baraka juu yao wakawe vichwa nasiyo mikia
@PetroNyakasonga
@PetroNyakasonga 2 месяца назад
Kamakweli alipewa sumu alie husika ajifunze maana mwenye mamlaka ni mungu
@florakaria3793
@florakaria3793 2 месяца назад
Yesu nakushukuru ! Bado Makonda hajamaliza kazi Mungu mpe afya na uzima
@MbilinyiAtukuzwe
@MbilinyiAtukuzwe 2 месяца назад
Hakika tumbo lililo kubeba we makonda lilibarikiwa .Mungu akulinde uishi na mungu akuongezee miaka mingi
@HasnaSawaid
@HasnaSawaid 2 месяца назад
Kwakwelii mungu yupo ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😘😘😘😘😘 natoashukulani zangu nasema asante mungu kutulundishia zahabu yetu
@edinafaustinez8514
@edinafaustinez8514 2 месяца назад
Mungu mwema mkonda mungu akubariki kwa kazi yako nzuri sana
@johnmtumishi8554
@johnmtumishi8554 2 месяца назад
3:24 Mungu akutunze akulinde akupiganie ktk Jina la Yesu Kristo Bwana amina nikutakie maisha mema
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 2 месяца назад
MUNGU MLINDE MAKONDA WALE WOTE WANAOMWOMBEA MAKONDA MABAYA YAWAPATE WAO NA FAMILIA ZAO. AMINA
@CalmOmbreSky-iz2hj
@CalmOmbreSky-iz2hj 2 месяца назад
Asante bwana yesu kwakumtunza mtumishi wako
@DoriceBabiligi
@DoriceBabiligi 2 месяца назад
Tunashukuru umerudi salama lakini mbona kama hauko sawa jaman, ila Mungu akupe nguvu na imani❤❤❤
@judithlejalearnmore2236
@judithlejalearnmore2236 2 месяца назад
Twakupenda Mheshimiwa Makonda, Watching from Mombasa kenya
@mashaallahabuu1167
@mashaallahabuu1167 2 месяца назад
Alhamdulillah tunakupenda makonda wetu,M,Mungu ni mlinzi wako una hekima na kipaji kutoka kwa M,Mungu
@bupemtafya1686
@bupemtafya1686 2 месяца назад
Nimefurahi sana jamani mpaka nikatamani kulia kabisa na nimeangalis video Kwa makini nikijua ni yauongo,Mungu amekuponya sawa sawa na maombi ya wengi❤
@georgendengahe9703
@georgendengahe9703 2 месяца назад
Asante mungu kwa kumurudisha kiongozi wetu mpendwa na mchapakazi tunashukuru sana.
@CyimanaHamiss-rm5qv
@CyimanaHamiss-rm5qv 2 месяца назад
❤from rwanda nakupenda sana ndugu yangu Allah azidi kukurinda na kukupa afia pia na ulinzi mukali kutokakwake
@mamanbinwashadrack2257
@mamanbinwashadrack2257 2 месяца назад
Asante sana BWANA YESU, umesikia kilio cha watu sako, nimefurahi sana kukuona muheshimiwa, ukiwa mzima wa afya, eeee, YESU Asante
@NurathZuberi
@NurathZuberi 2 месяца назад
Naombeni nauli mis niko mwanza,atakaeguswa, nikaonane na mh. Ofsini kwake, ana / ana nampenda sana, sikukumpenda tu, namkubali, na si kumbali tu, nikamueleze dhamila yangu, kuhs ninavimuelewa❤
@vailethudson2771
@vailethudson2771 2 месяца назад
Makondaaaa Mungu akulinde jaman,,Mama Samia nakuomba mwengezee makondaaaa wetu Ulinzi tafadhal
@Scholariren
@Scholariren 2 месяца назад
Asante Mungu wewe ni mwema mwangalie mtumishi wako
@JenniferSamawa
@JenniferSamawa 2 месяца назад
Au ulikua mlimani kwa maombii umepunguaa c mchezo wachungaji walichachamaa haijawaii tokeaaa mpende mungu sana zaid ya apo
@oswardjaphal-cd6np
@oswardjaphal-cd6np 2 месяца назад
Mimi simutanzania. Lakini. Namupenda makonda. Kupita maelezo. From Burundi. Najifunza mengi kupitia yeye. Tuna tamani sikumaja uje kututembelea. Itakuwa balaka kwa inchi yetu pendwa. Burundi
@YorandaBonephas
@YorandaBonephas 2 месяца назад
Mungu asante sana na mshukuru mwezi mungu katika jina layesu kristo wanazareti alie hsi amina
@masungamaduhu1122
@masungamaduhu1122 2 месяца назад
Aloo Mungu ni mwema sana, nafurahi kumuona Makonda
@BASHIRINAMYUNDU-dv5ff
@BASHIRINAMYUNDU-dv5ff 2 месяца назад
Hivi tz tumekwama wp yan makonda kama kiongoz juu wa serikal kumbe ni mkuu wa mkoa ,safi sana makonda kazi yako inaonekan
@hosseasimon3887
@hosseasimon3887 2 месяца назад
Good to see you,ila kwenye jicho la tatu.....ongeza umakini na Mungu akulinde comrade!!MUNGU NI MWEMA KILA WAKATI.
@middypiccolo
@middypiccolo 2 месяца назад
Asante MUNGU hakuna kama ww kwan watanzania wengi wapenda aman tulishikwa na butwaa Kwa ukimywa wa makonda .ila Kwa neema zako Leo furaha imerejea .mungu mlinde hili na longine amina
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 2 месяца назад
Utukuzwe Mungu mkuu, kwa kuwa Mwamba wetu, Paul Christian Makonda mtumishi wako yupo pamoja nasi. Amina.
@VictoriaKetegwe-i5v
@VictoriaKetegwe-i5v 2 месяца назад
There is God in Heavens who hear our Prayers.Mungu azidi kukulinda Baba keagan wetu.🙏
@aminafrancismwandu5789
@aminafrancismwandu5789 2 месяца назад
Asante MUNGU Kwa rehema na baraka zako 🙏🙏 nakazi iendelee
@khadijashabani5509
@khadijashabani5509 2 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Niseme nini kwa mungu asante kwa kumtunza muheshimiwa makonda
@MariamMapala
@MariamMapala 2 месяца назад
Asante mungu kwa kujibu maombi yetu karibu muheshimiwa makonda tunakupenda sana tumefurahi kukuona tena
@CharlesMisungwi-f8t
@CharlesMisungwi-f8t 2 месяца назад
Mungu niwaupendo siwamaagamizi maana huyokiongozi angesababisha mambo ambayo hayajashuhudiwa tangu kuzaliwa taifahili kurudiMisiritena...
@FrankJackson-c5m
@FrankJackson-c5m 2 месяца назад
Daaaaaaa Mungu mkubwa kaz nzur mkuu
@NkundeNnk0
@NkundeNnk0 2 месяца назад
Namshukuru mungu kwa ajili yako mh makonda yesu akutunze mkuu
@khadijakimaka8427
@khadijakimaka8427 2 месяца назад
Mungu ni mwema sanaaa🙏🙏♥️♥️♥️♥️
@hekimasuleiman895
@hekimasuleiman895 2 месяца назад
Yesu ni Mungu mkuu Tito 2:14 Bill Yesu hakuna maisha Namkubali Yesu. Was Yesu wote tuseme AMEN Shetani kimuume
@ashurakodd1589
@ashurakodd1589 2 месяца назад
Alhamdulilahi
@imakulatakomba8744
@imakulatakomba8744 2 месяца назад
Nimefurah makonda mungu akupe uzima tele
@GraceKimenanga
@GraceKimenanga 2 месяца назад
Nimefurahi sana mungu kumleta makonda wetu.tunakupenda
@aminamollel3571
@aminamollel3571 2 месяца назад
Nimefurahi hakika Asante Yesu
@edinamwanasenga1584
@edinamwanasenga1584 2 месяца назад
Waooòoo mungu akupe maisha mlf makonda jamani duu 😂😂😂😂😂😂
@NeemaDainess
@NeemaDainess 2 месяца назад
Jaman Asante mungu makonda mungu akulinde akupe sku nyingi zakuishi Duniani🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@laiDotto
@laiDotto 2 месяца назад
Mungu nimwema i Love mr makonda brother
@MurulaAhmadi
@MurulaAhmadi 2 месяца назад
Asante mungu kutuletea kipenzchetu RC Makonda watanzania wapenda khaki tumefurahi sana Mung
@AswilaSeif
@AswilaSeif 2 месяца назад
Nimifurahii sana kumuona makonda🎉🎉🎉🎉🎉😂
@ChajiliaSharifu
@ChajiliaSharifu 2 месяца назад
Kiukweli Makonda Wetu Tunakupenda Sana Na Mungu Kapokea Maombi Yetu Asante Mungu Kwa Kumpambania Mh Makonda Karibu Sana Baba Makond
@FaridaSamwasa
@FaridaSamwasa 2 месяца назад
Sasa napata amani. Nimemwona MAKONDA tunakupenda baba uishi ulitumikie Taifa letu kwa uaminifu ❤.
@ElizabethMichael-d7j
@ElizabethMichael-d7j 2 месяца назад
Utukuzwe mungu juu mbinguni amanikwa wote uliowaridhia
@LightnessUrio-fo7mq
@LightnessUrio-fo7mq 2 месяца назад
Akika Mungu ww nikimbilio letu msaada wetu ulie karibu yetu ❤❤❤❤❤❤❤ Makonda Mungu akupe miaka mingi kipnz chawengi
@EstherDismas
@EstherDismas 2 месяца назад
Komandooo wa yesu umerudi piga KAZI mwana wa makonda waaaaaaaa 🎉🎉🎉🎉
@stellajoachim1655
@stellajoachim1655 2 месяца назад
From Uganda, this is a president to come
@RichardFrancis-e5t
@RichardFrancis-e5t 2 месяца назад
Kiongozi wangu pendwa
@MbiseMbise-k2s
@MbiseMbise-k2s 2 месяца назад
Yesu Mwana wa Mungu Asante kwa kumpa Makonda afya njema
@matha3758
@matha3758 2 месяца назад
Mungu ndiye msemaji wa mwisho Aminaa kubwaa
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 2 месяца назад
Mungu azidi kukulinda makonda tulikumiss sana ❤❤❤
@MarthaHombo
@MarthaHombo 2 месяца назад
Ashukuriwe mungu,,mheshimiwa mungu yu pamoja nawe tumefrahi sana
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 2 месяца назад
Makonda ombea sana nchi yako ni Yeremia.wa.sasa.moyo wangu unamwazimisha Mungu makonda Mungu amekuchagua pambana.na.ushoga.ma.ulawiti
@annethmmari
@annethmmari 2 месяца назад
Namshukuru Mungu sana maombi yetu yamejibiwa Mungu akutie nguvu kazi iendelee.
@PillyDaniel-lt5ec
@PillyDaniel-lt5ec 2 месяца назад
Mimi nimekosa cha kuandika daaah ila shukurani zikuludie wewe baba wa mbingun hakika jina lako ni la milele AMINA 🙏🙏🙏 piga kazi kaka angu MAKONDA yote kwa yote mwachie MUNGU ndo mweza wa kila kitu
@AishaHussein-en3wf
@AishaHussein-en3wf 2 месяца назад
Raisi wa baadae,mungu akulinde,na akuepushe na mabalaa ya dunia,nimefurahi sana,kazi iyendelee
@nehemiamwasile8696
@nehemiamwasile8696 2 месяца назад
Makonda fire🔥🔥🔥 security of Jesus
@JenniferSamawa
@JenniferSamawa 2 месяца назад
Jamaniii toa sadaka kwa mungu kwa ajili ya makonda inenee sadaka ina nguvu haleluyaaaaas❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@RobartShello-qj4vr
@RobartShello-qj4vr 2 месяца назад
Mungu ni mwema, ila makonda alikua na misukosuko, mbona Hana Raha afu amepungua Sana yaan amekonda, ila wa Tz tuko pamoja na wewe sio Wana Arushatu mzalendo wa Taifa lake mungu akulinde
@averinataitus
@averinataitus 2 месяца назад
Asante Yesu, atimae tumekuona Tena Mungu muumba mbingu na dunia Yeye mwenyewe akulinde na mabaya yote amen
@nicodemashaggite8429
@nicodemashaggite8429 2 месяца назад
Tunashikuru sana MUNGU KWA AJILI YA ULINZI WAKE JUU YA SHUJAA WETU MAKONDA?? Ila naona kama hayuko sawa kiafya....
@MariamMlowe
@MariamMlowe 2 месяца назад
Nimefurah sana kuona makonda upo hai mungu bba a endelee k kutunza jamni
@joharilutta8389
@joharilutta8389 2 месяца назад
Kwakweli mungu huyu ni mwema sana kaka yetu hatimaye umeonekana jaman mungu Asant umetupangusa machozi yetu
@msalice4451
@msalice4451 2 месяца назад
❤❤❤❤❤❤ nimefurahi kukuona kaka yangu KIPENZI CHA watu WEMA kama mm na wengineo wanaokupenda sana kutoka moyoni
@stevenmajoge4644
@stevenmajoge4644 2 месяца назад
Nilijikuta nashindwa kula siku mbili kwa ajil ya makonda.Saf sana mkuu wa mko wa arusha
@christinamyinga8170
@christinamyinga8170 2 месяца назад
Mungu nakubariki kwaajili ya wema wako
@ConsolathaGilli
@ConsolathaGilli 2 месяца назад
Hakika MUNGU NI MKUU NA MWEZA YOTE! NA ANAMPENDA MAKONDA❤❤❤❤ JAMANI NI MDA WETU WA KUMSHUKURU MUNGU KWA KUTUSIKIA KILIO CHETU WAKATI TUMWOMBEA RC MAKONDA YUKA HAI NA TUNAMWONA KWA MACHO YETU. ASANTE MUNGU❤❤❤❤
@elizamavoa8638
@elizamavoa8638 2 месяца назад
Asante Sana Mungu kumrudisha makonda hai.Tunakushuru Kuongea na wananchi .
Далее
TAJIRI WA MABUS  SUPER FEO ATOA SIRI YA KUWA BILIONEA
10:36
ITZY 예지한테 AI 메이크업하기💖 #shorts
00:23
Ilkinchi hotin oberasanmi deb o’ylabman🥹😄
00:26
ITZY 예지한테 AI 메이크업하기💖 #shorts
00:23