Тёмный

🔴 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 17 тыс.
50% 1

🔴#Live:MAZITO! MTANZANIA ALIYEKWAMA IRAQ AGOMA KURUDI-WAKALA AINGIA MITINI- AMTUMIA BABA TIKETI FEKI
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

8 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 390   
@globaltv_online
@globaltv_online Месяц назад
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@sheilah2018
@sheilah2018 Месяц назад
Huyu mzee anatudhairisha kabisa kuwa Elimu ya mkoloni ni bora kuliko Elimu ya sasa ...yaani mzee anaongea points mzuri sana nimemkubali
@user-vr6lu8tq1n
@user-vr6lu8tq1n Месяц назад
We hunakili mzee anakili sana
@devothasimbi6495
@devothasimbi6495 15 дней назад
Sio akili ni akiri ​@@user-vr6lu8tq1n
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl Месяц назад
Baba nimekupenda unaakilinyingi yakufikilia. Nikweli yakimkutatena huko baba uta pitia magumu aluditu kwanza ❤❤ baba yetu Munguakuondoshee mitihani unahuruma sana na mwanao
@edithaeugeni9695
@edithaeugeni9695 Месяц назад
Yaani acha tu hyu mzee anajitahidi sana kiukwelii ni wachache sana wanao Jitowa hivi wengi utaskya ukirudi itakuwaje maisha yenyewe magumu yaani hawajali kabsa kuhusu wewe wanajali unachopata😭😭😭🥱🥱
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl Месяц назад
@@edithaeugeni9695 Sana yani hawanaataabali kabisa tatizo uchungu moyoni wengiwao nipesatu basi yani hurumahawana wengiwao huyu baba anampenda mwae tokamoyoni. Uzeeuleanalea wajukuu mwenzgine hanauzee hatakiwatoto anatakapesatu
@abdallahashajuma1281
@abdallahashajuma1281 Месяц назад
Huyu anadanganywa na msichana hana Akili
@abdallahashajuma1281
@abdallahashajuma1281 Месяц назад
Uamuzi wa busara baba huyo binti arudi huyo anatishiwa watu wa huko nje ni wa ajabu hawana huruma
@mamydhulkifl8893
@mamydhulkifl8893 7 дней назад
😅​@@edithaeugeni9695
@rayaabdul-gm3hc
@rayaabdul-gm3hc Месяц назад
Huyu bint mjinga kweli anasaidiwa yeye au linataka kufa .umepata baba anakupambania .maisha yako akifa musiniambie kuchanga nauli ya kusafirisha mzoga
@FrolaMrema
@FrolaMrema Месяц назад
😂
@user-mw5xs2wx8n
@user-mw5xs2wx8n Месяц назад
Hakuna kitu kibaya km umasikini Allah tuhifadhi tunazalilika sana tuso na kitu
@mariyamsalalah8204
@mariyamsalalah8204 Месяц назад
😢😢
@Zubaiba
@Zubaiba Месяц назад
Ww dada Rudi nyumbani uje ufanye kazi oman,
@annamariajackson4842
@annamariajackson4842 Месяц назад
Global TV Mungu awabariki sana. Nawafuatilia kutoka Germany 🇩🇪. Kazi mnayoifanya ni ya kujenga sana. Maisha ughaibuni ni utumwa. Huyo bint arudi haraka nyumbani.
@AshiraAshira-qy9gc
@AshiraAshira-qy9gc Месяц назад
Huyo majenti washamtishia hapo sio akiri yake jamani majenti wanatishia watu ila pore tu baba huyo binti yako hayuko sawa washamtisha masikini wewe 😢😢duuh poreni sana ni mtihani mungu asimamie hiri inshallah
@mauasylla5024
@mauasylla5024 Месяц назад
Huyo dada ni mjinga sana. Yakimkuta ya kumkuta, msimtafute. Huyo keshawabwagia watoto wake wazee wake. Pole sana baba.
@rayahamisi118
@rayahamisi118 Месяц назад
Watamgeuka siku sio nyingi
@DodeaHija
@DodeaHija Месяц назад
Anampa mtihani babayake kwa nn akamuhangaisha babake km hayupotayari kusaidiwa
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 Месяц назад
Kweli kipindi hiki chajoto matajiri bia wanasafiri kukimbia joa mmi nipo huku najua hali ya huku
@AyshaHamis-qw3gi
@AyshaHamis-qw3gi Месяц назад
Hyu baba yupo vizur kwa kuhoji mashallah nimempend akurupuki ..maskini anampend mwanawe
@modestamodesta3940
@modestamodesta3940 Месяц назад
Acha nibak tz🇹🇿🇹🇿 alhamdulilah pole baba jmn 😢salma arud nyumban tu jmn anamtesa mzaz wake daah
@fatmamansour2764
@fatmamansour2764 Месяц назад
Huyu lazma da zay wamemtishia Amani na Hao.manjenti cha msingi fatilieni hawa watu waliompeleka wasiachiwe kabisa
@user-cx7rh6jt6y
@user-cx7rh6jt6y Месяц назад
Jmn huyu baba ana akili nyngi sana big up baba👍
@DandasiKundi
@DandasiKundi Месяц назад
Mimi naona arudishwe baadae itakuwa shida serikali iingilie kati.
@zaramuneer3257
@zaramuneer3257 Месяц назад
Iv salima anaakili kweli huyu😢 anajaribu kumfikiria kweli baba yake na watoto baba anajaribu kumtetea ,, ivi anawajua waarabu vizri huyu ngoja wayahudi wamngeuke ndo atajua
@mimahmimah1595
@mimahmimah1595 Месяц назад
Ati anadhalilishwa 😢ivi yuko sawa uyu msichana baba amejitolea anahangaika na ni mtu mzima lakin ww unasema unadjalilishwa daa uyu msichana sio mzima lakin nahis katishiwa uyu ndio mana kaambiwa video ifutwe
@rayaabdul-gm3hc
@rayaabdul-gm3hc Месяц назад
Huyu hawajui warabu atakufa vibaya huyu bint
@estakapufi7582
@estakapufi7582 Месяц назад
Daa naumia nikimuona huyu baba yani ukimuangalia uso tu unajua kabisa moyoni anauchungu na mwanae,mungu ampe amani ya moyo maana uchungu wa mwana aujuae mzazi kwakweli akiangalia hawa watoto alieachiwa anakosa jibu kabisa ila mungu halali.
@jjjhhb4300
@jjjhhb4300 Месяц назад
Miezi 7 mingi sana bola aludi aje omani
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 Месяц назад
Huyu dd ni kweli atarudi hio tarehe Ila hataki media iende kumpokea anataka aje kimiya kimiya inavyoinekana na hii ticket sio feki ni kweli ndio maana katafuta njia ya kuwaambia eti harudi Ila atarudi kama ninavyowaambia bila mtu kujua mtashtukiza tu yyko nyumbani
@ZainabSaid-i4k
@ZainabSaid-i4k Месяц назад
Asipo rudi kito mkuta atakuja kujuta na watanzania hawaezi msaidia tena.ajent aongee na baba aaa subutu Labda sio mwarabu 😂😂😂😂
@user-yr8rn8ge5e
@user-yr8rn8ge5e Месяц назад
Inawezekana
@fatmamansour2764
@fatmamansour2764 Месяц назад
Huyu salma hawajui waarab wa Iraq maskini pole.sana salma
@rahiyayousaf3093
@rahiyayousaf3093 Месяц назад
Yaani yaani yaani 😢mpka imani wallhi 😢😢😢
@morjanoman5181
@morjanoman5181 Месяц назад
Uyu Mzee Yuko vinzuri Sana alitegemea abakina wajukuu. Ili mwanae alete riziki sasa imekua mtiani kwakweri pole Baba inaumakweri
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl Месяц назад
Subhanallah. Baba anampenda mwanae ni basitu zikihizi. Mshaulitu aludi ni bola Aje huku. Oman hakuna.shida.sana kamahuko
@ShadyAbdallah-vu7iu
@ShadyAbdallah-vu7iu Месяц назад
Arudi kama anataka kazi mm nitamtafutia Oman mm nipo mwaka wa 8 na niko salama tu in shallah
@rosemilingi7860
@rosemilingi7860 Месяц назад
Nisaidia na mm
@NassorAbdallah-w6h
@NassorAbdallah-w6h Месяц назад
Mzee upo sahihi sana sisi tumeshatembea nchi nyingi tunazijua tabia za nchii hizo muhimu salma aje akinai na maisha ya kwa na pia aombe msamaha Global tv kwa kauli zake atakuja kujutia atakuja kujutia nasema tena atakuja kujutia
@MariamHamad-f3e
@MariamHamad-f3e Месяц назад
Asante sana global tv,namfaham na nimekaa nae mno ofisin ,mm nilipata boss nikaenda kazin nikamuacha,baada ya hapo ndio wakafanya hayo.
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 Месяц назад
Daah yani salma umshukuru Mungu sana amekupa baba kweli kweli🎉🙏🏽
@user-yh3el1oc3t
@user-yh3el1oc3t Месяц назад
Mtihani Bora arudi atafute Kazi sehemu nyingine inshaallah atapata tu
@OmanOman-gz6bp
@OmanOman-gz6bp 25 дней назад
Uyo dada angerud2 hamni anamtesa sana uyo baba jamn m2 mzima
@moseshaji1177
@moseshaji1177 Месяц назад
Huyu mzee yupo smart sana elimu aliyoipata enzi ya mkoloni inawazidi wengi sana ktk kizazi cha sasa
@joharishabani760
@joharishabani760 Месяц назад
Nimeona ni coment tu uyu dada sio kama hapendi kalud ila anajifikilia kuludi ba pesa..Alafu huyu baba ni baba kqel nataman angekuwa baba ang jmn
@user-ds5tf9xx1d
@user-ds5tf9xx1d Месяц назад
Allah akupe mwisho mwema baba ....natamani baba yng na mimi angekuwepo ....Raha sn kuwa na mzazi mwenyewe msimamo km huyo....bint ridhiki popote km uko uelewi ludi nyumbani
@asias8724
@asias8724 Месяц назад
Salma rudi waarabu hawaaminiki kipenzi wanatabia ya kugeukageuka tunajua zaidi kuhusu waarabu
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Месяц назад
Daaaaa jamn Nani kama baba angalia anavyoangaika na mwanae daaaa pole snaa baba yetu kipenzi WAPANGAJI WENZANGU KUNA LA KUJIFUNZA HAPA JAMN
@fatmamansour2764
@fatmamansour2764 Месяц назад
Da Zaye mfatilie huyu salma msimiache hana.akili huyu
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 Месяц назад
Kama amekubali kurudi mungu amtangulie SALMA NGANGA kurudi TANZANIA .mungu msaidie mzeee NGANGA
@swabrinahassan5222
@swabrinahassan5222 Месяц назад
Wamemtishia maisha maskini global tafadhali msaidieni
@aby21111
@aby21111 Месяц назад
Noway. Stop nonsense.
@AishaTarimo-hj2nj
@AishaTarimo-hj2nj Месяц назад
Kitamkuta kitu Salma hawajui Waarabu huyo atajuta
@sophsoph4740
@sophsoph4740 Месяц назад
Mimi naomba mungu upate ufahamu urudi tu mana mkubwa hanaona mbali jmn😢😢😢rud mwaya uje oman sisi tupo uku tuna amani na wazazi wanaamqni
@Kuruthum-tf1vr
@Kuruthum-tf1vr Месяц назад
Baba katibuka video haifutwi na baba katowa Siri mpaka za nyumbani uta juwa ujuwi😂
@mwajumamwajuma55
@mwajumamwajuma55 Месяц назад
😂😂😂😂
@salmasalim6055
@salmasalim6055 Месяц назад
😂😂😂😂
@SawiaNjovu-xx1mf
@SawiaNjovu-xx1mf 19 дней назад
Pole sana mzee mwanao husimwambie ona mpaka haone mwenyewe
@user-mt9qg2br8p
@user-mt9qg2br8p Месяц назад
Mwajina wangu rudi tu baba anaumiya sana mbaka natowa chozi mbona si mwelewa salma jamani
@mauasylla5024
@mauasylla5024 Месяц назад
Ningependelea serikali iweke ugumu wa vijana kutoka nje ya nchi kiholela kama zamani. Wamrudishe tu kama kweli tiketi imeshakatwa.
@devothasimbi6495
@devothasimbi6495 15 дней назад
Wanaweka ugumu wa hari ya juu nchi zilizoendelea ila nchi kama nchi tuu hawana masharti magumu inashangaza sama.
@spreadlove5300
@spreadlove5300 Месяц назад
Msimlaumu huyo Salma pengine yupo under influence chamsingi tumieni uungwana tuu na pia arudi tuu na pia sidhani kama atapata kazi tena aje tuu afanye kazi hapa home ✌
@KadijaAbdulla-m1y
@KadijaAbdulla-m1y Месяц назад
Tena waongo kweli kweli baba uko sahihi
@morjanoman5181
@morjanoman5181 Месяц назад
Kwaza ana MDA mlefu Sana. Bila mafanikio yoyote kwakweri apo tuombe mungu ila ata Mie sina Imani nako
@khadijaomar7015
@khadijaomar7015 Месяц назад
Polee sana mzee kazi za kutaftiwa na maajent ni changamoto..kikubwa uzima tuu.. Oman haina shida kiivo yaan ukisafirishwa moja kwa moja unafikia kwa bos na sio ofisin.. insha'Allah Salma rudi ukapate baraka za mzee nawe utafanikiwa..usichoke da Salma tuko na wewe mpk ufanikiwe sehem salama🤲
@RehemaMohamedi
@RehemaMohamedi Месяц назад
Nimesoma coment humu ila kiukweli msicho kifaham hii nchi haina ubarozi kwahiyo kurudi mpaka atasubiri sana yani hapo angekua kafikisha mwaka angerudishwa lakini kama hajafikisha mwaka hawezi kurudishwa kwasababu wanajua wakimrudisha ofice inapata hasara
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 Месяц назад
Wa iraq ni wabaya arudi tu atakuja tafuta kazi kungine au Omani wa iraq wenyewe wanavita hawa maisha huko ni shida arudi tu kama kapata tiket arudi tu atajuta bbadaye najua yote ni shida hiyo
@mwajumasaidi2041
@mwajumasaidi2041 Месяц назад
​@@farhannahkulishwaburekunam5360Iraq nchi ya ovyo mm nilirudi kwa pesa yangu nchi mateso tu, wao wenywe kutwa kupgana
@DandasiKundi
@DandasiKundi Месяц назад
Hao madalali sio watu wazuri wanamdanganya kwa vile walijua upeo wake mdogo sana hajui aliko. Serikali ichukue sheria kwa hao madalali. Ahsanteni global tv.
@AishaTarimo-hj2nj
@AishaTarimo-hj2nj Месяц назад
Arudi aje tuu Oman hakuna matata
@HappyOswadi
@HappyOswadi Месяц назад
Nakuunga mkono Aisha aje tu OMANI tupambane uku anjenti wake mazingira sana
@user-dx1hz3ow7k
@user-dx1hz3ow7k Месяц назад
Mungu aweke wepesi arudi tu aje Oman miezi 7 kaoteza mda wa bule na kushukuru yupo mzm nchi zingine mitihani kwa kweli arudi tu dada wa watu
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 Месяц назад
Jamani mbona inaonekana ni booking sio tickets, ukibuku ndege unapewa imfometion yote ya safari, lakini kama hujalipia ndani ya siku saba wana ikanseli
@HhgH-v3o
@HhgH-v3o Месяц назад
Yaani atajuta, Bora arudi nyumbani... Kitamramba
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 Месяц назад
Baba mzuri huyu dah🥰
@mamasalhat
@mamasalhat Месяц назад
Wallah ❤
@mamasalhat
@mamasalhat Месяц назад
Anampambania mwanae
@mtumwamalikmtumwamalik1304
@mtumwamalikmtumwamalik1304 Месяц назад
Mtihani wanamuangaisha huyo baba wa watu tu 😢😢maskini
@lilianwaflotina1288
@lilianwaflotina1288 Месяц назад
Babangu uko poa👍
@zeyanaalgheithy6561
@zeyanaalgheithy6561 Месяц назад
Ukitaka kujuwa kama.tiket ni og chukuwa reference hlf nenda airline utapata uhakika wa safari
@rahmashapani5926
@rahmashapani5926 Месяц назад
Asante Baba Kwa msimamo wako
@esuthoby7865
@esuthoby7865 Месяц назад
Angalia hiyo booking, ni tarehe gani ilifanywa? ,hiyo ni booking information si ticket. Unaweza kubook bila kulipa.
@MaryamKhawar-h3j
@MaryamKhawar-h3j Месяц назад
Wewe dada mjinga baba yko anakupigania unaona kakuharibia ukija pata matatizo itakuje huko mzazi yeyote wache hao waone wajue serkali yetu haitokubali raiya wake apate 😢tabu nch ya watu
@mariachales3283
@mariachales3283 Месяц назад
Baba upo sahili sana heri uteseke tz kuliko nchi za watu
@mtumwamalikmtumwamalik1304
@mtumwamalikmtumwamalik1304 Месяц назад
Huyo mdada alikua tu arudi kaz zipo tele japo oman au dubai ataingia
@user-yr8rn8ge5e
@user-yr8rn8ge5e Месяц назад
Mrudisheni Kwa nguvu huyo akiri Hana anasaidiwa lkn hataki kusaidiwa atapata shida hatapata Wa kumsaidia mrudisheni
@sissis5954
@sissis5954 Месяц назад
Uyu salma anarudi ila hataki Kupokewa na midia huyu anakuja hio tarehe ila kaona haifai kuonekana mtandaoni atakosa kaz sehem nyingine
@tamimakhalfanikhani8403
@tamimakhalfanikhani8403 Месяц назад
Ata mm naona
@HadijaKikoto-mn8uc
@HadijaKikoto-mn8uc 23 дня назад
Kama kuna kaukwel hapo
@Mojabo-qi7sv
@Mojabo-qi7sv Месяц назад
Alla akupe subra baba etu izi kazi kuna watu wana pitia changa moto sana uyo salma watakua sio amli yake
@generosennko8343
@generosennko8343 Месяц назад
Asante sana zari na timu yako kwa kuibeba jamii kipekee.
@AminaSuleiman-sr4oo
@AminaSuleiman-sr4oo Месяц назад
Mungu atajaalia kil kitu kitakua sawa na mungu aipe familia yake subra
@shemsamushy2981
@shemsamushy2981 Месяц назад
Allahummah Amin
@generosennko8343
@generosennko8343 Месяц назад
Baba yuko sawa kabisa. Binti rudi nyumbani
@hamisaally968
@hamisaally968 Месяц назад
Hapo kilichokuwepo ambao wengi amjui uyo binti ni lazima alipe gharama walizompelekea uko maagenti wa uko awawezi kumuachia ivyo ivyo tu,kikubwa ongeeni na hao maajenti gharama zao uyo binti atarudii vingine watakata mawasiliano kabisaa.
@DevotaIjumba
@DevotaIjumba Месяц назад
Baba nimekupenda sana.Dada wa GlobalTV.mludishe aje akalee Watoto wake.ata vitumbua vinalipa.
@HadijaJoseph-d1g
@HadijaJoseph-d1g 13 дней назад
Inatokea tu mitiani popote sio hukunje tu mimi nimekaa huko aliko mpaka miwili bila shida sasa nipo qatar bila shida youote naishivizuri sana. Maanjenti alio wapata sio wazuli hawana ushikiano
@maryamobady1853
@maryamobady1853 Месяц назад
Mzee yupo sahihi huyo washa mharibu akili yake arudi tz maishayaendelee
@joharishabani760
@joharishabani760 Месяц назад
Huyu dada katishiwa na hiyo iraq watampoteza kwel apo muwe na mkazo la sivyo wanampoteza kuwen makin
@DandasiKundi
@DandasiKundi Месяц назад
Naomba sana serikali ikomeshe maajenti kwa sheria za nchi hawa hawatakiwi kabisa. Maajenti ni matapeli sana.
@OmanSinaw-mi7gp
@OmanSinaw-mi7gp Месяц назад
Salama ludi nyumban afu njoo Oman utapata kaz mm Niko omni
@AliAhmed-ry5pq
@AliAhmed-ry5pq Месяц назад
Kila cku habari hizo hizo Mabinti kaeni kwenu mtanyofolewa utumbo eee....
@SaadsaidJumatano
@SaadsaidJumatano Месяц назад
Bado anamzazi anaemtetea anapuuzia mwarab mtu wakumuamini kweli😮?hajawajua warab bora arudi aende omani kule kunanafuu
@alfoncekasanyi6584
@alfoncekasanyi6584 29 дней назад
Hizi njaa zitawsua Makonda kupokelewa Arusha na mnachoongea havina uhusiano kabisa
@mpefu_4936
@mpefu_4936 Месяц назад
Yani Bora angepbana hapa nyumbani atoke uko kwenye vita watu Wana roho mbaya
@mohamedkhalifa5764
@mohamedkhalifa5764 27 дней назад
Ombeni msaada Serikalini huyu Binti Arudi yuko Hatarini
@user-uo3xz4do6l
@user-uo3xz4do6l Месяц назад
Nibora arud t Maan hizo changa moto na ss tunazipata Kam hizo na sisi tunatamani turud kwet 😢😢
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Месяц назад
Salma km.utapitia hzi comment jua kabisa clip hazifutwii zari plz km atarud hiyo tarehe 10 kuakia 11 bac utujulishe wana global ht km huta enda Airport utampigia baba salma akwambie km karud au hajarudi
@BabyMkuya
@BabyMkuya Месяц назад
Mungu ampe maisha malefu uyu baba Yani anaakili Sana alfu wwe Dada unayemtu wakukupambania badala urud unajishauwa wakikugeuka he utakimbilia wap Rudi wwe acha ujinga
@Byme6434
@Byme6434 Месяц назад
Global Mzee Mchomvu nae Anahusika kwenye Maswala haya ya kusafirisha Wafanyakazi anaofisi kaeka Vijana wake Ila huu Mtaji wa Kupeleka Watu Uwarabuni Wakateseke Nyie M'Mungu Anawaona Maagent Na Huyu Mzee Mchomvu
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 Месяц назад
Waleyko msaalama .mzee Mgamga pole sana baba kwa mtuhani😢😢
@salamalsawaqi1206
@salamalsawaqi1206 Месяц назад
Mwacheni tu afanyekazi ajaribu hata mwezi mmoja ongea na yule anampakazi🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲
@mymuhnabdallahshaban7763
@mymuhnabdallahshaban7763 Месяц назад
Asiyesikia la mkuu huvunjika guu hyu binti atayalipia machungu ya baba ake kuhangaika halali 😢😢😢😢
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 29 дней назад
Mbona hawakusema anasafiri kwa ndege gani?
@habibhamed1587
@habibhamed1587 Месяц назад
Dada jitahidini arudi nyumbani hakuna liwalo hapo Iraq hapo mambo ya ngono tu yanafanyika hakuna kazi hapo wao wenyewe wanakwenda mbio za vijiti hapo
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 Месяц назад
Baba upo vizuri na Mungu atakusaidia
@anitamtanila4870
@anitamtanila4870 Месяц назад
Baba anahekima kubwa sana, mungu atammjalia anachotamani
@user-sd5zf6fz4v
@user-sd5zf6fz4v Месяц назад
Huyo salma hayapendi maisha yake asikusumbuweni
@joysekiza3944
@joysekiza3944 Месяц назад
Msisikitike tulieni kwanza mwacheni jamani akuna jambo laisi chini ya jua
@husnasalim9614
@husnasalim9614 Месяц назад
Inshallah warudi wote maana uko Iraqi kuna wa tz wengi wanateseka tena
@OmanMohd-iq7zb
@OmanMohd-iq7zb Месяц назад
Wewe salima rudi tanzania kwanza ujipamge upya
@mauwaadidaa9994
@mauwaadidaa9994 Месяц назад
Team strong hii imekaaje tushazoea mtu ukifka t unaanza kufany kaz miez 7 ushanunua kiwanja ushapga fondeshen
@maryammaryam-mi5jo
@maryammaryam-mi5jo Месяц назад
Salama hapo akuna kazi kama umekaa miezi saba bila kazi je unafikili kuna kazi hapo ni heri urudi tu nyumbani kwanza
@SsAl-bp8wc
@SsAl-bp8wc Месяц назад
Huyu dada atakuja kujuta sana kwa maamuzi aliyo yachukuwa maana anajiamini na waarabu hawa tunaishi nawo ila ni wanyama hapo wamedanganya tu sasa subiri watamtesa hadi afiye huko tupo hapa mtakuja kutwambiya
@AyshaHamis-qw3gi
@AyshaHamis-qw3gi Месяц назад
Kwanz mahal kam watesek ukitoka hap usirud ukirud wanakumaliz uwez rudi salama ..wangap wanakufa style hyo...Allah amnusuru
@edithaeugeni9695
@edithaeugeni9695 Месяц назад
Yaani hyu dada arudi tu wamemuweka miezi yote 7 hakuna kazi eti sasa ivi ndo waweze kumtafutya kwa wiki moja 🤔🤔🤔🤔
@FghgRyy
@FghgRyy Месяц назад
😭😭Subhana Allah Salma amem disappoint baba yake kweli yaan mie mwenyewe nimeumia mnoo Global fanyeni juu chini arudi maana tiyar ishaingia dosar
@khadijamasoud3936
@khadijamasoud3936 Месяц назад
Arudi tu jaman haijawa ridhiki 😢 tutpitisha hata kibakuli mwenye mia 500 mwenye elfu 1000 aje amlee mzazi wake na wanae kwanz sahizi anaamani gani mzazi wake hata hii ni laana tayar Salma tunakuomba urudi tu dada mzee kaona mbali njoo ujipanga upya
@AxvMrhunter
@AxvMrhunter Месяц назад
Kabla hujaja unaongea na boss muelewane ndio mlolongo wa sasa hv
@MissMadamoman
@MissMadamoman Месяц назад
Umemzalilisha baba yako UTAKUJA kuyaona huko utakimbilia wapi
Далее
OG Buda - Сабака (A.D.H.D)
02:19
Просмотров 134 тыс.
Bike vs Super Bike Fast Challenge
00:30
Просмотров 6 млн
TAJIRI WA MABUS  SUPER FEO ATOA SIRI YA KUWA BILIONEA
10:36