Тёмный
No video :(

🔴LIVE; SIKILIZA ALICHOSEMA MCHEZAJI MPYA WA SIMBA (KIUNGO MSHAMBULIAJ) HATARI "JONATHAN ALUKWU 

DJsportsHD
Подписаться 51 тыс.
Просмотров 312 тыс.
50% 1

SIKILIZA ALICHOSEMA MCHEZAJI MPYA WA SIMBA (KIUNGO MSHAMBULIAJ) HATARI "JONATHAN ALUKWU
#simba
#tressormossofe
#usajilimpya
#simba
#ahmedally
#yanga
#alikamwe
#hajimanara
#kochampyasimba

Опубликовано:

 

28 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 68   
@PaschalMussa-g1v
@PaschalMussa-g1v Месяц назад
Acheni uongo simuseme tunaumiasisi yanga ikovizuri
@kapsonsmusoma8481
@kapsonsmusoma8481 8 месяцев назад
Kwa hiyo amekaa kwenye kiti juu ya sofa 😂😂😂😂😂😂😂 KENGE nyie jifunzeni kuedit😂😂😂😂😂😂
@petermakoye8918
@petermakoye8918 8 месяцев назад
Hahahaha kumbe umeona?wanatufanya ni wajinga...
@nyaky_fighter
@nyaky_fighter 8 месяцев назад
😂😂😂😂
@AdiliSanga-os6hn
@AdiliSanga-os6hn 8 месяцев назад
😂😂😂
@JohnMarko-de2ks
@JohnMarko-de2ks 3 месяца назад
simba oyeeeee
@DicksonFrancisMayanzan
@DicksonFrancisMayanzan Месяц назад
Kama ujinga umezidi sasa acheni kuturusha roho hajui kama chama hatukonaye msimbazi
@user-qp7gi5sy2x
@user-qp7gi5sy2x 2 месяца назад
YANI MCHEZAJI AMEKAA KWENYE KITI,,,AMBACHO KIMEKAA JUU TA KITI,,,, TUTAONA MENGI ,,NA BOSS KUBWA AMECHUCHUMAA,,KWENYEKITI HAYUPO JUU HAYUPO
@AugustKisaka-qy7kl
@AugustKisaka-qy7kl 2 месяца назад
Waaache wate saana sana tunaujua ,usjiliwe bongo muvi, mkulima ondara huandaa sambalàke kwa umaridadi na huotesha mbegu bora,na kuudumia shamba kwa ubora mafanikio huja kwa ubora,simba niwakati wa kuanda shamba mipango iliyo bora na kusali watalamu wa muda mrefu ,ili kunufaika kwa muda mrefu, wachezaji wenye vipaji na na umri mzuri 😢😢😢
@SelemanShomari
@SelemanShomari 2 месяца назад
Simba hua hawafeli hata kidogo
@user-so3qj5qv5o
@user-so3qj5qv5o 2 месяца назад
Nyie simba washenz pia😊
@YahyaMndevu
@YahyaMndevu 2 месяца назад
Tiba asili mndevu tanga lushoto tunaomba talifa za ukweli hatutaki uongo tunateseka Simba Simba oyeeeeeeeeeeee
@user-kx2po2xm7s
@user-kx2po2xm7s 8 месяцев назад
Lusajo mosteli mwakabuku kutoka mbeya simba ifanye usajili wa atali
@MakalaSaidi-bj4yi
@MakalaSaidi-bj4yi 8 месяцев назад
Tunaamani nakocha wa wa simba usajili wetu naimani tutaludi kwenye msimamo wajuu❤😅
@MussaKusaga-q5o
@MussaKusaga-q5o Месяц назад
😂😂😂😂😂 kwenyewkiti juu ya sofa
@neematvonline8134
@neematvonline8134 7 месяцев назад
Acheni upuuzi wenu wakusema tusikiliza halafu mnaongea nyie tu bila kusikia huyo mliemlenga kuwa tumsikilize anachokisema,acjeni ujinga wa taarifa nusu kueni kifikra nasio kutudanganya watanzania
@denisintongolo7144
@denisintongolo7144 5 месяцев назад
Kuedit nawapa big up😅
@victorialubwaza1583
@victorialubwaza1583 8 месяцев назад
Nawatakia kila la kheri timu yng pendwa ya simba
@najashdawood9680
@najashdawood9680 8 месяцев назад
Waaandishi wengine ....aeti kasema wakati unatangaza usenge hata kiswahili hukijui...fala kabisa ww
@RaphaelBilali-vt8tu
@RaphaelBilali-vt8tu 3 месяца назад
Mbona hutuoni anachosema, punguzeni uzushi
@MwajumaMauld
@MwajumaMauld 8 месяцев назад
Simba yunaipenda ila tunahitaji nawachezajinwatupe fraha hivyo basi niusajili uwe mzur
@CalvinMgonja
@CalvinMgonja 2 месяца назад
Hahahaha 😅😅😂
@user-om8yo3nk5o
@user-om8yo3nk5o 8 месяцев назад
Wanazingua mnasema anao gea mchezaji ila unaongea wew au wew ND mchezaji au 2 kuitaj alaf tukiwatukan mtasem vijan tuna matusi uyu jamaa far kweli
@MusaMalegi
@MusaMalegi 3 месяца назад
🎉owa sipend tarifa za kiongo kuweni wakweli maana sisi tunaipenda Simba Sana so mnapotupa information za kijinga inabidi mshitakiwe mbwa nyie
@ssam3385
@ssam3385 7 месяцев назад
Simba qweens na jkt wanacheza lini nauliza
@user-uu7xy6jj3y
@user-uu7xy6jj3y 8 месяцев назад
Unaongea wewe tu hakuna mchezaji alie ongea
@user-hg4pj6fb1j
@user-hg4pj6fb1j 8 месяцев назад
Nyie maongo kila siku mnatuleta taarifa za uongo
@NasriMnyigane
@NasriMnyigane 2 месяца назад
Hii chanel jau aijawai kusema ukweli hata cku moja.huyo mchezaji kakaa kwenye kiti au meza???eti wadau
@user-ko3gi8np7e
@user-ko3gi8np7e 8 месяцев назад
Ngoja tuanglie mana hata so walipambwa sana
@user-sm2er5uj8i
@user-sm2er5uj8i 8 месяцев назад
Tunaitaji sajili zinazoendana na hadhi ya timu yetu sio sajili kama sawadogo
@Jumapili-ws5em
@Jumapili-ws5em 2 месяца назад
Acheni ushamba na umbea
@EmajumaEmajumajohn
@EmajumaEmajumajohn 2 месяца назад
Achen uogo
@jonathanmallan4811
@jonathanmallan4811 8 месяцев назад
Tunataka kiungo wa ulinzi na sio kiungo mshambuliaji
@allyibrahim2732
@allyibrahim2732 8 месяцев назад
Tunahitaji wachezaji wenye Kasi ili waweze kumudu mchezo na kutoa matokeo chanya
@Abdahala-hd2fw
@Abdahala-hd2fw 2 месяца назад
Fanyen kweli punguza maneno
@MeshackMichael-ts6yu
@MeshackMichael-ts6yu 8 месяцев назад
Mshambuliaji na kiungo mkabaji
@andreangweshemi7706
@andreangweshemi7706 8 месяцев назад
Maneno mengi, unajirudiarudia, na kiswahili kisicho.
@user-cr5wd5vs9k
@user-cr5wd5vs9k 7 месяцев назад
Wasenge kwel hawa hata hawajui kuongopa
@user-gk7sh4oy8k
@user-gk7sh4oy8k 8 месяцев назад
Kweli
@user-my2ng7qe3z
@user-my2ng7qe3z 8 месяцев назад
Mimi sioni umuim was bareke simba Niko duchu nawengine kama
@MasereMasanja
@MasereMasanja 2 месяца назад
Mtoa post hana akili 😂😂😂😂
@FanuelSenyenge
@FanuelSenyenge 2 месяца назад
Acheni uongo shenzi ninyi. 😤😤😤
@user-ju7dj7lb2d
@user-ju7dj7lb2d 3 месяца назад
Uongo na umbea umbea tu😂😂😂😂
@BonifaceLuhanya
@BonifaceLuhanya 2 месяца назад
Acha uongo ww
@venancebanda291
@venancebanda291 8 месяцев назад
Mwandishi mwongo
@sephjuma8269
@sephjuma8269 8 месяцев назад
Huyu jamaa msenge ikifika kipndi cha usajili anatakaga koment apate hela fara huyu
@KarinyoBlandTZ
@KarinyoBlandTZ 8 месяцев назад
Yani hii chaneli ni hawanaga taarifa za ukweli
@MohammedHussein-wb3fd
@MohammedHussein-wb3fd 2 месяца назад
Mbona kama vle ni huongo
@bakarimmbaga2344
@bakarimmbaga2344 8 месяцев назад
Simba fanyeni usajili wa maana acheni usanii! Mwaka jana wenzenu utopolo wamefanya usajili bora nyie mnacheza na akili za mashabiki, matokeo yake mumesajili wachezaji wa kukalia benchi... !
@RashidiShemshi
@RashidiShemshi Месяц назад
Acha udaku basi
@RamazaneissaTupukute
@RamazaneissaTupukute 3 месяца назад
Kiti au sofa
@user-md7sd3hk6l
@user-md7sd3hk6l 8 месяцев назад
hasante uwo ngozi
@richardmakweta8875
@richardmakweta8875 8 месяцев назад
Nyie miandishi siwataki hata kwa bure
@SelemanYahaya
@SelemanYahaya 8 месяцев назад
Acheni umbea hapo amekaa kwenye sofa au kiti
@ZachariaMwita-bu7rw
@ZachariaMwita-bu7rw 3 месяца назад
Kiti sofa 😂
@mtumaijumaabdallah9764
@mtumaijumaabdallah9764 8 месяцев назад
Mmh!
@user-zp7qj4uf5c
@user-zp7qj4uf5c 8 месяцев назад
tunategemea uwe usajili wakutupa furaha
@LeonardDismas
@LeonardDismas 5 месяцев назад
Pumbavu muongo mkubwa weeee
@ShafiiAli-um7so
@ShafiiAli-um7so 8 месяцев назад
Bad hamjajuw kuekti
@user-lt2st5sb6f
@user-lt2st5sb6f 8 месяцев назад
Mbona mnatuchukulia kama mazezeta kwani mnahisi hatujui edit au
@teachingtruthmission2140
@teachingtruthmission2140 8 месяцев назад
Una maana gani unasema alichoongea na unaeongea wewe ..hujitambui
@user-po2ot4zi4p
@user-po2ot4zi4p 8 месяцев назад
Kwann mnapenda k edit nyi ni wajinga sana
@user-vw4sb3xb6b
@user-vw4sb3xb6b 8 месяцев назад
uwong mtupu
@user-fz7ww3lj3f
@user-fz7ww3lj3f 8 месяцев назад
Humu mtandaoni siyo wajinga ndo wapo ni watu na akili zao ndo wapo.
@Official_mhengatz01
@Official_mhengatz01 3 месяца назад
😅😅😅😅😅😅😅 kaweka kiti huu ya sofa hahahaha
@MussaKusaga-q5o
@MussaKusaga-q5o Месяц назад
😂😂😂😂😂 kwenyewkiti juu ya sofa
@user-xw1oe1jn7p
@user-xw1oe1jn7p 8 месяцев назад
Huyo chama asituchanganye aondoke 2
@MussaKusaga-q5o
@MussaKusaga-q5o Месяц назад
😂😂😂😂😂 kwenyewkiti juu ya sofa
Далее
Ajdarlar...😅 QVZ 2024
00:39
Просмотров 824 тыс.
KWA MBINU HIZI 4: SIMBA YA FADLU ITAKUWA BALAA...
11:16