Тёмный

NONDO ZA RC MAKONDA MBELE YA RAIS MWINYI ASHINDWA KUJIZUIA ACHEKA UTAPENDA... 

OFFTRACK TV
Подписаться 114 тыс.
Просмотров 36 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 31   
@akimumwashiuya
@akimumwashiuya 2 месяца назад
Kaka hongera sana kwakuchapa kazi mkoa wa arusha
@mossyfimbo3577
@mossyfimbo3577 5 месяцев назад
Mungu Baba na azidi kukuongoza na kukushindia na Damu ya Yesu Kristo ikutangulie siku zoote za Maisha yako hongera saana unastahili kupongezwa kazi yako ni nzuri.
@songeza
@songeza 4 месяца назад
Yaani makonda mmmmh hongera sana upo vzuri
@pillyolsen8377
@pillyolsen8377 2 месяца назад
Jamani makonda nakupenda mpaka naumwa♥️♥️♥️
@akimumwashiuya
@akimumwashiuya 2 месяца назад
Raisi mwinyi karibu sana tanzania pia karibu namkoa wetu wasongwe
@VenerandaKundi-ph4hg
@VenerandaKundi-ph4hg 5 месяцев назад
Raisi mwinyi jembe na makonda jembe mungu awabariki sana
@EllyMdigho
@EllyMdigho 5 месяцев назад
Leo umetema madini brother hongera
@ZuhuraNhumbi
@ZuhuraNhumbi 5 дней назад
Kaka makonda oyeeee
@eliasmyamba4767
@eliasmyamba4767 Месяц назад
🎉🎉
@NgunoSangano-j2q
@NgunoSangano-j2q 2 месяца назад
Uko vizur hakika tunakuelewa
@anangisyekibona9006
@anangisyekibona9006 5 месяцев назад
Mwanangu na kiongozi wangu Poul Makonda Mungu wangu akulinde na kukutetea katika majukumu uliyopewa na Mungu mimi nakufuatilia mahali pote ulipo wahi kufanya kazi wewe si mnafiki ndio maana maadui zako wanainuka wengi lkn ninacho kupenda zaidi Unamwogopa Mungu dumu hivyo ktk utumishi wako na utashinda zaidi na zaidi wewe ni mlima Sayuni Neema ya Mungu iwe nawe daima Ameeeni
@AshurakhamisRamadhani
@AshurakhamisRamadhani 5 месяцев назад
Ata mimi nnampigia makofi allah azifi kumuogozaa ni jasiri mwenye imani na upendo
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 5 месяцев назад
🙏🙏🙏🙏 mama Samia
@SamweliMwashilindi-fq1me
@SamweliMwashilindi-fq1me Месяц назад
Kiukwer nakupenda kila siku mheshimiwa makonda nitakupenda daima na nakuamini na mama namkubali kwa maono yake kukufanya kiongozi wewe ni tresha ya taifa Niko nawe daima.
@ausmsuya3335
@ausmsuya3335 5 месяцев назад
Congratulations
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 5 месяцев назад
Makonda❤❤❤
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 5 месяцев назад
🙏🙏🙏🙏Serikali yetu
@mamkunyapraa3491
@mamkunyapraa3491 2 месяца назад
Naona ushujaa wa mangu ndani ya makonda olewake yoyote afabye baya lolote kwamakonda tata loga ukomzima wahuyo atakaefanya baya lolote kwahuyu mwamba Yani ndani ya makonda yupo rais wa bukinafaso Kuna moyo wa gadafi mungu akulinde akuepushe na malazi yaina yoyote
@JoshuaPesanane
@JoshuaPesanane Месяц назад
Wengi tunakuombea, tunajua umewekwa kwa kusudi kubwa si hay a tu.
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 5 месяцев назад
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@rev.musabalalarogersmusabalala
@rev.musabalalarogersmusabalala 5 месяцев назад
Mnatupa sababu ya kuwasikiliza kwa utumishi wenu uliotukuka, tupinge kazi tuijenge nchi yetu
@TatuRashid-d6t
@TatuRashid-d6t 2 месяца назад
Makonda upo vzr japo wachache hawaoni ufanyacho wee mtangukuze Mungu mbele atakuelekeza njia ya kupita zaid ya hiyo uipitayo,UNA HOFU YA MUNGU,utalipw na aliekupa kipsji Cha uongozi,Inshaalah
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 5 месяцев назад
❤❤❤❤❤
@SafinaAbdallah-uq6qw
@SafinaAbdallah-uq6qw 2 месяца назад
Ni Mtani wa kuigwa
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 5 месяцев назад
Wajane na wanyonge wa Arusha tuko nyuma yako kwa maombi mhshmw Makonda... Zab.35 ikwafunike wote mnaotutetea wanyonge, ktk jina la Yesu Kristo. Nasi tunaofuatilia haki zetu tusichoke kuomba ulinzi wa Mungu.
@ParitiMoitiko-j8i
@ParitiMoitiko-j8i 2 месяца назад
Baba uko saw
@wilsonndelwa-jo4fc
@wilsonndelwa-jo4fc 4 месяца назад
naiona picha ya magufuli ndani ya makonda
@SalumuAlly-d9q
@SalumuAlly-d9q 3 месяца назад
Siyo kweli hayo ni mawazo yako huyu ni huyu na huyo ni huyo tofauti kabisa
@AbdallahMngana
@AbdallahMngana 4 месяца назад
Kamanda.endelea.na.kazi.😂
@EmmanuelKasike
@EmmanuelKasike 4 месяца назад
Makondo ww nakuombea
@JumaAli-u5s
@JumaAli-u5s Месяц назад
Kaka makonda nuuru yako enaenderea ku'araa juma toka Uganda mbarara mtanzania harisii
Далее
Китайка и Красивые Глаза😂😆
00:20