Тёмный

🔴 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 19 тыс.
50% 1

🔴#LIVE: MPINA Awasha MOTO JIMBONI KWAKE, WANANCHI WAMTANDIKIA KANGA APITE...
MGOMBEA Ubunge (CCM) Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, amefunga kampeni zake kwa kishindo ambapo amepokelewa kwa shangwe na wananchi wa jimbo hilo huku wakinamama wakimtandika chini kanga zao....
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Опубликовано:

 

17 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 20   
@magdalenachubwa9388
@magdalenachubwa9388 3 года назад
Mpina is a great man, he deserves all these honor. It is just love here. People of Tanzania are very smart and they always choose their smart leaders. Love you Mpina. Nyerere would be very proud of you.
@inundowine6666
@inundowine6666 3 года назад
Hahahahaaaaa ,😂 Pena luhaga
@inundowine6666
@inundowine6666 3 года назад
Hahahahaaaaa ,😂 Pena luhaga
@octatechdesigns5763
@octatechdesigns5763 3 года назад
Nothing nothing Tz 🇹🇿 broken hearts of 💔 Tanzanian using money to grable justices
@nhobolasilasi1871
@nhobolasilasi1871 3 года назад
Akili
@isamony58
@isamony58 3 года назад
Wapizani wanafivu mapovu ysnawayoka hukuuuuu mtajijuuuuuu👌👌👌👌👌👌😘🥀🌷💃💃💃💃💃💃🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿Ccm oyoooooo
@kakorejrboyz6447
@kakorejrboyz6447 3 года назад
Umaskini nikitu kibaya Sana💀💀💀
@anniesixtus2366
@anniesixtus2366 3 года назад
Mm huyo anerecord na simu jmn🤣🤣🤣🤣🤣
@kakorejrboyz6447
@kakorejrboyz6447 3 года назад
Kama wanamfanyia hivi banadamu mwenzie je Mungu?👎👎👎
@kulwamabula4983
@kulwamabula4983 3 года назад
Kama ulivyo sema mwanzo ni umasikin unatusumbua
@agnesgervas8070
@agnesgervas8070 3 года назад
Ndo maana mm nimekaa zng namgoja bwana yesu akija tu natoa kanga natandika ili apite
@maryodrwebandiza2056
@maryodrwebandiza2056 3 года назад
@@agnesgervas8070 mtandikie hata sasa anapita
@agnesgervas8070
@agnesgervas8070 3 года назад
@@maryodrwebandiza2056 asahiv huw namkubusha asinipite anapopta kwa wngne
@maryodrwebandiza2056
@maryodrwebandiza2056 3 года назад
@@agnesgervas8070 sawa unafanya vizuri
@shabanikamsawa181
@shabanikamsawa181 3 года назад
Hahahaha yani kama ndo mkewangu anachezea nguo hivyo atakuwa anasikia kwa majirani tu kununuliwa nguo rabda awe anamletea nguo kila zinapo isha kula mwa mtu nguo ziharbike hahahaha
@kambamazig02024
@kambamazig02024 3 года назад
Wewe chadema, ama siyo? Akina mama wanafurahia kuondokewa na mfumo dume unaowadharirisha na sasa wanawachagua viongozi wao bila ya kuambiwa na waume zao ni nini cha kufanya. Wabeja nzuna wane.
@happynesskibona2679
@happynesskibona2679 3 года назад
Acha kusema hivyo kama ungekuwa ni ww ungefanyiwa hivyo ungesemaje kwa wake wa wenzako acha ushamba bw kila mtu anapenda kiongozi wake hata kama ni mke wako eti unasema hizo nguo angemnunulia yy basi hujuwi wajibu wako kama Baba
@happynesskibona2679
@happynesskibona2679 3 года назад
Ww Shabani kamwasha uliyema hayo maneno au ukute hujaoa ujuwi wajibu wako kama Baba
@shabanikamsawa181
@shabanikamsawa181 3 года назад
Kwahyo wajibu wa baba kumnunulia mwanamke nguo na wajibu wa mwanamke kutojitambua na kuchezea mnavyopewa na waumezenu
@shabanikamsawa181
@shabanikamsawa181 3 года назад
@@kambamazig02024 nguo niliyo nunua mm inahusiana na furaha yake yani ninunue kwa jasho langu cyo hela ya kupewa alafu MTU atandike chini ikanyagwe alafu inachanika anadai nyingine rabda akajiunge uwanja wa fisi akauze ili anunue nyingine
Далее
Naibu Waziri Luhaga Mpina Awashangaa Wapinzani
5:08
Просмотров 1,9 тыс.